HOTUBA YA ZITTO KABWE ATEMA CHECHE! ZANZIBAR AFUNGUKA-"TUNATAKA MAMLAKA KAMILI ZANZIBAR"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @V24hrs
    @V24hrs Рік тому

    I Love ACT.💜💜💜

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Рік тому +1

    Kwann usindeee kujenga kigoma mpya naona kwenu kunaziki kuliko kwetu hatutaki udugu kwetu tumecheka mamlaka kamili kila mwanadamu keshapewa na Allah Allah hatutaki vuruguu kwetu

    • @saidal-hind5338
      @saidal-hind5338 Рік тому +1

      Yote aliyoongea ni kweli mm sio act lkn hapa nasapport

    • @fifocompany1528
      @fifocompany1528 Рік тому

      Riziki habibty wapinzani wanasaidia sana kusema ili kuwamsha watawala hali ngumu sana

    • @jemimahchileshe7837
      @jemimahchileshe7837 Рік тому +1

      Hamna mtu hapo anaongea kama mwema sana wakati kibaraka tu siasa zisizo na manufaa yoyote kwa mtanzania

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 Рік тому +1

    Kwa hiyo hii kenge nayo intake kuwa prezidaaa?

  • @khamischumu6830
    @khamischumu6830 Рік тому +1

    Zanzibar kumejaa ufisadi

  • @ibrahimrashid951
    @ibrahimrashid951 Рік тому +1

    sema mwana wa ruyagwa akili kubwaa

  • @jemimahchileshe7837
    @jemimahchileshe7837 Рік тому

    Hatupati shida sas hivi tumeshawajua wew zito ni kibaraka tu ulienda kufanya Nini kule ukreni inamaana unasapoti wanachokifanya nchi za magharibi kueneza ushoga Dunia nzima kutupangia kila kitu kujibinafsisha urithi wa mtu mweusi afu Leo unajifanya unauchungu na watu watanzania tumeshaelimika Wala hatudanganyiki kabisa nenda katunze familia yako

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Рік тому

    Mh zito kapewa hidaya wengine wamepewa malalamiko kila uchao hongera kiongozi

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 Рік тому

    Zitto amezungumzia chama chake hajazungumza kwa yeye mwenyew

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 Рік тому +1

    Zanzibar imepotea sanaa yaani inasikitisha

  • @redmondbaby1710
    @redmondbaby1710 Рік тому

    Kudadeki kufa kupona marahiii

  • @Yu_Gaming260
    @Yu_Gaming260 Рік тому +1

    Kweli ndio mana it wamekata wakaweka sehemu nyengine kwa sababu ametema cheche

  • @alouisejohn7752
    @alouisejohn7752 Рік тому

    Jiungeni na chadema jamen

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 Рік тому

      Hao walishaungana na CCM tayari, hawawezi kutuletea mamlaka kamili , Kila siku wanakutana Ikulu wanajifungia ndani, hatujui wanazungumza nini, kisha wanakuja kusikifiana majukwaani. HATUNA IMANI NA CHADEMA, kwani ni CCM iliyochangamka

  • @ramadhanidaudihaji2174
    @ramadhanidaudihaji2174 Рік тому +1

    Kweli kweli zitto,hatari Sana CCM no education is 0

  • @hawamzulumbi-eg4pg
    @hawamzulumbi-eg4pg Рік тому

    Zito mimi sijakuelewa kabisa mwachemwinyi afanyekazi unatumia nguvukubwa ili watu wakuelewe wewe zito ni dalali wasiasa hapa nchini tz

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому

    Full soferegn in zanzibar