GOBA SDA CHOIR-KAZI IENDELEE official video4k

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Wimbo huu umeimbwa na kwaya ya waadventista wa Sabato Goba.
    Wimbo huu unawatia moyo watumishi wa Mungu na watenda kazi shambani mwa Bwana kusonga mbele katika kufanya kazi ya Mungu.
    Kazi ya Mungu haiwezi kusimama itaendelea mbele mpaka yesu atakaporudi kuwachukua watu wake.
    Pia waimbaji hawa hawakusita kutukumbusha juu ya thawabu inayopatikana katika kufanya kazi ya Mungu
    Barikiwa.

КОМЕНТАРІ • 64