Ushuhuda wa binti aliyeishi kuzimu na duniani kwa wakati mmoja | Part-1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024
  • Leo tunaanza sehemu mpya kabisa ya kwanza ya ushuhuda wa kusisimua ambao tumeupa jina Simulizi ya falme tatu za kichawi.Ni ushuhuda wa binti ambaye alimtumikia shetani tangu akiwa mtoto mdogo sana na kupelekea kufika falme ya 3 ya uchawi.Karibu

КОМЕНТАРІ • 47