UWEKEZAJI BADO NI DONDA KWA WAZAWA ....... WAZIRI SOROGA AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA ZATO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024
  • Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhani Soraga amesema Jumuiya ya Makampuni yanayoratibu na kusimamia misafara ya Watalii Zanzibar ZATO, ina wajibu mkubwa wa kuhakikisha sekta ya utalii inamuinua mzanzibari.
    Akifungua mkutano mkuu wa mwaka ZATO, katika hoteli ya Golden Tulip kiembe samaki Soraga amesema hivi sasa sekta hiyo kwa kiasi kikubwa bado haijamuinua Mzanzibari,

КОМЕНТАРІ •