VITA YA KUKARIBIA KUPATA | BISHOP GWAJIMA | 10.10.2021
Вставка
- Опубліковано 9 жов 2021
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time - Розваги
Ameeen. start with nothing , but finish with everything in the Mighty Name of Jesus.
Tanzania Tunaye Mtumishi wa Mungu wa Kweli na Kiongozi wa Taifa wa Kweli, Asante YESU KRISTO!
Amen
Umeninoa Baba umenifanya kua shoka umenifanya kua jembe umenifanya kua musaada kwenye ichi yangu ya Burundi na dunia nzima asate Baba najua nikipata Neema mbele za Yesu Kristo najua kuna siku nitakuona uso kwa uso 😴🙏🙏🙌🙌☝️
Mungu awabariki sana Bishop kwasababu sikuwa najuwa maombi ya vita!maarifa niliatowa kwako ❤nikiwa Stockholm Sweden
Amen mtumishi wa mungu napokea ujasiri wa kupiga na kumiliki hebroni
Aya mahubiri kwakweli nayafata kilasiku kuamusha moyo wangu ili kupambana vita!Ubarikiwe sana Bishop naona utafika mbali sana kwa marifa ayo!somo nzuri sana!
Asante sana mchungaji. Unisadie kuomba ni wako. Ni wako mchungaji Jeremiah kukoka Kigali glory of Christ
The world is benefiting from your gift
Baba gwajima nashukulu San unavyotunoa mashujaa wa kesho tutasimama kuitetea IMANI
Thanks Bishop. You bring light in the darkness. God bless you.
Amen,powerful, if I perish I perish
Mtumishi wa Mungu Gwajima wewe ni fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unajenga na Kukuza Ujasiri na Imani yetu kwa Moto, Asante YESU KRISTO kwa Neema kuu ndani ya Mtumishi wako.
Amen, Mungu akuinuwe tena zaidi
Barikiwa sana mtumishi wa bwana 🇹🇿🇹🇿🔥🇹🇿🔥🔥🔥, napokea kwa jina la yesu kristo,🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿
Tunashukuru tunahona muwatifu mungu awabariki turiomba muwe munatuwekea telehe namwezi wakazi mutumishi bwana bishop gwajima iriyifanyia kazi hiyo ili tumufwate vizuri nahivo mungu awabariki mimi ni Revent muchungaji wakanisa ra free methodist church in Virginia USA 🇺🇸 🙏 💖 napenda mafundisho yake mwambie namufurahiya sana tunamukaribisha kwetu ajeku kidogo karibu baba gwajima rini utakuja ??
AMEEN AMEEN BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙌🙌
I receive it in Jesus name
Amen your the gift to the body of Christ may God bless you so much.
Ameeen. God be Glorified.
Thanks Bishop,Be blessed in Juses name ameen.
Very rich message.
Namiliki kwa jina la Yesu
Asante Baba. Niombee maana niko na vita vingi vya kifedha, kiafya, kijamii, kihuduma, madeni yamejaja kila mahali nk. Barikiwa.
Barikiwa sana baba. nikiwa katika mafundisho yako nahisi kuzungukwa na Baraka za Mungu daima
Nimepambana safali yakuja Dubai haikua rahisi kabisa nilitembe usiku namchana kumtafuta MUNGU mpaka njia ilipo funguliwa nikaingia Dubai ashukuliwe MUNGU 🙏🙏🙏🙏
Hongera Sana Shujaa,
Namimi nakuja huko
Utukufu na umrudie Mungu🙏🙏🙏
Amen Baba Askofu Umenitaja jina na Kila kitu umekisema ni kuhusu Mimi kabisa Baba. Ninaamini kabisa nimefunguliwa. Ubarikiwe sana.
God bless you Pastor ,you are man of living God.
Asante ,kwa neno safi ,Mungu Baba akupe maisha marefu.,hilli uendeleee kutupea chakula ya kiloho,.
Napokea baraka za kujengwe nyumba Mungu akubariki sana nguvu yangu ya maombi imeongezeka
Amen, Barikiwa sana baba, naomba unisaidie maelezo jinsi ya kutuma sadaka kutoka Kenya kwa Mpesa, Nimetuma ikafeli,asante
Nimebarikiwa sana sana God bless you
Mungu akutumie,, zaid
Mungu nikumbuke 😢niipate mchumba aliyeokoka... Nimelia Sana hadi nashindwa kulala....ni saa saba usiku God have mercy on mi
Hii pia inanibariki Sana,
Ahsante Sana Baba Askofu,
Mh.mbunge WETU.
Amen Amen Amen in Jesus mighty name I truly believe &trust
Wewe umebarikiwa Sana Mungu akubariki
Nanarikiwa sana bishop napokea kwa jina la yesu
Mungu akubariki sana baba askofu gwajima nakupenda sana
Ameni babá yangu wewe ni mch,wa Dunia mzima
Hallelujah hallelujah hallelujah nakwea kwa jina la Yesu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ubarikiwee siku zotee mtumishii
Mungu akuzidishiye mengi sana mtumishi wa Bwana .
Mungu nipe need na kibali kurud kwa baba
Askofu Gwajima you are the Man of God what i hear on me is something defferent i wish kama mungu angekuweka miaka mingi hata watoto nitakao wazaa ukuone ukiwa hai baba this is my prayer
Come.....
Asante bwana yesu kwa kunikombo na macho ya kichawi masikio ya kichawi mikono ya kichawi aminaa
Yani kila siku unanipa Mambo mapya yanayonijenga na kuniimarisha, Mungu azidi kukutumia Nakupenda Sana baba wa kiroho, Kama Elisha alivyoomba roho ya Eliya iwe juu yake I pray for God to have spirit like yours so as I can save people too Kama unavyotusaidia, Amen na imekua
Mtumishi hongera Mungu akuongezee zaidi utumishi huo ainuliwe zaidi Mungu wetu
God bless you abandantly
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,unanibariki sana.Yesu akutunze.
Amen sana baba wew ni chombo kiteule cha bwana dunian
Zidikuniombeya Mchungaji mimi nilishurutishwa kuchanjiwa baba naomba maombi mingibabs
Somo zuri na mhimu Sana.
Ahsante Bishop.
AMEEEEEEEN NAPOKEA 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙌🙌
Ameeeen in Jesus Christ Might name...naingia kwenye canaan yangu kwa mamlaka ya Damu ya Mwanakondoo.
Haleluya.. Thank you so much my father
AMEEN AMEEN 🙌🤲🏻🤲🏻🙌🙌
Thank you so much father
Sarveshen mobondo tv
Aminaa baba nabalikiwa naomba kwajina la yesu na mm nijenge nyumba nikae nikiwa kijana
Glory to God
asante yesu. sifa kwa yesu. namshukuru mchungaji gwajima.
Amina baba skofu Mungu akulinde,Mungu akubariki sana,
Nakweya kwenye miliki yangu kwa jina la Yesu
Tunafaidika na mafunzo haya. Mungu akulinde
God bless you Bishop Amen
Thank you very much Dady
AAMEN AAMEN AAMEN ASANTE SANA MCHUNGAJI NA ASKOFU GWAJIMA
Mtumishi inatakiwa uwe raisi was nchi utafanya mabadiliko makubwa katika nchi amem
Nitamiliki na kutawala kwa jina la Yesu. Amina
Hongera sana baba mchungaji
Ameen Baba Napokea Nikiwa Arusha Barokiwa Sana
Amen Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🔥🔥🔥
Laurent watching from Kenya Nairobi , when will you come to Nairobi please man of God?
Kweli Bishop Mungu akulinde siku zote.
Namiliki haki yangu hakuna atakaye nishinda nakweeeeeeeeeeeya
Asante mtumichi ubalikiwe
Ameen ni kweli Baba Asikofu Mungu nisaidie nimalize nyumba yangu na nikae nikiwa bado kijana
kabisa pambani
pambania
Ameeen napokea
Amina
Ahsante Sana mtumishi wa Baba
Amina kamanda
Amen.
Amen 🙏🏿🙏🏿
Huu ni wakati wa kukwea na kurithi nchi. Asnte kwa somo zuri.
Yesu asante
Thankyouu so much daddy for the sweet words of God .may God bless you
Amen Amen Mtumishi wa Mungu
Amen
Napokea kwa jina la yesu
Halleluya namiliki kwa jina la yesu
AMEEEEEEEN 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙌🙌🙌
Barikiwa sana mtumishi
Ameni 🙏🙏
Barikiwa sana Mchungaji
Baba nakupenda sana ubarikiwe
Napokea kumiliki kwa jina la Yesu
AMEEEEEEEN 😭😭😭🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙌🙌🙌
Yesu nisaidie niweze kuelewa
Ubarikiwe
Amina baba sema tupone
Very cool
Ameniiii
Amen🙏🙏🙏
Ww ni moto ulao