Hansi hana akili kabisa anayumba na matokeo ya siku. Huyu alisema Simba hamna kitu leo hii kwa mechi mbili na timu mbovu anasema Timu ni nzuri sasa weww ni mchambuzi wa aina gani? Mpira huuwezi wala huujuiHans acha ujinga.
Sio atakuwa ACHA unaz hakuna mchambuz kwasasa kama Rafael Hans Kwan crown ndo kunawachambuz wako serous na Kaz yao king 👑 hakuchukuwa wajinga wajinga tu pale
Hans uko vzr sana kwenye uchambuzi
Nko Kenya ila namkubali Sana Hans
Unajua sana kuongelea mpira
Mtakubali
Simba naikubali zaidi kuliko hata zingine za ligi yetu ya tanzania
Huyu mwamba anajua
Oya Hans umesomea wapi mpira kaka unapaswa kuchambua epl
Hansi we ni balaaaaaaaa
Hans mtu sana
❤❤❤🦁🦁
🔥🔥🔥 🦁🦁
“In flagrante Delicto”, a legal used to mean a criminal has been caught in the act of commiting an offense,
i.e caught red handed
Hans bonge la MCHAMBUZI wa soka.
Hansi hana akili kabisa anayumba na matokeo ya siku. Huyu alisema Simba hamna kitu leo hii kwa mechi mbili na timu mbovu anasema Timu ni nzuri sasa weww ni mchambuzi wa aina gani? Mpira huuwezi wala huujuiHans acha ujinga.
Husijali ataisifia na yanga
😂😂😂@@denisn.malisa5629
Wewe akili hauna sasa unafikiri simba itakuwa mbovu siku zote wewe haujui mpira nenda kapige nyeto
Huyu Hans atafutiwe ulinzi,
Yaani huyu Hans Rafael atakuja kuwa mchambuzi bora zaidi kuwahi kutokea
Wachambuzi machawa hakuna mchambuzi apo geofley lea ndio anajuwa kuliko uyo bwa bwa anawadanganya mashabiki wasiojielewa
Say alfa garantal the digital
Nikweli simba ni timu kubwa ila wajitume
🎉🎉
Hans , una balaa weweeeee
Radiator tena ani nn
ipo cku2 tusahau shida ambazo simba tumepitia usajili uliofanyika unalipa
Unfragrantol Digtal Hans wewe😂😂😂😂😂
Oy we Hans ni noma
Sio atakuwa ACHA unaz hakuna mchambuz kwasasa kama Rafael Hans Kwan crown ndo kunawachambuz wako serous na Kaz yao king 👑 hakuchukuwa wajinga wajinga tu pale