BARNABA AMJIBU MAMA MKWE/NAOA MKE WA PILI/RAYA AMEONDOKA AMENIBLOCK /KUPIGA PICHA NA YAMMY/SITAACHA
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- BARNABA AMJIBU MAMA MKWE/NAOA MKE WA PILI/RAYA AMEONDOKA AMENIBLOCK /KUPIGA PICHA NA YEMMY/SITAACHABARNABA AMJIBU MAMA MKWE/NAOA MKE WA PILI/RAYA AMEONDOKA AMENIBLOCK KILA SEHEMU/SITAACHA SANAA YANGUMAMA KIMBO AMPA ONYO BARNABA/AFUTE PICHA ZOTE ALIZOPIGA NA YEMMY ALIVOVAA UTUPU #MAMAKIMBO #BARNABA #yemmi #gigymoney #BARNABA #YAMMY
Navyo mpendaga Barnab jmn❤❤🎉🎉 nakutakiy maisha marefuu🎉🎉🎉❤❤❤
Barnaba ana busara sana MUNGU AKULINDE
Baranba nampendaga Toka nijui nyimbo zke.Anasauti nzuri anajua kuimba nyimbo zke Kiukweli hziboi
Ni kweli ila dem wake akimsikikiza atapotea kwenye muziki huyu
Barnaba mimi kama shabiki yako hujakosea popote iyo ni kazi na kazi iendelee❤❤❤
Barnaba wakuache bhana hio nikazi yako chapa kazi 👌👌🔥
The song is beautiful well keep it up!!💯💯💯👍
Umeonngea vizuri omba msamaha tu, picha sio nzuri.
Umeongea vizuri sana, nazani mwenye kuelewa atakuelewa
Anajielewa huyu kaka
Ss huyo dada aliolewa alijua anaolewa na mfanyabiashara au na msanii, vitu vngn lawama na kumuandama tyu mtt wa watu......km anajielewa ataacha kusikiliza maneno ya watu sababu mume wake ni msanii tn anamiaka mingi mnoo
Picha Kali sana kaka fanya kazi na nyimbo Iko Bomba sana👍
Hongera sana muziki ndio maisha yako huyo asiyekutakia mema achana nayee
Uko vizuri Sana kwa majibu yako 🎉🎉🎉
Inawezekana Barnaba alikua kazinituu!! Ila kulingana na mke anavyomhukumu ikampelekea kufanya Kweli!! Kwauelewa wangu mdogo mume anaeza kufanya kosa kubwa na ukakaanae chini ukaongea nae kwa hekima yakaishia nyumbani. Kwa mtu anayetaka kujenga nyumba yake lazima busara ikuongoze!!! Ndoa ni nzito ndoa ni ngumu ndoa ni mzigo!! Sasa ww shetani anakujaribu kidogotu ivyo unataka talaka, ukiamua kuwa mke kuwa mke kweli usiyumbishwe na mitandao, mke ni mama, mke ni mlinzi wa familia yake, mke nimwalimu wa familia yake. Ugomvi wa mapenzi humalizwa kwa mapenzi sio chuki utampoteza mumeo bure.
Maneno ya busara kabisa Mungu akuongoze inshallah
Nimejifunza ktu kikubwa sana kupitia kwako israeluronu ubarikiwe
@@fatihiyadossa375 Amina tubarikiwe sote
Dah ubarikiw san uko nabusar san kiukweli nimejifunza kitu
❤
Safi sana barnaba usikubali kutawaliwa music ndio maisha yako akubaliane ba hilo
Umejib vizuri
Nimepnda majibu yako ya busara Mungu akulinde Kka , kaombe msamaha mkeo arudi muendelee na maisha.
Aombwe msamaha wa Nini,kwani kabla aolewe hakujua mumewe ni msanii,na Tenaa kumbe walimsilimisha,angeolewa na muislam ambae sio mwana mziki,wakatulia
Wevu mwingine wakijinga tu kwan hawajui kam msani banarba na anakuwa kimziki my brother pole sana
Kweli alikuwa kazini wamuache Barnaba wetu na katika maisha yake ya mziki cjawahi kuckia, wala kuona story mbaya kwenye Sanaa yake!! Piga kazi❤❤❤
Baranaba anajua mpaka anajua tena ngoma🔥🔥☑️✅
Yani barnaba hta ukimuangalia ni kajanja kama sungura, 😂😂
😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Burnaba ana busara sana Mungu akulinde broo
Hapo Umejibu Kihume Kbs Lazm Mweny Akili Ahelew
Kiukweli mziki wa bongo hiyo ndo staili yake ya kuimba, mama mkwe awe pia na heshima sio kurupukwa tu, kwani raya akimpenda barnaba hakujua ni star
Fresh dogo ,komaaa hii ni kazi yako ,mueleweshe mamsaap na mama mkwe watakuelewa,waelewe duniani Kote ndyo kazi ya Sanaa ilivyo
Jamaa ana bahati mbaya sana na mahusiano yake kaoge Baharini bro
Barnaba ana hekima sana sjui ingekuwa mm huyo mama mkwe angeenda kusimulia😂😂
😂😂😂😂😂😂
Barnaba Mama Mkwe kalipuka inabidi uende na fire mbili kuzima moto
Kwa kweli wewe nimwanaume kabisa Allah akupe umuri ba
Rnaba
Mama kimbo jifunze kukaa kimya maan sio kila vita upambane
Barna hongera sana mcheshi saaananipo Burundi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰
Tunaona umerogwa sio bule mama kimbo kafanya kazi pole kaka yangu😢😢😢😢
Sema ngoma ni kali sana
Wewe fanya kazi bro achana na mama kimbo
😂😂😂😂😂
Achana na hiyo familia mama mtoto wote vizibo tu
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂@@ZenaMsumagilo
@@ZenaMsumagilonimecheka kidwanzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Ila Barnaba dah anacheka tu😂😂😂
😅😅😅Kasema kiuno na mabusu yamemponza
Waandishi nao ni wachonganisho😅😅😅
Nikijaja hichi katoto❤❤❤
Heshima. Ni ki2 bora cjapenda kiukweli kuna kufa
Ila hapana hataka sanaaa mume wa mtu pich zile si nzuri kabs
Mume WA mtu na KAZI na maadili inahusu nini? Si mchague wanaume wenye kazi za kistaarabu wawaowe?
unakandamizia kam umetumwa zingatia hil😂😂😂
Mama kimbooooooo ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,,,,, banaba khaaaaaaaa kulikua kuna aja yakupiga picha mmeshikana bila 😊😊😊😊😊
Umekufuru sana kaka ,ushakuwa kafiri unawaza hela tu hata kwakukufuru
very wise boy Barnabas Classic
Kaka ucogope huyo mpare asikuzingue🖐️🖐️ 😁😁😁😁
Jamani ukikubali kuolewa na msanii kubali yoooteee khaaa sanaa ndivyoilivyooooo eeboooo
Imekaa poa una hekima sana bro
Kumbe Barnaba ndiye mume wa taifa kwa sasa
Barnaba akiri zako wewe😂😂😂❤❤❤
Uyu mama amemkosea sana mkwewe,yale malalamiko alalamike mkewe sio yeye mama
Love this guy his just smiling 😂😂😂 got new touch yammi 🔥🔥
Baranaba Namukubali sana❤❤
Kuna Ile nyimbo ya nikilia nabembelezwa ❤
Du,ulibadili dini ili uoe usiku na mchana,pole yako
wivu mwingene ungese tu kwan hakujua kama upo kazin
Bigup bro it's all about job 😅
Umemkwamza Rayya😂😂😂😂
Jmniiiiiiiii ukikubali kuolewa na msanii vumilia maana asilimia kubwa ya wasanii changamoto ni hio kutokana na kaz yao
Umenichekesha barnaba😂😂😂😂
Nimeamini uhuu sio mwili wa barnaba sema anapitia tu changamoto kumbe ni mnene
Maadiri yapi mnaonsemea yy ndo wa kwanza 😂😂😂😂
Kijana huyu ni mstaarabu saana. Mama kimbo tulia, utaliaaa siku moja. Hayaa
Hahahhaha mshenzi wewe eti ni yamiii tena kwa msisitizo ahsantee barnaba
Nakushauri ukaombe msamaha kakayangu wewe nimsanii mkubwa natunakupenda sana
Uyo alikua anatafta umkosee aondoke mwache aende kwani alikua hajui upo kazin mambo mengine kujitakia tu😢
Ukiwa msanii unataka kufurahisha mshabiki ni bora usiowe au kuolewa kuliko kumuumiza mwanandoa mwenzako bure.Maana haiwezekani ukaitumikia ndoa na washabiki wako kwa wakati mmoja ni lazima mmoja utamchukiza.
Kwa hiyo muolewaji hakujua kazi ya mwanamuziki ndio hiyo kushika shika wanawake 😂😂😂
Na wewe unayekubali kuolewa na mwanamziki ambaye unajua fika kazi yake ni ya hovyo! Ukitaka kuolewa na mtu WA maadili si utafute mfanyakazi ofisini au non celebrities.
Kama umempenda mwanaume akiwa mzibua vyoo na ndiyo kazi pekee inayomuweka mjini kwahyo akikuoa aache au cyo?😂😂😂😂 kipele kweli ww
Angetafuta officer wa TRA amuoe
@@judyngowi391 naye mtihani akiwa na pesa nyingi za mishe mishe haonekani nyumbani, nyumba ndogo kibao 😂😂😂
😂😂😂😂 Game ya bongo inavituko kweli
Mama mkwe jau anaongea sana😂😂
Unajibu vzr xana
Inaitwaaa heshimaa kazi ya mtu to yatosha bro pga kazi
Bari unamchokoza mama kimbo?
ikitokea ugomvi na mwanamke wako akaenda kwao hahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasimchoshe barnaba hiyo ni kazi na itambulike hivo
Majibu yako mazuri barnaba chapa kazi bwana achana nao 😅😅😅😅
Wapi mama kimbooooooo
Safi sanaaaa
Piga kazi mwanamke bila pesa ni miyeyusho.
Nacheka kama mazuri😂😂😂😂blablablaaa bora barnaba wasikutawale
Subiri wakamroge tena 😂😂😂
Waongo kiki nyimbo iendee
Anakupenda atarud
Mwanangu barnaba kwali ni biyashara lakini yule dada kakaa uchi sana hata watoto wetu mnawafuza nn
Hiv hao mashangazi wakaa uchi hamuwaoni mmemkalia kooni mtoto wa mwenzenu wangapi wanapost wamevaa chupi hko mtandaoni why Yammi
Yes wapo watu wengi tuu lakini awasemi 😂😂😂
@jamilajamilah4157: wewe fundisha mtoto wako sio wasanii ndio uta tumainia wakufundishie watoto
Relationship is relationship siyo mama mkwe anataka atrend mtaoni kisa mtoto wake iyo ni kazi
Piga kazi achana na mama kimbo
Barnaba umeongea vzr, hii ni kazi yako, km kuna watu wanahisi vby basi wakusamehe
Watu Wanasema Eti Wanaalibu Mila Lakini Watu Hao Hao Kila Muda Wako Kwenye Simu Kucheki Matako Nyeti Za Wengine Mtandaoni Lakini Wanajifanya Midomo Juu Kama Mkia Wa Ngili
Uyo Raya mwambieni akaolewe na diamond alafu aone
Barnaba mm kama shabiki yako mama mkwe anakuendesha cha maana ongeza mke wa pili
Barnaba tupa
kule hao waswahili, piga kazi
Barnaba bwana, eti na Diamond kayakoroga huko
😂😂@barnaba haki umenichekesha eti sijielewi upo singo au vipi
Daaaah kiukwel yulee Yule yammi amekaa uchi sana sana sanaa kazinguwa inabda waheshim ndoa zao khee😅
Wapi ulisikia ukiolewaa na mwanaziki unarahaa bs shida ndohixoo bora tuuu mtuu kuolewaa namtu wakawaidaa utaishi vixuri
@@nurafedrick378kweli kabisa na sijui wanashangaa nini?
kwan phina hamuon msikalie koon mtoto wa watu amevaa uhuska ameimba vizur yatosha.
Ndio panampa kula afanyeje wakati huyo anaolewa aliijua vyema kazi ya mumewe kwahiyo atulie tu hakuna namna
We huna akili
Jamani hiyo kazi mama mkwe pembeni asijifanye
Huyo mama mkwe ndo anachochea moto, acha watoto wakigombana wewe kazi yako ni kusuluhisha na si kumsaidia mwanao kukasirika. Barnaba boy umeingia choo cha kike kwenda kuoa familia ya namna hiyo, mama kimbo si mama wa maadili kwa watoto
Alafu mke yupo kmya mama mkwe ndo mkali kwani kaelewa yy au mwanae
Kwa mkwe kama huyu hakuna ndoa hapo busara zero.
Nyimbo za injili Barnaba
Hamna kabisa hauendani kabisaaa nayamy
KAMA ULIMRUHUSU BABAMKWE AVAE HERINI UNASHANGA HAYO TU😮😮
heshima muhimu bwana
Afany na amapiano
We mshamba sana unatafuta kiki hivi mke wako angeshikwa hivyo na mwanaume mwingine ungejisikiaje?? Yan mkeo ange kuwa dada angu ungefia mbali
Ila Wana habari muwambea
Yammy kazoea kukaa uchi kwan barnaba ndoalimwambia avae chupi nje