Maa shaa Allah Masheikh Zetu Allah akujazeni Baaraka kwa kupigana jihadi hii na kueneza ujumbe Ambao kwa ujumbe huu ndio maana Allah Subhaanahu Wataala aliwaagiza mitume na manabii na nyinyi mmeirithi KAZI ya Mitume Allah Awajaalieni kheri nyingi... Amiiin
Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.
Mashaallah Allah awafanyie wepesi,, sheikh unavyo thoa ilmu na maandiko yaani yanaflow kichwani vizuri yaani ambae atha Kosa kuelewa haqqi ni kwa jeuri yake,,, maana unavyo thoa dalili yaani kuelewa lazima mtu aelewe,, lkni mbona mda mchache,, yakatiziwa,, jaribuni basi iwe atha dakika 30 ama 40min hivi,,
WALLAHI ALLAH YUPO NANYI,HII NI KAZI KUBWA AMBAYO ALLAH ALIWAPA MANABII NA MITUME KWAAJILI YA KUWATOA KTK GIZA.,"ANGALI"VIJANA WAKUBWA KABISA WANAZINDULIWA KIIMANI WAMJUE MUNGU WA KWELI ALIYEWAUMBA NA KUWAPA UWEZO WA KUFIKIRI,KUSIKIA NA KUONA,ALLAH AWAONGOZE WAO PAMOJA NASI KTK NJIA ILIYOSAWA,AMEEN
UISLAM NI NJIA PEKEE YA KUABUDU KUNYENYEKEA NA KUMUOMBA MUNGU ALIYEUMBA HII DUNIA,ENYI VIJANA WENZANGU MUNGU KAWAPA AKILI,MACHO NA MASIKIO ILI MPATE KUPAMBANUA HAKI NA BATILI,NAMUOMBA ALLAH AWAONGOZENI ILI AKHERA MSIWE WENYE KUPATA KHASARA,AMEEN
Mazinge acha kudanganya watu.wewe umezoea hadidhi za mtume,huwezi kufasri maneno ya kwenye Bible, kila neno Lina manayake na mafundisho yake.Eti hata as tunamwamini yesu ,kumwamini yesu so kwamdomo Kama unavyo Mwamin wewe.lakini pia kwasababu unawapoteza wengi ambao hajui maandiko, kuna kitu nataka nikusaidie! Yesu Kristo huwezi kumtoa Katika ukristo kwasababu yeye ndiye kristo.Matayo16:13....19.kitu kingine nikusaidie mazinge, yesu Kristo hana dini alikuja kwaajil ya watu wote na ndomana alikua anaenda kila sehem hata kwa wenye Zambi.Eti sinagogi mskiti alie kudanganya Nani? Hata ungekua mskiti So kigezo cha kusema yesu Kristo nimuislam.eti alisujudu ndo useme alikua muislam no. Anataka unambie wanao sujudu wote wanamuomba mungu wa kwel !Hapana! Wapo watu wanaabudu sanam nao wanasujudu, wapo buza China huko nao wanasujudu. Je hao wote wanamuomba mungu wa kwel ?wewe mazinge tunaona unamtaka yesu Kristo awe wakwako, Njoo Kwawajumbe wa yesu kristo wakupe misingi yakuwa na yesu.Namba yang ni0767182765
alafu unavyosema kuwa yesu alikuja kwa watu wote!! sio kweli sababu yesu anasema Mathayo 15:24 ...., Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
na kama kweli nyinyi wakristo mnamwamini na kumfuata yesu!! tunaomba mtuambie ibada ipi aliyo ifanya yesu na nyinyi mnafanya iyo ibada kwa kumfuata yeye!!??
Hakuna hata mkristo mmoja ambae anaweza kushindana kwa maandiko kwasbabu muislam anachoongea hakina kizunguzungu hata kidg lakin hawa wanaosema wao ni wakristo wallah ni mtihani mkubwa sana
Mashallah masheikh wetu wakislamu,Allah awajalie kheri kwa kazi hii ya da'waa
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
amine mungu awazidishie upendo
Maa shaa Allah Masheikh Zetu Allah akujazeni Baaraka kwa kupigana jihadi hii na kueneza ujumbe Ambao kwa ujumbe huu ndio maana Allah Subhaanahu Wataala aliwaagiza mitume na manabii na nyinyi mmeirithi KAZI ya Mitume Allah Awajaalieni kheri nyingi... Amiiin
Mashaa Allah... ALLAH awajalie kila la kher mashekhe wetu kwa kazi kubwa mnazo zifanya
Allahuma Amin
amine
MaashaAllah tabaarakallah ,Mungu awazidishiy kila la kheri kwa kzi mnaya fanya
amine
yaan kama hujamuelewa mazinge anachoongea ndo bhac tena hutaelewa kwingine,,,Allah akuhifadh 🙏
kwani unadhani hawaelewi kwamba wana fwata moto ubishi tu
Masha Allah mazinge Allah akulipe
Allahuma Amin
kila la kher ye na walim wetu wote ishaallah amine
Assalam alaikum mwenyezi mungu awape nguvu insha'Allah amiin
Allahuma Amin
amine
Allah awahifadhi ma sheihk wetu,13:5 ni petro ao?
Allahuma...yohana
Mashaallah
Mashaallah wisilam maustdh mungu awape kheri waelekeze wakirsto siyo kz ndogo 🙏❤️🤝 mungu awalipe wakirsto wagum kuelewa usichoke insha'Allaha
sio wagum wabishi tu mungu atawapa nguvu ma sheh ishaallah amine
Maa shaa Allah Kaka zetu wamepata kuelewa bara bara, Allah awaongowe inshaallah
Allahuma Amin
ishaallah amine
MashaAllah...tamu lakini fupi!
Tamu lakini fipiiii
Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.
Masha Allah masheikhe wetu Allah awahifadh Inshaallah
amine
Mashaallah Allah awafanyie wepesi,, sheikh unavyo thoa ilmu na maandiko yaani yanaflow kichwani vizuri yaani ambae atha Kosa kuelewa haqqi ni kwa jeuri yake,,, maana unavyo thoa dalili yaani kuelewa lazima mtu aelewe,, lkni mbona mda mchache,, yakatiziwa,, jaribuni basi iwe atha dakika 30 ama 40min hivi,,
Allahuma Amin
MashaAllah
Mashaallah sheikh
Allah awajalie kila la kher
Allahuma Amin
ishaallah amine amine amine
Mashallah tumejifunza hata kama ni waislam ila tunazidi kupata elimu ila fupi tunaomba part 2
Tegea sehemu ya 2
machaallah
"UMMAH UNAHITAJI DAWAH KILA UCHAO...WATU WAKULA RIZIKI YA ALLAH LAKINI HAWAMSUJUDII WALA KUMJUA!!"
Hakika
mungu ni mkubwa wawache moto unatakiwa upate kula
Jazakumu Llaahu khairan
Kila siku nakuombea dua allah akufishe kwenye kulingania dini
Allah awazidishie hekma.
Mashallah
Hii inayosema habari ya kutawadha ni sura ya ipi aya ipi katika bblia??
13/5 yohana
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu mashekh wetu mbona ustadh Salim ww nimtaita mbona voi waacha wapotea hawajajua uislamu
alekum salam watajua tu
Allah Awalipe Jannah.
Amiin
muslim men are hot , they can't resist being near a women. mmepewa ruhusa ya wanne, mnaweza panya mutah,.....
Shekh Suleiman Mazinge anajua kuongea na kufundisha mpka unaelewa. Maneno yake yanatoka kwa mpangilio sahihi
Jamani nauliza shekh Suleiman mazinge yuko wapi siku hizo mbona simuoni kokote kwenye midahalo
MBNA video ni fupi hyo
Na naombeni no za simu plz
Kuwa mstarabu kaka na majibu yako plz cjauliza mzaha
Kama kwako waziona mimi kwangu hazionekani plz
WALLAHI ALLAH YUPO NANYI,HII NI KAZI KUBWA AMBAYO ALLAH ALIWAPA MANABII NA MITUME KWAAJILI YA KUWATOA KTK GIZA.,"ANGALI"VIJANA WAKUBWA KABISA WANAZINDULIWA KIIMANI WAMJUE MUNGU WA KWELI ALIYEWAUMBA NA KUWAPA UWEZO WA KUFIKIRI,KUSIKIA NA KUONA,ALLAH AWAONGOZE WAO PAMOJA NASI KTK NJIA ILIYOSAWA,AMEEN
UISLAM NI NJIA PEKEE YA KUABUDU KUNYENYEKEA NA KUMUOMBA MUNGU ALIYEUMBA HII DUNIA,ENYI VIJANA WENZANGU MUNGU KAWAPA AKILI,MACHO NA MASIKIO ILI MPATE KUPAMBANUA HAKI NA BATILI,NAMUOMBA ALLAH AWAONGOZENI ILI AKHERA MSIWE WENYE KUPATA KHASARA,AMEEN
Namba ziangalie pembeni tu hapo zinaonekana
Mazinge acha kudanganya watu.wewe umezoea hadidhi za mtume,huwezi kufasri maneno ya kwenye Bible, kila neno Lina manayake na mafundisho yake.Eti hata as tunamwamini yesu ,kumwamini yesu so kwamdomo Kama unavyo Mwamin wewe.lakini pia kwasababu unawapoteza wengi ambao hajui maandiko, kuna kitu nataka nikusaidie! Yesu Kristo huwezi kumtoa Katika ukristo kwasababu yeye ndiye kristo.Matayo16:13....19.kitu kingine nikusaidie mazinge, yesu Kristo hana dini alikuja kwaajil ya watu wote na ndomana alikua anaenda kila sehem hata kwa wenye Zambi.Eti sinagogi mskiti alie kudanganya Nani? Hata ungekua mskiti So kigezo cha kusema yesu Kristo nimuislam.eti alisujudu ndo useme alikua muislam no. Anataka unambie wanao sujudu wote wanamuomba mungu wa kwel !Hapana! Wapo watu wanaabudu sanam nao wanasujudu, wapo buza China huko nao wanasujudu. Je hao wote wanamuomba mungu wa kwel ?wewe mazinge tunaona unamtaka yesu Kristo awe wakwako, Njoo Kwawajumbe wa yesu kristo wakupe misingi yakuwa na yesu.Namba yang ni0767182765
sasa ndugu Peter Isaya unataka kuniambia yesu alivyokuwa anasujudu alikuwa anayasujudia masanamu!!?
alafu unavyosema kuwa yesu alikuja kwa watu wote!! sio kweli sababu yesu anasema
Mathayo 15:24
...., Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.