Hoja ya kwanza nimeipenda zaidi japokwa zote ni hoja kuntu. "Watanzania wanahitaji kiongozi anayeweza kukemea rushwa hadharani bila woga". Mungu akurehemu na akupe pumziko la amani mzee wetu.
@@BeniMwengo wewe Afadhali unaongelea mtu aliyekuwa na busara zake wakamnyamazidha, wengine humu wanaongea mambo ya Tundu Lissu, Tundu Lissu saa ngapi aliongoea mambo ya Siasa? Kana kelele kama debe tupu na kelele zenyewe haziongelei Siasa sinaongelea watu binafsi utafikili akina mama harusini au kwenye visima
Inategemea mwangaza wenyewe ulivyo sio tuu amuangazie bali na yeye aliyafanya ayo ambayo mpaka angaziwe uo mwanga? Sote tuseme Mungu amuhifadhi panapostahili
Kwanini mzee huyu asiheshimiwe kwanini asikumbukwe kwanini asiitwe baba wa taifa kwanini!!!?mzehuyu hajafa bado anaishi wenye kufata nakumuelewa mzee huyu never felt mungu iweke roho yake mahali pema peponi aamin.
Tundu lisu alishamuita dikkteta tena ndani ya bunge mmesahau? Na sasa ndio amekuwa anamtolea mfano mara kwa mara, huwa akidhani kila anachofikiria yeye ndio sahihi zaidi ila huyu aliachia madaraka mwenyewe na kusema uwezo wake wa kuingoza nchi umefikia kikomo ni bora achaguliwe mwengine aendeleze alipoishia yeye na alikuwa mpambanji wa kweli na rushwa na alikuwa akiumana sana na wazungu ndio maana sifa yake kwao haikuwa kubwa na kumpa sifa Mandela sababu aliwasamehe wazungu walio mtesa na kumfunga jela zaidi ya miaka 22, ila huyu mzee aliwafukuza😂ila alitakiwa awe anajulikana zaidi kimataifa kuliko Mandela, maana alikuwa chachu za mataifa mengi ya afrika kupata uhuru ikiwemo hata South Africa yenyewe.
Jamani mnaelewa huyo nikiongozi wetu CCM. na sera za CCM hamzitakiii.mnatukana ,Samia ni zao la Nyerere. na CCM. angalieni MTEI alisema nini huyo ni wetu.
ASANTE Baba wa Taifa. Mbowe na wapambe wake wamesikia! Lissu anapiga vita rushwa hadharani wapambe wa Mbowe wanasema katoa Siri za chama nje. RUSHWA NI SIRI?
Hii Hituba hailinganishwi na hawa watu wawili, Haizungumuzii Mbowe wala Tundu Lissu. Tafuta topic tofauti itskayolingana na hii Hotuba. Hapa umekula 000000 million inazidi kwanza toa hii clip kabisa unampa huyu mzee heshima.
That's why he is our Father of our COUNTRY

Big brain Hayati Rais Mwalimu Julius' Kambarage Nyerere God blessed You
YAANI HUYU KAMBARAGE ALIKUWA ANAONA MBALI SANA GOD BLESSING HIM
Nyerere alikuwa ana uelewa mkubwa sana
Pumzika kwa amani baba wa taifa.
Hichi kichwa cha pekee sana, Mungu atusaidiye kupata vichwa vya namna hii kati viongozi wanawo tuongoza.
KM LISSU ATASHNDA NTAJUA MUNGU ALMNUSURU KWA AJILI HIYO
MY FATHER MY HERO MY FAVOURITE LEADER FOREVER
Nje ya ccm ni mapinduzi mzer akuasiliwa na pesa
Daaaaa mwanga wa milele BWANA akuangazie huko ulipo
Inategemea mwangaza wenyewe ulivyo sio tuu amuangazie bali na yeye aliyafanya ayo ambayo mpaka angaziwe uo mwanga? Sote tuseme Mungu amuhifadhi panapostahili
@@huyu1993hayakuhusu Mungu ndiye anajua sisi ni kumuombea tu
Apumzike kwa amani
Jamani.wanachadema.hii.hotuba mnaionaje,tujifuzeni.sana..inaumasana.mbowe ampishe lisu.aogoze.chadema
Mheshimiwa wetu mboe hayo ni maneno ya baba Yako wa kiroo anakukumbusha hayo stafu kabla ya kushindwa tuna kupenda sana
Mbowe kubali yaishe
Lissu anasifa ,,Watanzania wengi wanaamini Lissu ansuwezo wakufurushana na CCM
Hotuba itakumbukwa daima katika Tanzania.
Mbowe asikilize Kwa makini huu ujumbe
Wapambe wa Mbowe wamupenyezee hotuba hii.
Akili kubwa
Kwanini mzee huyu asiheshimiwe kwanini asikumbukwe kwanini asiitwe baba wa taifa kwanini!!!?mzehuyu hajafa bado anaishi wenye kufata nakumuelewa mzee huyu never felt mungu iweke roho yake mahali pema peponi aamin.
Tundu lisu alishamuita dikkteta tena ndani ya bunge mmesahau? Na sasa ndio amekuwa anamtolea mfano mara kwa mara, huwa akidhani kila anachofikiria yeye ndio sahihi zaidi ila huyu aliachia madaraka mwenyewe na kusema uwezo wake wa kuingoza nchi umefikia kikomo ni bora achaguliwe mwengine aendeleze alipoishia yeye na alikuwa mpambanji wa kweli na rushwa na alikuwa akiumana sana na wazungu ndio maana sifa yake kwao haikuwa kubwa na kumpa sifa Mandela sababu aliwasamehe wazungu walio mtesa na kumfunga jela zaidi ya miaka 22, ila huyu mzee aliwafukuza😂ila alitakiwa awe anajulikana zaidi kimataifa kuliko Mandela, maana alikuwa chachu za mataifa mengi ya afrika kupata uhuru ikiwemo hata South Africa yenyewe.
Umefikiri sana
LISSU HECHE LISSU HECHE LISSU HECHE
hotuba hii nadhani mbowe umeipata vizy hivo fanya maamzi ubaki na heshima yako
Lissu is the best
Ubest ni nini ?
Lkn mbowe awaruhusu wengine pengine wanaweza kuleta changes, yeye miaka yoote imetosha
Akiri kubwa, ccm inahitaji ukombozi kimeshindwa kusimamia rushwa kira sekta imetawara
HAKIKA KWA HOTUBA HII ,TUNDU LISU NDIYE ANAYEFAA. BASI
Ccm mnayafanya haya kweni nyerere alikua wakwenu wenyewe
Rushwa bila ushahidi, mafahari 2 wakikutana matokeo yake ni kusingiziana.
Mwenye ulewa na aelewe.c
Pumzka kwa amani baba
Uduni upo sasa kuna chama imejaa maskofu na wachungaji ndo wasemaji wa hiyo chama 🤣🤣🤣🤣
Tope la makalioni kabisa umetema
CHAGADEMA
@ Na kweli kabisa hii ni chagadema 🤣🤣
Hutuba hii inaigusa ccm
Hii speach inaishi,watu walimbeza kwamba alikua anatizama Tv ok sisi je wene kila habari mikononi tunamawazo gani ya kisasa
SAFI SANAAAA SWALI ZURI
MIZOMBI INAKESHA KUCHEKI COMED TAMTHILIA NA TIKITOK BADALA IELIMIKE INABAKI KUWA MISOMI TU
Historia inaishi hata mungu akikuita,historia yako utaikuta tu kwake
Bado unashangaa Kuna mijitu inamtaka mbowe mbaka Sasa, tuu ndani ya chama jmani lisu Anafaa kaw asilimia💯💯💯🔥
🦁🦁🦁🦁🦁
RIP FATHER OF MY NATIONAL
Jamani mnaelewa huyo nikiongozi wetu CCM. na sera za CCM hamzitakiii.mnatukana ,Samia ni zao la Nyerere. na CCM. angalieni MTEI alisema nini huyo ni wetu.
Una uakika uyi ni zao la Nyerere?unajua ndan ya ccm weng walmukimbia alkuw adi anawafunga nawengne algomq ata wasiwe Marais mpaka alpo fariki
Toure
ASANTE Baba wa Taifa. Mbowe na wapambe wake wamesikia! Lissu anapiga vita rushwa hadharani wapambe wa Mbowe wanasema katoa Siri za chama nje. RUSHWA NI SIRI?
Lissu pekee nchi hii anafiti kwenye mtazamo huu kuiongoza nchi hii pasina blaa blaa wala nn!
Subutu
@CharlesSomeke-p8m unabishana na ukweli unamtaka nani wa level hizo?
@@malkavoice2570 nyerere alikua na uraia pacha ?
urai pacha kivip@@CharlesSomeke-p8m
Fact
Wanachadema mbona untamani mambo ya ccm?
Huyu hakuwa private property ya CCM bali ya Taifa. That's why anaitwa Baba wa Taifa.
Huyu anaitwa Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taiga la Tanzania. Wewe umezaliwa Mwaka gani?
Good wajinga fumbueni macho. Lisu anatufaa.
Hii Hituba hailinganishwi na hawa watu wawili, Haizungumuzii Mbowe wala Tundu Lissu. Tafuta topic tofauti itskayolingana na hii Hotuba. Hapa umekula 000000 million inazidi kwanza toa hii clip kabisa unampa huyu mzee heshima.
Kumbe hujui maana ya ushauri wewe.
Mzee wetu Rushwa sasa hivi imehalalishwa ikitokea ukafufuka leo utazimia hapohapo nakufa tena kwa uchafu uliopo kwasasa
Watendaji wa serikali wameelezwa kula kulingana na urefu wa kamba zao😮😮😮