Kaminula Choir Maandiko Matakatifu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @mathiasmaduhu9469
    @mathiasmaduhu9469 4 роки тому +3

    Safi nabarikiwa sana ningependa mnirushie mwenye nyimbo zao za albam ya mambo ya leo

  • @obedlwinga2117
    @obedlwinga2117 3 роки тому +2

    Kaminula kwaya niipendayo sana tangu miaka ya 2002 nakumbuka sana nikiwa sumbawanga kilando Mungu awabariki wapendwa wangu

  • @cadeaumahuridi9198
    @cadeaumahuridi9198 5 років тому +5

    kaminula choir muliimba kabisa nyimbo zenu zinatubariki kila mara

  • @tacticalhuddy3614
    @tacticalhuddy3614 2 роки тому +1

    Thank you for sharing this powerful songs from back in the days. Mungu akubariki

  • @wilbertmaganga7618
    @wilbertmaganga7618 2 роки тому +1

    Nabarikiwa ninaposikia nyimbo zenu naomba mtuwekee kwenye Yu tube nyimbo zinazoitwa "Stefano" na "Hata ilipofika saa"

  • @MrKasumo
    @MrKasumo Рік тому

    MUNGU wa Mbinguni awabariki sana, nimegundua hii hazina inayonikumbusha in 80's, THANKS a lot and GOD Almighty bless you all

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 Місяць тому

    Nyimbo za kuubiri injili.

  • @msc.ing.ericmpayimana9142
    @msc.ing.ericmpayimana9142 5 років тому +4

    Watu wa Mungu karibu sana Burundi msisahau kwenu na Mungu awabariki sana tunawapenda

  • @esaierwumbuguza4946
    @esaierwumbuguza4946 2 роки тому

    Tangu mwaka WA(1988) Hadi Leo nimekuwa nikiwasikiliza wamevuta ROHO yaaangusa Yesu Kristo Ambaye
    Mmemutumikia Awabariki

  • @esaierwumbuguza4946
    @esaierwumbuguza4946 2 роки тому

    Mungu WA mbinguni Awape baraka waimbaji Hawa WA kwaya kaminula

  • @leticiamtinda8157
    @leticiamtinda8157 2 роки тому +1

    Excellent song

  • @mabitajunior
    @mabitajunior 2 роки тому +1

    wimbo wa baraka sana

  • @godfreyMethew3689
    @godfreyMethew3689 4 місяці тому

    Acha ushamba NYIMBO zetu unatumika

  • @MathiasMaduhu
    @MathiasMaduhu Рік тому

    Ikiwezekana naomba albam nzima ya mambo ya leo

  • @yusufumwanawadaudi6663
    @yusufumwanawadaudi6663 Рік тому

    Naomba nyimbo za Kaminula 2 kwenye tubidy., unaoitwa MAMBO YA LEO na DHAMBI NI HATARI. Nashukuru sana na MUNGU AKUTUNZE

  • @charlesmuhire3810
    @charlesmuhire3810 3 роки тому +1

    Kaminura choir
    Tunawapenda

  • @eliufoosimonchuri4160
    @eliufoosimonchuri4160 Рік тому

    When gospel songs were gospel songs

  • @kamanafrederic9273
    @kamanafrederic9273 Рік тому

    Nyimbo za zamani zjna upako

  • @frankbai2473
    @frankbai2473 2 роки тому

    Album nzim tunaiomba mkuu

  • @mathiasdanielmaduhu6237
    @mathiasdanielmaduhu6237 4 роки тому +1

    Mwenye albam nzima ya kwaya hii ya kaminula naomba anitumie whatsap 0764280836 nitashukuru sana