MISTAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • "Mistake" ni hadithi inayozungumzia maisha ya Mwanaidi, msichana anayekulia katika hali ya umaskini, lakini anapata msaada kutoka kwa Ras, kijana wa kuuza maji, ambaye anajitolea kumsomesha na kumuweka kwenye njia sahihi ya maisha. Juma anamuonyesha Mwanaidi upendo wa dhati na matumaini ya kuwa na maisha bora pamoja, licha ya ugumu wa maisha yake.

КОМЕНТАРІ •