Ibra hata zaman ulikuwa huna imani ilichukua muda ndo imani yako sa hii iko juu baada ya kupambana sana na mapepo hata huyu kipaswed pia atazoea hayo mambo na atakuwa imani sana sisi tunachotaka mumalize amosi mama wa malindi na kinyambiz na mganga sisi tutawazadia zawadi yoyote ile iwe bibilia nn kikubwa tutawapatia
Mungu asante huyu mganga akufe na mzee amos na kinyambizi
Welcome IBRA 🙏 🙏🙏 God is good all the time
Amina, my brothers prayers prayers and having faith
Asisahau amos na madam wa malindi juu watamwamsha😅
Kama walitegeza clone na ikawageuka ata waamshe wafu nbure ju mitume awatawapea nafasi
Mganga, Amos, kinyambizi na mama wamalindi wakufe ikiwezekana before huu mwaka uishe 😮
Kabisaa ,wamenikula akili
Ata mwaka ukiisha aina shda mradi kila plan zao znagudulika na wanashdwa kupata watoto,mungu Yu mbele
@@DianahMururiop wakumbuka tagu watume wakuje Tena shughuli zao za watoto zlizoroteshwa ata izo guvu wanajaribu kujiogeza nbure
Kabsaa
Mubadilishe clone nguo,
Mungu ni mwema Kwa kukuona uko sawa
Am happy to see Ibrahim ❤
Mungu walinde hawa vijana wote
Thanks Ibra to be back in Jesus name 🙏🙏
Huyo muchawi na nyungu wa nguli wote na amos na kinyambinzi na yule mama wa malindi
Glory to God am happy to see you ibra in good health, tutaomba kabisa mganga, amos na kinyambizi wamalizwe.wametesa watu yakutosha.
Kweli kabisa 🙏🙏🙏
Pia mama wa malindi @@RuthKibiriti
Kuna fatuma mtoi wa amos
Mungu n mwema Welcome Ibrah
Hapo mumesema neno bt Amos, mama malindi, kinyambizi pia mnganga mitume wote clone ndio watamaliza coz nyinyi mumejaribu kumeshindikana
Subscribed
Kwani ibra ushapowa
Mganga , Amos , na Boss wa malindi wakufe wote
Mganga Amos kinyambizi na malindi boss
Akufe tu amesubua saanaa
Wengine wamufuate moja kwa moja😊
Itakuwa sawa kabisaa mganga afe
Mungu akulinde kaka
Aki imbla ambia mtume atusaidie kumaliza hao watu mganga, kinyambizi,mama wamalidi,na amos
Mfungie clone wetu kitamba kwa mkono wa right 🙏🙏🙏
Kwani hiii video niyanini
Mganga afe then the other clone ya mganga ikiwezekana itolewe kitu iliekewa Kwa mkono ya kuipa nguvu
Glory to God ❤❤❤❤❤
Amiiina 🇰🇪🇸🇦
Mganga na group yake wakufe kama maubwa
Wauliwe wote adi amos na fatuma wake wameanza kufufua wafu
Ibrahim muombe mtume amalize muganga lakini pia asimuache Uhai Amos juu akiua mganga amuache Amos Amos Atamfufua so Amos Auliwe mapema kabisa
Ibra hata zaman ulikuwa huna imani ilichukua muda ndo imani yako sa hii iko juu baada ya kupambana sana na mapepo hata huyu kipaswed pia atazoea hayo mambo na atakuwa imani sana sisi tunachotaka mumalize amosi mama wa malindi na kinyambiz na mganga sisi tutawazadia zawadi yoyote ile iwe bibilia nn kikubwa tutawapatia
Hii video si ya recently coz ibra ako hosy
Ibrahim si mfunge clone na kitamba ndio uyo clone wa mganga asifike karibu naye
Kapassword mweene