BALAA! MBOWE AKINUKISHA UYOLE MBEYA, AWATAKA WANANCHI KUIVUNJA VUNJA CCM BILA HURUMA UCHAGUZI HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @JohnMalina-k7o
    @JohnMalina-k7o 4 дні тому

    Hongera sana mh.Mbowe! Mungu akulinde na viongozi wenzako tupigane vita hivi kupitia KURA

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 3 дні тому +1

    MH MBOWE UNAJUA SIASA !!! WEWE NI MWALIMU KIONGOZI WA SIASA ZA MAGEUZI MUNGU AKULINDE MWAMBA!!🎉🎉🎉 kweli CHADEMA NI TUMAINI LA WATANZANIA *🎉🎉 Hawa wahe... Wamejipanga kikamilifu

  • @SechySeche-hm6bd
    @SechySeche-hm6bd 4 дні тому +1

    we mwamba! Mbowe nimekupenda kiti cha ueenyekiti kimekutoshea mpaka umekizidi

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 4 дні тому

    CCM kweli hawafai, ila hakuna Wapinzani wa maana,😢

  • @elisonguomsaki6208
    @elisonguomsaki6208 3 дні тому

    Moto ulinilipukia ndani wakat naangalia bunge 2014 karib nifariki

  • @SaidiSelemani-l1n
    @SaidiSelemani-l1n 4 дні тому

    Safi mbowe

  • @Sirtbreaker
    @Sirtbreaker 3 дні тому

    👏🏾

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 4 дні тому

    Daah ulikuwa Raha sna

  • @MathewThobias-g6d
    @MathewThobias-g6d 4 дні тому

    Unapambana na marehemu pole sana

    • @LeahMgunda-l8c
      @LeahMgunda-l8c 3 дні тому

      Siyo marehemu ni hayati na aliyoyafanya hayafi bali yataishi.

  • @leomika8473
    @leomika8473 4 дні тому

    Mungu hadhiakiwi Wala ajalibiwi ndomaana alimtoa mapema

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 4 дні тому

    Wewe mwenyekiti kwann umemuacha mdude ndani tukueleweje?

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 4 дні тому

    👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 4 дні тому

    Kweli Wananchi muivunje vunje ccm uchaguzi huu wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025 na mlinde kura zenu. Ccm hafai kupata hata mwenyekiti wa mtaa! Ukichagua ccm unachagua mateso! Ikatae ccm sasa hivi!

  • @SechySeche-hm6bd
    @SechySeche-hm6bd 4 дні тому

    Viongozi wa chadema muwe mnazungumza Kwa heshima nyie bado mnasafari ndefu! Watu wanawategemea mfanye mageuzi msiongee Kwa mihemko.

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 4 дні тому

    Sasa huyu. Ndo kiongozi
    Yaani anapambana na maiti daaah. Mbowe umefilisika kisiasa namna hiii 😂😂😂😂😂

  • @SALUM-l6k
    @SALUM-l6k 4 дні тому +1

    Ukimalizamfatemdude.

    • @TheodoraAnatory
      @TheodoraAnatory 3 дні тому

      MDUDE WA MUHIMU KATIKA KAMPENI HIZI, NADHANI WATAWALA WAMEOGOPA UPEPO WA MDUDE WAKAONA WAMFICHE KWANZA HADI UCHAGUZI UISHE.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 4 дні тому +1

    Mbowe tunaomba sella kwa kumkasfu maguli hapo unatukwalula kula zetu hupati acha kasfa kwa malehemu unatukela sana

    • @Tumosafarini
      @Tumosafarini 4 дні тому +1

      Je, kwani hayo hakutafanya? Kama ni kweli, Mbowe anarejea ili viongozi wakumbuke kutenda haki kwa mujibu wa katiba na sio kukandamiza vyama vya upinzani. Republican na Democratic wanaheshimu katiba yao na kuheshimiana wao kwa wao, Marekani inasonga mbele.

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 4 дні тому +1

      Kamkashfu ki vp kwan magu hakuyafanya hayo?

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 3 дні тому

      Acha ujinga kwani hakufanya hayo!!!? Ule ulikuwa ni UJAMBAZI

    • @TheodoraAnatory
      @TheodoraAnatory 3 дні тому

      @@joshuahamis2738 Yaani Magu alitengeneza na kanuni ya kuzuia watu kuzumguzia siasa wakiwa katika vyombo vya usafiri, mimi hapo ki ukweli nilishindwa kuelewa alikuwa ana maana gani, yaani watu mnazibwa midomo? mambo mengine alikuwa anavunja haki za watu kusema ukweli. Acha awaeleze ambao walikuwa wadogo nao wamjue.

  • @emanuelalex9301
    @emanuelalex9301 4 дні тому

    Anaomba kura au anatoa historia
    Halafu anaongea na wananchi au na miti ya kijan?

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 4 дні тому

    Kumbe huyu nae hamnazo kiasi hiki, jamani nyie kuweni makini.