Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mm natamani ukweli wa loveness hujulikane tu kama na ww unapenda kama mm like👍👍 plssssssss🙏🙏🙏🙏
Mm natamani xana ujulikane
AYA JAMANI JANA MMETEMA POVU SANA NUSU MNITOE ROHO YA LEO NA LEO VIPI HAPO ?? KWA USHAURI NA MAONI 🥰😊
Usirudie
😂😂😂😂😂 wee hata mimi nilitoa puvu 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂anaekwambia ukweli ukikosea skuzote anataka ufanye vizuri zaidi
@@OmaryRamadan-m8v umeona ehee kumba watu waliucheza mchezo tofauti 😅😅
Munatuchanganya mbele nyuma kama ferry
Tabia za suz kila wakati zinaboo yani huwa hana ushauri mzuri kwa lisa kila wakati
Mwaaaa ❤❤❤❤ mayasa ndani ya mjengoHakika nakupenda sana mayasa ni mrembo unasauti nzuri muonekano uhusika unauweza mayasa love you so much
Loveneess ushauli Wang u achana na huyo mzee uluhusu penzi la kwer pesa ni maua alafu kaa makin na shoga ako🙏🙏🙏
Lisa kubali uwolewe achana Amina anakupoteza
Kazi nzuri ❤❤❤
Loveness umefanya vizuri kuweka kelvin sehemu iyo.
😂😂ndege kakumyea au alama ya busu😂😂wanaume mmmm😅😊😊🎉🎉❤❤❤
Eee Sasa umeunganisha vizuri kabisa hongera sana❤❤
Maya tulikumiss sana❤😍
Lovenes amua tu,huyo mzee hakufai mwaya❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂kelven wewe kibokoo sanaaaaaa unaye baba wawatuu unamchunzaaaaaa maneno yakwetu😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Loveness achana na aminaaaaa huyo mzee unamzidisha na jalufu anaekupenda kwa dati
Wew Amina wakati lovennes akiwa na Kelvin ulikuwa wamtaka Kelvin ss Kelvin yupo Huru Sahiv Humtaki una mzungungusha
Ila uyu amina sijapenda tabia zake
Loveness kanajua kucheza hizi movie 🎥 I like this
Litha umeponea chupuchupu asingekuwa Suzi sijui tu ingekuwaje japo huwa anakupondea kaamua kuuokoa udugu wenu lakini usirudie mambo hayo❤❤❤🎉🎉
Ila suzii n kisunzi sanaa badilika mama Lisa fata maamuzi yako usimfuate suzii kabisa n mnafiki huyoo
Huyo Amina anamharibia mwenzake
za mwizi 40 za mwongo 60😂😂😂 dada zangu mtajulikana tu naongoja siku hiyo🙄
Mashallah ❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Chagua mmoja dadangu kwani za mwizi 40 na mwongo 60
Mayasaaaaa💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗or Mayaaaaaaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Una Roho Nzuri Sana wallah Sometimes
Ongereni kwa kazi zuri 🎉🎉🎉 Kenya
Yaan love kitakukuta kitu kizito wew msikilize suzy tuh
Bonge la kazi kaka kelvin
waooo❤❤❤❤❤ nilikua naingojea kwaamu sana
Kelvin kasamehe shebele kwa lipstick 💄 😂😂😂
Like zangu wakwanja kutoka Congo 🇨🇩
Kazi nzuri sana ❤❤
Suzy umecheza vizur hujamuchomea Lisa ila ya Arubaini itafika😂
Kevin nmecheka kama Yote🎉🎉🎉🎉
Lisa!. Amina anakupotezea wakati
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimekwama hapo kwa, "inawezekana ndege kaninyea 😂😂😂😂😂"
😂😂😂😂 umeonaa
Dunia number one😊
Love nes amina anakutiya shimoni na chelewachelewa utakuta mume sio wako
Kazi ipo daa yani suz amelipwa bila huduma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakujazia nzi
Suzi anatabia mbay lovenes usimfate uyoo
Noma sana Yan 🎉🎉🎉
Mbona ndegeer
Suzi anamtumia mwenzie risa😂😅😂😅😅😂
Yani kama nilijua tu kelvin hachelewi kuuliza 😅😅😅 lkn shirt lako limechafuka hili😅
We lisa😮huezi kuacha🎉Mr d wewe mzee mzima akupeleke wapi rudi kwa bony
Amina mtaumbuka tu😂
Aibu daa shati limechafuka
Lisa na sponsor wake Mr D kazi ipo😅😅😅😅
Hongera Sana wa donta TV
Jaman ndege anamavi mekundu mista dii😂 lavenes kama kweli humtak mista di ondok kwa amin ishi maisha yako pekeako pesa alizokupa mist d fanya biashar achana na ukahaba kaz nzur
Mpangalio uko swa kabisa Kelly,,,,,,endelea kutuburudisha boss,,,,,
Loveness huna shoga hapo kabisa yan
Waooo donta tv nawapenda sana nipo nanyie mpaka mwishooooooo❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwenye hii move kelvini mnoko😂😂😂
Ati juli si Kelvin tena😂
Loveness unanikera na uyo mbaba wako tulia na jerufu Ebu😢😂😂
Mayaaaa❤❤❤❤❤❤❤nilikumic
Afu hyu Mr. D amefanan na mzee kingwendu cjui n mapacha vilee😂😂😂😂😂😂😂😂
Baba na mwana wanakula chungu kimoja😂😂😂
Amina urogi unauweza
Mm urafiki wa kishoga hivi siutaki 😢😢😢
😂😂😂😂 kelvin umeweza et kama langi ya mdomo ya mwanamke
Congratulations tulation from kenya🎉
😂😂hadi mimi nimecheka sana na Mr D anasingizia ndege kamnyea
@@DianaNelima-i5i 😂😂😂😂
Wow hatimae nimewahi like zangu 😂😂😂
Suzy nae anamtaka mr D😂
Lovenness tulia na jalofu uyo Mzee anatumia pesa zake Tu mapenzi apo akuna😂😂😂😂
Lakn suzi kaicheza game poa😅....Leo hajachoma
Hatimae na mm leo nimewahi😂😂🎉🎉🎉 donta tv nami naomba like❤❤❤
Hata me nimewah nipeni like leo mana kila mtu kawahi🎉🎉🎉😊❤
Donta meanza kutuona mafala au
Suzi kwa upande wa pesa iko tayari hata kwa kifo
Dakika ni ndogo san jamais
Ila nahii nisaw inafat dunia ikitok😊
Huyo mzee wa nini sasa jamani pesa uwa zinaisha akimaliza pesa zake utampenda daaah
Sija pata like hata moja Ila ndio naitwa sitoki Kwa hii movie
Donta wajanja jamani ety ametokea kelvin
😂😂
Lisa huyo mzee mimi sikushauri bhn baki tuuh na jarufu
Mr D na lips 💋 💄 😂😂😂😂 kwa shati 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lizzy nitumie namba Yako
@isaackpeter5223 namba tu😅😅😅
Mtihani kweli
Kelvin kapat mbab wak 😂😂
Jamani dada Victoria Yuko wapi
Asanteni sana for his episode
Ww LV siuliache Hilo lizee
Mr dii umenichekesha eti ndege amemnyea
Kuna Rafiki na rafuk
Bonsoir la suite
Ila suzi jaman wa 🔥🔥🔥🔥
Julius show mbovu tena wataka 😂😂😂😂😂😂jamani
Saiv mnatisha sana
Kelvin huna adabu unamwamhiaje babako rangi ya mdomo wa mwanamke🤔🤔🤔
Mr dii lipstick iyoo yakuponzaa sas ivi ach mmi nichek 😂😂😂nijifanyecijaon😅😅
Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Apo Sawa lissa
Wa kwanza🎉🎉🎉🎉
Lisa nawe utaumbuka vibaya
Lisa siuchangue mmoja Kati ya me d na kijanake,Nani uishi naye ,kina siku Kita kuramba babe kelv
Kelvin na mzae ati ndege kufanya nn😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 nimecheka mno
Ndege kamunyea😂😂😂😂
Waaaaooo maya Siku mingi
Iki kilitakiwa kiwe cha 8 donta tv mliluka step ila frsh tuko na nyie adi mwisho
Hatujaruka ila nyie ndio mmekua na haraka story imesha pangiliwa vizuri tu muwe na subra
❤🎉❤🎉❤😢❤drc
Mm natamani ukweli wa loveness hujulikane tu kama na ww unapenda kama mm like👍👍 plssssssss🙏🙏🙏🙏
Mm natamani xana ujulikane
Mm natamani xana ujulikane
AYA JAMANI JANA MMETEMA POVU SANA NUSU MNITOE ROHO YA LEO NA LEO VIPI HAPO ?? KWA USHAURI NA MAONI 🥰😊
Usirudie
😂😂😂😂😂 wee hata mimi nilitoa puvu 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂anaekwambia ukweli ukikosea skuzote anataka ufanye vizuri zaidi
@@OmaryRamadan-m8v umeona ehee kumba watu waliucheza mchezo tofauti 😅😅
Munatuchanganya mbele nyuma kama ferry
Tabia za suz kila wakati zinaboo yani huwa hana ushauri mzuri kwa lisa kila wakati
Mwaaaa ❤❤❤❤ mayasa ndani ya mjengo
Hakika nakupenda sana mayasa ni mrembo unasauti nzuri muonekano uhusika unauweza mayasa love you so much