MASANJA RAHA YA PESA UWASUMBUE MAJIRANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • MASANJA RAHA YA PESA UWASUMBUE MAJIRANI #FREECHURCH #FREECHURCHDSM
    Karibu Kanisani Free church siku za ibada ni
    Jumatano saa9 -12 jioni
    Ijumaa saa 9-12 jioni
    JUMAPILI IBADA INAANZA SA4 MPKA SAA8 MCHANA
    Kwa maombi / maombezi au jinsi ya kufika kanisani tupigie kwa namba
    +255 713 855 855 MUNGU AKUBARIKI

КОМЕНТАРІ • 55

  • @edsonndomba1049
    @edsonndomba1049 2 роки тому +2

    Hatubarikiwi ili tusumbue tunabarikiwa ili tuwe baraka na kwawanao tuzunguka. Yesu aliwabariki Adi wanao mzunguka akawarisha na chakula

  • @moneytv524
    @moneytv524 2 роки тому +7

    Hakika ya dini ya hakki mbele ya allah ni uislam,na kitabu chake qur-an ndo kitabu kitukufu ambacho hakuna anayethubutu kukichafu ,"tauret" ni kitabu alicholetew nabii (mussa),"injili" nabii (issa/yessu),"zabur" nabii (Daud) na vitab vyote hivi vimechafuliwa kwa kuingizwa maneno ya watu ispokuwa kitabu kimoja tu nach ni "Qur-an" ambayo ameletewa mtume muhammad ,na kitabu hich allah ameahid kukilinda hadi mwisho wa dunia ,alllahu akbar allahuakbar allahuakbar,ndugiyandu nakupenda slimu usalimikea na moto wa allah

    • @tuzakavera534
      @tuzakavera534 2 роки тому +2

      endelea kukaa na upumbavu wako huo huo

    • @moneytv524
      @moneytv524 2 роки тому +1

      @@tuzakavera534 ww nisawa na wale walokuwa hawakufikiwa na ukumbusho wa allah ,dugiyangu icjipumbaze kwa dini ziczo za hakki, mwanaadam wa kwanz kuumbwa alikuwa muislamu ambaye ni nabii "Adam",kinachokufanya ucamin kuwa dini ya hakki ni uslam n nini na wakat ww asiliyako ni uislam

    • @Mokiwa
      @Mokiwa 2 роки тому +2

      Uislamu haujawahi kuwa dini ya haki wala Mungu hautambui...

    • @moneytv524
      @moneytv524 2 роки тому +1

      @@Mokiwa ww ukumbusho wa allah haujakufikiya ,dini cyo clabu ya mpira kushindana kwa majigambo dini inaendeshwa na hoja

    • @uriahkisanza9150
      @uriahkisanza9150 2 роки тому +1

      Money TV

  • @mclize1190
    @mclize1190 2 роки тому +1

    Da kweli ishi uone mengi leo masanja kaw mchungaji n waumini anapata ,Hakika maandiko yanatimia

  • @science_fact93
    @science_fact93 3 роки тому +4

    Pastor Mungu akubaliki Sana Somo nimelielewa 🔥🔥🔥

  • @chrissmtega8178
    @chrissmtega8178 2 роки тому +1

    Barikiwa Sana na Bwana Askofu Masanja.

  • @pastormzirayofficial2048
    @pastormzirayofficial2048 3 роки тому +1

    Usimhumkumu Mtu Kwa Maan Hukumu Siyetu Niya Bwana Lakin pia Agusaye Mtumishi Wa Mungu Amegusa Mbon Ya jicho La Mungu Tusiwajaji jince walivyo Chukua kill Ambacho Mungu Ameachilia Ndani Yao Mungu Akutie nguvu Mtumishi Ila Tambua Hata yesu Alipoianza Safari Wengi walimtia Moyo Baada Yakuonyesha Mafanikio Vikwanza Viliinuka Usisikilize Maneno Yawatu Songa Mbele Utazame Msalaba IN JESUS Name

  • @stefanokileo1294
    @stefanokileo1294 3 роки тому +2

    Masanja bado sijakwelewa kbs

  • @dicksonishumi8430
    @dicksonishumi8430 2 роки тому +1

    Mmm

  • @abelmkuvasa4044
    @abelmkuvasa4044 3 роки тому +1

    Hata unge miliki dunia,wala sishangai

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 2 роки тому +1

    Masanja injili gan iyo

  • @piuskamala9073
    @piuskamala9073 3 роки тому +16

    Hii siyo Injili ya Yesu, bali ni yale Paul alimuonya Timotheo.
    "Maana wakati utakuja watu watakapokataa kuyakubali mafundisho yenye uzima. Badala yake, ili kutimiza tamaa zao wenyewe, watajikusanyia walimu wapate kuwaambia yale ambayo masikio yao yanayowasha yanatamani kuyasikia."
    2 Timotheo 4:3 NEN

    • @edgarmganyizi7752
      @edgarmganyizi7752 3 роки тому

      Barikiwa sana kaka

    • @Sweetbertjunior
      @Sweetbertjunior 3 роки тому

      Pius Kamala uliyo sema ni kweli Hii sio injili

    • @HabilyTech
      @HabilyTech 3 роки тому

      AMINA kubwa barikiwa sana

    • @patrickmligo9335
      @patrickmligo9335 3 роки тому +1

      Fedha na dhahabu ni mali ya BWANA Mbingu au Duniani?

    • @piuskamala9073
      @piuskamala9073 3 роки тому

      @@patrickmligo9335 soma hii habari kwenye biblia
      Wayahudi walimwambia Yesu
      "Baba zetu waliila mana jangwani kama vile ilivyoandikwa, Aliwapa chakula cha mbinguni ili wale. Yn 6:31
      ila Yesu anasema nini juu ya hiyo mana waliyokula?
      "Mimi ndimi chakula cha uzima. Baba zenu waliila mana jangwani; wakafa.
      Yn 6:48‭-‬49"
      Kifupi namaanisha hii injili ya mafanikio wanayohubiri ni kama "mana" watu watasema inatoka kwa Mungu lakini Yesu ametoa onyo kuwa anekula hiyo injili lazima afe, ila tu amekula injili ya kweli inayomuhusu Yesu na Yesu pekee.

  • @silasmichael602
    @silasmichael602 3 роки тому +2

    amen

  • @anacretsindabaha9395
    @anacretsindabaha9395 2 роки тому +2

    Illuminate is real

  • @angellamunguakubarkikwahad6080
    @angellamunguakubarkikwahad6080 3 роки тому +1

    Hahaaa umenichekesha pastor

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 роки тому +1

    Kweli sasa dini mmmm

  • @amirzuberi980
    @amirzuberi980 2 роки тому +1

    Du uongo bwana maneno harafu muda wa kumchangia hela

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 2 роки тому +1

    Sikuizi ukitaka uachwe na waumini hubiri habari ya Msalaba. Hubiri wanayopenda kusikia watu. Hasa utajiri

  • @ibrahimlameckministry1867
    @ibrahimlameckministry1867 3 роки тому +3

    Masanja mtumikie MUNGU vile anavyokuongoza songa mbele acha kusikiliza maneno ya watu tunabarikiwa sana

  • @ngingatransportation6793
    @ngingatransportation6793 3 роки тому +1

    Naamin✌️

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 2 роки тому +1

    Kufanikiwa sio jambo jepesi ipo siri usiwaaminishe watu uongo wenye ufaham tunafaham mnafanikiwa kwa njia gan nimeona wenye huduma yao hapo wanaitwa Upendo amani miujiza ndo wanakujaza mapesa lazma uwe mwanachama wa🤘ndo upate mafanikio ...hio ni laima yesu tu aliambiwa nisujudie nikupe utajiri wa hii dunia ww ni nani bwana uwe na utajiri aloetoka kwa Mungu hakuwa na utajiri

  • @delphinuschritopher3801
    @delphinuschritopher3801 2 роки тому +1

    If this is your Gospel Bro itapotea kaka. Kaa njia sahihi

  • @franklinkessy586
    @franklinkessy586 2 роки тому +1

    Alijisemea mtu fulani "Mradi injili inahubiriwa"

  • @tatumussa651
    @tatumussa651 3 роки тому +1

    Masanja usije ukamuiga mashimo

  • @predictioneasyodds2779
    @predictioneasyodds2779 2 роки тому +1

    kanisa lipo wap

  • @tatumussa651
    @tatumussa651 3 роки тому +1

    O

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu 3 роки тому +1

    Amen

  • @abbiemulindwa7116
    @abbiemulindwa7116 2 роки тому +1

    Mahubiri ya jinsi hii yanafanya Kristo Bwana atukanwe. Labda tukubali tu wakati wa Injili ya kweli umeshapita. Hivi, labda ni mimi tu, lakini ukimsikia huyu bwana anachosema hapa, hivi utaamini kweli kwamba Mtume Paulo alikatwa kichwa huko Roma kwa ajili ya Kristo, na kama si Petro itakua Yohana aliyesema nitungike msalabani kichwa chini miguu juu kwani siwezi kufa msalabani ni nikiwa kama Bwana wangu na Mungu wangu, na ikawa hivyo kulingana na historia. Ni Ngumu kuamini. Zamani kulikuwa na Watumishi wa kweli na si wachumia tumbo wa sasa.

    • @moneytv524
      @moneytv524 2 роки тому +1

      Injili ni kitabu cha allah ambacho alimpa nabii issa kwa kuwalingania umati wake ,hivo bc kitabu hicho kilichafuliwa kwa kuingiza maneno ya watu ,na allah akamuondoa nabii issa(yessu) na kumpeleka mbinguni ,kisha akazaliwa mtume muhammad ma akapewa kitabu cha qur-an ili kwa ajili ya kulingania ulimwengu mzima , na qur-an ndo kitabu pekee ambach allah ameahid kukilinda hadi mwisho wa dunia ,duhiyangu ucdanganyike hakika ya dini ya haki mbele ya allah ni uislam,slimu usalimike uctapeliwe

    • @mburujamburuja548
      @mburujamburuja548 2 роки тому +1

      @money TV peleka imani yako kule. Yesu ndiye Mungu. Mwamini leo atakufundisha. Achana na imani za kutengenezwa hizo. Ukiona watu wanafundisha injili za uongo zilizochafuka basi ujue injili safi ipo. Uislamu hauwezi kuchafuliwa kwa sababu wenyewe ni mchafu tayari. Tafakari chukua hatua mfuate Yesu. Hangaika na habari za vitabu badala ya Yesu utapotea.

    • @moneytv524
      @moneytv524 2 роки тому

      @@mburujamburuja548 ww haujakufikiya ukumbusho wa allah

  • @science_fact93
    @science_fact93 3 роки тому +2

    🤣 🤣 🤣

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 2 роки тому +1

    HUYO MASANJA NI MSHAMBA WA MAISHA NILIMUONA WAKATI FULANI ALIPOKUJA MAREKANI ANAWAKEBEI WA TANZANIA WEZAKE KUSEMA WATANZANIA KIZUGUNISHIDA MPAKA WAMAREKANI WALIMZARAU KWAKUSEMA WATU WANARIGIYA LUHAZAO HYU ANAZARAU LUHAYAKE

  • @deodatusmaliti7790
    @deodatusmaliti7790 3 роки тому +2

    Comedy mpaka kwenye injili.

    • @edgarnandonde48
      @edgarnandonde48 3 роки тому

      weee si ndio hapo 😆😆😆😆😆

    • @huldamichael4445
      @huldamichael4445 3 роки тому

      Yes,comedy mpk injili kama Paulo alivokuwa mtesi na muuaji wa kanisa mpk akaandika nyaraka zote tunazozisoma leo

  • @dicksonishumi8430
    @dicksonishumi8430 2 роки тому +1

    Tunatakiwa tusumbue watu au tumsumbue shetani? This is not right at. Kila neno lisemwalo na wanadamu liwe la uongo au kweli litaletwa hukumuni na Bwana Yesu