Hata kama huyu mama atafaidika na michango itakayotolewa, ni sawa tu mradi amhudumie na hasa kumpeleka hospitali. Inasikitisha sana. Acheni kuwakatisha tamaa wale watakaoguswa na tatizo hili 😮😮
Sabihaibrahim 143 umeongea ukwel huyo dada kwanza hajaolew" had sasa na inaonekana hao watt 3 kila mtt na baba ake" maisha sahv magum mikopo mtaan imetawala kilichomleta happ huyo dada n pesa tu kwan huyo baba hana ndugu? Had yy aone uchungu huo? Kisa kazaa nae" tangu mtt anamiez 3 had sasa anamtt mwingine asitudanganye mjanja mjanja huyo dada huon kamejuchubua kana cm y smat kanachat😂
Inawezekana kaka Zahir huyo mgonjwa afanyiwe vipimo inawezekana ana saratani ya mifupa au kwenye damu mifupa inakuwa haina nguvu atavunjika hata kwa kumbeba vibaya
Zahir kuwa makini na michango ya mgonjwa isipite popote ila kwako tu.huyu dada yupo kimasilahi hapo.anajua atapata hiyo michango na kiwanja cha babu nacho anakiendea mbio.ndio maana kajirudisha ameshaswampa na dunia alafu anarudi mzimamzima. Huyo sio wa kuamini Alafu anamfokea mgonjwa alivyo hana haya
Apana masaji kama ujasomea ukifanya kienyeji una uwezo wa kuvunja mifupa kwaiyo usikubali kufanyiwa masaage na mtu asiye jua massage nihatar kama mtu ajuwi
je wakt bibi yake anampa 600/700 huyo mzazi mwenzie alikuwa akimpelekea nini? na kufungiwa kwa mwenzie miaka 3 yeye alisaidia vip? yaani sjaelewa lkn samahni
Judith! Ni kweli km hujasomea laxima unawexa kuuwa m2.Mimi nilisomea,2kawa,nkadil na waxungu kwa office ilofunguliwa na mbwammoja,anita mbwa kwani halikunilipa hata mia,ila nilimuingixia mitrilion.Hilo mbwa likawa linaleta hawara wengi eti waangalie navyofanya ili yawe wanafanya,kumbe hayakujua chochote yakaharibu mifupa,kuna jinsi ya kushika sehemu xa mifupa,kfua shingo na mengine.Nkaacha kaxi ile office ilifungwa kwani hamna Alowexa.Kwa sasa nadili na wagonjwa walopata stroke na wanapona,Lile mbwa lilinirusha ckupata mshahara hata mia.
Kuna kutu nakihisi ila watanzania tuwe makini majirani waulizwe je nikweli huyu mgonjwa hicho ndicho chumba chake?na mazingira hayo au haya ni mazungira ya kusubiri 📷 tutaftien na ndugu wa huyu mgonjwa nina wasiwasi na dada mweupe mtoto wa mjini
Kaka zahir tunakuomba msimamie huyo mgonjwa ww maana hazuwez jua ya moyoni huyo dada maana hakúishi nae sana ni mwaka kasema ivjo msimamie ww kaka zahir please wengine wapo kimasilai anajua mgojwa akipata nae pia atapata
Dada kama nikweli umeamuwa kumsaidya wako basi na ubarikiwe sana na isiwe upo tu apo kimasilai cozi Pya kuna tukio lile la yule mama aliekuwa ana msaidya hawa baada ya kuona hawa amesaidika akaenda kumchukuwa ndugu yake kweli Watanzania niwatu Wema wakajitowa na kumsaidya tena yule ndugu kwa moyo mmoja kumbe nia na mazumuni ya yule mama ni kujifaidisha yeye
Acha unafiki wewe , sasa wewe umejuaje mawazo ya nafsi ya mtu mwengine loooh ninyi ndio mnaowafungaga watu kwa ushahidi wa uwongo , mnafiki mkubwa wewe
Pole Sana kaka Mwenyezi Mungu atakuponya. Ushauri wangu Zahir pesa ikipatikana msinamie ww mwenyewe huyu mgonjwa, Dunia ya Sasa ni kijiji
Pole sana mwenyezi mungu akupe shifaaa
Dada mdogo na mzur na unajua kujieleza! Ubarikiwe sanaaaa
Dah uyu Dada n mzuli sana mpaka Ndani ya moyo wake💓❤Amejawa n upendo tele na pia mungu atamlipa kwa wemawake.
@ASALABOY ahsante sn
@@mishbombasura nzuri . Roho nzuri. Mwenyezi Mungu akujaalie kila lenye kheri wewe na mgonjwa na watoto pia. Mzuri sana dada Maa shaa Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤
@@Catherine-mh8sw ahsante sn kipnz
Dada unamoyo sana Mwenyezi Mungu azidi kukupa moyo huo wewe ni MALKIA WA NGUVU
Na kwer mkak mzur kwer km shombeshombe mashallah ❤❤
Dada Allah akulipe kwa hiki
Pole sana,dada mungu akubariki sana
Dada Mungu akulipe kwa moyo huo unafunza wengi
Mungu akupe Imani ndani ya Moyo wako usibadiljke odo maana yatasemeka mengi
Pole sana allah akupe shifaa na hongera mdogo wangu kwa kumsaidia
Ongera sana dada mungu atakulipa tu kwa mungu.👍👍
Inshallah 🙏
Inshaallah allah atampa shifaa kaka zaher bora msimamie wewe huyu kaka
Hata kama huyu mama atafaidika na michango itakayotolewa, ni sawa tu mradi amhudumie na hasa kumpeleka hospitali. Inasikitisha sana. Acheni kuwakatisha tamaa wale watakaoguswa na tatizo hili 😮😮
Allah awajalie wepec
Dada mzuri sana Mungu atakulipa kwa kujitoa kwako
Ahsant sana mdogo wangu mshughulikie usikate tamaa ya wanaochonganishe watu hataikitoka michango niyakwenu inawahysu usikate tamaa
Pole Sana ndugu ALLAH atakuafu aamiyn
mimi hofu yangu huyu dada ameona huyu baba atapewa misaada apate na yeye kuna kitu moyoni mwake sibure nawambia angempenda asingemdai talaka mutaona
Sabihaibrahim 143 umeongea ukwel huyo dada kwanza hajaolew" had sasa na inaonekana hao watt 3 kila mtt na baba ake" maisha sahv magum mikopo mtaan imetawala kilichomleta happ huyo dada n pesa tu kwan huyo baba hana ndugu? Had yy aone uchungu huo? Kisa kazaa nae" tangu mtt anamiez 3 had sasa anamtt mwingine asitudanganye mjanja mjanja huyo dada huon kamejuchubua kana cm y smat kanachat😂
Kabisa.
Acha gundu
tusiwe Nadhana sanauwendaimani imemuingia kulingana anavyobadilikahuyu bwana
Nimewaza kama wewe
😢heee Mtihani kwa kweli
Binadamu kabla ya coment jaribuni kulichunguza na kufikiria kwanza
Mungu akufanyie wepesi kk yng upone
Mbona Sasa Ana mfokea mgonjwa hivyo 😮huyu mwanamke....... Haya sijui lakini nnavyoona 🤔haya
Sio mbaya ila kavurugwa maskini, kuuguza X. Sio kazi Rahisi😊
Hakuna shida yeyote hapo
Mhhhh sio Sawa kbs
Shida ipo dear
Msi ninukuu vbaya jaman sikuwa namfokea yaan alikuwa ana lukia tu maneno si unajua mtu alie umwa muda mrefu anavyo kuwa 😂
Mungu amjaze kheir huyo mtalaka... Asibadili roho in Sha Allah amtie subra na moyo kumuuguza mzazi mwenzie
Honger san dad ila huy mjomb kwa upande wangu naweza sema kazamilia sas km bahat mbay kwann amblock😢
Mungu akulipe dada yn una moyo daah sina tu ningetuma.
9oo
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
Mtiyanii jamani 😢😢😢😢
Uliolewa na mtoto wa miezi! Ukahudumiwa, na ukaindika wakati mtoto uliyezaa naye Ana miezi!! Huoni kwamba una matatizo?
Nendeni kuomba msaada kwa Ufufuo na Uzima au makanisa ya Kiroho Dar.mtapata msaada wa haraka, maombi na pesa
Hongera sana dada pole sana kaka
Ahsante sn
Mungu akutie nguvu daa
Huu sasa ndio ubinadamu!! Kupishana na mtu halafu hata hamsalimiani wakati mlishawahi share kitanda ni unyama!!
Mama rakian
Kaka Zairi huyu mgonjwa asaidiwe tu.Maanakendugu zake wamemtelekeza. Akipata matibabu anapona huyo.
Huyo dada nampongeza kwa kumsaidia mgonjwa lakini anaonekana ni mkali kwa mgonjwa kwa hiyo Zahiri kuwa makini nae.
Mdada NI mkali Sana.
Michango isamiwe na zahiri
Daaah pole sana kaka
Uyo mdada anatafuta pesa yupo ki maslah zaidi kuweni makini maana michango ndo anaitaka uyo mdada anataka kumuibia kk wawatu
we usitoe pesa Baki nazo ni zako walio na zakusaidia watatoa
We dada mzima kweli
Inawezekana kaka Zahir huyo mgonjwa afanyiwe vipimo inawezekana ana saratani ya mifupa au kwenye damu mifupa inakuwa haina nguvu atavunjika hata kwa kumbeba vibaya
😢Mola atusaidie
Zahir kuwa makini na michango ya mgonjwa isipite popote ila kwako tu.huyu dada yupo kimasilahi hapo.anajua atapata hiyo michango na kiwanja cha babu nacho anakiendea mbio.ndio maana kajirudisha ameshaswampa na dunia alafu anarudi mzimamzima. Huyo sio wa kuamini
Alafu anamfokea mgonjwa alivyo hana haya
Siku hizi watu wamejua kujiongeza!!zamani mgonjwa alikimbiwa ,kwa jinsi Hali ilivyobana hatupwi mtu .
Huyu mdd ana moyo mzuri
Dada yupo kimaslahi
Kila mtu atalipwa sawasawa namatendo yake
Zahir kua makini na huyo dada Hy
umeona ee hee hata mimi nimesema na tupo wachache tunaouona usiri wa huyu dada nahisi anaona amepata kitega uchumi wake hee naijua
Pole sana baba 😢😢😢
🤔
Apana masaji kama ujasomea ukifanya kienyeji una uwezo wa kuvunja mifupa kwaiyo usikubali kufanyiwa masaage na mtu asiye jua massage nihatar kama mtu ajuwi
wema sawa, misaada sawa lkn km utapatikana mchango ufikie mikononi mwako dhahir na si vingnevyo, please!!!
je wakt bibi yake anampa 600/700 huyo mzazi mwenzie alikuwa akimpelekea nini? na kufungiwa kwa mwenzie miaka 3 yeye alisaidia vip? yaani sjaelewa lkn samahni
Judith! Ni kweli km hujasomea laxima unawexa kuuwa m2.Mimi nilisomea,2kawa,nkadil na waxungu kwa office ilofunguliwa na mbwammoja,anita mbwa kwani halikunilipa hata mia,ila nilimuingixia mitrilion.Hilo mbwa likawa linaleta hawara wengi eti waangalie navyofanya ili yawe wanafanya,kumbe hayakujua chochote yakaharibu mifupa,kuna jinsi ya kushika sehemu xa mifupa,kfua shingo na mengine.Nkaacha kaxi ile office ilifungwa kwani hamna Alowexa.Kwa sasa nadili na wagonjwa walopata stroke na wanapona,Lile mbwa lilinirusha ckupata mshahara hata mia.
Zahir mbn nikituma yaja shadrack nyabwa niko kenya
Zahiri msimamie mwenyewe Kwa matibabu lkn uyo dada hutujuw dhamira yake pamoja nakwamba amemsaidia kuwatafuta
Kuna kutu nakihisi ila watanzania tuwe makini majirani waulizwe je nikweli huyu mgonjwa hicho ndicho chumba chake?na mazingira hayo au haya ni mazungira ya kusubiri 📷 tutaftien na ndugu wa huyu mgonjwa nina wasiwasi na dada mweupe mtoto wa mjini
Nikijaribu kutumia haitaki
huy dada mbn kam mjamzito mweee hem muoneni mapigo ya moyo yanavo muenda mbio auni macho yang mweee😂😂😂😂😂🙈🙈
😂😂😂mh sikai nawew karibu
Tobaaaa😂😂😂😂😂 ume niangalia vbaya
kaaaa shoga uko vizur unajua kuangalia
🤣🤣🤣hpn cna jaman
Kwani vibaya akiwa na mimba
Kaka zahir tunakuomba msimamie huyo mgonjwa ww maana hazuwez jua ya moyoni huyo dada maana hakúishi nae sana ni mwaka kasema ivjo msimamie ww kaka zahir please wengine wapo kimasilai anajua mgojwa akipata nae pia atapata
Inshallah amsimamie tu muhimu baba watoto wang apone
@@mishbomba dada vumilia wala usikasilike binadamu ndio tulivo
@@mishbombapole. Usijali kukashifiwa, wewe pambana na mgonjwa. Mungu atakulipa. Wacha wakutukane tu. Mungu atakulipa. Wala usijali
Kaka zairi wajomba wanavyokuwaga na Roho mbaya hatari.
😂😂😂😂😂😂😂😂.
Dada kama nikweli umeamuwa kumsaidya wako basi na ubarikiwe sana na isiwe upo tu apo kimasilai cozi Pya kuna tukio lile la yule mama aliekuwa ana msaidya hawa baada ya kuona hawa amesaidika akaenda kumchukuwa ndugu yake kweli Watanzania niwatu Wema wakajitowa na kumsaidya tena yule ndugu kwa moyo mmoja kumbe nia na mazumuni ya yule mama ni kujifaidisha yeye
Amiiina inshallah tumuombee duwa mgonjwa allah amfanyie wepes
@@mishbombaamiin
Zahir leo mange atakuandika UMECHAFUA HALI YA HEWA 😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Mnao ongelea michango siku zote ambazo huyu dada amemsaidia nyie mlimchangia au kuhusu kumlipa huyo kijana na kumfulia mlikuwepo
Wanafiki hao
Ahsante sn maana hawajui jins gan napambana ili apone huyu mgonjwa
@@mishbombaacha nao. Uguza malipo kwa mungu basi. Tenda wema uwende zako
HUYU MWANAMKE NIKIPATA NAFASI Y KUMSHIKA KICHWA NITAYAJUWA MENGI SANA
Acha mikwara wewe
Mm apa niulizen
@@mishbombawanakuonea kweli. Masimango yote ya nini haya. Kaza moyo tu. Mwenyezi Mungu anakuona.usijali
@@Catherine-mh8sw amiina inshallah
Kaka anaumwa lakini anatabasam la kutia moyo
Wagonjwa siku hizi Ni mtaji, hapo dada anajua fika mchango utapita hapo na mpokeaji Ni yeye.
Acha unafiki wewe , sasa wewe umejuaje mawazo ya nafsi ya mtu mwengine loooh ninyi ndio mnaowafungaga watu kwa ushahidi wa uwongo , mnafiki mkubwa wewe
Acha hizo mtu anajitolea
Mtu anajitolea hivyo afu unamsema vibaya acha hizi
Lete namba yako tutume michango uje umuhudumie wewe mgonjwa fisadi mkubwa wewe nenda uko huna chakuongea nyamaza
Allah atusamehe bora kama hatuna lakuongea ni heri ya kunyamaza