Amiri Jeshi Mkuu wetu JPM katinga na jeshini na sare ya Jeshi, kwani hapo yupo kikazi zaidi. Hapa ni kazi tuu, SUTI KAWEKA PEMBENI. Hongera sana Rais wetu.
Haji tokea wa aina kama magufuri na kama akitokea basi hatomfikia kwa anayoyafanya najivunia sana kuwa MTANZANIA magufuri sio lazima mumpende nyote.... mbona hata yesu alichukiwa.
His Excellency & commander in chief of the all armed forces the president of the United republic of Tanzania Hn, Dr JPJ magufuli, baba you look so good in those clothes, sijui nitakuonaje mzee wangu nikueleze jinsi ninavyotamani kulitumikia JWTZ, jamani mtu anikutanishe na mheshimiwa mimi nifanyeje nilitumikie jeshi
Kama unaimani kwa ujemedali wake Mzee gonga like fasta
Kama umemsikia Rais Amesema Msinipigishe Push Up, kwa sababu amevaa Yebo, gonga like twende sawa.
Hongera muheshimiwa Rais kwa kujali majeshi yetu.
Love MAGU 8/10/2024
Jambo Afandee
Jambo sanaa
Jambo sanaa
Hii nimeipenda saaafiii gonga like kwa kamanda wataelewa tu😂😂
Hahahaaaaaaaaa
Mungu akupe maisha marefu rais wetu kumbe maombi tuliyoomba Mungu alitusika na akatujibu tena kwa wakati.
jeshin hakunaga shikamoo n jambo jambo
MAGUFULI JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
baba la baba kunasiku wasiokuelewa wataelewa tu saluti jpm...
Sah ndg yang ulitabiri
@@gervasisaya4973 yan acha2
Amiri Jeshi Mkuu wetu JPM katinga na jeshini na sare ya Jeshi, kwani hapo yupo kikazi zaidi. Hapa ni kazi tuu, SUTI KAWEKA PEMBENI. Hongera sana Rais wetu.
Rosena Milia yupo Ikulu ndani hao nadhani ni wale JKT wanaofanya usafi
Hadi raha huyu boss anawapenda raia wake hatutapata mtu mwenye calibre hii hivi karibuni
Kama umemuona afande kasahau kupiga saluti akapiga baada ya kusalimiwa laik twende sawa wenye mando darubini.
Hiyoo hahahahahaha tunajua wachacheee
Icho kinaitwa kitete na kinatokeaga sana hasa anapo kuja mtu mkubwa gafla bila taarifa😂😂
Ile inaitwa kitete nangai😅😅😅😅
hajasahau wakulia kwake ni sajent yeye ni coplo kitaratibu yeye hapaswi kusalimia japo alipowa mkono akajibu mwisho kwa salut
@@vicentelias491hebu tueleweshe ina maana huruhusiwi kumpigia salute mkuu wa majeshi!???
Ubarikiwe raisi magufuli
Mungu akupe iman
I will forever love Magufuli.
Nakuelewa sana raisi wangu
0:54 Magufuli : Habari za Shughuli ??
: Nzuri afande
Safi sana Afande wetu
Jembe la kz halichagui xhamba👏👏👏
Pumzika kwa amani John
Big up my President
Aishi maisha marefu inshallah
Waooo....so nice.. Barikiwa Nchi yangu..
Noma sana commando wetu
Kamanda 💪🏽
Mzee kifo ni chetu sote lkn Umetuacha ghafla mno.Kiongozi wakweli Alotuacha njiani
Interested
Jembe lakazi safiii mzeebaba wewe nibaba wataifa wapili🙏
huyu kweli. amezamilia kuwapigania watanzania Mungu mbariki rais wetu
Rais wangu
Rais wa waTanzania
Rais wa wanyonge
Nasimama na MAGUFULI 2020.
KURA YANGU KWA MAGUFULI
KURA YANGU KWA CCM
Kila nikimkumbuka naskia kuumia nafsi sana 2025😢
kamanda wetu muongoza mapambano tupo nyuma yako
Mungu ambariki sana Mugufuri
Haji tokea wa aina kama magufuri na kama akitokea basi hatomfikia kwa anayoyafanya najivunia sana kuwa MTANZANIA magufuri sio lazima mumpende nyote.... mbona hata yesu alichukiwa.
Safi mkuu
Inspiration
Huyujama alikua vizuri sana
Iko poa.
Duuuuh noma mzee
Daaah 😢
Mmoja haja piga salt pengine ni aina yake
Kama navutia sana
Kamandaaaaaa
Anko ananipaga raha sana!! Kama commandoo vile🤣🤣
#dgt, umeona eeeee.
Hapo so kambini ni nje ya ikulu ya pale magogoni.
His Excellency & commander in chief of the all armed forces the president of the United republic of Tanzania Hn, Dr JPJ magufuli, baba you look so good in those clothes, sijui nitakuonaje mzee wangu nikueleze jinsi ninavyotamani kulitumikia JWTZ, jamani mtu anikutanishe na mheshimiwa mimi nifanyeje nilitumikie jeshi
Kyangala Kevin we bora ungeendelea tu na kazi yako acha tamaa ya kila kitu kwani ulikua wapi kujiunga na jeshi hapo awali
Rest in peace 🙏 daddy
Hahaaaaa mzee yuko vzr
lakini hapa anaonekana mweupe anko Magu
Sophia Jackson jua lilikuwa kali sana kamera ikashindwa kufanya kazi kwa ufasaha
Pesa sabuni ya ROHO na uongozi unamngarisha.
Hassan Mirambo sawa
Tunakukumbuka sana
Rest in peace BABA
wewe mzew kiboko dahhh penda sana dady wa taifa
🎉
mbona nasikia mtu anasema .....nimeinuliwa au masikio yangu😂😂😂😂😂😂
😢😢
Na kayebo nimekaona
Bora avae kijeshi ,, suti za nini
Zimemtoa kinyama yaani..,
Mwanangu anaipenda hii kazi akawaona anachanganyikiwa kabisa daah
Daah
Commander in Chief bwana
Sasa watakuelewa mkuu saruti
Amiri jeshi mkuu
Kiongozi asiyena shaka
Hilo ndo jembe toka chato,ntakukumbuka daima, rip JPM
Mbona mmoja hakuanza na saluti, salamu halafu saluti ikafuatia.
Wape ajira hao jkt mkuu
Raisi Magufuli kaji krimu ao vip🤔mbona sura nyeusi mikono mieupe?
Jembe letu
❤❤❤❤❤
Ayo malizia clip hii tamu knma
Baba kumbe bado upo uko hahahahahahhaa
Ukijua majukum yako hupati shida
Pumzka dad ni ngum kukudahau
Mavi yanagonga chupi
Ya nani wewee,,!??
Mwamba huyu hapa
Nakuelewa sana raisi wangu
Baba kumbe bado upo uko hahahahahahhaa