- 34
- 3 406
Mwl Mbarikiwa Mwasumbwe
Приєднався 5 тра 2022
MWALIMU WA NENO LA MUNGU NA MSHAURI WA VIJANA
Karibu uweze kujifunza zaidi ndani ya UA-cam channel hii, utajifunza zaidi Kwa habari zihusuzo zaidi UFALME WA MUNGU pamoja na UFALME WA MBINGUNI.
Pia utajifunza zaidi kuhusu maendeleo ya ki-maisha binafsi na kupata ushauri kwenye nyanja mbalimbali za maisha.
Na Mimi;-
Mwl Mbarikiwa Mwasumbwe (Nsajigwa).
@KunaMahaliTunaelekea - TuendeleeKuomba
1 thessalonians 5:17
Hebrews 5:12,14
Karibu uweze kujifunza zaidi ndani ya UA-cam channel hii, utajifunza zaidi Kwa habari zihusuzo zaidi UFALME WA MUNGU pamoja na UFALME WA MBINGUNI.
Pia utajifunza zaidi kuhusu maendeleo ya ki-maisha binafsi na kupata ushauri kwenye nyanja mbalimbali za maisha.
Na Mimi;-
Mwl Mbarikiwa Mwasumbwe (Nsajigwa).
@KunaMahaliTunaelekea - TuendeleeKuomba
1 thessalonians 5:17
Hebrews 5:12,14
NDOA
Karibu sana kufuatilia mafundisho haya.
Na usisahau kufuatilia semina ninazotoa ambapo ndio utajifunza zaidi huko.
Na usisahau kufuatilia semina ninazotoa ambapo ndio utajifunza zaidi huko.
Переглядів: 77
Відео
KWANINI MUNGU AWE NAFASI YA KWANZA KWENYE MAISHA YAKO.
Переглядів 10116 годин тому
NJOO ULE UKUE KIROHO Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazao wake. Matendo ya Mitume 17:28
MAMBO YA MUHIMU KWENYE MAISHA.
Переглядів 69День тому
Ukitaka kufanikiwa kwenye maisha yako-, haya mambo matatu ni muhimu sana. HEKIMA AKILI NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU (Roho Mtakatifu) Fanya hima zamani hizi za uovu.
MAMBO YA KUZINGATIA ZAMANI HIZI ZA UOVU
Переглядів 3714 днів тому
Somo : MAMBO YA KUZINGATIA ZAMANI HIZI ZA UOVU. Msisitizo/ Malengo ya somo: 1. Ili Mungu ajulikane 2. Ili kukomboa wakati Sehemu ya tatu. karibu uweze kujifunza zaidi. Mawasiliano zaidi pamoja na kuchangia huduma ili tuweze kuboresha zaidi ya hapa tulipo. 0745020377 Vodacom 35232950 Lipa M pesa 24510004020 NMB Bank Jina: NSAJIGWA ISACK MWASUMBWE kama Kuna ushuhuda, huduma, na chochote kuhusiana...
MAMBO YA KUZINGATIA ZAMANI HIZI ZA UOVU.
Переглядів 6614 днів тому
Somo : MAMBO YA KUZINGATIA ZAMANI HIZI ZA UOVU. Msisitizo/ Malengo ya somo: 1. Ili Mungu ajulikane 2. Ili kukomboa wakati Sehemu ya pili: karibu uweze kujifunza zaidi. Mawasiliano zaidi pamoja na kuchangia huduma ili tuweze kuboresha zaidi ya hapa tulipo. 0745020377 Vodacom 35232950 Lipa M pesa 24510004020 NMB Bank Jina: NSAJIGWA ISACK MWASUMBWE kama Kuna ushuhuda, huduma, na chochote kuhusiana...
MAMBO YA KUZINGATIA ZAMANI HIZI ZA UOVU
Переглядів 15221 день тому
Somo : MAMBO YA KUZINGATIA ZAMANI HIZI ZA UOVU. Msisitizo/ Malengo ya somo: 1. Ili Mungu ajulikane 2. Ili kukomboa wakati Sehemu ya kwanza: karibu uweze kujifunza zaidi. Mawasiliano zaidi pamoja na kuchangia huduma ili tuweze kuboresha zaidi ya hapa tulipo. 0745020377 Vodacom 35232950 Lipa M pesa 24510004020 NMB Bank Jina: NSAJIGWA ISACK MWASUMBWE kama Kuna ushuhuda, huduma, na chochote kuhusia...
KAMA UNAJUA UNAZO HASIRA ZA HARAKA ILI USIMKOSEE MUNGU SIKILIZA HII.
Переглядів 1226 місяців тому
somo kuu : JIJUE ZAIDI/JITAMBUE Msisitizo: MWANADAMU KUTEMBEA KWENYE MAPENZI YA MUNGU Sehemu ya tano: HASIRA karibu uweze kujifunza zaidi. mawasiliano zaidi 0745020377 kama Kuna ushuhuda, huduma, na chochote kuhusiana na utumishi karibu sana. na Mungu atakubariki sana sana.
UTAMBULISHO WA CHANNEL HII.
Переглядів 1156 місяців тому
Karibu uweze kujifunza zaidi neno la Mungu na uweze kukua kiroho. MUNGU ANAKUPENDA HIVYO HIVYO ULIVYO HATA KAMA UNAJIONA UNAMAPUNGUFU MENGI SANA, MUNGU BADO ANAKUPENDA.
JIJUE ZAIDI/JITAMBUE -PART 4 (Changamoto).
Переглядів 796 місяців тому
somo kuu : JIJUE ZAIDI/JITAMBUE Msisitizo: MWANADAMU KUTEMBEA KWENYE MAPENZI YA MUNGU Sehemu ya nne: CHANGAMOTO/ MAJARIBU karibu uweze kujifunza zaidi. mawasiliano zaidi 0745020377 kama Kuna ushuhuda, huduma, na chochote kuhusiana na utumishi karibu sana. na Mungu atakubariki sana sana.
JIJUE ZAIDI/JITAMBUE -PART 3 (Mfumo wa Maisha)
Переглядів 746 місяців тому
somo kuu : JIJUE ZAIDI/JITAMBUE Msisitizo: MWANADAMU KUTEMBEA KWENYE MAPENZI YA MUNGU Sehemu ya tatu: kipengele cha tatu: MFUMO WA MAISHA karibu uweze kujifunza zaidi. mawasiliano zaidi 0745020377 kama Kuna ushuhuda, huduma, na chochote kuhusiana na utumishi karibu sana. na Mungu atakubariki sana sana.
SHETANI SIO CHANZO CHA MATATIZO YAKO.
Переглядів 867 місяців тому
Uumbaji wa Mungu ni kitu kikubwa sana kwake mwenyewe, kiasi cha kwamba alitamani nasisi tuone hayo aonayo yeye kwenye uumbaji wake. lakini wanadamu wengi hawaoni hivyo kama Mungu aonavyo. Swali:- Unafikiri kwanini?
JIJUE ZAIDI au JITAMBUE -PART 2. (Uhusiano uliopo kati ya Mtu wa ndani na mtu wa nje).
Переглядів 807 місяців тому
somo: JIJUE ZAIDI/JITAMBUE Msisitizo wa somo: MWANADAMU KUTIMIZA MAPENZI YA MUNGU karibu Kwa mawasiliano -shuhuda -ushauri -huduma 0745020377
JIJUE ZAIDI au JITAMBUE - PART 1. Uumbaji (roho, Nafsi na mwili)
Переглядів 1367 місяців тому
NAMNA UTAKAVYOWEZA KUYATIMIZA MAPENZI YA MUNGU UKIWA HAPA DUNIANI. (sehemu ya kwanza). jitahidi kufuatilia sehemu zingine zinazokuja. kila ifikapo jumatatu mpaka siku tano ziishe.
MSAADA WA IMANI KWA MWANADAMU HASA ANAPOPITA KWENYE MAGUMU.
Переглядів 648 місяців тому
MSAADA WA IMANI KWA MWANADAMU HASA ANAPOPITA KWENYE MAGUMU.
JE, MAISHA YA WOKOVU NI MAISHA YA KIMASKINI?
Переглядів 349 місяців тому
JE, MAISHA YA WOKOVU NI MAISHA YA KIMASKINI?
NAMNA SADAKA YAKO INAVYOKUJULISHA KIWANGO CHA NEEMA YA MUNGU KILICHOPO NDANI YAKO
Переглядів 739 місяців тому
NAMNA SADAKA YAKO INAVYOKUJULISHA KIWANGO CHA NEEMA YA MUNGU KILICHOPO NDANI YAKO
MFUASI WA KWELI WA YESU KRISTO ALIYE HAI.
Переглядів 127Рік тому
MFUASI WA KWELI WA YESU KRISTO ALIYE HAI.
KWANINI WATU WENGI HUSHINDWA KUYAISHI MAISHA YA UFALME WAKIWA HAPA DUNIANI?
Переглядів 33Рік тому
KWANINI WATU WENGI HUSHINDWA KUYAISHI MAISHA YA UFALME WAKIWA HAPA DUNIANI?
Mwl Mbarikiwa Mwasumbwe-UWAKILI MWEMA SHAMBANI MWA BWANA
Переглядів 45Рік тому
Mwl Mbarikiwa Mwasumbwe-UWAKILI MWEMA SHAMBANI MWA BWANA
Amina
Amen Amen 🙌 ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙇
Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai
Amen
Hallelujah Amen 🙌🙌
Amein
Amein
Hakika somo nzuri
Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai
Amein
KARIBU UENDELEE KUTAZAMA NA KUJIFUNZA MAFUNDISHO HAYA YA NENO LA MUNGU. NAKUSHAURI JITAHIDI SANA KUFUATILIA SEMINA INAYOENDELEA KUHUSU: " MAMBO YA KUZINGATIA ZAMANI HIZI ZA UOVU." mpaka sasa tumekuwa na siku mbili yaani siku ya kwanza na siku ya pili. KARIBUNI SANA SANA napatikana Kwa namba hii;- 0745020377 Karibuni sana Kwa utumishi.
Ameni
Ubarikiwe sana mtumishi, Mungu akutunze
Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai. Nashukuru sana kanisa Kwa kuniunga mkono katika utumishi huu.
Mungu akutie nguvu
Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai. Nashukuru sana dada .... Pia nafurahi kuona unaendelea kufuatilia mafundisho haya.
Mungu aendelee kukutia nguvu mtumishi wake.
Amina.
Barikiwa mno
Amina. Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai
Amen 🙌
Ubarikiwe Sana
Amina. Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai
Amima mtumishi
Amina
Barikiwa sana
Amina mtumishi wa Mungu
Amen
🔥🔥🔥🔥
Ubarikiwe sanaaa mtumishi wa MUNGU
Amina @Dainess MUNGU akupe haja ya moyo wako kwenye nyakati hizi. Namtukuza na kumshukuru Mungu sana Kwa wewe kuendelea kufuatilia mafundisho haya.
Barikiwa sana mwalimu.
Amina baba, utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai, nashukuru na namtukuza Mungu sana hata kuona hata wewe kiongozi wangu unafuatilia mafundisho haya. Barikiwa sana kiongozi wangu.
@@KunaMahaliTunaelekea ,Atukuzwe sana Yesu Kristo.
Milele Amina. @@EdwinNsyani
Amen
Karibuni Kwa wingi kuweza kujifunza mafundisho ya neno la Mungu. Na kumbuka kusubscribe channel hii. Pia tuzidi kuombeana zaidi: maana Kuna mahali tunaelekea. Nawapenda wote mnipendao, karibu na tufanye kazi ya Mungu pamoja na wale wanaopenda ubora wa kazi karibuni sana na tufanye kazi pamoja na Mungu atakubariki sana.
Amina barikiwa sana sana
Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai @@danielmwasote2144 Pia nafurahi kuona unaendeleaje kufuatilia mafundisho haya
@@KunaMahaliTunaelekea amina
Ubarikiwe mtumishi kwa somo zuri
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na lihimidiwe daima pasipo kuacha, Ubarikiwe ndugu @HezronKahero Kwa kuwa miongoni mwa watu wanaofuatilia mafundisho haya.
Ubarikiwe sana natamani kama tuta taftana tunaweza kufanya jambo
Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai, Barikiwa sana @FlavianMushi Kwa kwendelea kufuatilia mafundisho haya. AMEN
Pia nimekuelewa vizuri hoja yako, basi naomba nitafute mda wowote itakuwa sawa ili tuweke mambo sawa
ubarikiwe sana mtumish wa Mungu
Mungu akubariki sana Kwa kuzidi kufuatilia mafundisho haya.
Ameen, somo linaeleweka sana mtumishi
Emen 🙏
Ndugu watazamaji wa video hii, Sijui wewe unajionaje hapo ulipo, lakini kiuumbaji Mungu anavyokuona yaani nitofauti na wewe unavyojiona mwenyewe. Nasema hivi;- Unapofika hatua ya kukata tamaa ni wewe ndio umejiona hivyo kwamba ni mtu wa kukata tamaa, lakini sio kwamba labda Mungu ndio amekuumba wewe hivyo ili ukate tamaa hapana niwewe mwenyewe. Shetani sio chanzo cha kila aina ya changamoto inayokukuta wewe, wakati mwingne ni wewe mwenyewe ndio mwenye kusababisha hizo changamoto kwenye maisha yako-. Kuna somo naendelea nalo lenye kichwa hiki;- JIJUE ZAIDI/JITAMBUE Msisitizo mkuu: MWANADAMU KUTEMBEA KWENYE MAPENZI YA MUNGU. Nenda kasikilize Kwa makini fuatilia na pia naendelea kutoa zaidi, endelea kufuatilia mpaka mwisho. Mimi ni Mwl Mbarikiwa Mwasumbwe "MunguNaKazi@KMT TK"-2024
Barikiwa sana kaka
Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai. Ahsante sana @innocentkimbwi
Barikiwa sana asante kwa mrifa
Nafurahi sana Kwamba nawe unaendeleaje kufuatilia mafundisho haya. KunaMahaliTunaelekea
Mwalimu Asante kwa maarifa❤
Barikiwa sana Godly, Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai na ahsante sana Kwa kwendelea kufuatilia mafundisho haya
Ubarikiwe sana mtumishi..
Namtukuza Mungu sana kwamba kiongozi wangu kutoka kanisa la Anglikana pale vijibweni nawewe unafuatilia somo hili. Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai
Barikiwa sana mtumishi, hakika ni Somo nzuri sana. Jijue zaidi
Kiu kweli miongoni mwa vitu muhimu sana kuvijua ni pamoja na hivi vilivyomo kwenye somo hili, hili somo nimekuwa na msukumo nalo tangu Niko shule ya secondary yaani msukumo wa kufundisha ulikuwa unakuja lakini mara nyingi nilikuwa nasitasita na hata nikifundisha nilikuwa ntagusia tu ndani ya masomo mengine ila wakati huu ndio sahihi na Mungu amekubali nilifundishe. Kwahiyo jitahidi na natamani watu wengi wafuatilie somo hili.
Asante kwa mafundisho Mwl.
Mtumishi wa Mungu na kiongozi wangu, nafurahi kuona unaendeleaje kufuatilia mafundisho haya.
Asante mwalinu kwa somo zuri sana
Amina Baba,tunabarikiwa sana
Utukufu Kwa Mungu wetu aliye hai.
Ameen it's a great message.
Glory to God
Ubarikiwe kwa somo zuri
Ubarikiwe mtumishi
Ubarikiwe Sana Mwalimu kwa mafundisho mazuri kwetu vijana 🙇🙇🙏
Hatuezi kukaa tu kisikiza, lazima tu download ndio tusikize tukiwa tumetulia, na juu umefunga endelea bro,
Karibuni unaweza kuuliza swali, kutoa shuhuda , pamoja na kutoa ushauri.. Karibuni sana sana. Usiache kwendelea kumtafuta Mungu siku zote, Kwa vyovyote vile usiache kumpenda Mungu, usiache....mtumikie Mungu atakupa mshahara maana yeye anao