KAKAMATIKA: LEO MSIKILIZE JOHN HECHE AKIMBAGUA RAIS SAMIA KWENYE MAONGEZI YA SIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 75

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 37 хвилин тому

    HATA WEWE HECHE!!!😭😭😭😭 UNAONGEA KAMA MSUKULE!

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 2 години тому +3

    Unayozungumza ni upuuzi tu. Huna uwezo wowote wa kufikiria au kuchambua mambo. 😂😂😂

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 4 години тому +2

    *Haya machadema inawauma sanaa Rais kuwa mzanzibar*

  • @PaullyzmundaPaullyamunda
    @PaullyzmundaPaullyamunda 10 годин тому +2

    Haya mambo ya ku🎉rekodiana siyo sawa! Mnaleta mambo ya Jiwe hapa, haifai, na si sheria!

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 Годину тому +1

    Akili ya kipumbavu sana.....

  • @PakatJames
    @PakatJames 7 годин тому +5

    Ni Sauti ya Heche hasa ni ubaguzi wa wazi. Mwalimu Nyerere alikemea sana huu ujinga na ni moja ya sumu mbaya sana ya vyama vyingi kuwagawanya watu kikabila na kitabaka kwa kisingizio cha vyama vibgi. Wazungu wamefanikiwa kwa hili kwa sisi waafrica tusiojielewa kwani Mchina ana vyama vingi? Kama kisingizio ni kuleta maendeleo? Leo wanaanza na wazanzibari kesho wataendelea na wachaga na wasukuma . Kwa zambi hii chadema kinapaswa kuogopwa kama ukoma na kufutwa kabisa. Watanzania ltuletee ujinga wote tutakuwa wavumilivu lakini sio ubaguzi.

    • @JacksonMartin-pb2vq
      @JacksonMartin-pb2vq Годину тому

      Kweli kaka kabisa uzanzibar au usukuma au mgogo sio hoja ya msingi ni ubaguzi wa kipumbavu kabisa mtu huyu ukifuatilia hata nyumbani kwake hawezi ishi na mtoto hata wa mjomba wake maana ubaguzi uko moyoni mwake leo wake waongoze nchi watu hawa amenikera sana nilikuwa namkubali kwa hoja kumbe hafai kqbisa chadema haina wazanzibar au

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x Годину тому

    Watu mnatukana ila kumbuka time will tel wa🇹🇿acha uchawa wa kipumbavu okoa maisha yenu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 годин тому +4

    Afadhali ukweli ujulikane ZAIDI chadema wabaguzi.Chadema balaa😢

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 2 години тому

      Unalijua leo ndugu chadea hawafai

    • @hassanshame5385
      @hassanshame5385 2 години тому

      Hao ni wabaguzi wa hadi KIDINI..mbona linajulikana hilo..
      Hiyo kusema Mama samia ni Mzanzibar mbona la kawaida..

  • @PapaaMashana
    @PapaaMashana 5 годин тому +4

    Kuambiwa ukwelisikubaguliwa kwani samia sio mwanamuke halafu siowazanziba au

    • @SelijusiMalambo-f8x
      @SelijusiMalambo-f8x 54 хвилини тому

      Mimi nafikiri Tanzania upinzani haupo akili nindogo Leo ndio mama kawa mzanzibari

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 45 хвилин тому

      Ukiwa Mzanzibari hufai kuwa raisi? Unakosa vigezo vya kuchaguliwa kwa mujibu wenu?

    • @SelijusiMalambo-f8x
      @SelijusiMalambo-f8x 16 хвилин тому

      @SonofJacol-t6h kigezo gani kama sio utaila wenu nawakina tundulisu

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 3 години тому +1

    Hapo Heche umepiga nnje

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka Годину тому +1

    Huu kweli ujinga wa kupitiliza wanadhani wataishinda ccm ya samia ndio maana wanataka kuuana kugombea urais hawa hamnazo kweli.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 11 годин тому +1

    Jamani kumbe kuna watu Na wana roho mbaya kwa Samia leo ndo nimejua kwamba mwanamke bado tunashida na hao wanaume 😭😭😭😭

  • @qassimkc5898
    @qassimkc5898 17 хвилин тому

    Kumbe ukiwa mZanzibari hufai kua kiongozi nchi hii!!! Mi nilikua sijui kama mnatubagua kiasi hiki

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 11 годин тому +4

    Hapo kuna ubaguzi gani?

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 5 годин тому

      Yahitajika akili kuelewa hilo, nyamaza.

    • @ahmed59122
      @ahmed59122 Годину тому

      kwanza mzanzibar pili mwanamke.

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 11 годин тому +3

    Sasa alicho kiongea Kibaya kipi?

    • @PakatJames
      @PakatJames 7 годин тому +1

      Kibaya kipi mpumbavu wewe kama yeye. Wewe mama ako afukuzwe kazi sababu ni mwanamke au mmakonde utafurahi?

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 годин тому +1

    Heche huna akili kabisa hatakuongoza ubalozi .Naye akamatwe tu alieleze wanakota kuhongwa

  • @mzalihalisi4357
    @mzalihalisi4357 6 годин тому +2

    Sometimes hu ujinga wa chadema wanajiletea wenyewe. Sasa hapo anadai watu warekodiwe na yeye hapo amerekodiwa 😄 chadema mnajuwa kujitekenya sana. Chadema next election msahau kbsa your so immature and behaving like babies. Utaona ni mwanamke lkn yeye yuko hapo alipofika wewe umejitahmini uko wapi na ni kwann? Instead of finding solutions una attack jinsia yake tht is a habit of weak men yaani mentality ya heche ni ya kunyanyasa wanawake they are nothing kwake ameidhihirsha mwenyewe kwa mdomo wake. Sasa hapo naye kaongea nini surely. Ccm washashinda mapema na asubuhi take this to the bank. Very foolish words from heche and itamcost yeye binfsi kwanza na chama chake ambacho tayari kishagawanyika. LACK OF POLITICAL MATURITY!!!

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 11 годин тому

    Hiyoo

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 5 годин тому +1

    Porojo hizo CHAMA CHA KIDINI HAKIONGOZI NCHI HII

  • @zinzendorfdavid8776
    @zinzendorfdavid8776 2 години тому +1

    Heche huna hoja

  • @HabibuSalumu-iv5wl
    @HabibuSalumu-iv5wl 9 годин тому +1

    Wewe nawe umeredodiwa ubaguzi unaofanya

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 2 години тому

    Hiisauti niyakutengeneza ili kuhalibu sifa yaheche heche nimuzuli

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 2 години тому

    Duh Kumbe Mbowe kapewa bilioni tano na Mama akiue chama cha chadema duh hii kali

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 годин тому +1

    Chadema wabaguzi mno.Mara,Umri wA MBOWE,SASA mwanamke RAIS NK😢 MLAANIWE NYIE WABAGUZI..KURA YANGU KAMA MWANAMKE HAMPATI😢😢

    • @yusuphmwanza507
      @yusuphmwanza507 7 годин тому

      Mamaake yesu ndie mwanamke aliebarikiwa kuliko wanawake woote na ndie mwanamke aliekuwa anastaili kuwa kiongozi lakini mbona MWENYEZI MUNGU hakumpatia uongozi akaja kumpatia mwanae uo ni ukweli mchungu kwamba mwanamke hakuumbwa kiongozi

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 42 хвилини тому

      ​@@yusuphmwanza507
      Na mtu akiwa Mzanzibari hana vigezo vya kuongoza?

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 9 годин тому +1

    Huyu hapati hata cheo hicho anachotaja nchi ngumu hii

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 3 години тому

      Kama mama anatoa bilioni tano kua chadema kwa nini yy asizungumuzwe kua ni mzanzibar

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 9 годин тому

    Atakuwa katupiwa tenga la nyanya mbovu huyu mwandishi kusahau ....akili za kuazima ....changanya na zako 😊

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka Годину тому

    Zawadi tumia akili yako mwenyewe usishikiwe akili ambiere

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 11 годин тому

    Mambo bam bam.

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h 7 годин тому

    Mmeanza upumbavu wenu wana ccm

  • @KhalfanChaula-p7y
    @KhalfanChaula-p7y 9 годин тому +1

    Hii imetengenezwa hii sii sauti ya Heche

  • @directorkaswale8047
    @directorkaswale8047 3 години тому

    Hakuna Heche hapo nisauti ya mchango hii

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 9 годин тому

    Akimbagua ndio kiswahili gani hicho kutumima japa ?!

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 3 години тому

    Mazungumzo ya simu hua nisiri ya watu vp mnayakweka hadharani lakini huu ni wakati wa uchaguzi kila MTU anatafuta udhaifu wa mwenziwe lakini bado waamuzi ni wananchi

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 7 годин тому

    Akimbagua, akimbangua nani vile, ehhh? Acheni uongo nyie!

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 години тому

    Haya mambo ya kudukuana yalifanywa na utawala uliopita wa awamu ya tano yana rudisha nyuma uhuru wa mtandao

    • @LovelyBrain-wz7si
      @LovelyBrain-wz7si Годину тому

      Kudukua lazima maana ndo usalama wa nchi acha ujinga utalindaje nchi Yako bila hivyo?

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 43 хвилини тому

      Wanarekodiana wenyewe then wanavujisha, In shot wana zungukana

  • @GentleGiant-pj2rk
    @GentleGiant-pj2rk 3 години тому

    Upuuzi mtupu, hakuna dauti ya Heche hapo. Lafudhi hadi uongeaji siyo wa Heche

  • @georgelugwisha8798
    @georgelugwisha8798 46 хвилин тому

    upuuzi mtupu

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 12 годин тому +1

    Eeeeeee weeee mpumbavu msenge Kuma la mama yako mbaguzi

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 11 годин тому

    Duh huyu HECHE akichukuliwa hatuwa za kisheria Tundu Lissu atalalamika?

    • @SmithJacob-f2r
      @SmithJacob-f2r 8 годин тому

      Sheria za nyoko kwan kaongea uongo

    • @medardsotta5211
      @medardsotta5211 Годину тому

      @@SmithJacob-f2rni ukweli kwamba mtu akiwa Mzanzibar na Mwanamke afai kuongoza nchi? Wengi hawafurahishwi na uongozi wa Samia, ila wenye akili watachukizwa na zaidi na Ubaguzi kuliko Uongozi Mbovu. Heche kaongea pumba, ni fedheha hata kuamini hayo kama unajiandaa kuongoza nchi!

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 10 годин тому +1

    Ni mzanzibari. Nikweli.. Ni mwanamke ni kweli... Hana hoja ni kweli. Kauza mali za tanganyika pia. Mwanae katuhumiwa kuwa msambaza marushwa pia. Nk atachaguliwa na mtu. Ambae ana upunguani wa akili. Mwnye timamu. Hawezi kumpigia kura..... Hafai .

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 10 годин тому

      😂😂😂

    • @ZaidAKissinza
      @ZaidAKissinza 9 годин тому

      Heche ulikuwa unaenda vizuri Sasa unaanza kujiharibia mwenyewe, huyo unaemwambia arekodi kumbe na wewe kakurekodi, ( kikulacho ki nguoni mwako ) huyo uliyemwamini katoa siri nje.

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 9 годин тому +1

      Hakuna ubaya ameongea ukweli kabisa

    • @PiliAli-h9c
      @PiliAli-h9c 9 годин тому

      Hakuna mwanadamu kamili lkn mama anacheza part yake jamani acheni chuki

    • @medardsotta5211
      @medardsotta5211 Годину тому

      Yote hayo ni kweli, ila ni uwenda wazimu kuamini kuwa utawala wake mbovu unatokana na yeye kuwa Mzanzibar na Mwanamke. Ni mtu mjinga tu anayeweza kumpima kiongozi kwa Dini, Jinsia au Kabila! Na ndo huu ujinga naouchukia kwa CHADEMA wako so
      Immature na so insensitive kwenye mambo yanayohusu UTAIFA - haya mambo sio ya kuchezea - mkiyachezea haya tutauwana kama wanyama!

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si Годину тому

    Upumbavu mtupu wewe mwenyewe hujitambui

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 9 годин тому +2

    Ameongea ubaya gani hapo?

    • @SelijusiMalambo-f8x
      @SelijusiMalambo-f8x 15 хвилин тому

      @@GodfreyMwamaso hajaongea ubaya kwasababu mnalingana akili

  • @MiltonByems
    @MiltonByems 9 годин тому

    Hiv hiki chama kilijaza viongozo wapuuzi kiasi hiki? Mgonbea wa nafasi muhimu kama hii anatoa hoja za kijinga namna hii? Dah, Chadema ovyoo!

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 4 години тому

    Nyinyi kila klip ikitoka mnaiamini! Hivi mlienda shule kweli? Mnajua somo la PROPAGANDA? Watu wanaweza kuigiza sauti ya Nyerere copy right. Atasshindwa kuigiza lafudhi ya Kikurya? Fikirini kwanza kabla ya kucoment! Usikuripuke kama unajamba. Nendeni hata MEMKWA!🎉😂

  • @PiliAli-h9c
    @PiliAli-h9c 9 годин тому +1

    Mnyonge anyongwe na haki yake apewe,Mama anacheza part yake jamani..acheni chuki

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s 10 годин тому +1

    Kuna ubaya gan kaongea hapo

    • @hamissnjumba302
      @hamissnjumba302 10 годин тому

      ameongea ubaguzi amembagua mh. Raisi kwa sababu ni mzanzibar na kwa sababu no mwanamke ni vibayya saana watanzania hatuhitaji kubaguana

    • @BashirMatora
      @BashirMatora 9 годин тому

      Sheria ichukue mkondo wake uwezi kumbagua raising wanchi ww

  • @nditiPeter
    @nditiPeter 8 годин тому

    Uchaguzi wa chadema ccm watia mguu waharibufu madhulumati hawafai naamini watu kwamaumivu waliyopitia hawatokubali