1 - OMBA MUNGU IMANI YAKO ILINDWE UNAPOPITA KATIKA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege || DODOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 120

  • @selemanjames8190
    @selemanjames8190 8 місяців тому +9

    Mungu azidi kuwapa siku nyingi,ili kile mungu ameweka ndani yako uzidi kutulisha Mpaka TZ yote iseme ndio kwa YESU 🙏💥🔥

  • @verrynicemushi2563
    @verrynicemushi2563 8 місяців тому +13

    Amen, kila ninaposikiliza NENO kupitia Mwl, naona kama mimi ndiye Mungu ananisemesha. MUNGU! naomba umtunze na kumlinda mtumishi wako.

    • @verynicenelsom2416
      @verynicenelsom2416 7 місяців тому

      Nabarikiwa sana ninaposikiliza neno kutoka kwa mwalimu napàta nguvu mpya MUNGU wa mbinguni azidi kumweka na kumtunza

  • @EdithaMpolya
    @EdithaMpolya 7 місяців тому +1

    MUNGU akubariki Sana mwlm mwakasege na barikiwa Sana

  • @MariaFashion-yt9cl
    @MariaFashion-yt9cl 8 місяців тому +1

    Mungu Asante kwa zawadi hii ya mwalimu, tunajivunia wewe Mungu ktk Yesu ndani ya mwlm Mwakasege Tanzania tukamuone Yesu siku ya mwisho.

    • @MariaFashion-yt9cl
      @MariaFashion-yt9cl 8 місяців тому

      Naomba Mungu anisaidie nijue kupambanua roho, na niwe na macho ya rohoni na masikio ya rohoni nayafanye kazi kwa spid isiyo yakawaida amen

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 8 місяців тому +5

    MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUTUNZA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE 🙏

  • @margarethkissaka3645
    @margarethkissaka3645 8 місяців тому +5

    Mungu nisaidie imani yangu isitindike

  • @nitikekubetta9152
    @nitikekubetta9152 8 місяців тому +5

    *Kwanini uombe imani yako ilindwe*
    Mfano Yesu aliomba petro imani yake ilindwe
    01. Ili usije ukashindwa kuanza kukifanya kile ambacho Mungu amekuandaa kukifanya
    a) mazingira ya mtu kufanya jambo yanaweza yakageuka yakawa kibebeo cha jaribu kwako (luka 22:31-32) mathayo 4:18-20)
    b)

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 8 місяців тому +4

    Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu Mwl Christopher Mwakasege na Mama Diana Christopher Mwakasege Kwa utumishi uliotukuka.

  • @jenjuma6255
    @jenjuma6255 7 місяців тому +1

    Mungu ninaomba niwe kalibu na wewe hiyo ndiyo haja ya moyo wangu ninyanyue pale ninapoanguka katika dhambi 😭😭😭😭😭😭😭 nimekuomba kws muda mrefu sana moyo wangu unaelekea kuchoka nisaidie mungu

  • @margarethkissaka3645
    @margarethkissaka3645 8 місяців тому +6

    Eee Mungu imarisha imani yangu

  • @yustersimkwai6140
    @yustersimkwai6140 8 місяців тому +1

    Eeeh Mungu wangu umeahidi Bwana hautaniacha mpaka mwisho wa dahali Nina kuja mbele zako Mimi na familia yangu miungu ya mababu zetu tunakataa Kwa mamlaka ya jina la Yesu kristo aliyehai. Achilia uzima, ulinzi wako juu yetu, afya zetu juu Yako shusha roho wako mtakatifu katika Kila hatua ya maisha yetu
    Bariki wajane, mayatima, wagonjwa, wasiojiweza, wajawazito wote katika jina la Yesu kristo aliyehai

  • @anthonygondwe1608
    @anthonygondwe1608 8 місяців тому +13

    HUDUMA YA MANA IMETUVUSHA WENGI❤

  • @AngelaKandulu
    @AngelaKandulu 8 місяців тому +2

    Inaomba Imani yangu ilindwe na damu ya yesu nisaiidie ee bwana

  • @watchnew7648
    @watchnew7648 8 місяців тому +8

    DAMU YA YESU IKUFUNIKE IKULINDE NA UISHI SANA MTUMISHI

  • @joykapaya1970
    @joykapaya1970 8 місяців тому +1

    Naomba unikumbuke nami Eee Mungu ulie hai🙇

  • @ElizabethJustine-cy1sy
    @ElizabethJustine-cy1sy 8 місяців тому +2

    Mungu Baba wa mbinguni awazidishie Baraka msipungukiwe mahali Sina Cha kusema Mungu wa mbinguni ndo anae jua jinsi Gani mnatubariki. nawasikiliza nikiwa moshi

  • @rehemajuma4915
    @rehemajuma4915 8 місяців тому +2

    Hili somo ni langu kabisaaa. Asante Mungu kwa ujumbe huu

  • @RehemaMhabuka
    @RehemaMhabuka 8 місяців тому +3

    Najiungamanisha na semina hi amina

  • @EverlynKenneth
    @EverlynKenneth 8 місяців тому +1

    😢😢😢😢hallelujah 🙌 👏 🙏 hallelujah hallelujah 🙌 🙏 unikumbuke ,wakumbuke rafiki zangu ikumbuke familiar yangu hallelujah 🙌

  • @benadethamlay3395
    @benadethamlay3395 8 місяців тому +10

    Umehaidi Bwana uniachi,naomba Mungu nikumbuke kwenye masomo yangu.Nikumbuke Baba semister hii nikumbuke Baba mwaka huu🤲🙏

    • @EverlynKenneth
      @EverlynKenneth 8 місяців тому +1

      AMEEEN Atakutendea

    • @benadethamlay3395
      @benadethamlay3395 8 місяців тому

      Amen

    • @JudithJackson-iq8pi
      @JudithJackson-iq8pi 7 місяців тому

      Ee Mungu nifungue fungua uchumi wangu BABA fungua Afya yangu BABA🙏🏻Ee Mungu wangu nitengeneze tena

    • @EstaAko-ml5hp
      @EstaAko-ml5hp 7 місяців тому

      Amen

    • @GloryJulyus
      @GloryJulyus 7 місяців тому

      ​@@JudithJackson-iq8pi.😮
      😅😮 you use 😅😊😅😅😊😊😅😅😮😢😢 nl mmmnnnn😮😅

  • @MillyMtui
    @MillyMtui 8 місяців тому +2

    Asante Mungu kwa kuniwezesha kusikiliza neno hili, Mungu akubariki mtumishi🙏

  • @judithmbunda4835
    @judithmbunda4835 7 місяців тому

    MUNGU naomba uendelee kuilinda Imani yangu🙏🏾

  • @benedicto98sanga35
    @benedicto98sanga35 8 місяців тому +3

    Najiungamanisha na ibada hii kwa jina la YESU

  • @UpendoJacob-n3j
    @UpendoJacob-n3j 8 місяців тому +3

    Amina Mtumishi wa Mungu

  • @GodfreyLukumay-ex1nz
    @GodfreyLukumay-ex1nz 8 місяців тому +4

    EEMUNGU wangu niwezeshe kwa kila jambo hata ninapojikwaa kwa jambo lolote usiniache MUNGU wangu ❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rachelpeter87
    @rachelpeter87 8 місяців тому +2

    We Mungu mkuu mwenye Enzi yote hakuna Kama we we, as ante kwa kunipenda, Bwana, asante kwa kulituma neno lako kuniponya. Asante kwa mpakwa mafuta wako Bwana.

    • @ericavumi1546
      @ericavumi1546 7 місяців тому

      Asante mwalim mwakasege munguakupe maisha malfu

  • @josephdaudi8009
    @josephdaudi8009 8 місяців тому +2

    Asante Yesu nimeona ukinitendea

  • @ZediMichael
    @ZediMichael 7 місяців тому

    Mwenyezi Mungu akutangulie katika kuitenda kazi yake

  • @vivianlyimo670
    @vivianlyimo670 3 місяці тому

    Yesu ninaomba unilindie IMANI yangu kwako kwa kipindi hiki ninachopita nisikuache na nisikutende Dhambi

  • @SimionDaudi
    @SimionDaudi 8 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana baba hongera kwa utumishi mwema.

  • @MaryMremi-x3u
    @MaryMremi-x3u 7 місяців тому

    Naomba maombi kwa ajili familia yangu bwana yesu kristo atuponye ahsante sana Mungu baba wa mbinguni

  • @anniefrancis9923
    @anniefrancis9923 6 місяців тому

    Wewe ni MUNGU uliye mwaminifu siku zote…ASANTE kwa kunipenda,ASANTE kwa hili somo la wakati.Naomba damu yako Yesu ifunike na kuitunza IMANI yangu.

  • @AgnesMmila
    @AgnesMmila 8 місяців тому

    Mungu anisamehe nilikua nataka kuacha huduma nimechoka maana naona tokea nimeokoka maisha yamekua magumu ndani ya miaka 5 naugua moyo wangu sana Mungu nirehemu

  • @MagrethGadson
    @MagrethGadson 8 місяців тому +1

    Eeeer Mungu nisaidie niponyeshe vote vinavyonisumnua kwa Mawazo na kwa kunena Mungu nakuja Mbele zako🙏🙏🙏

  • @bellakwayson4982
    @bellakwayson4982 7 місяців тому

    Yesu mkumbuke rafiki yupo hoi kitanda linda imani yake na yangu uponye ktk jina la yesu

  • @vivianlyimo670
    @vivianlyimo670 8 місяців тому +1

    Yesu Naomba Unilindie Imani Yangu kwako 🙏🏻

  • @TelesinaKilasi
    @TelesinaKilasi 8 місяців тому

    Ahsante Bwana Umenigusa mimi moja kwa moja,,Usiniache mpaka mwisho wa Dahali🤲🙇🧎🙌🙌

  • @eliakirannko3741
    @eliakirannko3741 8 місяців тому

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Mwl. Mwakasege. Ulindwe Daima 🙏

  • @FloraMagehema-ro8jp
    @FloraMagehema-ro8jp 7 місяців тому

    Umehaidi huniachi Mungu wa mbinguni. Mim Sina Mungu mwingine. Linda Imani yangu Baba yangu wa mbinguni

  • @annemyombo8089
    @annemyombo8089 7 місяців тому

    Am blessed by the worship song, hakika wema nazo fadhili,zitanifuata.

  • @prisca4612
    @prisca4612 8 місяців тому +1

    Naomba Imani yangu ilindwe kwa jina la Yesu!!!!

  • @marynialivet3746
    @marynialivet3746 7 місяців тому

    Sala yangu kila siku Ni kumwambia Mungu NIONGEZEE Imani majaribu dhiki njaa uchumi usiokua kutokuongezeka vyote ivi visiniondolee Imani yangu kwako🙏🙏🙏

  • @lymsannouncement2321
    @lymsannouncement2321 8 місяців тому

    Asante YESU KRISTO kwajili ya mtumishi WAKO MWAKASEGE

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 8 місяців тому

    Mimi salome smart mwakisole namshukuru Mungu amesema nami wazi wazi mtumishi, naomba niaombee mtumishi wa Mungu nivuke salama katika kipindi hiki ninachopitia, ❤

  • @rosemombo8292
    @rosemombo8292 8 місяців тому

    Mungu walinde wzz wang na mtt wangu mlinde mfungue ktk masomo na kumpa afya njema nipe afya njem na mlinde mtumish wa mungu

  • @anjelaleonard4887
    @anjelaleonard4887 8 місяців тому +1

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @marthazimba3389
    @marthazimba3389 8 місяців тому +1

    Asifiwe milele aliyeiweka hii huduma ndani yenu mungu awabariki sana.

  • @MonyaichiShayo-ke4me
    @MonyaichiShayo-ke4me 8 місяців тому +1

    Napenda sana Mungu awape Neema yake.

  • @miriamsospeter5996
    @miriamsospeter5996 8 місяців тому

    Naomba Mungu katika Maombi haya yakafungue kila kitu changu kilichofungwa

  • @Songoaelifredrick
    @Songoaelifredrick 7 місяців тому

    Mungu azidi kuwa msaada wa Imani yangu niweze kuvuka kwenye maumivu niliyo nayo.

  • @evamerycostantin2458
    @evamerycostantin2458 8 місяців тому +1

    Mungu mkumbuke mume wangu

  • @RebeccaSanga-f9w
    @RebeccaSanga-f9w 8 місяців тому +2

    Utukufu runakurudishia wewe Mungu wetu ulie hai

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 8 місяців тому

    Yesu mwema sana, naomba unisaidie mm na familia yangu

  • @ezraessau5479
    @ezraessau5479 8 місяців тому +1

    asante Yesu kwa neema

  • @saraemmanuel7285
    @saraemmanuel7285 8 місяців тому

    Mungu awatunze mlindwe na damu ya Yesu

  • @janetfrancis7180
    @janetfrancis7180 8 місяців тому +2

    Amen

  • @melvinchristopher8871
    @melvinchristopher8871 8 місяців тому

    Mungu unipe kujifunza kupitia ibada hii

  • @elleymselle5933
    @elleymselle5933 8 місяців тому +1

    Barikiwa sana baba 🙏🙏

  • @ZuwenaElia
    @ZuwenaElia 8 місяців тому

    Amina Mungu upo mahali hapa

  • @BenardAlfredy
    @BenardAlfredy 7 місяців тому

    Mungu akutunze baba

  • @musakasingo594
    @musakasingo594 8 місяців тому +2

    Nasikiliza kutokea mjini Mlowo Mbozi Songwe

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 8 місяців тому +2

    AMEEEN AMEEEN

  • @sekelabenard
    @sekelabenard 8 місяців тому +2

    Ameen

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 8 місяців тому +2

    Amen 🙏

  • @NeemaMasunya
    @NeemaMasunya 8 місяців тому

    Mungu uniwezeshe kukuishia wewe!

  • @JoshuaLeonard-s3y
    @JoshuaLeonard-s3y 8 місяців тому

    MUNGU akutunze mpaka kusudi lake litimie kupitia maisha yako

  • @EvEmanuelSamson
    @EvEmanuelSamson 7 місяців тому

    E mungu usinipite unaposhuka kuwahudumia hao

  • @jovitaaugustine
    @jovitaaugustine 8 місяців тому +1

    🙏🏾🎷🎷🙌🏾

  • @musakasingo594
    @musakasingo594 8 місяців тому +2

    Mbarikiwe sn, ebu tusikilize.

  • @rox-annausiri2630
    @rox-annausiri2630 8 місяців тому +1

    Ameeeeeen

  • @MonicaGlory-cn2gz
    @MonicaGlory-cn2gz 7 місяців тому

    Glory to God

  • @eunicesambayi1995
    @eunicesambayi1995 7 місяців тому

    Usinipite ee Bwana hata katika magumu ninayopitia naamini utanivusha kwa damu ya Yesu Christo 😢

  • @lomunyakdaudi1509
    @lomunyakdaudi1509 8 місяців тому

    Amina Baba

  • @AgnesMmila
    @AgnesMmila 8 місяців тому

    Mungu awatunze ❤

  • @MaryMremi-x3u
    @MaryMremi-x3u 7 місяців тому

    Amen Amen

  • @samsonmatiko6343
    @samsonmatiko6343 8 місяців тому +1

    Ameeeen

  • @benadethamlay3395
    @benadethamlay3395 8 місяців тому +2

    🙏🙏🙏

  • @successfuldoc
    @successfuldoc 8 місяців тому

    Ndiwela Msanga
    Judith Mwijage

  • @barakajonnal-fb9ch
    @barakajonnal-fb9ch 8 місяців тому +1

    Samahani sijafanikiwa kupafaham mahali mkutano unapofanyika japo nipo hapa dodoma naomba kujulishwa Tafadhali sana

    • @ostermwaiponja7983
      @ostermwaiponja7983 8 місяців тому

      Panda hiace zinazoenda mipango then waambie wakushushe kituo cha wajenzi ukishuka hapo ulizia huwezi potea ni maeneo ya karibu

    • @elishamkumbwa6158
      @elishamkumbwa6158 8 місяців тому +1

      Seminar inafanyikia wajenzi,,nyuma ya sheli ya puma
      Popote ulipo, waweza kufika ukitaka kufika we uliza wajenzi utaelekezwa

    • @barakajonnal-fb9ch
      @barakajonnal-fb9ch 8 місяців тому

      @@ostermwaiponja7983 🙏 Amen

    • @barakajonnal-fb9ch
      @barakajonnal-fb9ch 8 місяців тому +1

      Muda wa kuanza ni saa ngapi pia naomba kujua

    • @jameslazaro
      @jameslazaro 8 місяців тому +1

      Saa tisa alasiri

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh 7 місяців тому

    Amen. Bwana Yesu kwakutumia mtumishi wako nimesikia nakuelea kosalangu nakiri nilikukana ilinipate Kazi ninachooomba ni rehema zako. Katikati ya kukukana nimekiri kunisamehe anzaa upya namimi. Nimerudi Bb😭😭😭😭

  • @HappyPalingo-br8zs
    @HappyPalingo-br8zs 8 місяців тому +1

  • @OdeliaErneo
    @OdeliaErneo 8 місяців тому +1

    Kiukweli swala la iman ni zito mnoo

  • @wamamapefakizota5870
    @wamamapefakizota5870 8 місяців тому

    Ameni

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 8 місяців тому

    Kama yule kiwete alivyomwona yesu alipika kelele,yesu akamuuliza wataka nikufanyie nini, akasema bwana Sina mtu wa kunitia birikani maji yanapochemka

  • @Dianamwansasudddw
    @Dianamwansasudddw 8 місяців тому

    Jamani 2:15:05 anafanya nini huyu baba?mimi cjaelewa ?nakuomba baba imani yangu uilinde

    • @kisakim5660
      @kisakim5660 3 місяці тому

      Anawaelekeza Sauti ya tatu haisikiki vizuri anawaambia kwa ishara waongeze kama sio Muimbaji ni ngumu kuelewa

  • @justinmavunde2893
    @justinmavunde2893 7 місяців тому

    Justin mavunde

  • @salamamhanga-zj5zu
    @salamamhanga-zj5zu 8 місяців тому

    Ee Mungu nisaidie imani yangu isitindike 🙏

  • @AnethNdosa
    @AnethNdosa 8 місяців тому

    Ee Mungu naomba unisaidie niweze kuwa mtekelezaji wa neno🙏

  • @hurumalupasa3844
    @hurumalupasa3844 8 місяців тому +2

    Amen

  • @JumaJuma-js2sm
    @JumaJuma-js2sm 8 місяців тому +1

    Amina

  • @prisca4612
    @prisca4612 8 місяців тому +1

    Amen!!!!!

  • @MonyaichiShayo-ke4me
    @MonyaichiShayo-ke4me 7 місяців тому

    Amen Amen

  • @AnnaChacha.
    @AnnaChacha. 8 місяців тому +1

    Amen.

  • @Feslan-gz2bt
    @Feslan-gz2bt 8 місяців тому +2

    Amen

  • @FainesPhilipo
    @FainesPhilipo 8 місяців тому +1

    Ameeen

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 8 місяців тому +1

    Amina

  • @KelvinMianjo
    @KelvinMianjo 8 місяців тому +1

    Amen

  • @johndenis8768
    @johndenis8768 8 місяців тому +1

    Amen

  • @nitikekubetta9152
    @nitikekubetta9152 8 місяців тому

    Amina

    • @PreciousWatson-kc2xs
      @PreciousWatson-kc2xs 7 місяців тому

      Amen usinipite bwana wew ndio kimbilio langu pekee angu sitoweza

  • @RebeccaSanga-f9w
    @RebeccaSanga-f9w 8 місяців тому +1

    Amen