mmekosa kazi za kufanya hapo hajamuiga ukitaka kuamuni na ww jaribu kumuongelesha mwanao kwa mapozi uone kama na ww sauti haiwezi kuwa kama hiyo. kuna nn cha kuiga hapo.
sio poa kwan akiongea nae c mapenz 2 kwa mwanae mbona gubu jamani... mwache afanye anachokiona bora kwa mwanae sababu yeye nn ndio qeen wa maisha ya mwanae
Sharifa 22 Mimi naamini kila mwanamke alie zaa anahaki ya kumuongelesha mwanae ama kumfundisha mwanae kuongea kwa nn mseme anaiga kwa zari kwani anaishi na zari
Mmmmm sisi binadamu tokonamambo pilipili musoila inawashiya nini hamisa and mond ni wazazi waweli hatamufanye nini hamisa ni family ya mond atake asitake. Mwacheni aburudike namwanao Allah bless mashaallah Allah akulinde na family yako inshaallah wwche wajawaseme watakalo hio niwivu inaowasumbuwa 😏hamisa mobbeto tamba kimwanaa naudumu milele inshaallah
Zari is a Lamborghini, hamisa is Honda meaning they will never be the same no matter how .
Join Odhiambo 😂😂😂😂
she is trying so hard to sound like zari
Haha anamuigiza sanaaa anawazimu sanaa uyo mcheruko...+254 Mombasa
I love you so much 😘😍hamisa
Lazima hamisa Mobeto aige kwa zari ,hajui lolote zaidi ya kupora. ........
Iyo ni sauti ya kawaida ya kuongea na mtoto
ni kweli anamuiga zal aache ujinga huoo
Hamisa nakupenda mwaya 😘😘😘😘
That baby does not look any close like Diamond
Why cant u go for DNA test
Smh
Kaigaaa
Boss Lady will remain the only zari we now dia tuliya kidogo
Zari is a German machine(kyuuma kya mu Dutch)ever challenged but never equalled...let her keep trying
hivi siku hizi aiimbi teena hahahahah
Zari is a business tycoon depending on no one ....Hamisa can never get to be same as the Boss lady
Yes amemuigiza sauti
hupendezi kweli kuigiza kama zari nimeamini umechanganikiwa,
Hamida Hassan hahahahahahaha😅😅umejua kunifurahisha sana..big up
Yes it's very true 😂🤣🤣🤣🤣This woman adores Zaris life
duuuuh kweli sauti anamuiga zari
Woow baby
c kwli bhana
hhhhhhhh....anaiga hhhhhhhhhh...duniani kuna mambo
Kweli hamisa kachizika. Bado tu anaendelea kujidhalilisha.hana jipya.
Jamani bas sote tunamuiga zari maana tunasemeshana na wenetu na hatychagui lugha mmmmh shida kila kitu zarii
amna jipya mtaishia hapohapo hamisa songa mbele achana na waswahili
Hana jipya hy kwel anaiiga
Huyu Dada now on hana jipya kiki zimemwishia
hahaahahahahahhahahahahahahah halooooo nimecheka kwa sautiiiiii
mmmh mwachen Dada wa watuuu jamaniiii
Kwl kaiga 😂😂😂 ila hawezi jmn kazi mnayo
Miss Hassan kutoka Omaha Nebraska USA
jaman binadam
mmekosa kazi za kufanya hapo hajamuiga ukitaka kuamuni na ww jaribu kumuongelesha mwanao kwa mapozi uone kama na ww sauti haiwezi kuwa kama hiyo.
kuna nn cha kuiga hapo.
sio poa kwan akiongea nae c mapenz 2 kwa mwanae mbona gubu jamani... mwache afanye anachokiona bora kwa mwanae sababu yeye nn ndio qeen wa maisha ya mwanae
handsome son
Hamisa ana sauti nzuri mwenyewe
hata hamuigi, mzaz akiwa anacheza na mtoto sauti huibadilisha ili kwenda sambamba na mtoto ktk kimchezo chao hicho
hamisa kama huna kazi bora ulee tu watoto wako uwiiiii utakufa kwa pressure
Hamisa is obsessed with zari she copies everything she is a fan in denial😂😂😂😂
Tumechoka jamani hamnaga stori zingine
So true I can’t with her lol 😂 and she ain’t even articulate ati who who Nani Nani lol 😂
Janeth Athanas ppp
Waongo bana...sasa ameiga vp...watu bana hamchoki kuongea
kawaida yake hamisa hana ubunifiu, ataiga kila kitu hata mawig anaiga kwa zari , hajui lolote zaidi ya kupora. ...... mabwana wa ......
Hamida Hassan umeonaeee👏👏👏big up sana
Hamida Hassan uyo zari analipi lakuigwa roho ngumu km paka
nikweli kabisa mama hujakoseaa
Mh
Ndiy anamuiga alafu awez fyuuuuuu kaz kunyapia nyapia waume za watu.
Real anamuiga kwa kila kitu ataumia
true
It is something important to talk with your baby because he/she is going to speak fast and speak your language.
Kwani kuna ubaya gani mbona zari pia nae nimuigaji mzuri tu
😂😂 kamuiga sauti
Yeah absolutely
zari nimwanamke bwana tena sio wamchemchezo mungu akupe miaka10000000000000000000 penda sana mama t
Mwee hamisa si utulie utaiga vingapi
Acheni kumpaka tope huyo mtt wa watu hiyo ni sauti ya hamisa kawaida yk zari hn sauri hiyo waongo nyii munachuki nae tuu
m2 lazima uongee na mwanao mwishoe mtasema baby dilani nae anamuiga nilan mana wabongo hakosi la kusema
kwani zari ana sauti gni hd amwiigee
Hahaha kuiga uku!! Izo kaz Zina funny zao!
Sasa hapo kamuiga nini jamani? Eeeeeeeeeeeeee!
Sasa ukicheza na mtoto utazungumza nae kwa sauti kubwa? Si utamtisha!! Mh mm naona hakuna alieigwa ni kawaida kwa mtu yeyote huongea na baby hivyo.
Hakuna mama asiyezungumza na mwanae
Dylan ni handsome ongeleni wazazi wake,
huyo zari ninanj kwanza
Msijaze masusu kwa mambo yasowahusu
Huyo zari na yeye anamwiga wema
mbona kinamama wengi 2 wanaongea na wtt wao nao pia wanamuiga zari?
Hana swaga ndiyo maana anaiga hd sauti
Mmmmhu uwii jamani
nikweri
Sinaham
Hahahaaa afadhali mmeona nanyie ataiga mpaka akome
Mna shida nyinyi kila kitu anainga Kwani zari ni nani
Hamisa acha kujipendekeza,ndio anamuiga hamuwezi
Hajamuiga zari bhana amuige zari kwa kutak yule si kibogoyo
Nkawaida ukiwa lazm utaongea nae kitoto
Anamuiga wala hawezi kazi yake kunyapia nyapia uwiiii
Sharifa 22 hv kila anachofanya anaiga watu kwakukosa kaz bana
Sharifa 22 huyo zar kamungu wenu
Sharifa 22 Mimi naamini kila mwanamke alie zaa anahaki ya kumuongelesha mwanae ama kumfundisha mwanae kuongea kwa nn mseme anaiga kwa zari kwani anaishi na zari
Watanzania tufike mahali tuache unafki kwamba sauti ya zari ni ya hamisa ujinga mtupu zari ni zari na hamisa ni hamisa
acheni umbeya binadam mbonahivyo
hahahahah anaiga ajitahid bado sanaaaaa jipangeee
Ahaaaaaa hn llt mseng ty
Mmmh shida kweli c mtoto mtoto azungumze nae km yuko na jitu zima ovyooo hamna habar
😀😀😀😀😀
Jaman hamisa kaongea vizur zari ndio nn mbona hamsemi kaiga kujibadilisha kwa Michel Jackson kwan zari si bibi kizee sauti nzuri Nayokaiga
chefuuuuu
sasa m2 asiongei na mtoto wake eti kamuiga zari
huyo mama mond mwehu kwa sababu mond anakojowa kwa hamisa
Mpni tu sifa tuoni mwesho haaaaaaaa
amna mnamuonea
anaiga ndio kwani uongo?
angekua mobeto nimzuri mondi angeweka ndani anachezewatu ham wezi zari
I talk to my children in the same manner. Lol and am not fun of zari. It's called baby talk guys
Hahahaaa. Ni kweli anageza.
Mh Jaman kila mama anamsemesha mwanae hivo haimaanish tumemuiga zar
duuuh hamna apo kamuiga wapi jamani
Lava lava
kwenda huko amuige zari kwa lipi
Kaiga kweli
Mmmmm sisi binadamu tokonamambo pilipili musoila inawashiya nini hamisa and mond ni wazazi waweli hatamufanye nini hamisa ni family ya mond atake asitake. Mwacheni aburudike namwanao Allah bless mashaallah Allah akulinde na family yako inshaallah wwche wajawaseme watakalo hio niwivu inaowasumbuwa 😏hamisa mobbeto tamba kimwanaa naudumu milele inshaallah
Anamuiga nini iyo sauti ya hamisa ni ya mtoto mdogo anazungumza ukweli wa sauti wangine wanaiga vijana nakufanya sauti zionekane ni zakutoto
Hahaha mama dangote 100% hampendi hamisa hahaha hamisa tulia...
😂😂😂😂😂😂
Kweliiii kaniga hako kahamisa kanapenda kujiekit booo
Hata amuigi jamani acheni hizo jamani
Jamanii mbona mnamchukia mobt mm naona zali ndo anamuiga mbt mobet bado mbichiii zali kizeeeee daimd hanamach
Na wabaya wk hp comment kibao mapovu poleni
Hawez kz kuchukuwa wanaume wwtu hamtsfut wakwenu nyoooo!!
hamisa wivu tamaliza na ndio anakua kama.chizi utachoka kushindana na zar zar.humuwezi
jamani asifanye kitu kila kitu kaiga fu wabongo siye
Ni aache kumwigiza zari coz haezi kufanana na yy..there is big different betwen them..hawaezi fanana kabisa.
Minilifikiri zarina hassan
kachita huyooo hana swagaaa