RIPOTI YALEO JOSEPHINA VOLUME 07

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @tatukhalifa6506
    @tatukhalifa6506 Рік тому +27

    Simulizi yangu ndio hii hapa kwa mapito ninayopitia hayajaachana na haya hapa naangaik mtoto anatakiwa aende chuo na ninaimani atafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu🙏🙏🙏

    • @omanlove3968
      @omanlove3968 Рік тому

      Mungu atusaidie my wasome tuje tule matunda Mungu akusaidie mwanao aende chuo 🙏

    • @shaluuanthony1836
      @shaluuanthony1836 Рік тому

      Pole mpnz 😢😢

    • @drvidah7030
      @drvidah7030 Рік тому

      Aiseee pole sana

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому

      Pole sanaa😢ila Mungu atamsaidia naipo siku atakuja kutafutwa km anavyotafuta mtoto wa joseph,,,🙏

    • @mwamwajaonline1881
      @mwamwajaonline1881 Рік тому

      Usikate tamaa zidi sana kuomba Mungu na njia zitafunguka

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Рік тому +4

    Aah story nzuri sana,yaani niliitamani sana kusikia,habari za huyo baba mtoto,kweli Mungu wetu hawai wala hachelewi ❤

  • @mvfff7224
    @mvfff7224 Рік тому +3

    Yaan nafurahi kusikia maisha yenu Jose Alhamdulillah,,lkn nahasira kulisikua Ili jidume likatili upuuzi wake,,mjinga wakutupwa mpuuzi mno,,kamsikia mtoto yupo vizur leo mtoto wangu nyau uyu,,nahisi presha inapanda tu

  • @jkmtotowapwani.official395
    @jkmtotowapwani.official395 Рік тому +1

    Dah story nzuri sana yakusikitisha sana wanaume tujikosoe kwa somo hili

  • @jkmtotowapwani.official395
    @jkmtotowapwani.official395 Рік тому

    Dah story nzuri sana yakusikitisha sana wanaume tujikosoe kwa somo hili by jk wapwani

  • @heriethasimwe8644
    @heriethasimwe8644 Рік тому +2

    Da vero story ya jana bado hujatuwekea😢😢😢

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 Рік тому

    Kiumbe anaitwa mwanaume bora afe tu ujue moja kuliko awe hai ok tupoe sote maana hata ukatae ni kazi bure bora ukubali yaishe mungu ni wetu sote

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Рік тому +2

    yan uyo mwanaume ni shetani anaeongea kingereza akiwa na amevaa suti.nimemchukia sana .

  • @JACKLINEFELIX-g8i
    @JACKLINEFELIX-g8i Рік тому

    Mungu nisaidie na unifungulie riziki nisichoke kumlea mwanangu pekeangu amina

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 Рік тому +1

    Mababa jamani walio wangi sana kwenye anga za watt muna matatizo kwenye sapoti huu ni mfano

  • @IsdorySongoma
    @IsdorySongoma Рік тому

    Vero unachelewa sana kuweka mtandaoni mwendelezo.

  • @KessyMatata
    @KessyMatata Рік тому

    Simulizi nzuri hongera da vero

  • @khorima
    @khorima Рік тому

    Mbona sehemu ya 8 hamjaweka Hadi saa hizi?

  • @Truly_Afrikan
    @Truly_Afrikan Рік тому +2

    Na ukute hata huko aliko hajafanikiwa kupata mtoto, watu kama hawa hulaaniwa hivyo.

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Рік тому

    HASANTEE
    Yajayo yanafurshisha
    Shukran sana aunty vero

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому +1

    Kujua ndugu baba yake ni muhimu kuna kijana alikutana na msichana wakapendana yule msichana alikuwa anatumia majina ya mjomba wake mama yake alimpa majina hayo baada ya mwanaume kumataa mimba basi wameanza kuishi pamoja msichna kaahika mimba sasa wakaeenda kwao yule mwanaume qlipojitambulisha mama wa yulw binti akaanza kuria saana ikabidi amwambie binti yake nipishe kidogo nina maongezi na mkwe wangu ndipo anamwambia yuke kijana kumbe ni dada yake wakamwambia.binti akatoe mimba akakataa siku ya kijifungua akafanyiwa oparesheni mtoto akafa bas mpaka leo mvulana na machana huyo ni ndugu wapo wawili tu na wazazi waliashakufa wakaenda kanisani Wanaishi kama ndugu sio wapenzi tenakila mtu na familia yake kina mama tuwe makini hasa kwenye majina ya ukoo

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 Рік тому

    Veronica unasimulia utadhani mhusika halisi, huwa naona saa 1 jioni haifiki kusubiri ripoti ya leo. Dada una kipaji.

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому

    Ila Josephina sijapenda majibu uliyomjibu uyo uyo kaka kwamba ajuwi uchungu nawakati uyo ndoalikuwa anaumia namapito unayopitia mpaka uyo kaka alikusafirisha naakategwa narafiki yake😢japo kaja kumuombea msamaha wewe mjibu tu vizuriii plz✍️

  • @nashwaaabdullah3412
    @nashwaaabdullah3412 Рік тому +1

    Weee me ndo wa kwanzaaa leo..😂😂

  • @AnnaChitanda-gl6rn
    @AnnaChitanda-gl6rn Рік тому

    Da vero sehem ya name mbona hujaweka

  • @amedeusifuani
    @amedeusifuani Рік тому

    Dah hii ndo ile ya chibu kumkataa mshua😁

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 Рік тому +1

    Huyu dingi alie tu, hana akili kabisa.

  • @rosenyimbi2099
    @rosenyimbi2099 Рік тому +1

    Usichokijua ni kama usiku wa giza , yaani saiv anamtafuta mtoto .

  • @suzandonadi1400
    @suzandonadi1400 Рік тому

    Huku UA-cam dada Veronica unatucheleweshea sana jamani

  • @PendoEnock-j7e
    @PendoEnock-j7e Рік тому

    Mimi namsubili baba mtoto alete miguu yake mwanangu akikuwaa ntantimua 😅😅 kama josephina

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 Рік тому +2

    Lo! Leo ndio anakuja kudai mtoto wakati alimwambia atoe uja uzito, kweli some men are shameless 🇰🇪 🇰🇪

  • @shangwefrank5362
    @shangwefrank5362 Рік тому +2

    Ivi kwani huyo mwanaume hana aibu? Aendelee na maisha yake amwache Jose na maisha yake, kwan si aliwakataa walivyomfata Mwanza, tena akome😢😢😢

  • @MagrethBoniphace-o9i
    @MagrethBoniphace-o9i Рік тому

    Tunaendlea kujifunza kipenz mung akubariki

  • @NeemaLameck-mm7pj
    @NeemaLameck-mm7pj Рік тому +2

    😮😮 hakuna kumpatia Mt mtot

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому

    Wanaume mnao kataa watoto mungu anawaona duh maangaiko yote hayo saivi ndo anajua kuna mtoto sehemu,acha tuu ninyamaze maana mmmh

  • @drvidah7030
    @drvidah7030 Рік тому

    Men wengi wanakimbia majukumu wanasubiri mtoto apate chochote kitu ndo wanajileta😢😢😢😢can never be me

  • @mvfff7224
    @mvfff7224 Рік тому

    Iyo ni fimbo ya MUNGU aina makosa,,bado atachapwa sana,na pengine uko hata ajapata mtoto,,Muacheni MUNGU aitwe MUNGU,,,,

  • @jennygabriel9253
    @jennygabriel9253 Рік тому

    Jaman mbona ya leo siion😢 ipo hii ya jana tu

  • @teddysisty320
    @teddysisty320 Рік тому +3

    Nasikia hasira sana😭😭😭😭😭😭

  • @khorima
    @khorima Рік тому

    Na ya Tisa?

  • @khorima
    @khorima Рік тому

    Huyu kweli ametumwa. Mpumbavu mkubwa kabisa huyu Baba.

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 Рік тому +3

    Yan najikuta nahasira kuliko Josephine 🤣

  • @LinusMsimbano-uq1kg
    @LinusMsimbano-uq1kg Рік тому

    Endelea na msimamo wako

  • @KelvinAloyce-tv3pu
    @KelvinAloyce-tv3pu Рік тому +2

    Number 1 🎉🎉🎉

  • @khorima
    @khorima Рік тому

    Ukishangaa ya Mussa
    Utastaajabu ya Firauni wallah

  • @jannyalviny9276
    @jannyalviny9276 Рік тому

    Da Vero vp? kuhusu singida Radio yenu haishiki, nimewasikilizisha familia yng kupitia hpa youtube sasa kma hna bundle ndio htuxkii na mimi naishi dodoma naondoka nawaacha na usongo wanatamani waendelee kusikiliza

  • @irenekimath1342
    @irenekimath1342 Рік тому +1

    Kama diamond na mamake😂..acheni Josephine ajinafac na mafanikio ya mwanae..wamama tuna viti vyetu mbinguni

  • @rebeccaraphael5722
    @rebeccaraphael5722 Рік тому +1

    Huyu dada ni mimi kabisa

  • @mrsogc2142
    @mrsogc2142 Рік тому

    Nahisi ata mimi yatanikuta haya ya kuja kudai watoto wangu ile hali bado naangaika na wanangu mwenyewe mungu wangu nisaidie mimi 😢

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому +1

      Yaani lazima watoto watakuja kudai ndugu

    • @mrsogc2142
      @mrsogc2142 Рік тому

      @@tinnahagustinolyelu4247 yani nikifikiria ivyo roho yaniuma sana, yani wanaume hawa niwamoja tu 😭

    • @mrsogc2142
      @mrsogc2142 Рік тому

      @@tinnahagustinolyelu4247 mimi namshukuru mungu kwasababu nipo 🇺🇸 wala sina shida na baba watoto wangu napambana mwenyewe

    • @gladnesskajela7263
      @gladnesskajela7263 Рік тому +1

      Na hua wanamsemo wao eti damu yangu itanitafuta tu hawajali umehustle kiasi gani kulea pekeako mpk hapo ulipofika yeye anataka umlelee mwanae akikua alete pua lake kusema yeye ndo baba shenzi nin

    • @mrsogc2142
      @mrsogc2142 Рік тому

      @@gladnesskajela7263 ndugu yangu mimi uwa nachukizwa na familia zetu kwasasa ivi bado naangaika mwenyewe baadae watoto wakiwa wakubwa anakuja kuwadai halafu familia zetu wanakwambia msamehe tu kwani wewe ndo wa kwanza kukataliwa na watoto ata kama ukikataa itabaki kuwa damu yake tu yani uwaga nachukia

  • @AnnaChitanda-gl6rn
    @AnnaChitanda-gl6rn Рік тому

    Sehemu ya nane ujaweka

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 Рік тому

    Uyo mwanaume ni waajabu saa anakuja kudai mtoto wa nn jmn

  • @jacklinegodifrey8607
    @jacklinegodifrey8607 Рік тому

    Kwakweli kama ni baba afage tu

  • @AgnesFrancis-l9n
    @AgnesFrancis-l9n Рік тому

    Mbona sehemu ya nane haujaweka

  • @danielnguno5750
    @danielnguno5750 Рік тому

    dada vero story ya jana naomba uweke

  • @EsterMajaliwa-u3b
    @EsterMajaliwa-u3b Рік тому

    Kama Josephine unasoma comment, naomba soma comment yangu hiiii,,usikubari usikubarii usikubariiii haiwezekani 😬

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

      Asikubari vipi na wakati ni mambo ambayo yalisha pita Yaani Mungu Huwa qnaruhusu majaribu lakini anaweka na mlango wa kutokeq hivyo

    • @paschalinaproty
      @paschalinaproty Рік тому

      😀😀

  • @EddaAyoub-ib8vb
    @EddaAyoub-ib8vb Рік тому

    Endelea namsimamo wako dada

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 Рік тому

    Huyo mwanaume anyongwe

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 Рік тому

    Josephine usirudishe moyo nyuma.

  • @jacklinemassawe9028
    @jacklinemassawe9028 Рік тому

    Wa kwanza leo ongera dada Vero ❤

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 Рік тому

    Au dada yupo kumchuna kijana wako?

  • @asias8724
    @asias8724 Рік тому

    Watu mpo fasta nikajua wa kwanza kumbe wa 3

  • @GloryJohn-xq9jj
    @GloryJohn-xq9jj Рік тому +2

    Jamani😆😆 watu mpo fasta

  • @StellaMuhibu-po3ec
    @StellaMuhibu-po3ec Рік тому

    Nimajalibu hayo

  • @gwantwajohn7875
    @gwantwajohn7875 Рік тому

    Wakwanza

  • @AzizaFirozi
    @AzizaFirozi Рік тому

    Wa 4

  • @thobiethalibutu1465
    @thobiethalibutu1465 Рік тому

    Guys namba nane hiko wapi ???

  • @EmmaMosses-i2k
    @EmmaMosses-i2k Рік тому +1

    Hata Mimi nimewah jamani

  • @margrethamsechu7088
    @margrethamsechu7088 Рік тому

    Nitachukua kisuu nimwambie mwanangu achague kubak na baba au mama 😂😂😂

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

      Ukitaka Mungu azidi kukuinua achiria samahe Mungu atatimiza kusudi aliriliwwka ndani Yako hivo Kila kitu kinakuja Kwa kusudi mpendwa

    • @renatadaniel3789
      @renatadaniel3789 Рік тому

      We tinna kuna vitu vyakuachilia sio ili

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

      @@renatadaniel3789 Yaani sio unaachilia mrudiane aaaa hata ukikataa mtoto ulimsimulia tu yeye hajui anachojua wewe umemlea peke Yako hicho tu kumsamehe ila kijana sababu ni msomi atajua kipi Bora na mtoto wa kiume na mama asikwambie mtu

  • @christinamsangi4756
    @christinamsangi4756 Рік тому

    But why Age go😅😅