MCH. NDACHA ATOA SIRI ZA UKRISTO KUCHEZEWA NA WACHUNGAJI FEKI NA MANABII FEKI TOFAUTI NA UISLAMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • TUMEONGEA NA MCHUNGAJI FRANSIS NDACHA GATEMA KUTOKA NAIROBI KUHUSU UKRISTO KUCHEZEWA NA WACHUNGAJI WA UONGO WANAOWADHURUMU WAUMINI WAO

КОМЕНТАРІ • 116

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 дні тому +4

    Ndacha .... Namkubali sana huyu mwamba

  • @sethngolo6558
    @sethngolo6558 6 днів тому +5

    Amen, barikiwa mtumishi wa Bwana!!

  • @DanielMlelwa-p6w
    @DanielMlelwa-p6w 6 днів тому +8

    Huyu Ndacha sio wakawaida amechaguliwa na Mungu ana HUBIR injili ya kweli lakin bado watu tuna kimbilia Gizani heri yake Ndacha haubirie injili ya Bwana apate uzima wa milele amen❤🙏

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 6 днів тому +3

    Mungu akutunze, akubariki na aibariki kazi aliyo kukabidhi.

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 6 днів тому +2

    Amina barikiwa sana

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 6 днів тому +7

    Shida ya wakristo wengi wanategemea miujiza ndio waamini na hilo Yesu alishalisema " kizazi kibaya Cha Zina chatafuta ishara

    • @NiyongaboRadjabu-z5q
      @NiyongaboRadjabu-z5q 6 днів тому

      @@nassorsharifu9837 kabisa br nisaidie hio Raini niisome

    • @AmmarSadik-x5u
      @AmmarSadik-x5u 6 днів тому +1

      Kuna wakristo ambao hawaamin miujiza,ila hao wanao amini miujiza nni wale walio tabiriwa,kua wapo nasi lakin si wakundi letu

  • @joezeno8
    @joezeno8 6 днів тому +3

    Mwalimu Ndacha Mwenyezi Mungu akubariki 🔥🔥🙏🏿👍🏿💯💯💯💯💯

  • @williamjamanda8892
    @williamjamanda8892 День тому

    God bless you mwalimu ndacha

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 6 днів тому +1

    Ukweli kabisa Akili tunazo lakini hatuzitumii wengi wangejua M .Mungu ni mmoja❤

  • @YoaneMwepeli
    @YoaneMwepeli 4 дні тому

    Amen..amen..amen

  • @nestoryfrancisco3528
    @nestoryfrancisco3528 6 днів тому +3

    Endelea kueneza injir mchungaj

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 2 дні тому +1

    Fisabi mwenzio kaenda pata kiti moto 😂😂

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 6 днів тому

    Mchungaji dacha amesema vizuri sana AKILI NA UAMUZI AU IRADA..NA ALLAH SIYO MWENYE KULAZIMISHA..KAMA ALIVYOSEMA MCHUNGAJI ,NJIA YENYE HUDAYA NA DHWALALA...UWAMUZI UKO MIKONONI MWETU...❤

  • @LoezjosemwalapwaMwalapwa
    @LoezjosemwalapwaMwalapwa 5 днів тому +1

    Amén 🇲🇿🇲🇿

  • @njuhinyararaofficial
    @njuhinyararaofficial 6 днів тому +1

    He gave us free will,to choose between life and death.

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 6 днів тому +1

    Atakaye nionea haya mbele za watu, nami nitamuonea haya mbele za Baba yangu.

  • @user-hw3wn8ms6j
    @user-hw3wn8ms6j 3 дні тому

    💯💯💯👏👏👏

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 6 днів тому +2

    Hata huyo ndacha mwenyewe feki hana lake moja

  • @basilejuma
    @basilejuma 3 дні тому

    Ndacha umenena ukweli, wale wanasema we ni mwongo ndo wanabi waongo waliyo tahabiriwa Kwa bibilia.. endelea kuendza injili ya Mungu

  • @richardodoyo7558
    @richardodoyo7558 5 днів тому

    Kwakweli siku za mwisho zimekaribia YESU anarudi siku sinyingi wa sabato ndyo wana wa MUMNGU walio baki duniaani

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 2 дні тому

    Hiyo ndio maana uisilamu dini ya haki

  • @YonaNgambi-m6m
    @YonaNgambi-m6m 4 дні тому

    Mutumishi Mii nakufata saana ubalikiwe na bwana Mii muzambia nayitwa Yona ng'ambi

  • @julesngama2508
    @julesngama2508 2 дні тому

    Uyu jama ata na yeye aja mujuwa Yesu ni Nani. Ukiwa na roho mutakatifu njo Uta mujuwa Yesu ni Nani. Yesu ni Mungu ame vaaa mwili . Sasa mafundisho ya Yesu mwenyewe Ana sema wako na macho awaone na wako na masikio awa sikiye .

  • @VIJANAWAYESU12
    @VIJANAWAYESU12 6 днів тому +5

    Mch ndacha uko saa hii katika kz ya BWANA

  • @PeterMashiku-qx7xw
    @PeterMashiku-qx7xw 6 днів тому +7

    Islam hawakumuua Yesu maana waliomuua Yesu ni watu walioishika sabato acha kupotosha moja ya Vitu vilimuua Yesu ni sabato

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 6 днів тому

      Kwanza yesu hakuuawa😊

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 6 днів тому +1

      Unatuletea hapa hadithi za msikiti kutokuwawa kwa yesu kunapatikana TU kwa Quran lakini vitabu vyao kale yesu alikufa msalabani

    • @filexbenefits5612
      @filexbenefits5612 6 днів тому +2

      ​@@michaelamiani6755Aende na uko hata Quran watafsri wengi wa Hadithi wanakubali yesu aliuawa n vile hasomi, tena dini ya kishetani kama Islam hata si ya kuzungumzia mbele ya watu labda maiti

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 6 днів тому

      @@filexbenefits5612
      Kabisa hawana lolote la kuamboa watu comedy ndio wanajua

    • @presenttruthloudcryforthel5338
      @presenttruthloudcryforthel5338 6 днів тому

      Yesu kwani ni siku???mmepotea nyie Yesu sio siku,,sabato bado ipo Mungu aliibariki na kuitakasa,,Sunday law ikipitishwa ndo mtaja kuja kuelewa nawaombea mpate nuru mapema maana itakua kati ya Amri ya mwanadamu dhidi ya Amri ya Mungu

  • @MeshackKaboja
    @MeshackKaboja 2 дні тому

    Ndacha umejaa ukweli wamungu

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 2 дні тому

    Waislamu muwe makini na Ndacha na wafuasi wake

  • @MesaIdd-dn3vt
    @MesaIdd-dn3vt 3 дні тому

    Wow!!! Ndacha kumbe hta wwe hua una wadanganya waumini wa kikristo

  • @MesaIdd-dn3vt
    @MesaIdd-dn3vt 3 дні тому

    So wa kristo wazi mwadanganywa na bado mnaendelea kuwafuata

  • @erastonrugabao
    @erastonrugabao 5 днів тому

    Ndacha ni mwalimu wa kweli ingeliwezekana nipate number yake ya sim kwa kusumuliya naye kizaidi.

  • @user-wr3ho1ie9k
    @user-wr3ho1ie9k 6 днів тому +1

    kweli ndaca unasema ukweli

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 6 днів тому +3

    Yeye ndacha mwenyewe ni ajibu tupu. Anawapa watu habari ya Mungu halafu anawageukia na kuwaoapa za Yesu kristo. Munazani anafundicha nini kama sio upagani? Musiwe na ujinga!

    • @leonardadd
      @leonardadd 6 днів тому +3

      Kwa uelewa wa dini, naenda ukasomee kitabu Cha imani,, Wacha kutumia akili vibaya

    • @johngikiru5400
      @johngikiru5400 6 днів тому +1

      @@jumahenriquesgeraldo9837 toa ushahidi

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 6 днів тому

      Alifundishwa Hawa ni wayahudi waliobaki zama zile za yesu

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 2 дні тому

    Yaani wewe nihatari sana unampanga mtu anapangika 😢😢😢😢 ukesha unajileta 😂😂😂

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 6 днів тому +1

    Wewe ndio machristo wa uongo mnafiki msabato unaabudu siku

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 6 днів тому +1

    Mwandishi ili upate maswali magumu soma biblia

    • @SIMULIZIZONE
      @SIMULIZIZONE  6 днів тому

      @@elgringo8592 ahsante kwa ushauri mnzuri

  • @leonardadd
    @leonardadd 6 днів тому +2

    Ili washawishike, tangazeni wale wanaobadilisha Uislam kwenda ukristo

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 6 днів тому +1

      Wawatangaze wako wapi?! maana kila siku wanazidi kusilimu kutokana na ubabaifu unaotokea makanisani, chunguza mwezi wa Ramadhani ukiingia wanasilimu wengi ajabu... na haya yote yanatokea kutokana na kuwepo kwa utitiri wa matapeli wanaoutumia ukristo vibaya kufanya mambo ya hovyo ili kutapeli waumini wao.

    • @samxx411
      @samxx411 6 днів тому

      Uislamu unamtumia Ndacha kama ubao wa kufundishia, sio lazima yeye asilimu lakini wenye akili zao wengi wakishajuwa ukweli wanasilimu na wataendelea kusilimu kwa uwezo wake Allah Ndacha analijuwa hilo

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 6 днів тому

      Wewe hujui acha kutetea muhamadi aliyezaliwa kama wewe

    • @samxx411
      @samxx411 6 днів тому

      @@michaelamiani6755 kwani yesu alizaliwa vipi si alizaliwa na Mariam, alikaa tumboni miezi tisa, akazaliwa kupitia uke wa Mwanamke kama Mimi na wewe.

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 6 днів тому

      @@samxx411
      Kando na kuzaliwa na Mariam unajua jingine ama ni hayo TU ambayo Quran inafundisha kado kabisa na Bibilia

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 3 дні тому

    Badala ya kufanya namna ya kuondoa upuuzi na utapeli ktk ukristo, ndacha anaulink uislamu ktk utabiri wa Yesu.
    Nenda kajarihu kuhubiri chochote msikitini ambacho hakina dalili kutokai ktk quran au hadithi uone utakavyotimuliwa msikitini

  • @rejim2231
    @rejim2231 6 днів тому

    Unafki umeshika hatamu, msimamo na ukweli hauna nafasi kwa walio wengi.

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 6 днів тому

    Ndacha wasomali hawamkatai Yesu wanakataa ukristo Mana wao hawako chini ya sheria wanaishi wapendavyo sio vile Mungu anataka

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 6 днів тому +1

    Mlmungu aliposema hakuna mtume wala nanbii bàada ya mtume Muhammad S.A.W mlibisha,nakushangaeni mnamkataa mtume wa ukweli mnawakubali mitume ya uongo,binaadamu abadan huwezi kupingana na aliekuumba na ukabaki salama

    • @AmmarSadik-x5u
      @AmmarSadik-x5u 6 днів тому

      Mudi ni mtume wa uongo hakuna mahali biblia inamtaja mungu

    • @vincentdaud9954
      @vincentdaud9954 6 днів тому

      Huyu nae , eti mhammad ,

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 2 дні тому

      Eti mtume wa kweli😂😂😂🤣🤣 na machafu yote yale.... kuchinja wayahudi, kuoa mtoto, kupigana mavita, kuchukua mateka wa kingono na mengine mengi..alafu umuite eti mtume. 😂😂 Oya! kweli ujinga mzigo.

    • @AmmarSadik-x5u
      @AmmarSadik-x5u 2 дні тому

      @@ZayyanaBamuni mm nachojua aje hata mohamed na mashetan wote alio wasilimisha siwez kumkubali

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 дні тому

      @@Anonymous-w9v-i1p mmejua kulishwa matango pori,poleni

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 6 днів тому

    Huyu ndacha ni mgoni sana anapenda sana mademu

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 6 днів тому

    Dah! Huyu mchungaji anapinga utatu, lakini jambo la kushangaza amekubali kubatizwa kwa jina la Baba na Mwana na Roho mtakatifu!!

    • @Mtumisi
      @Mtumisi 6 днів тому

      Sasa jina la baba, mwana na roho mtakatifu ni utatu shida elimu. Utatu ni mungu baba mungu mwana na mungu roho bali kuna mungu baba, mwana wa mungu na roho wa mungu. Umeona ni mwana wa mungu bali si mungu mwana

  • @user-qo2xd3hb8l
    @user-qo2xd3hb8l 6 днів тому

    Kwa ivyo roho mtakatifu wako ajui miujiza

  • @AbubakarKi
    @AbubakarKi 4 дні тому +2

    Ww ndacha ni uwongo wachana na kupoteza kondo ya MUNGU

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 6 днів тому

    Wailam hawankatai yesu wanakataa ya kumuita mwana wa mungu au mungu ss tunankubali kwasababu hadi kwenye kuran yupo anaelezwa matendo yake sasa nyinyi mnanyanganya cheo cha mungu munampa yesu hamuoni kua ni batili mungu mwenyewe amekasirika kama hamjui

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 6 днів тому

      Kumbuka wanaokataa yesu kama mwana wa mungu pia ni majini
      Ila Majini ndani ya Qurani Yana kizazi hicho kizazi chatoka wapi

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 6 днів тому

    Kristo siyo Dini ya mungu ndio maana wana ichezeya lakini hujaskiya Dini yaki islam inachezewa

  • @user-qo2xd3hb8l
    @user-qo2xd3hb8l 6 днів тому

    Ilikuaje bwana yesu asema kutatokea makristo wa uongo na yeye akua mgiriki?

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 6 днів тому

    Lazima ichezewe kwa sabb sio dini ya kweli ni mpango wa wanaadam na kama ingekuwa ya Mungu basi tangia walipoanza kuuchezea hadi sasa ingekuwa tayar washaadhubiwa na mwenye dini ila hakuna kitu kama hicho ukristo ni upagani tu wala sio dini ya Mungu.

    • @AmmarSadik-x5u
      @AmmarSadik-x5u 6 днів тому +1

      Dini ya kweli niipi sasa,au ni hii ya kuabudu jiwe

    • @Juniorjacob-le1rr
      @Juniorjacob-le1rr 5 днів тому +2

      mohammed mpenda ngono aliyebaka mtoto wa miaka huu ndio ukweli kweli😂😂😂😂😂😂😂😂 poleni nyie mnayemfuata aliye kaburini yaani marehem MOHAMMED 😂😂

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 5 днів тому

      @@AmmarSadik-x5u
      Dini ya kweli ni hapa 3:19 QURAN.
      nenda katafute dini inayoabudu mawe na jua na kumfanya kiumbe Yesu kuwa Mungu kama sio dini zenu mulizotengenezewa na WAZUNGU

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 5 днів тому

      @@Juniorjacob-le1rr
      Alikuwa mwanao hadi ambake???
      Nyie tunawajua wazee wakupotezwa na wachungaji kusoma hamutaki kazi kucheza ndombolo tu.

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 5 днів тому

      @@Juniorjacob-le1rr
      Hivi nikuulize swali kwa mujib wa Bibilia yenu kuna pahala panasema binti huolewa akifikia umri fulani???
      kama hakuna jiulize kwa nini kitabu chenu hakijataja na kwa nini useme alibaka hali wewe sio mzazi??
      acha chuki soma maandiko na uyaelewe.