FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA JIJI LA TANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Halmashauri ya jiji la Tanga imesema imedhamiria kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kuinua uchumi wa wananchi wa jiji Hilo kupitia uwekezaji wa Aina mbalimbali ikiwemo viwanda,kilimo,uchumi wa bluu,uwanja wa ndege,Bomba la mafuta ghafi,eneo linalofaa Kwa ufugaji pamoja na bandari
    Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa jiji la Tanga dkt Sipora Liana wakati Akizungumza na waandishi WA habari ofisini kwake juu ya dhamira ya kutangaza fursa ZA uwekezaji zilizopo

КОМЕНТАРІ • 2

  • @raymaakijangwa3347
    @raymaakijangwa3347 Рік тому

    Zindueni kwanza jengo la kitega uchumi pale kange stendi.

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Рік тому

    Fufueni viwanda Gofu kwanza ili mzumguko wa pesa uwe mkubwa au uerudi kama zamani.