ONA RAIS MAGUFULI AKIONDOKA NA GARI YAKE BINAFSI BAADA YA KUCHUKUA FOMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 чер 2020
  • ONA RAIS MAGUFULI AKIONDOKA NA GARI YAKE BINAFSI BAADA YA KUCHUKUA FOMU
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 209

  • @ismailahmed5133
    @ismailahmed5133 4 роки тому +16

    Duh,,,iloo garii laiti kama wananchii wangejua Kama JPM yumo ndani bhaac vibe lingeanzaa maanaa watu TUNAMPENDA SANAAA HUYU JAMAA,,,,UNCLE MAGU,,,JUU,,😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 NO ONE LIKE YOU,

  • @hamoudsalum9628
    @hamoudsalum9628 4 роки тому +40

    Wa Tanzania tumshukuru Mungu kwa kutupatia rais magufuli
    Nchi yetu anaipeleka pazuri zaid
    Sifa zake zinazidi kupaa nje ya nchi
    Tumuombee mungu ampatie afya

    • @TheOne-fi6cs
      @TheOne-fi6cs 4 роки тому +2

      Amina

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 роки тому

      kwa kweli Mungu wa mbinguni apewe sifa sana..Ashukuriwe kuliko maelezo yetu jmni. Eh Mungu tunakuomba sana Mungu wetu Ushukuriwe..Tunakuomba sana Uchukuwe shukurani zetu Watanzania. walikuomba kwa kilio sana kuhusu nchi yetu kupata mtu ataekuwa na moyo na nchi yetu kama vile ni mwanae..Mungu Hukusita ukasikia kilio cha waja wako na sio vile sie watanzania ni watu wema sana lahasha ni kwa sababu umejaa huruma an upendo mwingi mno. ni kwavile wewe Mungu ni mwema na mzuri. Asante sana Mungu wetu. Utukuzwe milele na milele

    • @amosmwambene9926
      @amosmwambene9926 4 роки тому +1

      Haswa Mr

    • @jamalmalik4186
      @jamalmalik4186 4 роки тому

      After

    • @gomatzchannelgoma4803
      @gomatzchannelgoma4803 4 роки тому

      Acheni zenu

  • @salimhussein839
    @salimhussein839 4 роки тому +8

    Hio fomu ya miaka 5 au 20 maana 5 mimi naona kidogo sana kwa hili jembe . Huyu sio RAIS huyu ni KIONGOZI maana maraisi wamepita wengi TZ ila kiongozi ndio kapatikana sasa . You are the best MAGU and the most we love you sana

  • @hermetipasianimaswe8857
    @hermetipasianimaswe8857 4 роки тому +15

    Safi sana Rais wetu.tunakupenda, Mwenyezi Mungu azidi kukulinda na akupe afya njema.Amina.

  • @godfreyjames6792
    @godfreyjames6792 4 роки тому +39

    Dhania hana ulinzi afu ujichanganye ndo utaelewa maharagwe ni mboga 🤣

  • @alanami2846
    @alanami2846 4 роки тому +17

    Mimi ni mzanibar tz ni nchi yetu moja nnachosema uyu mzee atawale milele tz, kwanini na huku zenji hatupati mbaba mwema kama huyu, huyu zaidi ya raisi.

    • @jayjay4313
      @jayjay4313 4 роки тому

      Ungesema mimi Mtanzania wa Zanzibari. Tusijigawe saaaana. Pamoja tu.

    • @alanami2846
      @alanami2846 4 роки тому +1

      @@jayjay4313 sawa ndugu nimekuelewa kama ninavyo muelewa raisi magufuli,, sikia iyo sasa mimi ni mtanzania

    • @gracesakila4395
      @gracesakila4395 4 роки тому

      Kwani huyu si anatawala mpaka huko 'huyo mnayemwita raisi huko kwenu ni sawa na mkuu wa mkoa tu

    • @sankofaman4112
      @sankofaman4112 4 роки тому

      Anakuja Hussein Ali Hassan mwinyi baada ya magufuli, kwa mtazamo wangu. Legacy ya nyerere. Sijui kama mutamchagua rais wa zanzibar mwaka huu? Much love from Kenya.

    • @jayjay4313
      @jayjay4313 4 роки тому

      @@alanami2846 Hapo sasa kiume zaidi. Si unakumbuka Mzee wetu mwinyi, mpaka leo kama mpya tu. Watanzania bara na visiwani maraisi wetu wapo pamoja hata kama hatuoni. Ila round ya pili natumaini JPM atafanya mambonmpaka visiwani. Muda ulikuwa mfupi sana na mambo nimengi. Msife moyo watanzania wa Zenji. Pamoja sana na bendera yetu sore nimoja tu ya pili ya chama.

  • @willamkimazya3384
    @willamkimazya3384 4 роки тому +19

    Aliyeona Trafic anashangaa twende sawa

    • @jumaburhan4691
      @jumaburhan4691 4 роки тому +2

      Wana maelekezo hao ndio maana mkata umeme mmoja alishuka akawa anaongoza magar

  • @OmanOman-hr6cb
    @OmanOman-hr6cb 4 роки тому +16

    Hako kanyimbo 💪👌

  • @dianaanyova4026
    @dianaanyova4026 4 роки тому +4

    Rais wa Tanzania,njoo huhu kwetu Kenya,,,,, Nakupenda bure.Kiongozi wa wanyonge...

  • @gracejohn886
    @gracejohn886 4 роки тому +10

    Ungetawala miaka 40 ingependeza naona km miaka inaenda haraka 😭😭😭😭

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 4 роки тому +4

    Tunashukuru Mwenyez Mungu kutupatia Rais Makini Mh JPM hakika yeye ni mfano wa kuigwa na kujivunia

  • @temekembezi5869
    @temekembezi5869 4 роки тому +11

    Wee tena asaivi ndo analindwa balaaa .wee ona kama yuko peke ake

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 роки тому +7

    Mungu amjaalie afya

  • @susanlazaro8323
    @susanlazaro8323 4 роки тому +4

    Nampenda Rais Wangu Joseph John Pombe Magufuli 👑 👑 👑

  • @brianjulius781
    @brianjulius781 4 роки тому +5

    Mungu akupigania

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 4 роки тому +4

    Umetuondolea aibu nchi safiii Kama pamba

  • @aminaabdallah5556
    @aminaabdallah5556 4 роки тому +8

    Hongera magufuli

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 4 роки тому +3

    Safi Sana JPM baba.. uliebadilisha mchanga kuwa dhahabu..., Ni mwendo wa kibabe T 694 DKX full tinted hadi raha...ikulu inawenyewe waliopewa na MUNGU mbele kweupeee kazi uliyoifanya imeonekana baba, hakuna nyumbu yoyote wakukwamisha maendeleo ya bongo hata Kama mashetani yamelipoti kuzimu (Ulaya) alieupande wetu Ni mkubwa MUNGU yuko pamoja nasi, Tuko nyuma yako baba

  • @mirajimam9684
    @mirajimam9684 4 роки тому +3

    Haki nimeshindwa kuelewa kabisa msafara wake+na hiyo folen,,,, viva magufuli Mungu akupe nguvu zaid

  • @lidyamathayo8343
    @lidyamathayo8343 4 роки тому +5

    Gusa unate,huo ni Moto haulambwi kwa ulimi

  • @robertkagudu9937
    @robertkagudu9937 4 роки тому +4

    Safi sana Mzee wetu mungu akubariki sana

  • @eliswed7812
    @eliswed7812 4 роки тому +3

    God bless our president we are proud of u Father

  • @rosemarymaduma2365
    @rosemarymaduma2365 4 роки тому +1

    Asante Baba Mungu kwa kiongozi huyu....aendelee tenaa

  • @damasgodfrey3167
    @damasgodfrey3167 4 роки тому +4

    Dah magu nimekuelewa htr

  • @JoooJoo-sh9xy
    @JoooJoo-sh9xy 4 роки тому +7

    Wakuu wapo nyuma hapo

  • @sincerejoy8209
    @sincerejoy8209 4 роки тому +3

    NAJA NA KUPIGA KURA TZ HAIJALISHI HATA KAMA MM NI WA 254🇰🇪 na sitaki mwaswali eti oh kura unampa nani hiyo ni siri but bora KWANGU YEYE ANGALI ANATAWALA. +966

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 4 роки тому

    MUNGU MBARIKI Mwee Rais wetu kipenzi Utulindie Mpendwa wetu Mzalendo wa kweli wa NCHI yetu TANZANIA 👏🙏❤

  • @fatmashafi6355
    @fatmashafi6355 4 роки тому +3

    Kwa uwezo wa mungu inshaallah utapata tena🙋‍♂️

    • @shabankumalija1929
      @shabankumalija1929 4 роки тому

      Mwenyezi mungu yuko pamoja nawe hivyo bado anahitaji kukutuma kazi zingine. Ni wewe tu uliyetimiza umri wa kuweza kuyafikia mambo anayoyataka mola wako.

  • @Megabrother987
    @Megabrother987 4 роки тому +3

    Respect JPM

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 роки тому +1

    Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu

  • @TheOne-fi6cs
    @TheOne-fi6cs 4 роки тому +4

    Jembeeeeeee

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 4 роки тому

    Nimejikuta natabasamu tu hongera sana mheshimiwa Rais wewe ni wakipekee sana pongezi kwako

  • @victormhagama8004
    @victormhagama8004 4 роки тому

    Mungu akutangulie Mheshimiwa Rais kwa kweli tunaenda kuandika historia tena

  • @Nelly93tz
    @Nelly93tz 4 роки тому

    Nakupenda sana j.p.m

  • @aishasmoni5881
    @aishasmoni5881 4 роки тому +2

    Masha Allah

  • @mosesmussa3669
    @mosesmussa3669 4 роки тому +3

    Viva Magufuli

  • @magrethmvungi2516
    @magrethmvungi2516 4 роки тому +1

    Rais msaidie itolewe ndan ya mto wami ni mwananch wako hiyo atashukur sana

  • @theresiamuzenga3625
    @theresiamuzenga3625 4 роки тому +3

    Viva baba ......JPM😍

  • @anithasanga6285
    @anithasanga6285 4 роки тому +1

    Yupo peke yake mungu mjalie magu

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 4 роки тому +1

    Makufuli mm nakupenda ila tunaomba uchaguzi uwe wahuru tu tugommbezanzibar yetu tumechokakutwaliwa

  • @barakachacha6434
    @barakachacha6434 4 роки тому +2

    Sem hii Dodoma inabadilik aiseee💥

  • @martinhinda5233
    @martinhinda5233 4 роки тому +1

    Mzee hakuhitaji hata msafara na ving'ora

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 роки тому +4

    Ndo maana inabd tufanye kaz tununue magar na sio vyombo vya usafiri

  • @sanchezmmary8986
    @sanchezmmary8986 4 роки тому +3

    We jidanganye halindwi now yani pengine ata hizo haice za abiria ukute ni maafisa wa usalama wapo huko kama abiria na hiyo bodaboda unayoiona pengine sio bodaboda ni usalama serekali sio ya mchezo mchezo!

    • @mumyhendry2919
      @mumyhendry2919 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣my friend utajua hujui

    • @luqmanalmas2166
      @luqmanalmas2166 4 роки тому +1

      Yaan hapo kwanzia ofisi za chama mpaka anapofikia kote wamejaa kama sisiminzi mzee wako tayar kwa lolote full equipped...,... Huyo traffic sijui daladala hizo vijiwe vya kahawa vyote kila kona
      Maana ameenda kwa ajilibya chama tu ndo maana msafara hajachukua ila ndo wamejipanga kwa aina nyingine

    • @mathiasmsese6128
      @mathiasmsese6128 4 роки тому

      problem yetu waganga wa kienyeji wengi yaani kila mtu anajua kitu

  • @beatricenicholausiwasa7601
    @beatricenicholausiwasa7601 4 роки тому +2

    Wimbo mzuri

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 4 роки тому

    Dah! Kwa mara ya kwanza naona rais wa nchi anasubiri foleni, ninacho mkubali JPM hanaga mbwembwe huyu baba, Mungu ampe afya na maisha marefu kwa kweli wapinzani wamekaa kaaa 😃😃👏👏🇹🇿🇹🇿🖐🖑👍

  • @amosmwambene9926
    @amosmwambene9926 4 роки тому

    Mungu amulinde maana katumwa na mwenyezi Mungu

  • @veronicashema4600
    @veronicashema4600 4 роки тому +1

    Yani natama ikewezekana tukuogezee miaka 10 tena baba

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 4 роки тому

    Hapana hii sio sawa kabisa . .Huyu bado ni Rais wa Jamhuri ya Tz..sio hiari kumlinda ni Lazima alindwe kwa wakati wote Jamani

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 роки тому +4

    ✋️😊😊😊👏👏👍

  • @habarimwendokasi2358
    @habarimwendokasi2358 4 роки тому

    Najiuliza hapo walipotanua kulia halafu trafic akawasimamisha sijui ingekuwaje

  • @philipomathew300
    @philipomathew300 4 роки тому +3

    WW NI JEMBE C TUNAKUOMBEA HERI KWA MUNGU UTUONGOZE TENA MUNGU AKUPE AFYA.

  • @salhakyande3905
    @salhakyande3905 4 роки тому +1

    Hongera

  • @annastaziajohn9930
    @annastaziajohn9930 4 роки тому +1

    Mungu mbariki huyu mtu

  • @weshibmabula9430
    @weshibmabula9430 4 роки тому

    Nimeipenda sana hiyo raisi mungu azidi kuuinda 🙏

  • @jumakillo3280
    @jumakillo3280 4 роки тому

    Nimeipenda sana hii viva Tanzania viva mh,magufuri

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 4 роки тому

    Duh huyu jamaaa nomaaaaaaa duh cjui nani atakaweza kufuata nyayo zakeee kuangalia maslahi kwanzaaaaaa ubinafs badae🤔🤔🤔🤔😔

  • @alesnema9596
    @alesnema9596 4 роки тому +1

    Haaa hawajui Kama Ni raisi anapita

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 роки тому +2

    Magufuli Oyeeeeeeeee💪💪

    • @halimangaroka8351
      @halimangaroka8351 4 роки тому

      Tatizo moja tu kwa uyu baba kuwa MSUKUMA tu angekua MZARAMO ingekua poa sana

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 4 роки тому

    Ukweli nikwamba watu tunampenda JPM. Lakini litakua swala la kusikitisha kama tutaishia tu kumsifia bila kwenda kumpigia kura hiyo October. Niombe watu twende tukampigie kura huyu rais wetu jamani, tusiongee tu. Yaani apate kura mpaka dunia isimame.

  • @sharifunyengedi6322
    @sharifunyengedi6322 4 роки тому

    Watanzania hakuna zawadi au fadhila tunayoweza kukulipA Zaidi Ya Kukuongezea Muda Tu Wa Kukaa Madarakani. Mungu atusaidie tulifanikishe hili

  • @christapapollo5737
    @christapapollo5737 4 роки тому

    Mh,watanzania tunamkosea Mungu nimesoma komenti karibia nyingi nikagundua hatusomi maneno ya Mungu na Mungu aturehemu,siku moja kila mmoja aliyekoment hapa bila hofu ya Mungu atanikumbuka.

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 4 роки тому

    Dereva kwenye zebra anaosha tu tz kila Dereva bado hazingatii sheria

  • @shangwejastas3372
    @shangwejastas3372 4 роки тому

    Mungu akutunze rais wetu

  • @alphamigoli6967
    @alphamigoli6967 4 роки тому +4

    Weee!!! Kwangua hiyo gari ndio uone yupo pekee yake au na walinzi wake!!!!

  • @sideboy3164
    @sideboy3164 4 роки тому

    Mungu mbariki Magufuli .

  • @henryndosi1114
    @henryndosi1114 4 роки тому +1

    MAGUFULI BABA LAO kwa maendeleo ya Watanzania 🇹🇿

  • @mwilemwasenga7066
    @mwilemwasenga7066 4 роки тому +1

    NANI KAREKODI HII CLIP?

    • @newmediatv4000
      @newmediatv4000 4 роки тому

      Kurugenzi ya mawasiliano ikulu kuna gari lipo kwa nyuma

  • @khadijahseif420
    @khadijahseif420 4 роки тому

    Hongera sana rais wangu tunakupenda

  • @matildamkombachepa4320
    @matildamkombachepa4320 4 роки тому +1

    Wimbo huu bomba kuliko zote mana unacheza kiukakamavu, yaani hai hai kama askari vile

  • @rehemaissa358
    @rehemaissa358 4 роки тому

    Unaweza kuta usalama wa taifa wengine ndio hao kwenye bike na wengine wako kwenye hizo daladala haahha

  • @douglaskabete882
    @douglaskabete882 4 роки тому

    Tumeliona Hilo Gari jamani.Watanzania acheni kujionyesha

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 4 роки тому

    Magufuli nakupenda mpaka sana wewe unamtegemea mungu mpka raha

  • @yvonnemashuda3004
    @yvonnemashuda3004 4 роки тому +1

    Hiki chumaaa bwanaaa

  • @espoirmbilizi5113
    @espoirmbilizi5113 4 роки тому

    Thanks president magufuli likini drive wako anatebeza garivibaya

  • @pendomwenda6190
    @pendomwenda6190 4 роки тому

    Ni kweli rais wetu umefanya mambo mengi mazuri ila awa was chini yako sio wema kabisa

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 4 роки тому +1

    Rais

  • @zozohmeed5546
    @zozohmeed5546 4 роки тому +1

    Hai mama hai mama

  • @monicaemmanuel8459
    @monicaemmanuel8459 4 роки тому

    Saaaafi wala hkn noma ... Gud saba

  • @jumamohamed8583
    @jumamohamed8583 4 роки тому

    Magufuli Umejua Kutufurahisha Wa Tz Wengi Tu Chapa Kazi Sisi Tuko Pamoja Na Ww Bega Kwa Bega Tanzania Ya Sasa Imesonga Mbele

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 роки тому +4

    Kwahyo saiv halindwi kama zaman?

    • @wazirikachume9030
      @wazirikachume9030 4 роки тому +2

      Ww auna mpizani,tz tunakuombea kwa mungu kila lisaa

    • @sharifumkambala5655
      @sharifumkambala5655 4 роки тому

      em kajaribu kumvamia tuprove kama halindwi

    • @ayubuakim783
      @ayubuakim783 4 роки тому

      Ulinzi ni Kama kawaida huyo ni rais mpaka either akabizi kwa mwingine ndo ulinzi unapungua ,hapo alikuwa anakwenda kuchukua fomu ndo mana hakutaka shobo Sana amepiga mishe ya kimyakimya

  • @allysimba4212
    @allysimba4212 4 роки тому

    Safi

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 4 роки тому

    Najua mhula huu atachukuwa bila kipingamizi, ila mhula huubukiisha 2025 tukamchulie sisi bado tunamwihitaji Sana Sana san

  • @ashajuma438
    @ashajuma438 4 роки тому

    Kila la khery baba Magu

  • @mpigujimpiguji6942
    @mpigujimpiguji6942 4 роки тому

    Najivunia kuwa TZ na my prezdaJPM

  • @frankmbawala3115
    @frankmbawala3115 4 роки тому

    Hayupo umo sio kawaida still przda

  • @masterdaudi1377
    @masterdaudi1377 4 роки тому

    Naskia wapinzani wamejipanga kumshusha wataweza kweli

  • @pastoryjoseph7540
    @pastoryjoseph7540 4 роки тому

    Huyundie Rais wapekee mchamungu hayupomwingine Labuda kudanganyanatu

  • @robertbenard7153
    @robertbenard7153 4 роки тому

    Hahahahah raha sana,utadhani yupo yeye na dreva tu,jichanganye sasa ndo utajua kwann bata hata akila kokoto lazima aharishe,Mungu akujalie uzima president wangu,itabidi tuandamane utawale miaka 30,hatuhitaji mwingine,wewe tu unatosha baba!viva magufuli,wewe subiri kuapishwa tuuuuu

  • @thebantuboi5524
    @thebantuboi5524 4 роки тому

    Mbona akukaa kwenye foleni

  • @brightonkimetelo6862
    @brightonkimetelo6862 4 роки тому

    Najua CIA awako mbali ilo aliwezekani😅😁😁😁😁CIA Sha Wana apo😁😃

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 4 роки тому

    Nabii Magufuli

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 4 роки тому

    Magufuli unadhamila ya dhati ya kuipeleka nchi mbele tatizo wanao kukwamisha ni wateule wako sio wote badhi yao wameshindwa kuwalinda Wana nchi ili kila mtanzania apate kunufaika na rasilimali za nchi wamegeuka kuwadhulumu na kuwabambika kesi za uhujumu uchumi hasa kwa wale walioko maeneo yanapochimbwa madini ya dhahabu police wametufanya miladi

  • @zakariaandrew6976
    @zakariaandrew6976 4 роки тому

    Ulinzi upo nyie hamja muona mtu akimbia hpo mbelee anatngulia. Ahsanteeeeee baba JPM

  • @magrethmvungi2516
    @magrethmvungi2516 4 роки тому

    Magu rais wa wanyonge, rais mwenyewe huruma, muonee huruma yule mama gari yake iliotumbukia wami hii nch niya kwako MPE msaada baba.

  • @yvonnemashuda3004
    @yvonnemashuda3004 4 роки тому

    Wimbo hatariii

  • @erickmwaluko3633
    @erickmwaluko3633 4 роки тому

    Hatar

  • @gracesakila4395
    @gracesakila4395 4 роки тому

    Mwingine athubutu ukisogelea hiyo fomu cha moto akione

  • @dianadouglas9054
    @dianadouglas9054 4 роки тому

    Un beliavable

  • @muniradady4881
    @muniradady4881 4 роки тому +1

    Hahahaha katanua