This song is very beautiful,, it really encourages me,,it tells me that it well,,even when the times are this hard in our country Kenya. We give glory to almighty God 🙏 🙌 👏
Hujawahi kuniangusha Dada Despina, Napenda sana machaguzi yako ya nyimbo, kila nikiona wimbo wako najua ni chuma 😁 Unatuonyesha kuwa hata za kale bado taamu 🙏 Barikiwa sana mpaka ushangae
Hongereni sana Dada Despina kwa nyimbo hii umenikumbusha mbali sana hii nyimbo hasa Niki Tafakari mwenzi huu wa Rosary yaani nasali mara mbili naposikiliza huu wimbo moyo unafaraja kubwa sana 🎉🙏
Thank you for this, such a blessing...malkia wa bingu na dunia pokea sifa zetu..malkia wa rosary takatifu, mama WA muumba, mama uliyeumbwa pasipo nyambi ya asili, nyota ya asubuhi, afya ya wagonjwa, sababu ya furaha yetu, mfariji wa wenye uchungu, utuombee
Sifa za Bikira Maria, zisambae kote…..Hakika twampenda Mama sana❤
Wimbo uliofaa sana with the best melody and good arrangement! Hongereni waimbaji🎉❤
This song is very beautiful,, it really encourages me,,it tells me that it well,,even when the times are this hard in our country Kenya. We give glory to almighty God 🙏 🙌 👏
Ntakupenda siku zote mama yangu..mbarikiwe
I love you mama Maria. Continue praying for us sinners
Wooow nice song ❤❤ congrats 🎉🎉🎉
Wowwwee...tuliwamisss jamani
Tunawashukuru kwa kuutendea wimbo wa Mzee wetu Mwarabu....
Kitebo umetishaa sana
Sichoki kuskiliza huu wimbo
Hakika mmejua kumsifu mama hadi rahaa❤😊
Mungu Awabariki Familia ya Galaxy Mzidi kuwa juu kwa unyenyekevu zaidi
The best of bests...nice harmony with alto stanza part❤❤
Wow,I can't stop listening to this ❤❤
Lord my God remember your servant sister who gave him a long life my God
Hujawahi kuniangusha Dada Despina,
Napenda sana machaguzi yako ya nyimbo, kila nikiona wimbo wako najua ni chuma 😁
Unatuonyesha kuwa hata za kale bado taamu 🙏
Barikiwa sana mpaka ushangae
Kazi njemaaaa kbsaaaa mungu awabarik ❤
Mama Maria nakupenda sana❤❤ 🙏🙏
Hongereni waimbaji kwa kazi nzuri
Asante sana Twashukuru
At last my song is out❤❤❤....I love this song with all my heart ❤
My Favorite❤❤❤ Song of mother Mary,May God bless you Despine and Galaxy Family at Large🍷🍷🍷🍇🍇🍇🍇
MUNGU AWABARIKI SANA
Dada yangu Mungu wangu bado akulinde, naupenda sana wimbo huu, uishi maisha marefu. Dada yangu dispina❤❤❤
Hata sichoki kuusikiliza jamani wimbo ni mtamu kama kitu ya kula
Hongereni sana Dada Despina kwa nyimbo hii umenikumbusha mbali sana hii nyimbo hasa Niki Tafakari mwenzi huu wa Rosary yaani nasali mara mbili naposikiliza huu wimbo moyo unafaraja kubwa sana 🎉🙏
Hongeni sana. Mungu aendelee kuwabariki
Dada zangu nawapenda sana mm e baliwa kwel
Hongera sana sauti ni nzuri nashindwa kusema kila ninachotaka kusema naona hakitoshi kukusifia, Mungu akubariki sana Despina ❤bureee...
Amina🙏🙏🙏
Kazi nzuri🎉
Despina never dissapoint she deserves an award 👏 🙌 ❤ i love this song
Kimbilio la kweli mama maria be blessed thanks for that Despina talent well used mother Mary give you more strength ❤
hongereni sana kazi nzuri kabisa
Kaziii nzuriii kumbeeee DEO kiteboo unajua kuchezaaa hv
Woooow 🥰🥰.
So lovely 🥰. Congratulations to the entire team.
Kaka Jose nimeskia sauti yako 😂
Mwl. Sahani nimekuona 😂
Hongereni Sana Mungu awakirimie zaidi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Naupenda sana huu wimbo, dada Despina Mungu aendelee kukupigania na kukulinda daima ❤❤❤❤
Amina
Thank you for this, such a blessing...malkia wa bingu na dunia pokea sifa zetu..malkia wa rosary takatifu, mama WA muumba, mama uliyeumbwa pasipo nyambi ya asili, nyota ya asubuhi, afya ya wagonjwa, sababu ya furaha yetu, mfariji wa wenye uchungu, utuombee
Safi san wimbo mzuri mnooo❤
Hongereni sana wadogo zangu
Wimbo mzuri sana...hongera dada Despina🎉❤❤❤
Asante sana, Despina na wenzako kwa kutukumbusha sababu za kumpenda Mama Maria
Hongereni sana kwa kumuimba Mama Maria utuombee daima nasi tumpende❤️
Wimbo mzur sana mbarikiwe sana
Ongereni sana. Wimbo mzuri sana. Mungu awabariki katika kipaji chenu
Wimbo mzuri sanaaa jamn❤❤big up
Wimbo mzuri sanaa❤❤❤❤
Unagusa direct kule kwenye ala za roho
hongereni sana mmeupiga mwingi hakika mama amewawezesha
Wimbo mzuri jaman 😅😅😅
Despina you rocks it....Hongera sana Da.Despina...nakupenda bure Dada
Asante Kaka Benard mimi nakuombea sana sikumuona tukutane mbinguni kwa BABA tukimtumikia
@@despinae.mdende asante naomba namba yako....Da.Despina
Mama kimbilio la kweli tuombee
Ongera sana dada Antonio vicent dada wa Anita vicent ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri Mungu akubariki na azidi kukupa nguvu ya kusambaza neno lake
Wewe husomi unavyoona unaona kuna Antonia hapo.
Wimbo mzuri sana
🙏🏽🙏🏽😍😍😍
Hello siz,wish you all the best 🎶🙏❤, good job.
🎉🎉🎉 hongereni sana Kwa utume ulio mwema 🎉
Safi saaaana
Chap ushaaifanya ya kisasa ..
Asanteni sana kwa wimbo mzuri. hakika karama ya uimbaji mnaitumia vizuri.
🎉wimbo mzuri sana
Wimbo mzuri sana. Mbarikiwe sana.
Hongera sana Dada unasauti nzuli Sana mungu akubaliki❤❤
Asante mama yetu mpenzi
Yapendeza❤❤
On point❤❤
Very sweet song
Heeh mwenyekiti, nitakuja kuimba kwenye studio yako aiseee. Hongereni saana🎉🎉😂😂❤
Congratulations 🎊 wimbo mzuri sana 🙏 ❤️
Nice song I love it
Best of the best 🎉🎉🎉
Asante sana wimbo nzuri sana ❤❤
Nice job
@DESPINA is this your family ? then you are blessed
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️🎉🎉🎉
Wimbo nzuri sana
Wow nice song ❤ love the song 😊
🎉🎉🎉🎉hii nayo ni tamu sana ...it's on repeat mode ❤
Amina
Blessed sounds
Wow beautiful song.
Kazi zuri sana
Good sound
🙏🙏🙏
Nice song❤❤❤
Love it ❤
💥💥
Safi sana🎉
@Despina Mdende my mentor so sweet🎉🎉❤❤❤❤
Asante sana
Karibu❤
Nimekubali💪
Congratulations bro. It's wonderful, your tenor is just the best 🎉
Weuh....hii ni tamu kweli
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nice song ❤❤❤❤
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri
Kazi safi sana
Hongereni sana wapendwa Mungu awatunze daima
Wimbo mzuri sana
❤❤❤
Wimbo mzur sana
❤❤❤❤
❤❤❤❤