MAKALA MAALUMU || WANAWAKE JASIRI PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 12

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk Місяць тому +1

    Tunamuomba Allah atusaidie atuletee haki zetu za wazanzibar ili tuwe na mamlaka kamili.. aamiin yaa Rabb Al a'alamiin

  • @Muhairy
    @Muhairy Місяць тому +2

    Safi sana wazee wetu ujumbe tumeupata

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp Місяць тому +3

    Pemba ndio ngome kuu ya siasa za tanzanian tangu hapo enzi,ila bila ya mamlaka kamili hututokubali kamwe kwa utawala huu wa mauwaji na mabavu ya ccm n,goooo

  • @AllyFaki-w6b
    @AllyFaki-w6b Місяць тому +1

    ngangar ngari pale pale

  • @w4058
    @w4058 Місяць тому +2

    Allahumma Aamiin

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi Місяць тому +1

    Mashallwah. Mamaangu. Bigp. Sna

  • @ahmadooalhassan7633
    @ahmadooalhassan7633 Місяць тому +1

    ohh..my sweet home..O ALLAH forgive me and my sweet home

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp Місяць тому +1

    Musikate tamaa mama zetu,cc tupo ngangari tunapambana

    • @ibrahimsheha215
      @ibrahimsheha215 Місяць тому

      Munauwa tu hamubakishi hata mdudumuko ngan gaari sana mpaka mubaki pekeenu wababe waduniya

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 Місяць тому +5

    Watanzania wengi wanafahamu kuwa wapemba ndiwo watu waliokoma kisiasa sio wajinga watu wameenda shule long time na ndiyo watu walioeneza siasa tanzania mzima

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 Місяць тому +1

    Tunawatakia kila la kheir waasisi wa upinzani katika kisiwa Cha Pemba, hongera ACT, Taifa la wote MASLAHI YA WOTE,MAMLAKA KAMILI

  • @ramadhanifakikombo4010
    @ramadhanifakikombo4010 Місяць тому

    ua-cam.com/video/mZx6b65szD8/v-deo.htmlsi=_ApbJ5PiMGEfExP4