Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka - Ni Salama - '' (Official Music Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 бер 2023
  • Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka Ni Salama
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

КОМЕНТАРІ • 246

  • @danielngome8
    @danielngome8 Рік тому +58

    Wow this is amazing song....kama unawakubali hawa magwiji wa nyimbo za injili angusha like Yako

  • @rebeccakemunto5377
    @rebeccakemunto5377 Рік тому +18

    🔥🔥🔥 Amen 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 Atakama mambo ni magumu vipi kwa mungu ni salama kama unakubali kua kwa mungu ni salama angusha like yako barikiwa sana nyote💞💞💞🙏🙏🙏

  • @aronmvembezi4375
    @aronmvembezi4375 Рік тому +5

    Ameni baba,Leo ulisema ibadani

  • @bilombelekilozodieudonne123
    @bilombelekilozodieudonne123 Рік тому +4

    *wa kwanza mimi*

  • @ndayizeyevianney8803
    @ndayizeyevianney8803 Рік тому +4

    Ubalikiwe sana na Mungu

  • @paulmuyanga3445
    @paulmuyanga3445 Рік тому +8

    Hapa injili tu💞 like za upendo Bony na Sifa.

  • @johaneskyaruzi8206
    @johaneskyaruzi8206 Рік тому +4

    Kazi nzr MUNGU awabariki

  • @habarinjematv1355
    @habarinjematv1355 Рік тому +3

    Bony vs sifael. Ninyi ni Baraka sana

  • @selemanimwanamulenda4655
    @selemanimwanamulenda4655 Рік тому +3

    amina.amin …..yesu wetu.milele

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv6077 Рік тому +1

    Oooh how I love this,
    Hapa ndipo penye raha
    Tupate wapi tena raha kama hii isipokuwa hapa kwa Yesu?

  • @jackiezee1033
    @jackiezee1033 Рік тому +12

    Great work Bonnie mwaitege nyimbo zako zanijenga sana those days in this industry of gospel music mungu awainue kwa kiwango kingine na ndugu sifael love yu guys am from kenya

  • @marysiasawaki3698
    @marysiasawaki3698 Рік тому +1

    Huu wimbo nimeurudia zaidi ya mara 20 yaani dah naona kama waliniimbia mimi maana kuna muda nilikosa mwanga ila kwa wimbo huu nimeona mwanga yaani Mungi awainue zaidi na zaidi katika huduma yenu my brothers mwaitege na mwabuka na pia Mungu aguse familia zenu na msipungukiwe na nyimbo na msipungukiwe na kitu katika maisha yenu yote ya hapa duniani..........Nawashkuru sana kweli ni salama rohoni mwangu jamani🙏🙏🙏

  • @faithkagehi9356
    @faithkagehi9356 Рік тому +4

    Salama rohoni ni salama rohoni mwangu 🙏🙏

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 Рік тому +5

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️

  • @joycewakesho2575
    @joycewakesho2575 Рік тому +1

    Ni salama rohoni,,,,,aaah Mungu awabariki sana.Nimependa hii

  • @sabuniJr
    @sabuniJr Рік тому +3

    Asante kwa ujumbe mtu wa Mungu. Barikiwa

  • @stephenkimani662
    @stephenkimani662 Рік тому +1

    Ni kweli ni salama moyoni mwangu.....mubarikiwe wapendwa.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Рік тому +1

    Mbona sifaeli hajaimba sana jmn wimbo umeutawala mwaitege tu mwabuka kaimba mwanzon kakipande tu

  • @alicejuma3739
    @alicejuma3739 Рік тому +4

    Amazing mko xwa kabisa brother good song

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 Рік тому +5

    Nionapo amani kama shwari Mungu mwema asante sana watumishi wa Mungu endeleeni kutuinua kwa neno .Kuhusu dhambi zangu zimewekwa msalabani.kazi nzuri sana hii

  • @kceepaul2275
    @kceepaul2275 Рік тому +1

    Goma kali sana mtumishi wa bwana 🎉🎉🎉from USA 🇺🇸

  • @carolineouma8660
    @carolineouma8660 Рік тому +1

    Mungu awabariki mumenikumbusha kujiandaa kwa unyakuzi

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 Рік тому +3

    Hakika nimebarikiwa sana na hu wimbo Mungu awabariki sana watumishi, Mungu awalinde na mabaya yasiwapate kamwe,pia Mungu awatie nguvu sana mzidi kusonga mbele kwenye huduma zenu na kwa kila eneo ,

  • @abasmarco4525
    @abasmarco4525 Рік тому +1

    Aisee naisubiri video yake kwa hamu sana hongereni sana wimbo unabariki sana.

  • @obadiamsoma6465
    @obadiamsoma6465 Рік тому +5

    Hongela sana mtumishi kwa kazi nzuri mungu azidi kuku inua zaidi

  • @elmessilas3780
    @elmessilas3780 Рік тому +5

    Mbarikiwe kwa wimbo unatia nguvu mtu hasa aliyekata tamaa mahali fulani.Hakika Ni Salama ♥

  • @nyotaaastarkipndaa8253
    @nyotaaastarkipndaa8253 Рік тому +5

    Let’s gooo🔥

  • @samueli486
    @samueli486 Рік тому +4

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hillarysalamba5205
    @hillarysalamba5205 Рік тому +5

    Huu Wimbo umenikumbusha Yale mapito niliyo pitia hapo nyuma,lakn nikavishinda vita...hakika ni Salama Rohini Mwangu🙏🙏🇰🇪God bless

  • @saulykyamba6512
    @saulykyamba6512 Рік тому +5

    Mungu awabariki kwa kazi nzur watumishi wa Baba

  • @samwelmakanzajr1194
    @samwelmakanzajr1194 Рік тому +1

    Wakubwa wakubwa tu hit song

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 Рік тому +2

    Sifaeli na Bonn hapo mpo vizuri sana watumishi Mungu awabariki sana nyimbo safi sana

  • @mariammpale6542
    @mariammpale6542 Рік тому

    Hakika ni Salama kwa kazi ya Yesu msalabani tu huru kwa yote ametupendelea tuendelee kumtumikia Mbarikiwe sana🙏🙏

  • @danittoke8881
    @danittoke8881 Рік тому +5

    Nakupenda wimbo huu

  • @gregmakulitv3816
    @gregmakulitv3816 Рік тому +5

    Wimbo muzuri

  • @albertkivinge7996
    @albertkivinge7996 Рік тому

    Ni salama rohoni mwangu....Jehovah Shammah awabariki mno watumishi

  • @ndayizeyevianney8803
    @ndayizeyevianney8803 8 місяців тому

    Kutoka Burundi Bujumbura , tunabarikiwa sana kupitia nyimbo zako , Mungu akubariki

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 Рік тому +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeen, mbarikiwe watumishi wa MUNGU. BWANA YESU awainue viwango vya juu. Hakika UOKOVU NI RAHA SANA. Nimecheza sana.

  • @mishackpaul2173
    @mishackpaul2173 Рік тому +3

    Huo wimbo ni mzuri sana sana,
    Sauti ndiyo tatizo, beat kali,

  • @joshuasamson8747
    @joshuasamson8747 Рік тому +4

    This is great news 👏

  • @ramsonudoba4299
    @ramsonudoba4299 Рік тому +2

    Hongeren sana watumishi wa mungu

  • @elijahmwangombe9609
    @elijahmwangombe9609 Рік тому

    Salama kabisa, watumishi Mungu awajaze na Roho wake. Huduma isonge mbele bila mipaka🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sekelasambo229
    @sekelasambo229 Рік тому +1

    Hongeren wimbo mzuri sana

  • @calsineagai2783
    @calsineagai2783 Рік тому

    Kwa yesu kuna Raha ndugu yangu msalilimie Bonny mwaitege🥰🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 Рік тому

    Kwa Yesu kuna Raha na Amani isioelezeka.
    Ni Salama Rohoni Mwangu

  • @RamadhanMwinyimvua-ry8yp
    @RamadhanMwinyimvua-ry8yp Рік тому

    Hakika ni salama rohoni , ni wimbo mzuri Mungu azidi kuwainua
    Na aachilie ulinzi mkubwa kwenye maisha yenu.

  • @ukb.u559
    @ukb.u559 Рік тому +1

    Amen nyimbo inabariki

  • @calsineagai2783
    @calsineagai2783 Рік тому

    Bonny Mwaitege Nyimbo zako huwa zina nibariki sana mtumishi wa mungu barikiwa sana ndungu yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰

  • @sembibijoseph9609
    @sembibijoseph9609 Рік тому +1

    Ni naitaji Number ya Bonny Mwaitege amenibaliki mwaka mingi inapita mimi si mu TZ lakini napenda gospel music 🎶 za Tz Sana

  • @julianokunja1243
    @julianokunja1243 Рік тому +3

    Wimbo mzuri sana🌹🌹❤️❤️

  • @danielmaikuva1647
    @danielmaikuva1647 Рік тому

    Jamani Mungu amewapea ufunuo katika huu wimbo na wimbo wa baraka sana.Mungu awabariki sana

  • @wilickomweri2640
    @wilickomweri2640 Рік тому +4

    Hii tenzi huwa naipenda sana my bros being blessed 🙌

  • @bitecastory2137
    @bitecastory2137 Рік тому +3

    God bless you all my bro

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 Рік тому +1

    Hakika ni salama rohoni mwangu

  • @nuruhmangoli1232
    @nuruhmangoli1232 Рік тому

    The buddest duo.. Hapa ni salama tu
    Kenya Mombasa

  • @AchiengNyarLuo4355
    @AchiengNyarLuo4355 Рік тому +3

    🇱🇷🇱🇷

  • @rehemajerono1307
    @rehemajerono1307 Рік тому

    Nahisi upendo moyoni mwangu, nyimbo nzuri saaaana

  • @johnmabehelo9939
    @johnmabehelo9939 Рік тому

    Amina watumishi Mwenyezi Mungu awasimamie katika uimbaji wenu

  • @kapedo0001
    @kapedo0001 Рік тому

    jamani sina neno zaidi ya kushukuru kaka sifaeli and bony.....mimi nabarikiwa tu
    💓💓

  • @RYANKARIUKIOFFICIAL
    @RYANKARIUKIOFFICIAL Рік тому +5

    I just knew whenever Sifaeli Mwabuka voice is featured,,,, definitely the song must be a hit... Kenya mm nimeikubali,,,hakika ni salama rohoni mwangu.

  • @RaphaelJacksonOfficial
    @RaphaelJacksonOfficial Рік тому +3

    Amen 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dominicmusungu5374
    @dominicmusungu5374 Рік тому

    Wimbo mtamu, Mungu akuzidishie neema

  • @josephmanga-gc4qj
    @josephmanga-gc4qj Рік тому

    Mubarikiwe sana wapenda na huu wimbo umenigusa sana na nimeuelewa sana

  • @joyblessedk
    @joyblessedk Рік тому

    Ooh yes, glory to God, nkosalama mbele za maadui zangu

  • @lynhwilbardruckachale4205
    @lynhwilbardruckachale4205 Рік тому

    Ni salama rohoni Mwangu, Asante Sana YESU WANGU💓🙏.

  • @hilarytowett6738
    @hilarytowett6738 Рік тому

    Shukurani sana bro mungu wetu wabinguni awabariki tatizo mingi tunapitia kwa ulimwengu huu.pokeeni salamu ktka Kenya tunawapenda sana ndugu

  • @elphinegwandika_official3690

    Hongera sana mtumishi wa mungu kwa kutufariji wale tuliopondeka mioyo🔥🔥

  • @msaniiezekielkamoyani
    @msaniiezekielkamoyani Рік тому +4

    Obviously I nomaly love 💘 your music 🎶 my gyz both Bonny end sifaeli I will never ever left you gyz until our highly most father who is in heaven 🌎🗺🌏 noticed ❤ more blessings 🙌

  • @PapaTheKingmusicTv
    @PapaTheKingmusicTv Рік тому +19

    My two mentors together 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 vocals

  • @ndayizeyevianney8803
    @ndayizeyevianney8803 9 місяців тому

    Mungu akubaliki sana tunafurahi sana uku Burundi Bujumbura tuna kupenda

  • @mnyakyusambunifu143
    @mnyakyusambunifu143 Рік тому

    Hongera Saana Watumishi Mumeupiga Mwingi Saana Kupitia hii Nyimbo

  • @dominiclakson6968
    @dominiclakson6968 Рік тому

    Mubalikiwe saxa kwaujumbe mzuli,kweli nixalama,lohoni mwetu tunaomwamini mung

  • @yakobomwamboya7312
    @yakobomwamboya7312 Рік тому

    Kweli kabisa ni salama rohoni mwangu asante sana

  • @ktvliveshow6930
    @ktvliveshow6930 Рік тому +4

    🔥🔥🔥

  • @isayasangija8587
    @isayasangija8587 Рік тому

    Ujumbe ni meuelewa vzuli sana Mungu akubaliki sana karibu chato Tehe 29/3/2023

  • @luganomgeni
    @luganomgeni Рік тому

    Ikovizuri sana metisha mungu anawatumia nimeikubali safi mungu awabaliki

  • @simiyumorgan986
    @simiyumorgan986 Рік тому

    Ni salama rohoni mwangu for eternity 🙏🙏🙏

  • @vals8920
    @vals8920 Рік тому +5

    Some people are just God sent to keep us alive in christ 🥰

  • @susanwawuda9220
    @susanwawuda9220 28 днів тому

    Am blessed ni Salama rohoni

  • @marysiasawaki3698
    @marysiasawaki3698 Рік тому +3

    Mwabuka na Mwaitege wako vizuri sana,Mungu awainue jamani hii nyimbo imenigusa sana kwa kweli......Hawa waimbaji wako smart sana kwa kweli,God reward you people in so many ways my Brothres,let the will of the Lord be upon you and ur families.....Amen

  • @papatomaso4874
    @papatomaso4874 Рік тому +1

    Tunangojea video

  • @kulwanono5888
    @kulwanono5888 Рік тому

    HAKIKA BABA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @donniexjuddex7499
    @donniexjuddex7499 Рік тому +2

    Good work my brother🙏🙏, tuliona Rose Muhando na Christina, Bahati Bukuku na Martha Mwaipaja, sasa tena ni hawa magwinji, Kenyans gospel artist mko vipi nanyi, Utukufu kwa Mungu ma kaka zangu, we Kenyans we love you❤❤❤🙏🙏🙏

  • @doreenkigosi1524
    @doreenkigosi1524 Рік тому

    Hakika Mungu awabaliki sana ujumbe mzuri sana

  • @elizabethbethy7267
    @elizabethbethy7267 Рік тому +5

    Sweet song my heroes.much love watumishi💞💞💞🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 Рік тому +13

    Simba wananguruma nawapenda sana my brother's, kweli ni salama keep it up congratulations Boniface and my best gospel musician 🇰🇪🇰🇪

  • @ashelyvenance
    @ashelyvenance Рік тому

    Nisalama rohoni mwangu, barikweni sana dady b.m

  • @ochiengochola317
    @ochiengochola317 Рік тому +5

    Very interesting song be blessed guys.

  • @maxmax4853
    @maxmax4853 Рік тому

    Salama rohoni ,mola awabariki sana wachungaji

  • @mikejmusic254
    @mikejmusic254 Рік тому +2

    Mbarikiwe watumishi wa Mungu Mungu azidi kuwapaandisha viwango vya juu zaidi🙏🙏🙏

  • @emilynekesa1475
    @emilynekesa1475 Рік тому

    I like this guys alot.nyimbo zao uponyaji tele.

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 Рік тому +2

    Safi

  • @mercyshigasia160
    @mercyshigasia160 Рік тому

    Amen 🙏🙏 salama rohoni mwangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @andreamakoyeofficial9756
    @andreamakoyeofficial9756 Рік тому +2

    Asante my bro nakuja na mim kaka zangu nafisi inaniambia nifanye kolabo na bony official Andrea Makoye naimani iyo amina

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 Рік тому +1

    Woow 😍 😍 😍 😍

  • @victoriapendo1730
    @victoriapendo1730 Рік тому

    Kazi nzuri watumishi wa mungu mubarikiwe

  • @djthankskofficiel
    @djthankskofficiel Рік тому +3

    Cool music 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️

  • @mpendozadok123
    @mpendozadok123 Рік тому

    Mungu awaongezee neema mbarikiwa sana

  • @emmaculateoseno8866
    @emmaculateoseno8866 Рік тому +1

    Salute guys, waiting for video

  • @rebecamagesa5311
    @rebecamagesa5311 Рік тому +2

    Nikweli niko salama