WAZIRI JERRY SILAA AWAKA TANGA - "MNATEGEA UCHAGUZI MVAMIE VIWANJA, HATUTAWAONEA HURUMA"...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • WAZIRI JERRY SILAA AWAKA TANGA - "MNATEGEA UCHAGUZI MVAMIE VIWANJA, HATUTAWAONEA HURUMA"...
    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ameonya baadhi ya watu waovunja sheria kwa kuvamia maeneo ya watu na ya umma katika kipindi cha chaguzi wakitegemea hawatochuliwa hatua na kuonewa huruma na watawala.
    Waziri Silaa ametoa onyo hilo mkoani Tanga wakati alipofanya ziara ya kufuatilia maelekezo ya Baraza la Mawaziri kuhusu migogoro ya vijiji 975 nchini.
    Waziri Silaa amewataka viongozi na watumishi wa umma kusimamia sheria za umiliki wa ardhi bila kusita kwa watu wote wanaozalisha migogoro kwa kujiingiza kwenye maeneo ya watu na maeneo ya hifadhi kisa wataonewa huruma na viongozi sababu ni kipindi cha uchaguzi.
    Amesema mwaka 2024 na 2025 ni miaka ya uchaguzi, hivyo wananchi wasijiingize kwenye uvamizi wa ardhi za watu kiholela kwa kutegemea huruma ya sheria jambo ambalo baadae husababisha migogoro.CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 4

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  9 місяців тому

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 місяці тому

    ,mfanyakazi aliyekuwa meneja na mikataba yote ipo ya nyumba na hospital lakini kakosa haki yake kupitia mahakama ikawapa matajiri waliyokiwa wakimzulumm alafi wanasemani yaasisi ya dini mjane na yatima

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 місяці тому

    ,mjane wa janjir kazulumiwa nyumba na mfanyakazi wa marehem na mikataba yote ipo lakini ni mnyonge hana sauti

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 5 місяців тому

    FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA NYUMBA ZAWATU.