DOCTOR MO: HUU NI UKATILI MUKWALA ATAMBULISHWA SIMBA|FEITOTO NI MTEGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @MohdAli-fl2ef
    @MohdAli-fl2ef 3 місяці тому +6

    Hii simba itawashangaza wengi msimu ujao ingawaje wengi walishaikatia tamaa but wacha tusubiri

  • @MwalabuSamsony
    @MwalabuSamsony 3 місяці тому

    Walichoma...jeziya..Alunanionzima...ni ujinga..huwo.sisi.atufanyi..hivyo

  • @JohnKifaru-hz9ir
    @JohnKifaru-hz9ir 3 місяці тому

    Iwe kweli JAMANI wenzenu tunachkwa huku Moro MALINyi itete Njiwa

  • @MwalabuSamsony
    @MwalabuSamsony 3 місяці тому

    Sisi..siyo..janga ..jezi...yachama..hatuchomi.moto..tu nakutakia..ssafarinjema

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 3 місяці тому +2

    Dokta mo du ! Kw icho kikosi we acha tyu tuunde simba iliyokuwa bora

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 3 місяці тому

    Kweli jamaa setu ni washamba😂eti mkude walimkatalia kuja kuàgwa kwenye Simba day mmmmmmmmh

  • @raphaelbendera
    @raphaelbendera 3 місяці тому +1

    Akili inatak mwili autaki

  • @HekimaAdamu-w2t
    @HekimaAdamu-w2t 3 місяці тому

    Napend san simba

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 3 місяці тому +2

    SIMBA NGUVU MOJA

  • @maimunaathumani9121
    @maimunaathumani9121 3 місяці тому

    Kweli bakhresa tulegezee kwa feisaly

  • @HalidiKilale-i8i
    @HalidiKilale-i8i 3 місяці тому

    Simba ni taifa kubwa..hatubabaishi na vti yeyote na sisi ndio wenye nchi.....

  • @Happypeter-r9q
    @Happypeter-r9q 3 місяці тому

    D mo hujakosea

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 3 місяці тому

    HAO ZAMALECK mnawajua usajili wao ukoje ?

  • @VitalessGalus
    @VitalessGalus 3 місяці тому

    Chukua maua yako dokitr umeongea vizur xana 🎉🎉🎉

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 3 місяці тому

    pia, simba ni kiwanda Cha wachezaji bora Africa kumbuka sakho alitoka na goli bora Africa .

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 3 місяці тому

    Anayejua anajua tu,mi naamini tutatoboa msimu huu huu

  • @jumanneally3303
    @jumanneally3303 3 місяці тому

    yaani umetaja watu ila tra bita anthony apana wakawaida tena sana idumba yes kama atashindikana simnba tuangalie chaguo jengine

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 місяці тому

    Tatizo mkataba wa Azam na yanga kuhusu Feisal ni ngumu

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla 3 місяці тому

    shida sio kuvumilia mashabiki na viongozi pia wanatakiwa kuvumilia na mwalimu shida yetu tunabadili makocha sana ndo maan timu yetu kila mwaka tunabadili kikosi

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 3 місяці тому

    simba ya mo itabebaga kombe la Afrika cuf siku Moja.

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 3 місяці тому

    Hakika doctor upo sahihi kabisa

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 3 місяці тому

    mchezaji mzuri aje simba atoke fei njooo uku

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 3 місяці тому +1

    Simba bab kubwa sana, Toa Mzambia mzee au used na Wanasajili Kijana hatari new product. ❤❤❤❤

  • @nasseralshaibani6995
    @nasseralshaibani6995 3 місяці тому

    Kila mtu Ana uhuru wa kuzungumza na kufurahisha nafsi yake

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 3 місяці тому

    yeah, tolerance here must be

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 3 місяці тому

    Simba nguvu moja❤❤❤❤❤

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 3 місяці тому

    sasa wew unatupingia wana simba mwehu wew

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 місяці тому

    Uko sahihi,simba tumesajili vzr msimu huu ila tusiwape pressure players wetu

    • @Shaha-d1i
      @Shaha-d1i 3 місяці тому

      Gidanganyeeeee😂😂😂

  • @ramadhanichaurembokahunge
    @ramadhanichaurembokahunge 3 місяці тому

    Doctor mo ni hatali sana simba

  • @TheresiaMhagama
    @TheresiaMhagama 3 місяці тому +2

    Wewe mdomo wako huo😮😮

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 місяці тому

    Dawa mda ufike.

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 3 місяці тому

    Kweli utopolo ni washamba sana wachezaji sio watoto wao wachezaji Wana pita

    • @reonardchatanda6371
      @reonardchatanda6371 3 місяці тому

      Heri wewe wa mjini. Unaetengeneza Timu Leo. Na kuutaka ubingwa Leo.. pole sana.

  • @WiliamsulubestoJulias
    @WiliamsulubestoJulias 3 місяці тому +2

    Uwena uhakika kwa kila unaloliongea

    • @DrjosephKingo
      @DrjosephKingo 3 місяці тому

      We muache tu hawakawii kutepeta hawa wachambuzi mandazi

    • @magigekassim-ow6zm
      @magigekassim-ow6zm 3 місяці тому

      Naamini Simba nikubwa kuliko wanao talajia yanga wakumbuke misimu iliyipita wamesahau ipo CK watapiga wanahabali