Baraka kutoka juu ziendelee kuwatiririkia na kipaji kiongezeke. this song has blessed me so much. kila nikiutazama wimbo huu nabarkiwa sana. asante sana watoto wa Mungu, mwenyezi awazidishie kipaji na Imani.
1wakorintho 15:58 58 Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mwajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana.
Yeap that's true on that day no one Will know where to go but as long as you were good and not harmful kind hearted you will know where to go so I hope everyone will do only good things thank you
Wale tunaona ona 2024 tujuwane kwa like
Wimbo mzur sana mubarikiwe sana
Nani pia anautazama wimbo huu 2019 Tuko pamoja✌✌
Nabarikiwa mpaka nabarikiwa Tena mbarikiwe watu wema wa dodoma
God bless the choir so much
This song blessed me so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MUNGU AWABARIKI Sana nyie vijana kwa nyimbo zenu kwa kwa kweli nabarikiwa
Sana na huduma yenu
Ameen atakae vumilia mpaka mwixho atapa taji ya uzima
Mungu azidi kuwatia nguvu watoi nawapenda sana
Mnanibariki sana kwa nyimbo zenu nzuri zinaujumbe ila sasa mbona mmepotea sanaa
Mungu awabariki sana MANUKATO KWAYA,muendelee na kazi ya kumtukuza Mungu,na kuwafanya watu wampende sana Mungu katika YESU KRISTO
Wow amazing mungu akumbariki sana ndungu
Safi Sana FPC mukato god bless you 🙏🙏🙏🙏
manukato choir may God bless u so much,nyimbo zenu zinabariki tu sana
Barikiweni sana,,from Toronto canada
Naipenda sana ❤❤❤❤❤ hiyo kwaya
❤❤❤❤❤😊😊 hiiiii nyimbo inakura sana MB zangu naipenda sana
mbakaa leo sichokiii kusikilizaa this music ..
Aiseee hizi nyimbo hazichuji
Wimbo mzur ila hizo stail za viduku mnajua zilianzia wapi mnaleta viduku vya kidunia mpaka makanisan Mungu awahurumie
Tunawaombea sana Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake, Barikiwa mno
Wimbo mzuri sana💌
Nawapenda watoto wa mungu
Umenibaliki Sana wimbo huu
Nyimbo za Hawa watoto, sizichoki kamwe
Hofu Manukato Mungu Awabariki kaka jina la JESU KRISTON
JINA KUBWA DUNIAN
NI JESU KRISTON
Ni JESU AU YESU
Nmebalikiwa.
Yani vijana awa mubalikiwe sana tena sana
Can someone tell me the second part and mana ana kupenda sana
Mungu awabaliki sana.ila tu hawo Dada zetu wake wanajalibu kuvaaa zipitalo magoti yawo,ili injili isewe yawo iwe bora sana.
Mbarikiwa ❤❤❤
I'm in love with everything in this song ... extremely good
Aiseee vijana hawa wanatisha .Mungu awabariki sana vijana
Jaman hawa wanamba so mchezo
Mungu awabariki sana yani hiyi nyimbo ime nipedenza sana... nime penda mane habo hiko dani ya nyimbo hiyi
Mungu awatiye guvu
Hawa Watoto niatari 🌹❤❤
Munguaabariki watoto hawa wanasauti nzuri! wanajua kuringa kwa kutumbuiza! wanamsifu mungu ipasavyo!
Anayeangalia huu 2020 tujuane
🙏🙏🙏🙏🙏
Quem também está assistindo essa música 2024 Estamos juntos 👍👍
Baraka kutoka juu ziendelee kuwatiririkia na kipaji kiongezeke.
this song has blessed me so much. kila nikiutazama wimbo huu nabarkiwa sana.
asante sana watoto wa Mungu, mwenyezi awazidishie kipaji na Imani.
Nabarikiwa Sana na nyimbo za Hawa vijana Mungu awaongoze katika kazi yenu
nimependa wimbo wenu mungu awabariki sana keep up and nimependa sauti ya uyo dada mungu amubariki sana.
big up sana nyimbo zenu zina pendeza
ameen barikiweni
Duh uu mupiga soro ananiacha hoi
mungu awajaze nguvu muliko mzidi kusonga mbele pia ningejuwa mlipo
2021 December Zambia loves you
Mungu awatie nguvu pasipo kukata tamaa wala kurud nyuma
Nayipenda nyimbo
Amen mubarikiwe
Wimbo mzuri
So nice, ROLD bless you.
Toeni nyingine maana mnanibariki sana
Mungu ni mwema a nastaili sifa
mubarikiwe vijana kwa kazi kazi mnayo hifanya
Ameni watoto wa mungu
AMEN .huu ni ujumbe muzuri sana MUNGU awabariki na awasogeze mbele na zaidi ya hapo.
i like the song
daaa napenda nyimbo hz mbarikiwe na bwana
Mwenyezi Mungu awabariki
1wakorintho 15:58
58 Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mwajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana.
TTC
Yeap that's true on that day no one Will know where to go but as long as you were good and not harmful kind hearted you will know where to go so I hope everyone will do only good things thank you
Hizo sauti ziko nzuri kabisa. Wabarikiwe waendelee vivyohivyo.
god bless you
Amen.atakaye vumilia
Can't understand this language,am from Zambia. But I love their vocals, anyone to translate it for me into English
i dont even knw wht i was looking for..and i came across this..keep it up guys
munguawainuwe zaidi nyimbozenu safi
Who is here 2022 I love all the songs
Watching from Lusaka Zambia... love your music
27sept 2024 gether here❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mumbarikiwe
Mungu ni mwema
I really like all of your song guys,may God bless you a lot
Wow! Your songs are amazing, May The Lord continue using you to preach through this
Nice gospel be blessed
What a wonderful song
Nice song.God Bless you guys
Ninyi ni wa baraka keep the fire of holy spirit burning, Amen good songs.
mungu awabariki kwa nyimbo nzuri
atakaye vumilia mpaka mwisho
wimbo umenibariki sana
BARIKIWA NA BWANA
By Ev.Ibrahim mbembla barikiwa sana mpendwa
Wonderful kids . God bless u guys
God blessed they .soul
god bless you guys🙏🙏🙏 nice song
❤❤❤like this song
Hallelujah
2024 naona kama n new song
Mbalikiwe
amen amen mungu awabariki
Ekisi
Mngu awabariki 2020
Amen amen
Atakaye fumilia mpaka siku ya Mwisho ndiye Atakaye pishwa taji
Hi bblsd keep it up may our God bless u .
Mungu awabariki sana watoto
God bless you guys I'm going deep spirit
Munhu awabalik sana
Mwenyezmungu awabariki sana jamani
munaimba vizuri sana mungu awabariki
⛪⛪mbarikiwe guys karibu kila nnapoingia UA-cam natazama hii video
That is amazing
Nice video
Kwaya ya wapi hiyo jamani daaaah
mbarikiwe
Great choreography as well!
Dalili za bwana zimetimia
Nyimbo nzuli kabisa!
nawapenda wandugu zangu katika Yesu
God bless them!!!
Good song i love it
What a good song.
nice i like this song