Wow, imani ni kitu ya muhimu saana see our hero is back on his feet as never before, Glory be unto you God kweli ulisema anayekutumania na ku kusifu kila wakati hutaweza kumwacha hata akiwa katikati ya maadui and indeed you done it to our Heroes Ibra.. Mungu nipe uzima ili niweze kufika hiyo 31st kupoke Baraka zako kupitia kw mtume wako olum Amen🙏🙏
Me naona mitume hawashuliki na kinyambizi, mama malindi ,na Amos coz malindi hawa wanyama wanachinja watoto kama kuku live on camera jameni mitume ingilia kati akii,
Nauliza na si kwa ubaya kujua tu maana nilisikia wakisema ibrah dam katolewa kwaiyo wako na mpango wa kuleta clone nyingine ama mulibahatika kupata hiyo dam mkamwaga
Wel come back ibra God is great
Welcome back our hero
AMEN Mungu anawebenda sana
Wow, imani ni kitu ya muhimu saana see our hero is back on his feet as never before, Glory be unto you God kweli ulisema anayekutumania na ku kusifu kila wakati hutaweza kumwacha hata akiwa katikati ya maadui and indeed you done it to our Heroes Ibra.. Mungu nipe uzima ili niweze kufika hiyo 31st kupoke Baraka zako kupitia kw mtume wako olum Amen🙏🙏
Hi team saviours,,,plz ombi langu n muulize mtume vile mnaweza wamaliza hao waganga, amos,kinyambizi na mama wa Malindi
Welcome back our hero imani mbele
Welcome back our hero❤❤
God is great. Welcome back Ibra
Karibu tena simba. But mkiwa kwa mission muombe bila kufanya lolote umesikia Ibrahim wewe na kitambaa iwe kwa mkono na maji bibilia sawa
Glory to God.welcome back
Umekuwa active
God is great
Welcome Ibrahim
We looooooove u guys.
God is good all The time, back again Ibrahim ❤❤
Kira siku tunakwabiya funga kitambaa kwa mkono hutaki 😢uripewa rungu hutaki kutumiya pia😢
Ulizeni pia erick aki na shpa yake
IBRAH why do you go to war without weapon?
Mary m karibu sana brayo
You understand kiswaili?
Hey kapassword
Bado umweka kitambaa kwa mfuko badala ya kufunga kwa mkono
Ibra muambie ajue vile atawafanya wota pamoja na amos na huye madam wa malindi
Soon tutaskua clon is live
Kinyambizi n bongo lala kuuliwa n RAHISI anijisahau hakumbuki ya kuwa anatafutwa kuuliwa. Huyo January haita Isha walai kabla hajafa
Your about the two how About Amos
Me naona mitume hawashuliki na kinyambizi, mama malindi ,na Amos coz malindi hawa wanyama wanachinja watoto kama kuku live on camera jameni mitume ingilia kati akii,
Na mganga mpumbavu
@naseeralbishi4726 yes hao wote wakiisha walai tutakuwa na amani ,inaonekana wao n boss wakuu humu kenya
Very true ju wanawaacha watambe Tu na kumaliza watoto
@salimsandi-p7p akii ibra plz unganeni team zote malindi yawa wtt wanachinjwa plz ambia mtume olum asingatie
Mbona mitume hawashughukikii hawa akina amos,malindi lady,kinyambizi na western lady na ndo mapillars na watoto wanazidi na kupotea
Why don't you handle that case to the three kings(riaga) to deal with them once and for all
Nauliza na si kwa ubaya kujua tu maana nilisikia wakisema ibrah dam katolewa kwaiyo wako na mpango wa kuleta clone nyingine ama mulibahatika kupata hiyo dam mkamwaga
Welcome back our hero❤❤❤❤