EXCLUSIVE:AUNTY EZEKIEL NA KUSAH - sikuwa na ukaribu na Ruby wala hakuwa rafiki yangu/Ndoa/Umri/Moze

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @ritahfrank1973
    @ritahfrank1973 3 роки тому +116

    Aunt uwaga mzuri bwana...black beauty na wala haringi😘😘😘😘👌👌

  • @elizabethsakina2306
    @elizabethsakina2306 3 роки тому +41

    Lakini li aunty Ezekiel ni lizurii😘😘😘🥰🥰😍 I love her 😍

  • @janetcharo1543
    @janetcharo1543 3 роки тому +21

    The guy sounds wise and the lady is a black beauty❤

  • @mr.elevator4567
    @mr.elevator4567 3 роки тому +2

    Kinachosababisha wadada wakimbie watu wazima... Licha ya kwamba wanaumwa mara pressure mara kisukari pia hawajatulia. So uishi na limtu... Jitu zima, baya, linaumwa na kukucheat juu kisa jamii ione. No papa. Hongera Aunty

  • @emmymbelwa5631
    @emmymbelwa5631 3 роки тому +3

    Aunty kama kweli unaamani na Furaha Mungu awabariki naawawezeshe kuoana nakuishi pamoja siku zote sababu maisha ya ndoa niyawatu wawili na Mungu akiwa kati yenu hakuna wakuwatenga,umri sitstizo nakwakua mmuelewa hilo hongera sana na mmejua kuchaguana,Mungu awalinde miaka miaaa kwenu

  • @G.S985
    @G.S985 3 роки тому +3

    Aunt Ezekiel nakupenda sana una mapenzi ya dhati,na hongera,mapenzi mama hayana umri,big up to you,Kusah mstaarab,Mungu aendelee kuwapigania na Nono wenu.

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 3 роки тому +67

    Ila haya maisha tujifunze kusikiliza zaidi kuliko kujudge m2 coz maisha wanayoish hawa wasanii hayan tofaut na yetu na tofaut ye2 ni yetu hayap Sana mitandaon

    • @halimachubi802
      @halimachubi802 3 роки тому +1

      Kbs

    • @maryammagembe5553
      @maryammagembe5553 3 роки тому +5

      Wala hampendezani hasa wewe aunty umezidi kuokota okota

    • @maryammagembe5553
      @maryammagembe5553 3 роки тому +1

      Hawana jipya watupishe

    • @maryamhusseinabdul6218
      @maryamhusseinabdul6218 3 роки тому +1

      @@maryammagembe5553 anatabia mbaya mtu mzima ovyo unty akili zake kma mama dangote wadangaji hawa kusah analaana ya rubby alivyo teseka nae leo anamuimba ati kma inauma pole

    • @hildadavid5000
      @hildadavid5000 3 роки тому +1

      Acha uongo Aunty Ezekiel ww mzee kwa Kusah. Na ww umezaa utaona Na Now man atakuja kupenda wazee kama wewe Na wewe utaona kama mama inavyouna mwanao kupendana Na wazee.

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 3 роки тому +40

    Zamaradi nakupenda sana mtu wa MUNGU.
    MUNGU akufanye Kua chombo cha kurekebisha na kufunza,na kutoa faraja kwa wale walioumizwa.

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 3 роки тому +14

    Aunty ni mm kabisa niki amua jambo ndivyo hivyo sishauliki 🔥🔥🔥 mungu awasimamie wawaache kikubwa mmendeleye kuheshimiana

  • @sejw9373
    @sejw9373 3 роки тому +43

    Mashallah jipeni raha bwana binadamu ndio kazi yao kusema❤❤❤

    • @rosemarymsafiri2340
      @rosemarymsafiri2340 3 роки тому +1

      Umeonaa enh😊

    • @sejw9373
      @sejw9373 3 роки тому +2

      @@rosemarymsafiri2340 bwana wee love never luk age wawache wenye wajienjoy

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 роки тому

      Life is too short

    • @divinemasika3052
      @divinemasika3052 3 роки тому

      @@rosemarymsafiri2340 namupe ndasana tena dana napenda anitu miye

  • @njerikinyanjui5840
    @njerikinyanjui5840 3 роки тому +5

    Ila kusah mzurii nyiee😍😍 afu wanaendana sanaa...muishi milele pamoja upendo wenu udumu Inshallah

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 3 роки тому +47

    The fact that aunty Ezekiel lives in tz where bleaching of their stars is the order of the day,I like her coz she is a black beauty and strong girl

    • @Blue-vk5ce
      @Blue-vk5ce 3 роки тому +2

      Girl bye ain't nothing wrong with bleaching ur skin😏

    • @zainabshaaban5873
      @zainabshaaban5873 3 роки тому +9

      @@Blue-vk5ce u must b so sick to bleach your skin just to b accepted that's being sick not normal..respect to black beauties😍

    • @marysylvery5826
      @marysylvery5826 3 роки тому +1

      @@zainabshaaban5873 Facts.

    • @zubedanyamsha1971
      @zubedanyamsha1971 3 роки тому +2

      @@Blue-vk5ce your creating diseases bye bleaching skin,thats ignorance and lack of maturity upon you mind

    • @njerigithara3693
      @njerigithara3693 3 роки тому +2

      TRUE, TZ BLEACH NA KUTOA MIMBA IS THE ORDER OF THE DAY

  • @shangwerobert5639
    @shangwerobert5639 3 роки тому +51

    Nampenda zamaradi hana papara anauliza maswali akiwa ametulia na focus ya hali ya juu much respect to her

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 3 роки тому +20

    Wewe ni professional kwa hii fani yako.. haichoshi kuckiliza big up

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 3 роки тому +42

    Zamaradi unaitendea haki taaluma yako.... keep it up. 😘😘

  • @odikpondubuife9382
    @odikpondubuife9382 3 роки тому +4

    Am so so proud of you mama Norman and coockie.. You are a woman and a half... Nawaombea maisha marefu yenye furaha...( Zama your a very strong woman too I love you Sana,) keep it up

  • @veronicachristopher524
    @veronicachristopher524 3 роки тому +65

    Aunty Ezekiel ni black beuty afu mzuriii hajichubui😊

    • @ngoshaachaula7152
      @ngoshaachaula7152 3 роки тому +2

      Yani mtu akiwa mweupe watu inawakeraga et she is beutfully black ata white pia ni wazuri punguza wivu

    • @ngoshaachaula7152
      @ngoshaachaula7152 3 роки тому

      Veronica Christopher sio kila mweupe ana jichubua

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 роки тому +2

      Shida yake ni kuvuwa chupi sana 🤣

    • @veronicachristopher524
      @veronicachristopher524 3 роки тому

      @@ngoshaachaula7152 I know dia

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 3 роки тому +1

      @@ngoshaachaula7152 thank you

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 3 роки тому +83

    Kitu kimoja tuu nimegundua Kusah ana adabu sana.

  • @rahilhamidu9932
    @rahilhamidu9932 3 роки тому +12

    Napenda sana aunty na zama wakiwa pamoja urafiki wenu mzuri sana

  • @agnesgervas8070
    @agnesgervas8070 3 роки тому +28

    zamarand dada yng nakupnda unavyojiheshim mavazi hadi ongea mungu akup maisha marefu mamy

  • @maryamfaraji2364
    @maryamfaraji2364 3 роки тому +4

    Wanapendeza kutazama😍wamependezana I love them😍😍😍😍♥️🇧🇮

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 3 роки тому +16

    ❤️❤️Zamaradi maana hta ukimuulizatu swali la kizushi. Hawezi kujua because unauliza kwa ukarimu wa juu

  • @Dnt4kwtm
    @Dnt4kwtm 3 роки тому +24

    Operating your phone and chewing gum on a live interview is so uncouth ..

  • @JumbaMercyline
    @JumbaMercyline 3 роки тому +19

    Such a beautiful couple. Mwenyezi mungu awajalie mkaowane

  • @eugeniakinabo9782
    @eugeniakinabo9782 3 роки тому +37

    Hello Zamaradi, sauti haipo sawa kwenye interview kuna muda ina kuwa chini...please sound engineer wako acheck hilo

    • @nurukhalifa9413
      @nurukhalifa9413 3 роки тому +3

      Zama haelewag kila siku watu wanamwambia kitu icho ichooo

    • @mothedon202
      @mothedon202 3 роки тому +3

      Kwangu the sound is clear check your gadget before yes there some problems but nowadays perfect 😉

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 роки тому +1

      Hili suala.zama ashashindwaga...hajawah kuwa na interview clear..mzoee

    • @elizabethmgandi2874
      @elizabethmgandi2874 3 роки тому

      Kweli my mm adi nikais phone mbovu

    • @neemasawe7016
      @neemasawe7016 3 роки тому +2

      Especially sauti yake Zama ndo iko chini..

  • @paulmwita8668
    @paulmwita8668 3 роки тому +2

    Zama i love u my sister and am ur fan as well
    But i think now its time to extend our studio so that u can accommodate more than one interviewee
    And napenda uchimbaji wako

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 3 роки тому +8

    Aunty kama aunty...I love you bby girl❤❤kusa hanaga mambo mengi...wish you the best

  • @happysarara6283
    @happysarara6283 3 роки тому

    Ongera Sana dada unajua kuhoji. yaani unahoji kirafiki hata Kama hataki kujibu swali anajikuta amejibu bila kupenda ongera sana kazi unaiweza

  • @iddishabuka2199
    @iddishabuka2199 3 роки тому +11

    Zama umezingua there a lot of question hujauliza. Like vp urafiki wake na wema?
    Vp kuhusu ile bif na shamsa?
    Vol lile duka la viatu?
    Vp lile jina jipya la hytham anoitwa na kusah?

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 3 роки тому +9

    Nampenda Aunt msema kweli
    Ukiacha na makona kona yake.
    Zama kipindi kimekuwa chamoto

  • @mariammwendakazungu5783
    @mariammwendakazungu5783 3 роки тому +11

    Aunt n mzuri kwa kweli sio km wengine weupe wa carolight

    • @zubedanyamsha1971
      @zubedanyamsha1971 3 роки тому

      Umeona eh ,ka sweet chocolate colour flan iv amaizing

  • @restbeshy3817
    @restbeshy3817 3 роки тому +1

    Aunt nikisach G umezaliwa mwaka 1986 mpaka leo 2021 ni miaka 34 ila hapo umekosea kidogo kusema 32....

  • @upendozahaki304
    @upendozahaki304 3 роки тому +3

    Hongera sana Anti ishi maisha yako

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 роки тому +2

    Mi nawapenda Kussah na Anty wanaendana umri kitu gani bhana achaneni na Walimwengu hawaishiwi maneno yao yanawashinda🔥🔥♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fatmamwatamba5881
    @fatmamwatamba5881 3 роки тому +24

    Kusar ni handsome bwana
    Hapo wamependezana hatari😆😍😍

  • @marymbuya4763
    @marymbuya4763 3 роки тому +2

    Zama jamani nakupenda sana the way unavyouliza maswali. Keep it on.utafika mbali sana.

  • @lindalaizzer9897
    @lindalaizzer9897 3 роки тому +20

    Nampenda sana antiii na ni mzuri haswaaa....

  • @Emmy22655
    @Emmy22655 3 роки тому +1

    Woooow from south Africa. u look so woooooow💕💕💕 and beautiful one my Zamaradi😘😘😘😘love u so much. I need one day I can see u dear love u more💕💕💕💕💕💕💕may God bless u and protect u 🍝🍾🥂

  • @katecaddy7556
    @katecaddy7556 3 роки тому +18

    She needs to grow and leave young boys alone..
    See the shame on her eyes

  • @kautharshauri6736
    @kautharshauri6736 3 роки тому +1

    Love so much Aunt Yan zamarad napenda Sana interview zake she is very serious

  • @cristaofficialtv350
    @cristaofficialtv350 3 роки тому +8

    Mmejuwa kunifurahisha, nawapenda wote, nakupenda zamaradi lakini nampenda zaidi Aunty Ezekiel, kila la kheri

  • @sammyahaji3541
    @sammyahaji3541 3 роки тому +2

    Kusah anaonekana ana adabu na busara sana, Aunt nimependa misimamo yake, keep it up Aunt😘

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 3 роки тому +11

    I just love you aunty😍😍😍follow your heart always
    Lakini show confidence weka simu chini wacha kuangalia ngalia..concentrate
    What is their age difference?

  • @janeroselusuva1918
    @janeroselusuva1918 3 роки тому +1

    Mungu azidi kuwalinda na kubariki kazi za mikono yenu. Cha muhimu ni Upendo na Furaha kwenye nyumba yenu. Waja msiwasikilize kuongea ni haki yao, midomo hawailipii VAT.

  • @emmykimaro5118
    @emmykimaro5118 3 роки тому +6

    Aunt yupo makini sana kujibu maswali yaani interview zake zote anaongea vizuri na mkweli, Zama uko vizuri sana kwenye mahojiano

  • @lylianlylian8786
    @lylianlylian8786 2 роки тому

    Nawapenda saaana , ant nakupenda saana Lea familia yako vizuri wewe nidada unaejitambua. Penda saana may

  • @nah7530
    @nah7530 3 роки тому +3

    Nawapenda sana aunty nakusah💕💕💕

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 3 роки тому

    Mungu atawafikisha mtakapo?kuweni Strong yawatu ni magazeti someni muendelee kufungua page nyingine, msirudishwe nyuma na yawatu, Aunt anajielewa sanaaa,

  • @shabanhaufi6274
    @shabanhaufi6274 3 роки тому +10

    Interview nzuri TATIZO Zamarad Anafanya Interview Seriaz sana yan HATA KUCHEKA HACHEKI DAAAAH

  • @salmasmith123
    @salmasmith123 3 роки тому +2

    Yani ni wanapendana I see love kwa kweli nawapenda sana

  • @annymunezero5564
    @annymunezero5564 3 роки тому +14

    Kikubwa wanapendana tu tuwaomby tu kheli mengin muachiy Mungu

  • @estermapunda7632
    @estermapunda7632 3 роки тому +1

    Such a beautiful couple nawapenda

  • @janethchambo661
    @janethchambo661 3 роки тому +3

    unaongea fact aunt love you

  • @raiynrayuu7904
    @raiynrayuu7904 3 роки тому

    Hongera nakupenda mam nono mmependeza kweli

  • @vumiliahamisi7046
    @vumiliahamisi7046 3 роки тому +15

    Mie nawapenda tuuu😍

  • @antomudogo7876
    @antomudogo7876 3 роки тому

    Nawapenda sana

  • @suzziejelagatt
    @suzziejelagatt 3 роки тому +4

    Aunty is very beautiful and so calm while talking. Kudos to both of them

  • @msafirimtete9790
    @msafirimtete9790 2 роки тому

    mung awalind sana msijali maneno ya watu angalie maisha yenu msijali

  • @wardangozi3549
    @wardangozi3549 3 роки тому +4

    I dont know why we Africans take age as adeal in relation ship ?its normal n good wen the two love eachother

  • @mariamubachu8531
    @mariamubachu8531 3 роки тому +1

    Mashaallah
    Nakupenda sana aunt
    Nakupenda mnoooo ht uweje I love you.❤️❤️❤️🌹

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +46

    What is with bongo women with chewing gum during interviews? Zama, you need to address this! Meanwhile, auntie’s new title is CEO wa jandoni

    • @mpedwa
      @mpedwa 3 роки тому +5

      Ladan Adan ohhhh my Gosh nilithani mimi peke yangu ndo nimeliona hilo. It’s so unprofessional, annoying and distracting.
      Halafu ni msanii mkubwa anaongea na kujitafuna tafuna 👎🏿.

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 3 роки тому +5

      @@mpedwa, it’s annoying especially that sound of chewing; ushamba wa hali ya juu. Dida hukomesha hao wa big g kwenye Mashamsham

    • @salmaabdulaziz5385
      @salmaabdulaziz5385 3 роки тому +1

      Kweli mate

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 3 роки тому +3

      Plus with playing with a phone

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 3 роки тому

      @@barbarasara4033, no etiquette at all

  • @openmindtz
    @openmindtz 3 роки тому +1

    Wish u the best...Ila sound sametime haitok vizur ukitumia hiyo mic kubwa...hope u will fix this

  • @chany9950
    @chany9950 3 роки тому +6

    Mungu nimwema awaende mbere jmn love you ❤

  • @winifridandayisenga4661
    @winifridandayisenga4661 3 роки тому

    Mungu awajariy munapendeza kwakweri

  • @florencembithe2244
    @florencembithe2244 3 роки тому +15

    Umri number fanya kitu moyo unapenda tafuta furaha yako
    Aunty nakupenda ❤️❤️❤️❤️❤️ from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @stephaniafilimbi4600
    @stephaniafilimbi4600 3 роки тому +1

    Yan nnavyokwazka mm najisikia kucomment mara elfu2 tuu hv kwan aunt kakutwa na nn??me nlivyokua nampnda sema basi bhn ruby apumzke tuuu ila mbwa kusah huyu🙌

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +6

    Nampenda aunty alivyoongea safi sana furaha ya moyo ndo kila kitu mungu awajalie mapenzi yenu❤️

  • @fatmakiraga4016
    @fatmakiraga4016 3 роки тому +3

    Good gal Auntie Ezekiel kwa majibu yako

  • @clarampagama3462
    @clarampagama3462 3 роки тому +2

    Aunt na kusah nimewapenda sana

  • @lucyjohnkachele7449
    @lucyjohnkachele7449 3 роки тому +9

    Kazi yako ni zuri sanaa zama 🔥👌tunaomba umlete. Lulu please 🙏

  • @kamagajunuslah9659
    @kamagajunuslah9659 3 роки тому +1

    We Dada mzuli waace bwana we mpe mapemzi mtoto wa watu jamanio😍😍 miaka si kitu ni number tu wish you to love each other unconditional

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 роки тому +5

    Mh...hapa ‘ sijui..!...ngoja tusubiri walimwengu...!

  • @hadijandenga8892
    @hadijandenga8892 3 роки тому +2

    Nakupenda sana Anty

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 3 роки тому +11

    MUNAOSEMA AUNTY KAWA NA KIJANA MDOGO,MAZEE MAMALAYA ,MARA WANAUMWA HICHI MARA KILE,AUNTY ENJOY YOU ARE LIFE.

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому +2

    Zamaradi nakuomba ujifunze kupasa sauti kwani hii ni job ambayo inaitaji unasiri sana kutoka kwako na pia kupokelewa na watu kupitia kwa kusikia unachokiongea kabisa,kwani maneno ndio nguzo na mafundisho ambayo watu watapenda kusikia.Aunty na kusah nawaombea maisha marefu na familia yenu kwa jumla.Regurdless of wat pple r saying of ur relationship,ishini maisha yanayo mpendeza mwenyezi Mungu sio binadamu yeyote ule.Aunty uma Kama kupe huyo kusah akia ya Mungu usiumuke!!!@Kenya.

  • @bnbnbnbbnvbn9006
    @bnbnbnbbnvbn9006 3 роки тому +6

    Zamaradi uwa Nampend Anavyo hoji
    Manshaallah 😍😍😍 Una hikma san

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 роки тому

    Aunty uko na miaka 34 ulizaliwa 28th October 1986 wadau nendeni Google mkajioneee😃😃😀😀😀😀🤠👌ati 32 kwiooooo😃😃😃

  • @zainabujuma5304
    @zainabujuma5304 3 роки тому +69

    Utu kumbuke na sisi wanawake madereva wamalor mchango wenu unahitajika dada

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 3 роки тому +2

    Nawapenda sana mungu awasimamie

  • @ommykambi7015
    @ommykambi7015 3 роки тому +8

    Kuanzia sasa sitokubali mwanamke yoyote amuite mume wangu kaka maana kutakua na jambo ant nijejifunza mengi kupitia kwako

  • @halimamustapha1822
    @halimamustapha1822 3 роки тому

    Nakupendaga bure unty Ezekiel

  • @marthadali2660
    @marthadali2660 3 роки тому +8

    This kusah guy speaks with alot of wisdom

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 роки тому

    Mama Norman nakushauri ufanye mazoezi kdg upunguze angalau kilo 10 hv ...nadhani itapendeza zaidi

  • @uwitekamimy3431
    @uwitekamimy3431 3 роки тому +20

    Wa inne jamani 😊 Asubuhi nzuri na Da Zama ✨😍

  • @benagustin2871
    @benagustin2871 3 роки тому +2

    Nawapenda💜

  • @sifahamisi5872
    @sifahamisi5872 3 роки тому +6

    Nakukubali,sasa Zama simwanamke,NA YULE mwanaume

  • @prospertiger6186
    @prospertiger6186 2 роки тому +1

    Hakutaka pesa alitaka furaha Nice couple ninawapenda sana

  • @halimakassim6998
    @halimakassim6998 3 роки тому +3

    Lakini mbona kama huyu kaka hayupo free jamanii

  • @agneskighenda3795
    @agneskighenda3795 3 роки тому +2

    Zamaradi- you are the best!!

  • @amazing_grace5392
    @amazing_grace5392 3 роки тому +4

    Napenda aunt anavyoongea😍😍

  • @MctMct-tt4rq
    @MctMct-tt4rq 3 роки тому +2

    MIE NAOMBA WAOWANE NITAFURAHI SANA NA MKUBAL ANTY NA KUSA PIA NAMUAMIA KIJANA MSTRABU SANA KUSA MUNGU AJALIE IWE NDOWA KWENU MUNGU WAFANYIE WEPES WAFUNGE NDOWA👏👏👏

  • @aidahtimothy9052
    @aidahtimothy9052 3 роки тому +7

    Mama juhjuh nakupend xn interview zako zote 💪💪barikiwa sana

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 3 роки тому

    Mm mwanaume nikimzidii umrii heshima inagomaaaaaa kabsaaa jamn
    Heri nimzidi kipato sio umrii
    🙌🙌

  • @kwizerasamia5397
    @kwizerasamia5397 3 роки тому +7

    Nawapenda bur 💓💛

  • @isigivallary5148
    @isigivallary5148 3 роки тому +2

    I love your interviews Zamaradi

  • @catherinkantambi4057
    @catherinkantambi4057 3 роки тому +5

    Naku proud sana dada zama naamin ukiendelea hivi utafika mbar zaid💚

  • @hogo9442
    @hogo9442 3 роки тому +1

    Good inteview😍😍

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 3 роки тому +7

    Kusa anajua kujibu interview vizuri sana

    • @swaumkatuga7474
      @swaumkatuga7474 3 роки тому

      Mnoo yani i real like it

    • @angelsaimon482
      @angelsaimon482 3 роки тому

      Mwanaume kama anaona aibu ivi yupo nabibi yani ayupo huru kabida

  • @bnztechnologies2676
    @bnztechnologies2676 3 роки тому +2

    be happy aunty kama ndo ulikopata upendo live your life be happy ......big up kusah nice song

  • @theafricaiknow6615
    @theafricaiknow6615 3 роки тому +24

    Wamepishana maongezi. Aunty kasema mimba ilitokea tu halafu Kusah akasema walipanga

    • @fainajaffary4070
      @fainajaffary4070 3 роки тому +1

      😄😄😄😄

    • @Ikkiyoongi
      @Ikkiyoongi 3 роки тому +2

      Njia ya muongo fupi🤣🤣🤣

    • @upendoernest7548
      @upendoernest7548 3 роки тому

      mbea ww upo makin hahahahh m mwenyew nimegundua hilo nkabak kimya tuuu hahaha