KAGAME HII NDIYO SILAHA ANAYOTAMBA NAYO/RAMAPHOSA NA TSHISEKEDI HAWANA UJANJA HAPA/IJUE SIRI YAKE
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny
Kumbuka idd amini alifundishwa na msuguli lakini msuguli alimchapa
Huyu jamaa kwanini asipigwe
Endela kumjaza maji atamwagika bwaaaaa
Ndio maana kikwete alishindwa kumvumilia huyu, ni jeuli sana,
Rwanda hana silaha kuisha soudh afca uongo broo
Acha kuyasumbuwa masikio ya watu bro
Farao alipo takiwa kuangalia alijitia ujariri wa kufuata MUSSA kuvuka baharinkwa Rehma za Mungu hatimae alazama na laana zake na watu wake .SasaKagame amejichanganya pa pabaya.
Hana lolote huyu kagame wenu
Musa Alipofika mbele ya Faraho na ujumbe wa kumwambia Aruhusu watoto wa Israeli hapo Misri alionesha kiburi sana ,mwisho wa siku alijikuta Watoto wa Israeli wameondoka, aliwafuhata Nyumba Lakini kilocho Mpata Ni wanajeshi wake wote wa kufa kwa maji wakicheka na wengine kujutia kwenda. Ndivyo itakavyo kuwa Kwa wahasi na wavamizi wa congo. siku ipo.
Hamna kitu hapo,hicho kibri chake anaweza kucheza na South Africa ata tz awezi cheza nao yeye mwenyewe anajifariji.hao frdc walivyogusa gisenyi kapanic
Hivi kwel kuna silaha ipo Rwanda ... south Africa hakuna..?kwakwel Bongo 5 acheni hivo bana
Kama unasema amepikwa mondori na morogoro vp hao waliompika aweze kuwazidi,basi cc ni zaidi yake
Usimpambe
Jamani amnambabe ipossiku
kifo iko namtafuta
Acha uwongo wewe hujuwi history kkkkkk ona unavojichanganya kwahiyo tz ndio wamemuandaa na yeye awe juu yao mpiuzi mkubwa wewe
Ata profesa anaandaliwa na mwalimu wa shule ya msingi,pika kagame intelligence amemalizia America siyo tanzania
Hana lolote huyu kagame wenu