#ZaNdaaani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 33

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 4 дні тому +19

    Mm n mwananchi ila kw watani saizi walivyojipata na Azam saizi kw anavyotia huruma yan atapigwa hadi Bahresa atahama nchi😂

  • @sadickmkanda8214
    @sadickmkanda8214 4 дні тому +6

    Waandishi bado tu hamuitaki simba.....

  • @Rajabu-n3q
    @Rajabu-n3q 4 дні тому +3

    Simbaaaaa nguvu moja 🔥🔥🔥🔥

  • @TadayoTadayo
    @TadayoTadayo 4 дні тому +2

    Kwa Simba hi iliyo jitafuta atashinda vizur tu azamu kapigwa na kitu kizito

  • @MethodJulius-fu9hf
    @MethodJulius-fu9hf 4 дні тому +5

    Time will tell❤

  • @Awesso.Mndolwa-kf3tt
    @Awesso.Mndolwa-kf3tt 4 дні тому +2

    Hicho kama kidada hicho

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 4 дні тому +4

    Huyu jamaa anatabia zakikekike

  • @rashidikawanga2941
    @rashidikawanga2941 3 дні тому +1

    Azam ina wachezaji wazur kuliko Simba 😂😂😂😂, wenge hili aiseee 😂😂😂😂😂, dah nacheka tu aiseee 😂😂😂😂😂, sijui wakina nani hao aisee ambao yy anawazungumzia 😂😂😂😂😂

  • @HabibHassan-g2z
    @HabibHassan-g2z 4 дні тому +3

    Visingizio vimeanza

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q 3 дні тому +1

    Mimi YANGA ila kwa SIMBA hii ,,, azam ikishinda bahati

  • @JamaliMbogo
    @JamaliMbogo 3 дні тому

    Simbaaaaaaaaa baba lao Bado amjasema Ubaya Ubwela

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra 4 дні тому +1

    Sasa huo ni uchambuzi au uchoko?

  • @HabibHassan-g2z
    @HabibHassan-g2z 4 дні тому +2

    Mtasema yote

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 4 дні тому +1

    Wasafi ni yanga tunajua hilo

  • @HamadiJamuhuri
    @HamadiJamuhuri 4 дні тому +2

    Mdogo wke diamond anajikuta amjuw mpanzu dar hii dunia hii

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 4 дні тому +2

    Hichi kijamaa ni kama panya road...kinatia kichefu chefu..kina sura ya kimbea na uchonganishi

  • @newstarsamson5407
    @newstarsamson5407 3 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @sailisrijawala-u2d
    @sailisrijawala-u2d 4 дні тому +1

    🔛

  • @allymaimuna8688
    @allymaimuna8688 4 дні тому +2

    Bado simba mna ikataa

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 дні тому

    Mimi sioni mnachosifia simba. Kuingia makundi kwa simba ndio iwe issue ya mjini mpaka mnataka kutoa roho? Kwani misimu mingine hakufika hizo hatua?? Acheni ushamba.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 дні тому

    Hakuna kitu hapo. Azam akicheza na simba ni kama anatimiza ratiba. Ila akicheza na yanga ni kama kifo.

  • @FaymaSaidi-l7d
    @FaymaSaidi-l7d 2 дні тому

    Jaman nataka kuangalia mpira me siko tz natakakwenye cm nafanyaje

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 2 дні тому

    Munatumika kuwapa bichwa simba wapweteke wakati azam akicheza na simba ni kama fainali

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 2 дні тому

    Maana kolo ana kocha mda gani ? karne 3? Au maana nae hana hata miezi hebu kaa kwa kutulia labda wapeane Kama mtt wa shangazi na mjomba tofauti na hapo watarudi na boti la usiku wa kati

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 4 дні тому +2

    Kwamba wakifungwa sawa wakitoa sare/suluhu baridi tu

  • @asap4294
    @asap4294 2 дні тому

    acheni mtu aongee mna dakia dakia mambo

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 3 дні тому +1

    Bado Simba inajitafuta acheni inasafari ndefu kufanya timu

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 2 дні тому

    Ubaya ubwela

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 3 дні тому +2

    Azam inashinda mechi asubuhi kweupe

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 4 дні тому +2

    Azam hua wanafurahia kufungwa na Simba kuliko wao kuwafunga Simba.