MAKUBWA!! WOLPER ASAHAU MWAKA ALIOZALIWA/HAJUI ANATIMIZA MIAKA MINGAPI/ATUMIA TAREHE YA BIBI YAKE
Вставка
- Опубліковано 5 гру 2021
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
MAKUBWA!! WOLPER ASAHAU MWAKA ALIOZALIWA/HAJUI ANATIMIZA MIAKA MINGAPI/ATUMIA TAREHE YA BIBI YAKE
#Bonatv #Exclusive - Розваги
Yaan pia mtoto yuwazinduliwa kama ambae ni kiwanda🤣😂😂master mna balaa
Ila umenifurahisha neno allahamdulillah limekupendeza mno
Hongera dada kwakuongeza mwaka Mungu akutunze wew na familia ya 🙏🙏🙏
Happy birthday mama p
Mama p na baba p mmedamshi jamani hongeleni sana, salehe unaseleleka vizuri hongera kwa kazi nzuri
Bora dada wanauliza xana
Ongera sana dada
Mbona bado mdogo itakuwa ana miaka 25nahis sio mkubwa sana mama p
😂😂😂😂😂wolpa huyo,,anavyomtizama mwenzio kwa jicho baya jamani wakati anajielezea 😂😂😂
Happy bartyday
Hongera classmate jack 🍾🎉🎂
KAMA NI CLASSMATE TUPE UHONDO ANA MIAKA MINGAPI?
@@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 😆😆😆kwakwel
Bola shoga yangu ujisaulishe 😂😂😂😂
Mh mtangazaji usilazimishe mtu kujua mwaka wake wa kuzaliwa ww vp
🎤🤣🤣🤣🤣🤣🤣 HATA ANT EZEKIEL ALIULIZWA AKASEMA ANA MIAKA 29 ETI BOYFRIEND YAKE LUSA NIMKUBWA KUMLIKO MIAKA TWAIFICHA UVUNGUNI
Nimecheka leo jaman eti kujisahaurisha tu
Kwani iyo number ya mnataka kujua .mkule ama🤣🤣🤣😋🤣..azeni kuesabu sai basi.,..fr om 254🇰🇪🇰🇪 Nakupenda mpaka naumwa
Mama paschal
Tulijua miaka ya Masogange wakati amefariki kabla ya hapo tulikuwa hatujui miaka yake
Mama Piscoo
Hata mm nawish mama p kuigiza naamin naweza naomba unisaidie mdogo wako
Huyo ni kinyanya ndo maana hataki kusema na huyo na kijana mdogo🤣🤣🤣
Dada zetu wa bong hawataki tuwe tunajuwa mwaka yao🤣🤣🤣
Akishajiua anamiaka mingi anajifanya kasahau loh!
BORA USISEME WANA TABIA WAANDISHI WANAHESABIA WATU
Ww born 1984 waficha nn
Dada anatafuta 40
Hana lolote kila cku anatamani kurudi nyuma
mwisho wa uongo fedheha .
birthday date za mastar wetu almost fake .