MACHOZI YA MFALME KWAKO SEH 2 - PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • ANGALIA SEHEMU YA KWANZA HAPA • MACHOZI YA MFALME KWAK...

КОМЕНТАРІ • 18

  • @user-id6vb9rc8m
    @user-id6vb9rc8m Рік тому +1

    Mchungaji niombeeee nipate mchumba wangu mzuri wa imani yangu Kwa umri wangu nimepitia changamoto nyingi kwenye uhusiano nahitaji kuwa na mchumba mwenye hofu ya mungu na pia tutoke Geita na turudi Sengerema kule mungu aliko tubariki sisi na kutuneemesha baraka zake

  • @PhebiElias-rw9ns
    @PhebiElias-rw9ns Рік тому +2

    Niombee mchungaji mm ninamatatizo kunamaagano nimefanyiwa niombee pastor

  • @adventistcreativetz
    @adventistcreativetz Рік тому +3

    Ubarikiwe sana mkuu

    • @FloridaMkayula
      @FloridaMkayula Рік тому

      Ubarikiwe paster nimekuelewa sana mahubr yako nina kijana wangu mhanga wa madawa ya kulevya toka ameacha kutumia kuna mambo mengi yametokea kwake tunahitaji kuonana nawewe tunaomba no ya cm

  • @festusmutiso6229
    @festusmutiso6229 Рік тому +1

    Amina Amina
    Mchungaji mungu akubariki sana na hio Neema na hekima mungu wa mbinguni akuzidishie

  • @edinahmoraamageto7344
    @edinahmoraamageto7344 Рік тому

    Amen and amen be blessed pastor

  • @nezerinejuma5510
    @nezerinejuma5510 11 місяців тому

    Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @FurahaKitsao-oq9rm
    @FurahaKitsao-oq9rm 11 місяців тому

    Amen

  • @mariammagen5825
    @mariammagen5825 Рік тому

    Amina! Mungu mwenyezi atusaidie sana na huu dunia jamani

  • @leawamukota9217
    @leawamukota9217 Рік тому +1

    Amen 🙏🙏 pastor

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Рік тому

    Na barikiwa sana mtunish wa MUNGU

  • @leoncegilong1650
    @leoncegilong1650 Рік тому

    Nafurahia mafundisho yako mtumishi

  • @user-rd5hq8cw7t
    @user-rd5hq8cw7t Рік тому

    Barikiwa pastor

  • @mariamgonja194
    @mariamgonja194 Рік тому +1

    Hata Sasa hatujaomba😢

  • @dr.edwingeorge9837
    @dr.edwingeorge9837 Рік тому

    Aminaa

  • @user-zs1ql1lq5r
    @user-zs1ql1lq5r Рік тому

    Mahubiri yakoyanagusamyioyo

  • @kabalizasekanabomarko6063
    @kabalizasekanabomarko6063 Рік тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu.