Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hii choir ni no 1 hapa nchini hakuna ubishi.
Nashukuru Mungu kwa Wimbo huu umenifikia tena kwa ndoto leo. Nashukuru kuupata kwenye mtandao. Mungu atuwezeshe kuingia mbinguni pamoja. Ni Pastor Josué toka Congo (RDC)
Nawapenda ndugu zangu hawa kabisa
Mungu wetu awape nguvu za kuendelea kuimba nyimbo zingine zaidi.Amen. kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya.
Such songs are gold,they touch down deep the heart ,They are a blessing,I like listening to them every morning
We used to sing this song in the late 1990s and early 2000s. I was a choir member, young, could sing Tenor 1 and assist the Soprano voice team.
Thank God for this far 🙏
Amen amen nawaombea mwisho mzuli Mungu aliwatumiya mambo makubwa.
Amina sana mbalikiwe na Bwana Mtuwekee nyingine Nyimbo zenu zina tubariki sana Ni Mechaque niko Marekani
Nipe wimbo unahitwa dunia inaomborewa
God bless you, I remember watching this song's on sayare Tv
Yaani hizi ndizo nyimbo zilizomwimbia Mungu kwakweli ujumbe mzuri sauti na vyombo Safi Mungu awabariki hakika ni wimbo mzuri
Bwana Yesu asifiwe,Tunaomba mpendwa utusaidie kuutoa huu wimbo kwenye Account yako kwasababu tunataka kuimalisha account yetu.Mungu akubariki
zamani walimwimbia mungu
Aksante sana
amina kubwa sana. tumebarikiwa
Nyimbo nzuru sana zenye baraka
Plz tunaomba albam nzima wapendwa
Naomba albam nzima ya nyimbo hizi
Mungu awabariki saaana Ni nyimbo wa ujana wangu na unanitiya tena moyo
Amina
Huu wimbo hauchuji na sijawahi kuukinai...
Biblia husema.
Ooooh
Do they still sing?
Yeah I think so ☺☺☺☺
Inaitwaje albam hii?
Inaitwa HERI ALIYESAMEHEWA
Hii choir ni no 1 hapa nchini hakuna ubishi.
Nashukuru Mungu kwa Wimbo huu umenifikia tena kwa ndoto leo. Nashukuru kuupata kwenye mtandao. Mungu atuwezeshe kuingia mbinguni pamoja. Ni Pastor Josué toka Congo (RDC)
Nawapenda ndugu zangu hawa kabisa
Mungu wetu awape nguvu za kuendelea kuimba nyimbo zingine zaidi.Amen. kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya.
Such songs are gold,they touch down deep the heart ,They are a blessing,I like listening to them every morning
We used to sing this song in the late 1990s and early 2000s. I was a choir member, young, could sing Tenor 1 and assist the Soprano voice team.
Thank God for this far 🙏
Amen amen nawaombea mwisho mzuli Mungu aliwatumiya mambo makubwa.
Amina sana mbalikiwe na Bwana
Mtuwekee nyingine
Nyimbo zenu zina tubariki sana
Ni Mechaque niko Marekani
Nipe wimbo unahitwa dunia inaomborewa
God bless you, I remember watching this song's on sayare Tv
Yaani hizi ndizo nyimbo zilizomwimbia Mungu kwakweli ujumbe mzuri sauti na vyombo Safi Mungu awabariki hakika ni wimbo mzuri
Bwana Yesu asifiwe,Tunaomba mpendwa utusaidie kuutoa huu wimbo kwenye Account yako kwasababu tunataka kuimalisha account yetu.Mungu akubariki
zamani walimwimbia mungu
Aksante sana
amina kubwa sana. tumebarikiwa
Nyimbo nzuru sana zenye baraka
Plz tunaomba albam nzima wapendwa
Naomba albam nzima ya nyimbo hizi
Mungu awabariki saaana
Ni nyimbo wa ujana wangu na unanitiya tena moyo