MZE YUSUF NJAA IMENIFANYA NIRUDI KUIMBA....BY HABIB MAZINGE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 99

  • @rashidmwinyi271
    @rashidmwinyi271 4 роки тому +11

    Mzee Yusuf hakumteza shere Mungu wala hakutezashere waislamu bali aliiteza shere nafsi yake mwenyewe

  • @nurukapoja7759
    @nurukapoja7759 4 роки тому

    Shehe nimekuelewa sana Mimi ni mkristo nimependa maneno yako mungu akubariki

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 роки тому +5

    Allah humuongoza amtakae na humpotosha pia amtakae Allah hashindwi kumujalia rehema zake mjawake hujafa hujaumbika binadamu tuombeane ya kheri hakuna ajuae uongofu wake utaishia wapi Allah amuongoe amuongoze yy na ss ktk njia za kheri kwa rehema zake yy mwenyewe Allah

  • @rahmaswamad1746
    @rahmaswamad1746 4 роки тому +5

    Allahuma amin shk mazige mola aitikiye duwa yako kwani ana mza wa kujisifu ajielewi mungu akupe umri mrefu habibi mazige

  • @godsservantrimo9844
    @godsservantrimo9844 4 роки тому +17

    Ukitaka kutubu tubu kwa ajili ya ALLAH sio uonekane kwa watu,Mungu atakupa mitihani aonyeshe unafiki wako.Yaa Rabana usitupe mitihani tusioiweza tukadhalilika ....ameen thumma ameen

    • @mohammedmoshe6622
      @mohammedmoshe6622 4 роки тому

      AMEEN!!!

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 4 роки тому +1

      Swadata ww ndo umenena ukwl unapotubu tumbia siri yako ww na allah so kutangazia umma Allah anakupa mtihan ukikuxhd ndo kuumbuka uku km angetumbu kwa sir na haya yasingetokea

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 4 роки тому

      Allahumma ameen yaarab jamian

    • @kingsleyjamal5898
      @kingsleyjamal5898 3 роки тому

      Dunno if you guys gives a damn but if you are bored like me atm you can watch all of the latest series on InstaFlixxer. I've been streaming with my gf for the last months :)

    • @damondillon1480
      @damondillon1480 3 роки тому

      @Kingsley Jamal yea, been watching on InstaFlixxer for years myself =)

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +7

    Subhna Allah 😢😢Mazinge msichoke kumwambia huyo mm imenigusa kweli

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 4 роки тому

      Itamgusa kila muumin Ila Allah anamjuazaidi mjawake tutafaje

  • @masudikhamis8280
    @masudikhamis8280 4 роки тому

    Mungu akulipe heri shekhe mazinge atusamehe mazambi yetu nakuombea mungu akupe maisha marefu uzidi jitihada ya kutuelimisha akunusuru na mashetani

  • @ameenaameena5727
    @ameenaameena5727 4 роки тому +7

    Mazinge una hikma mashaalah

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому +4

    Kiufupi, mzee Yusu ni mnafiki😏😏😏🇰🇪

  • @yahyamohamed1831
    @yahyamohamed1831 4 роки тому +8

    Subhanallah subhanallah subhanallah. Allah atupe mwisho mwema,awaongoze wale waliopotea and atupe vizazi vyema. 🤲🏻

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +4

    Nakupenda sanaaa ustadhi Mazinge!

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 роки тому

    Mze Yusuf Neema alioipata ataikumbuka huko twendako fursa kubwa yan ameenda mpk hijja bado hakubadilika subhanallah

  • @aliamar4422
    @aliamar4422 4 роки тому +2

    Mungu amuongoze njia swahihi huu ni mtihan mkubwa

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +3

    Mpe mpeeee dozi imuingie kwakweli aliposema eti Mashekhe wakimsema atawaumbua nilifadhaika sana! Niliona wazi Mzee Yusuphu ataka alete fitna kwenye Dini!

  • @adijahmunyasia1449
    @adijahmunyasia1449 4 роки тому

    Astaghfirullah Allah amuongoze amrejelee in Shaa Allah....inauma sana na pia inaudhi zaidi!

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 4 роки тому

    WALLAHY silali bila kumsikia ALHABIB MAZINGE
    WALLAHY NAAPA....namsikiliza saana kwasbb huyu hakuzaliwa ktk uislamu lkn leo yeye ndio mkombozi wa DINI YA KIISLAM ...ALLAH AKUPE UMRI MREFU MAZINGE tuseme INSHAALLAH 🙏

  • @salehrasta9165
    @salehrasta9165 4 роки тому

    Mzee yusufuuu njaa imekueza,utaukalia noma Kuna jela

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому

    Subuhana Allah basi Allah atupe mwisho mwema yaraaaaaabi

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 роки тому +1

    SubhannaAllah huyu mzee Yusuf amekuwa na nini lakini shida tunzo sote muhimu kuvumilia hatakiwi kukata Tamaa naomba M'mungu amzindue tena madhali bado anapumua

  • @jumahemedy6520
    @jumahemedy6520 4 роки тому

    Mazinge nakukubal Sna 💪💪💪

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 роки тому +3

    Innalillah wainna ilayhi rajiun yaa Rabbi tujalie mwisho mwema

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +1

    Inna Lillahi WA inna ilayhi raji'un! SubhanaLLAH Walhamdulillah Walaa ilaha illaLLAH Wallahu Akbar LAA hawla wala quwata illah billahil Aliyyul Adhwiim😢

  • @iddymwingamno7144
    @iddymwingamno7144 4 роки тому

    Mazinge nimekumis lakini sikuhiz sioni mihadhara shida nini tena mbona Kenya kama kawaida

  • @ramazubery2641
    @ramazubery2641 4 роки тому +1

    Ana laana ya Allah mzee yusufu oamakweli karudi

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 4 роки тому

    Naaam shekh MAZINGE tumekumis sana kaka mchane kabisa huyo ibilisi mkubwa,

  • @zaidanawadhi2664
    @zaidanawadhi2664 4 роки тому +5

    Innalillah wainna ilaih rajiun

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 роки тому +2

    Heeeh nimsiba Allah amuongoze

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 4 роки тому

    ALITAKIWA AMNUSURU MKEWE CHIKU MWENYEZI MUNGU AMRAHAM ENDE ZAKE PEPONI AAMIIN KISHA MWENYEWE ARUDI KWENYE MAASWI YAKE !
    MWENYEZI MUNGU ATUPE MWISHO MWEMA AAMIIN

  • @fatuma2005
    @fatuma2005 4 роки тому +2

    Innalillahi wainna illahi rajiun Allah atujalie mwisho mwema ln shaa allah

  • @BashirOmar
    @BashirOmar 4 роки тому +16

    Mee Yusuf Jamani baada ya hidaya kisha tena urudi kwa uhuni? Inna lillahi wa inna ilaihi raajiun

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 4 роки тому

    Nilimuhisi tu kipimo Cha mtu kinapimwa kwa mke,Kisha nasikia vifaa vilikuwa bado vinapigwa, Allah atupe thabati kwny dini na wao awape Toba ya ukweli yenye ikhlasi

  • @alhajrialhajri4026
    @alhajrialhajri4026 4 роки тому

    Shekh usimtusi mamba kabla hujavuka mto wewe mwenyewe hu,ujuwi mwisho wako ila mimi nakuombea mwisho mwema

  • @allykidumejuma9929
    @allykidumejuma9929 4 роки тому

    WEWE MZEE YUSUFU, MUNGU ANASEMA HASAMEHE TOBA YAMTU AMBAE UMEMFIKIA UMATI HALAFU AKATAKA KUTUBU TOBAHIYO HAKUNA, MZEE YUSUFU TUBU KABLA KIFO HAKIJA KUFIKA

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 роки тому +1

    Sub-hana Allah, ajue Allah apendi dhihaka

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 4 роки тому +2

    Hajatubia bado

  • @ebraawadh1693
    @ebraawadh1693 4 роки тому +1

    Allah awaogoze wote walio potea awaoneshe njia ya hakki

  • @kimoyochemokos6908
    @kimoyochemokos6908 4 роки тому +2

    Siku hizi watu hubadilisha dini tu kwa sababu ya HELA au wanawake kisha na maana kujifurahisha tu badala ya kujiokoa nafsi yake kutokana na moto wa jahanamu .Oh!ALLAH tuakuomba utuepushe tusiwe mmoja watakaopata khasara ,siku ya kiyama.

  • @AliMohamed-xy3hz
    @AliMohamed-xy3hz 4 роки тому

    Haifai hata kidogo kwa muislam kumuhukumia mwislam mwenzake kuwa wa motoni au allah hatomsamehe kutokana na dhambi zake.
    عَنْ جُنْدَبٍ بن عَبْدِ الله (رضي الله عنه) قَال: قَال رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((قَالَ رَجُلٌ: وَاللَّهِ لاَ يَغْفِرُ اللَّهُ لِفُلاَنٍ. فَقَالَ اللهُ عَزَّ وّجّلَّ: مَنْ ذَا الَّذِي يَتَأَلَّى عَلَيَّ أَنْ لاَ أَغْفِرَ لِفلاَنٍ؟ فَإِنِّي قَدْ غَفَرْتُ لِفلاَنٍ وَأَحْبَطْتُ عَمَلَكَ)) مسلم
    Imepokelewa kutoka kwa Jundab bin ‘Abdillaah (رضي الله عنه)ambaye amesema: “Mtume wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم ) amesema: ((Mtu mmoja alisema: Wa-Allaahi! Allaah Hatomghufuria fulani! Allaah Aliyeshinda na Kutukuka Akasema: Ni nani huyo anayeniapia kuwa Sitomghufuria fulani? Mimi Nimeshamghufuria fulani na Nimezibatilisha ‘amali zako)).

  • @aminachowa1123
    @aminachowa1123 4 роки тому

    Atasijui nani kamshawishi subhanallah

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 роки тому

    Shukran mazinge

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 4 роки тому

    Mwenyezi mungu amuongoze

  • @abuhajaranwar558
    @abuhajaranwar558 4 роки тому +3

    Yusuf moLa alimjaribu ili awe mfano kwa wengine. Lakini amefeli Imani, na jamanini watu wamesahau kuwa pesa ya riba haidumu na ikidumu huwangamiza. Sasa huu ni mfano wa riba.

    • @abuhajaranwar558
      @abuhajaranwar558 4 роки тому +2

      Riba mm naiyogopa Sana nikiwa na shida siezi Kopa Benki aw besa inao rudishwa na riba.

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 4 роки тому +1

      Ni kwel

    • @aminamikidadi7754
      @aminamikidadi7754 4 роки тому +1

      Khs hilo deni analodaiwa mzee yususuf kwa mujibu walivyosema yeye na mkewe .. inawezekana ikawa ni kweli au sio kweli..Allahu yaallamu .. M/Mungu atujaalie mwisho mwema pia ajaalie baadhi yetu tuliojaaliwa kupata ndowa tuwe ni wanawake wa kuwaongoza waume zetu mambo yanayompendeza M/Mungu kwani bila yeye Allah sisi waja hatuwezi wallah..........

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 4 роки тому

      @@aminamikidadi7754 ni kwel ulichokisema Dada yang kuwa wanaume tuwashauli mambo mazur ili tupate radhi za Allah mwanamke ni siraha inamakali kote kote mwanamke akikushauli vzr utafaulu hp dunian na kexho akhera Ila mwanamke akikushaul vby utakula hasara hp dunian na kesho akhera

  • @laziasolo2007
    @laziasolo2007 4 роки тому

    Asanteeee

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 4 роки тому +1

    Inalillah waina ilaihi rajiun

  • @juariaswabrina4549
    @juariaswabrina4549 4 роки тому

    SubhanaAllah

  • @masala8099
    @masala8099 4 роки тому +2

    Hakutubu kitu yule mnafiki

  • @bakarikalama6099
    @bakarikalama6099 4 роки тому

    Kipozeo alisema kua hakuna ubaya kuimba. Subhanallah

  • @faju4real800
    @faju4real800 4 роки тому

    Ndo mazinge eti haachi ktu

  • @FatumaAbdalla1
    @FatumaAbdalla1 4 роки тому

    Lahaula walakuwata illah billah

  • @isareje8579
    @isareje8579 4 роки тому

    Shehe kipozeo alimuambia Mzee Yusuf arudi mjini

    • @salmaissa9793
      @salmaissa9793 4 роки тому +1

      Lkni sheikh kipozeo pia alisema yothe yaliyojiri mpaka aka mwambia Yale,,, kama unafwatilia video zake

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 роки тому +1

    Niliona interview ya mkewe kua walitapeliwa pesa nyingi na walikopa Bank, na hiyo Ndio moja wapo ya sababu yeye kurudi kuimba maana huko Ndio kwenye pesa atakayoweza kulipa, maana biashara zote zimeanguka

    • @najmamohmad6348
      @najmamohmad6348 4 роки тому

      Shida wanawake cc ndio washawishi wabaya mke wa mzee Yusuf akua na subra aki

  • @user-pz8cb9cj3i
    @user-pz8cb9cj3i 4 роки тому

    subuhana llah

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 роки тому

    Subhanallah

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 роки тому

    Yuko.sawa soma Qruan .2:102 hiyo hainatatizo

  • @gilbertvicent4229
    @gilbertvicent4229 4 роки тому +1

    ATALAANIWA NA ATAFIRISIKA ZAIDI NA ATAKUA DHALILI KWA KUMDHIHAKI MUNGU WAKE.

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 4 роки тому

    Subbanaallh

  • @HjdeT60
    @HjdeT60 4 роки тому

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiun

  • @moanasaboud4399
    @moanasaboud4399 4 роки тому +1

    Allah Akbar
    Eeeee Mola iblis awakando na sisi
    Hasara kwa kaka Yusuff

  • @allykidumejuma9929
    @allykidumejuma9929 4 роки тому

    UKIONAMTU KAENDA MAKKA KUTUBU AKARUDI KATIKA MAASI UJUWE HIJAYAKO HAIJAKUBALAWA, WEWE MZEE YUSUFU IMANIYAKO NI DHAIFU

  • @rukiamatano7764
    @rukiamatano7764 4 роки тому +1

    Subhanallah Astakfirullah

  • @fahadsaid9616
    @fahadsaid9616 4 роки тому

    Inamaana sisi wote tunaishi kwa kuimba taarabu?simnafiki tu huyo,hapo mwanzo aliishi kwa taarabu?unafiki tu,

  • @abduswamdalwymoh.d3951
    @abduswamdalwymoh.d3951 4 роки тому

    Ukimona mtu awcha kitu kwa haraka ujue atarudi

  • @kizakibombo3951
    @kizakibombo3951 4 роки тому

    Asalam aleykum

  • @rashidmassoud8248
    @rashidmassoud8248 4 роки тому

    Lana kum