The polygamous police officer I have been dating has ruined my life | Tuko TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 360

  • @Tuko
    @Tuko  2 дні тому +20

    You can get in touch with Peris Njeri Njeru via +254742 624153
    If you would like to share your story with us please WhatsApp Tuko Video Team on 0115 106407 email kingori.wangechi@tuko.co.ke and or eucabeth.mukami@tuko.co.ke
    Thank you for being part of this wonderful community.

    • @RITAGITHINJI
      @RITAGITHINJI 2 дні тому +2

      let her go and report to IPOA, they will assist her

  • @TheMillenialClub
    @TheMillenialClub День тому +29

    I feel sad for her… when you are young and poor you are so vulnerable. I hope life turns around for this young lady.

  • @brilliantmind9729
    @brilliantmind9729 2 дні тому +74

    This is why men generally love younger women...they're so innocent, naive and gullible.

    • @satialoice4316
      @satialoice4316 2 дні тому +2

      Very true. They can easily manipulate them.

    • @jadapi100
      @jadapi100 2 дні тому +3

      Very true...she looks very naive and vulnerable .They like such so that they can take advantage.

    • @lizbecky4699
      @lizbecky4699 День тому +1

      Exactly and they're can't play around with mature women, bt that's very wrong to take advantage of young and innocent people, and yet you are a parent, think before you destroy someone's child 😭

  • @karehat5241
    @karehat5241 2 дні тому +36

    Huyo jamaaa anakucheza emotionally.
    Hii issue ya child support ukicheza utakufa na maisha yake isonge kama kawa. Love urself and ur unborn child then Lea mtoi wako na Mungu hatafanya ukose chakula ya huyo mtoi. Peris, let the joy of the Lord be ur strength!!!

    • @evasavai956
      @evasavai956 День тому +1

      true alafu alikua anaficha now mimba ndio inafanya atoe sauti hata kama ni shinda angetumia protection

  • @caroltony7107
    @caroltony7107 2 дні тому +26

    Am a doctor sister to 6 military men ,mama choose yourself these guys are heartless.

    • @marylineanyango2010
      @marylineanyango2010 День тому +4

      And they've multiple women...I don't know what wrong with them.

    • @vituvidogo8563
      @vituvidogo8563 Годину тому

      @@marylineanyango2010yup military men world wide are like that smh

    • @gracy2545
      @gracy2545 Годину тому

      ​@@marylineanyango2010It's cz they keep moving from one camp to another

  • @kellymikae5766
    @kellymikae5766 2 дні тому +16

    Pòlice ni wakora wote nà familia zao ziko na shida sana pole.police hutawezana nao omba mungu akusaidie ulee mtoto.But run foŕ ur life hio ndio kazi yao.wangu alinitupa mimi ni mke wake wakwanza but.. nimungu tu.

  • @hellenangejo4129
    @hellenangejo4129 2 дні тому +10

    Ulitafuta nini kwa polisi aliye na familia yake!!you are soo young and beautiful, God has a better plan for you, ladies please learn from other people's mistakes

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 День тому +1

      Usikiii alikua mature na anamapa advice

    • @kadzo6614
      @kadzo6614 23 години тому

      ​@@clintonobegi8458was this a ticket to sleep without protection? 😭

  • @annkariuki1108
    @annkariuki1108 2 дні тому +39

    Ningekua wewe siwezishindiliana na story ya support..bora niko hai nalea mtoto wangu..juu already nishaona si kizuri

    • @Lydia-Martin949
      @Lydia-Martin949 2 дні тому +4

      Kabisaa.....at 1st hali hukuwa ngumu bt with time utawezana

    • @annkariuki1108
      @annkariuki1108 2 дні тому +2

      I mean't si kuzuri *

    • @JosephinePendo-j2y
      @JosephinePendo-j2y 2 дні тому +4

      Hawa ni watu hupenda sympathy na hawataki kuchoka

    • @zachariahmaithya6572
      @zachariahmaithya6572 2 дні тому +5

      I have children with a wife we have separated but we haven't resolved issues. I can't date a young lady like this. Men take advantage because the ladies don't have jobs and money.

    • @Mayellah19
      @Mayellah19 2 дні тому +3

      Hata kisheria hawezi pata support na hajazaa,the guy can't feed him ni yeye akulishe alijifungua ndio aanze court case na pia it's 50/50 so hata yeye she needs to bring something to the table mwanaume hata pewa majukumuu yote times have changed sikuhizi hiyo energy ya child support angetafuta tu hustle after kujifungua aachie mamake mtoto awe akituma pesa

  • @melsaotieno1833
    @melsaotieno1833 2 дні тому +62

    We listen we don't judge..... But ladies mjipende,weeeeeeuuuh😂😂😂

  • @DamarisWangui-xq5wd
    @DamarisWangui-xq5wd 2 дні тому +6

    Team strong 💪 helllo better niamini waiguru kuliko police woie usijali mamii ni life

  • @stevybill
    @stevybill 2 дні тому +40

    Guts ya kuolewa na mapolisi😢😢 inataka moyo😢😢😢😢

    • @MamaMichelle-j6d
      @MamaMichelle-j6d 2 дні тому +3

      @@stevybill sure!! Naamini pia hao wanajiita mabibi wa mapolice hukapitia weeeeeh.

    • @veronicahnyambura1696
      @veronicahnyambura1696 2 дні тому +4

      They are No go Zone, they are 🔥🔥🔥🔥

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 2 дні тому +1

      ​@@MamaMichelle-j6dakii Mimi tukutane Tu Kwa traffic JAMA ama Kwa ob

    • @kamwende
      @kamwende 2 дні тому +3

      Hakuna malaya kama police hata nikipewa hao watu free siwezi

    • @Truthfulmen_women
      @Truthfulmen_women День тому

      😮😮😮​@@MamaMichelle-j6d

  • @NaomySerugways
    @NaomySerugways 2 дні тому +7

    Now you r safe babygirl.... Wachana na hiyo story ... Akili kichwani Sasa.... Hatakimaliza

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 2 дні тому +35

    Atleast wewe uko na mahali unaitwa kwenu, haulipi nyumba Mamako ameku accept, mtoto utamleta hapo hapo tu mnaishi bora hamlali nje. Alafu kama mzee amekataa mtoto wake bona unam force.. just assume alikupea mimba na akadedi unengefanya?🤷‍♀️. Wewe zaa mlee kwa mda tafuta kazi maisha poa itajipa huko mbele. Wengine wetu tuliachwa na watoto na tumewalea peke yetu na Mungu sasa niwa big 💪💪

    • @prettybrenda
      @prettybrenda 2 дні тому +3

      You are right

    • @JOSTINEKIMANI-h8n
      @JOSTINEKIMANI-h8n 2 дні тому +3

      Ongeza volume

    • @kamwende
      @kamwende 2 дні тому +1

      Hapo umeongea ukweli sis, sisi tulipewa mimba na tuaachwa saa hii tuko gulf tunachukumana na makelele ya wainguru, wewe mchisana uko sawa juu uko kwenu, wengi wetu tuacha watoto kwa rental house

    • @Sophie-ke-029
      @Sophie-ke-029 2 дні тому +3

      Mm nliachwa na mkubwa akiwa 4 na twins a yr,na sai ako 10 and 7, nalea pekee,siezi mforce alee watoto,na naishi ka watu wawili wako kwa ndoa, Mungu siku zote

    • @sosnesmadoya4409
      @sosnesmadoya4409 2 дні тому +2

      OCS was right, lazima mtoto azaliwe ndio DNA ifanywe.

  • @annkariuki1108
    @annkariuki1108 2 дні тому +26

    My dea girls, nawaomba tu muache kuingia kwa mahusiano kwa urahisi...take your time dea once.

    • @Sushi-m3v
      @Sushi-m3v 2 дні тому +4

      They listen to the sweet nothings and are blinded by "love" other than taking time to learn the man and watching for his actions

    • @evasavai956
      @evasavai956 2 дні тому +4

      This was a married man plus Kuna family planning,

    • @annkariuki1108
      @annkariuki1108 День тому +1

      True​@@Sushi-m3v

    • @Sushi-m3v
      @Sushi-m3v День тому

      ​@@evasavai956Ni peer pressure ya kupata mimba

    • @kadzo6614
      @kadzo6614 23 години тому

      ​@@evasavai956married yes, but he didn't disclose that until he impregnated this girl.

  • @Truthfulmen_women
    @Truthfulmen_women День тому +5

    Lakini as a lady its so easy to note a married man, wale madem hawawezi jua a married man ni 15yrs - 23 yrs old. 😮😮
    Sisi wa past 24 yrs old , huwezi tudanganya ovyo ovyo , tumekapitia , 😂😂😂😂
    Madem in their late 20s, and early 30s, habari zenu, wenzangu.😊😊My sister shika line sasa shule ya ulimwengu ata ukose kuingia darasani lazima usome, na ni ile ya the hard way ,😢😢
    Anza kushughulikia mtoto wako mapema ndio best na God akulinde tu. ❤❤❤

  • @chepngenoviola5468
    @chepngenoviola5468 2 дні тому +8

    Sorry girl for what you've been through ,achana na huyo jamaa atakuua.

  • @CarolineChepkemoi-fp4lw
    @CarolineChepkemoi-fp4lw 2 дні тому +9

    She needs counselling inorder for her to love her baby once the baby comes because she's hate that guy for ruining her life

  • @nancyngetich6582
    @nancyngetich6582 2 дні тому +8

    😢so sad,shestill so yiung and naive..she needs help😊and more so peace of mind,all the best dear, everything will be ok,will support you 🙏

  • @Mayellah19
    @Mayellah19 2 дні тому +8

    That guy is a big liar kwanza he is not 34 he's older than that,A polygamous man and police in one sentence busy manipulating and you because your naive,At 20yrs hadi ukaamua kupeana tamu instead of building your life jameni Anyway u learnt the hard way now focus on the baby coming and your growth usikimbilie ndoa tafuta hustle uachie mama mtoto ukijifungua ju hata ukianza court case majukumuu ni 50/50 na hauna kazi and sahii u ain't entitled to anything hata hiyo pesa ya clinic jipange hadi uzae ndio ukashtaki.

  • @njokim9505
    @njokim9505 2 дні тому +9

    This girl is so young and naive.She needs a lot of guidance and mentorship..May the Lord help her to have a safe delivery and focus on raising her child.She should forget that man completely.He is a monster taking advantage of young girls.Karma will catch up with him very soon.

  • @nellykilonzo2
    @nellykilonzo2 2 дні тому +15

    Weh hata mi ningekuwa OcS ningeshidwa vile ,,, nitasaidia,,,,,,,ladies surely why are we entertaining men,,, juu ya kuambiwa tu i love you.......tujipende jameni

    • @Sushi-m3v
      @Sushi-m3v 2 дні тому +1

      Wanaambiwa I love you Leo Kesho washaoana😂😂😂😂 women can be so naive

    • @veronicahnyambura1696
      @veronicahnyambura1696 2 дні тому +1

      " I Love You" has Destroyed so Many People, if you tell me that, I ask you " What Do you want"

    • @juliamugane7777
      @juliamugane7777 2 дні тому +1

      In fact hakuna kitu ocs angefanya coz she was not raped and alikuwa above 18yrs.

  • @edinahmokaya8347
    @edinahmokaya8347 2 дні тому +9

    Young ladies be very careful, what were you thinking ? A difference of 14 years. Couldn’t you think the guy was married or do investigation. Your life is ruined and you are alone my dear. You were supposed to build yourself not dating. Let the rest learn from you.

    • @kenyshabellen3240
      @kenyshabellen3240 2 дні тому +3

      Problem is when women think men are there to solve their problems or complete them. Was she taken to school to depend on a man. Ladies tujipende

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 2 дні тому +2

      BT she looks older than 20years

    • @kamwende
      @kamwende 2 дні тому

      ​@@user-cg3vf2bl6bako na 20 years ni vile amezeeka juu ya stress ya mimba

    • @trinacarolyne8871
      @trinacarolyne8871 11 годин тому

      Facts

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 День тому +1

    Shakuru MUNGU Aja kuua Uko Muzima👍👍 Na tuko Wengi huku inje Tume tupwa na watoto na wana lshi Na wawe bado mdogo kuzà Sio ugonjwa Uta Jifungua Kwa Majaliwa Ya MUNGU NA MUNGU ATA KUPA KAZI Uta Lea Mtoto Wako🙏🙏

  • @MamaMichelle-j6d
    @MamaMichelle-j6d 2 дні тому +9

    Kwanza huyo maybe ni mgonwa...he mighty not be okey...all this women? What for?...likuwa anatafuta maids wa kulea watoto wake huko mashinani.😮

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 2 дні тому +1

      😢😢 woiye usiseme hivo akii ,Yani MTU anajipata Kwa life ingine very dangerous,na huyu pia mrembo anarisk Sana kufuata MTU ako na bunduki

  • @beccacheruiyot8138
    @beccacheruiyot8138 2 дні тому +3

    Kuteleza sio kuanguka you will rise again l was their l gave birth at 19 it was not easy but l thank God my daughter is 12 now no support from the dad but we are strong, na huyo police hawezi chukuliwa atua ama yeye ni serkali ?

  • @jadapi100
    @jadapi100 2 дні тому +1

    I now see why men love these young women...they are so vulnerable and innocent.

  • @GloriaMutungi
    @GloriaMutungi 2 дні тому +2

    She's still young I hope she learns from this
    Focus with your life and your baby

  • @Glorykathambi-k7v
    @Glorykathambi-k7v 2 дні тому +3

    If you love yourself dear,.just stay with your parents mpaka uzae as long as you are in good health the future is bright.. otherwise you will regret it my dear,.these people are bad

    • @kadzo6614
      @kadzo6614 23 години тому

      Advise her to also use protection in future or totally abstain. She sounds naive 😭😭

  • @PaulineNyambeki
    @PaulineNyambeki 2 дні тому +4

    He promised you heaven on earth 😢men, men, men, when are you going to say the truth if nikukulana ikue kukulana now the child girl ako stressed... Never give up zaa Kuja gulf we hustle ulee mtoi wangu saa hii ako university and high school... But I will never give up for remarrying my the love. of my life.

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 День тому

      😂😂😂😂😂😂😂I can marry you am the love of your life

  • @PrincessKay-g6v
    @PrincessKay-g6v 2 дні тому +10

    Huyo askari angenijaribu Mimi angetia akili, this sweet twenties can't handle a police officer well, ask me I have one askari😂😂

  • @Mwarabukoko-s4t
    @Mwarabukoko-s4t День тому +2

    Uyu dem akubali tu ametokwa lbda alkua amejiwekea hopes apo bt akubali amechengwa, a move on atapata mtu atampenda na mtoi wake ,hi yake ni shadow madem uku inje wamepitia, awache kjiforce kwa mtu ataki story zake ataji pressure bure ,kwanza kwa mtu akona familia

  • @EmmaculateMakori-t7l
    @EmmaculateMakori-t7l 2 дні тому +2

    Mummy don't worry pia Mimi nilifall in love nikapewa ball baadaye mtu anasema akona familia 😢. please don't give up in this life for good umelearn . I wish you all the best but ukitaka tuongee niambie

  • @massykgaassfghjkkl5364
    @massykgaassfghjkkl5364 День тому +1

    Be strong young lady, May the Lord find way so she may nurse her pregnancy as a single mother.. She will manage otherwise let her not go back to that idiot.

  • @dorcaskarah9546
    @dorcaskarah9546 7 годин тому

    I have 3 kids and am struggling alone. please usiwahi regret huyo mtoto ni blessings , mama yako amewalea mkiwa 3, so u will make it ❤❤❤ . Zaa mungu atafungua njia. Na usifikirie juu ya huyo jamaa, try to delete him in your mind kabisa

  • @lydianjeru4136
    @lydianjeru4136 День тому

    Shukru Mungu uko uhai na uache mambo mingi, wasichan hundanganywa hivo ulindanganywa kula ile mamako hukula na uendelee na maisha

  • @gracekariuki6688
    @gracekariuki6688 День тому +1

    Assume he is dead and move on. Don't force love to somebody who is not ready to reciprocate. Mtoy akizaliwa mlee kindogo utafute job.

  • @LizKamau-c9h
    @LizKamau-c9h 2 дні тому +6

    Always put yourself first this men wueeeh ni macousins za shetani

    • @shifta81
      @shifta81 2 дні тому

      Be nice, some men are born and raised well

  • @carolynekwambokamosoti1640
    @carolynekwambokamosoti1640 2 дні тому +2

    Leave this man we have many single mothers outside here. Safe your life hugs na pole sana

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 День тому

      She is forcing things the day alijua ameenda transfer angemfuata ni upuzi to

  • @rosewambua8292
    @rosewambua8292 2 дні тому +10

    We listen, but we don't judge
    But poverty is our main problem.....

    • @antonio10348
      @antonio10348 2 дні тому +2

      💯True...poverty is the reason for bad decisions but she should have protected herself

    • @FridahKananu-zh8se
      @FridahKananu-zh8se День тому

      Am a victim of getting a child with a police officer who also tried to jump but my father is a lightening😅he was even stopped from work for some months until he accepted to take care of my son...ogopa askari

  • @hellen-z2t
    @hellen-z2t 2 дні тому +1

    Maried or not relationship na police is a no go zone wenye masikio wasikie 😮😮

  • @CarolineChepkemoi-fp4lw
    @CarolineChepkemoi-fp4lw 2 дні тому +1

    Neighbour is one in a million god bless her

  • @teresianjeri7655
    @teresianjeri7655 3 години тому

    U r destined to greatness... U r very young gal...

  • @lydiakorir6612
    @lydiakorir6612 День тому +2

    Wewe jipende..you won't die from raising that baby alone. Not unless unataka kifo..

  • @maggiem8869
    @maggiem8869 2 дні тому +3

    This lady should back off completely,pushing this guy for child support you might end up underground sorry to say.Hii ni stori inaeleweka ,he doesn't want anything to do with you gal,jipende aki.Your mum should be your strength asikulazimishe kuongelesha huyo jamaa.

  • @richardmongare2341
    @richardmongare2341 2 дні тому +2

    Be very careful otherwise bad things will happen to you. You can make it on your own.

  • @prettybrenda
    @prettybrenda 2 дні тому +4

    Top 1 kwa comments munipitie

  • @fridahlucas7002
    @fridahlucas7002 2 дні тому +12

    When dating police officers chunguza kwanza , most of them have families, ni kuchezea tu young ladies

  • @niceblessings234
    @niceblessings234 12 годин тому

    She is destined for greatness!

  • @pykyalo9965
    @pykyalo9965 2 дні тому +3

    I know someone going through this. She is scared of getting help because the karao is threatening her

  • @nancynancy2468
    @nancynancy2468 День тому +2

    Hizo Keys zilikuwa kwa nyumba huo mda wote na hukuwa umziona?🤔🤔 halafu hata hiyo simu ulipata yani battery haikuwa imeisha ilikuwa imekungoja tu?🤔🤔🤔

  • @elizabethmukami177
    @elizabethmukami177 2 дні тому +2

    Be careful when making friendship with these guys with blue 💙

  • @lydiahbosibori2189
    @lydiahbosibori2189 2 дні тому +4

    My mom used to tell me in parable (kina okage mbide)😂😂😂😂20yrs wueh nowadays akuna wanaume kama kitambo who use tolerat nonsense, before you set your mind on dating be financial stable for anything 😂😂😂😂

    • @danielamicheal4680
      @danielamicheal4680 День тому

      Hii ndio nashangaa unapanua tuu minguu unaekwa mimba how do you get that comfortable kwanza shaaaaa young girls of nowadays

  • @mabelmatilda774
    @mabelmatilda774 2 дні тому +2

    Huyu naye umeona mtu si responsible from the word go unazurura ukitafuta support badala at least utafute job before ball ikue kubwa ya kuchokesha at least upate ata nguo na clinic yako first. You have to be creative and awake early enough ❤

  • @rennyskenzo7607
    @rennyskenzo7607 День тому +2

    We watch we don't judge...After God,fear poverty 😢.

  • @leahnjoki5177
    @leahnjoki5177 7 годин тому

    Young girl nakuhurumia but please wachana na hiyo child support,anaweza kukuua,vumilia tu ukijifingua utafanya kazi ulee mtoto nauweze kujisimamia hata kusoma utasoma,your future is bright.

  • @chepngetichdiana4708
    @chepngetichdiana4708 День тому +1

    For her she taught the cop will elevate her from poverty, but I think we should also think before acting, dating in march and getting pregnant in just two months.. that was sooon!

  • @bilharwambui2035
    @bilharwambui2035 2 дні тому +11

    Yani unaforce mapenzi kama dawa.

  • @gracekamunya6823
    @gracekamunya6823 2 дні тому +1

    A very humble question ⁉️ hii mimba ingekua ya "Kamau wa makara"angekua anamfuatilia?with all due respect the answer is a big NO!yakimwagika hayasoleki,uko na ball and after 9 months utapata mtoi pls let this stick to your mind.In less than 10 months mmedate,uko na ball,mmepelekana mpaka Kwa OCS woooote wa county,umenyongwa and still holding on the same man?I think this is beyond repair,accept and move on

  • @mothereagle-ix5jm
    @mothereagle-ix5jm 2 дні тому +3

    Baby girl, start reading the bible verse by verse, book by book. Praise, Worship God as you pray. Softly as you step forward, Jesus Christ will open your doors. It doesn't matter what you have heard, seen, experienced but Jesus will hold your right hand untill you cross all the bridges of life. He's the only one who can cancel the law of gravity for you to soar high like an eagle. First thing first, carry your pregnancy to full term in prayers, have your baby and take care of it. Dont reach that mad police office but focus on Jesus, learn of Jesus, make the Word your thing. Your life shall take new dimensions in Jesus Mighty Power.

  • @sharonelekisha2722
    @sharonelekisha2722 2 дні тому +1

    Baby girl as long as your parents accepted you don’t worry about material things . Wewe zaa tafuta kazi hata kama ni ya nyumba

  • @Janemuthoni289
    @Janemuthoni289 2 дні тому +1

    Ubaya mkiingia kwa dating mnaanza kuwahubiria mashida za kwenu na shida zako then na siri zote za umaskini hapo wanaume wanatake advantage maana wanajua sasa umeangukia huwezi muacha,then msifikirie kuolewa kutapunguza mashida ndio mnaongeza,then mnaanza kuishi na mtu since mwezi wa kwanza unashika mimba na hutaki kujua kwao or anybody na mnaona mko safe????hiyo ni first red flag ondoka uanze kuchunguza unakaa na nani

  • @marywanjiru5217
    @marywanjiru5217 День тому +1

    Utoe Mimba why????

  • @irenenjeri-m9z
    @irenenjeri-m9z 6 годин тому +1

    Wacheni tu aongee hio kitu imtoke😊

  • @MuthoniPurity-me9bt
    @MuthoniPurity-me9bt 2 дні тому +2

    My sister achana na huyo mwanaume unaforce nini mtu Hana kazi na wewe na mtoi ako innocent zaa mtoi na all will be OK saa hujue juu ya mimba na sisi tungangane tuko na 4kids na bado tunasonga acha ujinga

  • @magutmagut-xq8uo
    @magutmagut-xq8uo 10 годин тому

    Mama mtoto mmoja ashakunda na hapa wengine analea hata watatu pekeyao. Unakaa tu lazy yani umeskia mtu ni poligamous na bado uko hapa kunyambia watu eti support. Jitume nanii acha za Bure.. Mm ni elea wangu wawili Sai ni wakubwa na Sina haraka na mwanaume.. Jua nlizaa na army yani nyuki. Sai anataka kuon atoto but hawezi Pata hata space ya kuchungulia hadi watoto wa mtafute wenyewe. Sai hatuna haraka. Saudi hoyee🎉

  • @esyy_kariuki
    @esyy_kariuki День тому +1

    Kairetu wacha kuforce mapenzi you can do it

  • @hannahwachenje1186
    @hannahwachenje1186 День тому +1

    I think we are equally responsible for our decisions

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 2 дні тому +1

    Pole sana don't force him let him be Mungu atakujaalia ulee mototo wako huyo jamaa Alikua na plan ya kukuua na kukutupa Kwa forest

  • @pauline2604
    @pauline2604 2 дні тому +1

    Another reason as to why these boys are going to jail, kamiti inmates 😢😢😢😢

  • @MamaMichelle-j6d
    @MamaMichelle-j6d 2 дні тому +4

    Heeeeh mapolice ni no go zone 😊wakiwa kwa kabi ya job, wao hujifanya ni bachelor ilihali wameacha mabibi zao nyumbani..hivyo akipata mwanamke mwingine Huwa anamtumia tu then anamdamp☝️

  • @JanetNjeri-ji2mj
    @JanetNjeri-ji2mj 2 дні тому +5

    Sijaelewa why mature men with their senses take advantage of innocent girls. Shame on you!

    • @kenyshabellen3240
      @kenyshabellen3240 2 дні тому

      Ladies should be assertive and love themselves. Men will never stop chasing after each skirt unless they are truly delivered. Ni wasichana waache kupenda pesa Na kujiamini wanaweza

  • @switysalim9910
    @switysalim9910 8 годин тому

    Thats why am working day and night so that my girls aren't lures into small traps😢😢
    Madam lea mimba uzae mama na uwachane na huyo mnyama i have 3 girls struggle is real lakini tunakazana tuu dada life continues

  • @Bellah-c3m
    @Bellah-c3m День тому +1

    I married an officer 👮‍♀️ since 2013 to 2021 innocently luckily I didn’t get pregnant for him . The guy was married a father of 3 nilikuja kujua in 2021 mazishi ya mamake sikutaka case after mazishi niliingia gari straight to kambi packed my belongings and left but ile vita huyo jamaa aliniekelea ile siku alijua kwenye nilieka bar hadi mbele ya customer ile kijiti ya police wa traffic alinichapa nayo hadi kidole yangu waleo haiwezi smama straight. Nikirepot no action was taken against him he even told me atanishot ikabidi nikauza hiyo kazi nikatoroka. Am safe in foreign country than in my country

    • @WambuiKibanya
      @WambuiKibanya День тому

      😂😂😂😂polee

    • @aar7061
      @aar7061 8 годин тому

      8 yrs na hukujua na ladies are good DCI

    • @Bellah-c3m
      @Bellah-c3m 8 годин тому

      @@aar7061 I was only 18 hapana guchesa

  • @marianekesamusima8708
    @marianekesamusima8708 2 дні тому +3

    It's a sad story,but Young girls nowadays don't hear parents,now she could have joined college,You are still young give birth to your Baby only God knows your life ,stop following or forcing your self to someone kama will do it later because no one knows tomorrow take care of yourself and the unborn child.God will see you through pray Pray pray always seek Gods guidance.All will be well please 🙏

  • @CatherineMwaniki-jw9ni
    @CatherineMwaniki-jw9ni 2 дні тому +3

    Ulikuliwa kimandi,kwa hivyo tafuta kazi ulee mtoto.

  • @millyadhiambo238
    @millyadhiambo238 2 дні тому +2

    Ungeingia shule na mimba but you didn’t protect yourselves 😢,Sasa Huyu?surely

  • @LydiaKevoi
    @LydiaKevoi 2 дні тому +2

    Before nishushe bendera mpaka nijue MTU vizuri , this is so sad to this girl 😢😢 team kupitiana pitieni kwangu tugrow pamoja

    • @carolinematianyi5212
      @carolinematianyi5212 2 дні тому

      Even if you know him for ten years, they still change to worse

    • @lilianwanjiku7260
      @lilianwanjiku7260 2 дні тому

      Done❤

    • @evasavai956
      @evasavai956 День тому

      POverty inafanya but wa mama ongea na watoto awe kijana au wakischana kama feelings ziko juu use protection

  • @aminasminaamina4200
    @aminasminaamina4200 День тому

    WHEN LOVE GOES SOUR CRY, FORGIVE AND MOVE ON THE WORLD IS READY TO ROOT U

  • @maryoduor4873
    @maryoduor4873 2 дні тому +1

    Ladies be very careful ooh.

  • @ritaroggs
    @ritaroggs 2 дні тому +2

    Kwa nini tunachangia mjinga kama huyo mwanamme???? The police HR system shd be deducting and amount grm.his saloon n give this gal. What is wrong with Kenyan system's????
    Alipe child support.they deduct direct b4 paying him.

    • @mabelkagika3647
      @mabelkagika3647 12 годин тому

      ln countries like Seychelles the law gives alimony almost fifty percent child support of the accused salary to victim as child support, no compromise otherwise jail....

  • @wambuitracy4487
    @wambuitracy4487 12 годин тому

    Huyo ataua mtoto ndio usipewe child support.
    Can you remember
    Major yule wa Nanyuki Airbase aliua watoto wawili na mama yao ndio asikatwe 20k ya children support 😢😢😢😢😢😢
    Lea mtoto wako.

  • @clintonobegi8458
    @clintonobegi8458 День тому +1

    He had several ladies and you expacted to respect you and not to talk to other ladies and yes he is marriee to three other women anyway ladies who bewitched you who said 34 year old man is mature than 24 one but i know ni hii upuzi ya kupenda uniform ya police na kufikilia mtu ako na miaka mingi ni mature na mtu anaongea vizuri he is good like angels kitawaramba na bado watu wajipende waaje upuzi mtu hakutaki hana haja na wew why should you force issues hadi unamfuata mtakufa vbya nyinyi😮😮😮😢😢😢😢😢

  • @joankogo7375
    @joankogo7375 2 дні тому +1

    Go home and take care of your baby .children grow I had mine I just feel it was the other day but now he is in firm two

  • @mumbijuma4918
    @mumbijuma4918 2 дні тому +3

    Were you forcing your self to get married ?and live in a round mabati house? baby girl you deserve better

  • @kaguathirach87254
    @kaguathirach87254 2 дні тому +1

    Woi a very naive young girl... Dust your self move on lea mtoto peke yako and let the peace of the lord be with you... You will drain your energy by child support but let it be a lesson

  • @chelangatlinet2548
    @chelangatlinet2548 День тому +1

    20 years msichana 😢😢

  • @maureenmaureen330
    @maureenmaureen330 День тому

    Zaa mama lea mtoi afike 1 yr tafta namna ukuje tusungue hamamu na ni shua bet end month utalipwa utapata kakitu kulea mtoi .....just my mind juu kupata job kenya ni ngumu

  • @Eunice-lefty
    @Eunice-lefty 2 дні тому

    You young, you can't undo the things already done but you can right things from here on kindly do it and don't make another wrong turn

  • @JaneWasike-zs2mj
    @JaneWasike-zs2mj 2 дні тому

    Why would someone ruin innocent young girls 😢 the world is so cruel

  • @Glorykathambi-k7v
    @Glorykathambi-k7v 2 дні тому

    Run for your life my dear,if you continue pushing for this,. you won't like the outcome

  • @Sabrina1977-y
    @Sabrina1977-y 2 дні тому

    POVERTY MATTERS!!!! ZERO PROMISE!!!! GO A HEAD!!! YOU ARE STILL VERY YOUNG!!!

  • @carenfarris4280
    @carenfarris4280 2 дні тому +5

    Don't force yourself on a man young gal. Don't force him to feed you. Your life is more important. You and your baby will manage.

  • @DorcasChege-p7t
    @DorcasChege-p7t День тому

    Pole sana msichana, God yuko but hata nani mdomo yake ni kama Mafu ta. Wakenya tuna lia juu yake.

  • @carolinewambui146
    @carolinewambui146 2 дні тому +1

    When it cames to child support responsibility start at child birth so don't blame the officers for not intervining the problem he too advantage of ur naivety pole sana it will be well

  • @SusanAchieng-wg9ho
    @SusanAchieng-wg9ho 2 дні тому

    Team strong tuko ndani kama kawa
    I don't have have any kid but nko gulf nafanya kazi ili atleast nisaidie home na ikiwezekana nirudi nijoin chuo.Ladies tujitume please ,if you have all part of the body jitumeni no easy come.Anyway sorry for your story

    • @Story_Val
      @Story_Val День тому

      Same to me manzee can we be friends

    • @SusanAchieng-wg9ho
      @SusanAchieng-wg9ho День тому

      Yeah momaa we can be friends ,Tujitie tu nguvu hakuna cha rahisi aki.

  • @maryanneatienootieno1413
    @maryanneatienootieno1413 2 дні тому

    As a police officer, that's so bad and sorry on his behalf,our weapons are to protect not harm nor threaten, that was so wrong of him but ladies should learn one thing,men react without thinking especially the ones who can't control their temper,some use knives and so on but most police use that because that's the weapon around, and can easily access it.if a relationship is toxic quit.

  • @kenyanshawty5333
    @kenyanshawty5333 45 хвилин тому

    Very stupid questions. How do you ask someone "ulipata mimba after how long of dating?"

  • @ritaroggs
    @ritaroggs 2 дні тому

    I swear a certain police alikuwa anaitwa Chacha..he was at industrial area police. Alinitoroka hivyo hivyo akaenda Ukunda police. I went to.college n graduated n posted to ukunda n we incidentally met after 3 yrs kama nimeng,ara kuliko alivyoniacha.... uweeee hata sikutaka kusikka story.
    Mr chacha... last we met was early 2005...yu was in ukunda police... i hope uliokoka.

  • @NyokabiWaweru
    @NyokabiWaweru 2 дні тому +2

    34yrs na Ako na watoto high school heee

  • @winfrednduku2359
    @winfrednduku2359 2 дні тому +4

    Vile madem mnaworship kdf na makarao tiktok yaani mnadhani men in uniform ni angles mtaliliaga kwa choo.kuna a lady najua ashapewa red flags zote but amekwamilia jamaa eti haezi mwacha juu ni kdf.unaolewa cha lazima

    • @Mercy-l3k
      @Mercy-l3k 2 дні тому

      Hahahaaaaaaa, acha ncheke

    • @winfrednduku2359
      @winfrednduku2359 2 дні тому

      @Mercy-l3k kuna wengine they will never learn that girl is a luhya amekuwa gulf 2yrs .the guy could go for months without communication. Alihusisha pastor akiwa saudi the guy wakaaza kuongea tena.she could even toa sadaka eti wamwombee eti ni wachawi hawamtakii aoelew.she went back to kenya April the guy never created time for her she cried to our mutual freind aogeleshe jamaa the guy said nilikuwa nampeda but saa hizi hapana.she went ahead to involve her mother and the guys mom.that time mwanaume alikuwa leave ya a whole month and he never bothered wameet.till to date still waiting for that kdf amwite kwao waoane.she claims she is faithful to him.she is a mother if two .they don't know each other 😄 🤣 😆 walimeet online.sasa akipewa mimba tumhurumie ama tucheke coz she is a fool

    • @FridaMutanu
      @FridaMutanu Годину тому

      Wambie tena,,ni vile huwa madem wanatakanga sifa za hao watu