Makolo msipoacha hizo habari zenu mara dawa,mtayaoga sana maana timu zote zinajipanga na kufanya marekebisho nyie kelele nyng hamtaki kukubal ukweli,hayaaa kizuri mko na semaji lenu wa kuwafariji
Upete anaogopa kuwaambia ukweliii ndugu zangu wana yanga kwamba yeye ni mwanahabari tena mwajiriwa so ana mipaka yakuongelea kitu fulani si hawezi ongea mnachokitaka
Nimependa sana hoja ya aziz ki, umeijibu vzr sana
Perfect analysis,safi sana!
Asante mungu kwa yang a yetu 😅😅❤
Ila Yanga ni DUBWANA KUBWA SANA saivi.
Yaani kufa lazime tu ufe ila kuna kila aina ya vifo.. #YANGA
Daaah
Huyu jamaa anajua uchambuzi balaa....big up
Azam wajipange vy kutosha kukabiliana na pakome mara hii tunawavunja wao
Kweli kaka refaree ni mkatisha tiketi tu pale magufuli terminal
Mbona husemi na zile penati walizonyimwa simba
Vyombo vya habari mboni mnaingiliwa namtu ambayo nasie maalumu ya waandishi
Mchambuzi wangu mtulivu mwenye akili timamu, good job Nazareth Upete
Hafai kabisa mwenye macho haambiwi ona anazikatisha timu tamaa
Mchambuzi mzuri sana uko vizuri
Makolo kosa refa Eheeeee
Hyo center refereeee amezingua sana ,alafu jamani tunaandaaa afcon lakini marefari hatutaweza kuwa na center refereeee kwenye mechi hyoo
Aachane na Mobeto
Uko vizuri kaka
Mbona mnamlazimisha aseme mnachotaka
cheki utopolo wana vyo jipendekesa hapa endeleeni kuwanunua wachachambusi mnakuja kujuta
Kama hatukuwajua tumearamba tukishawajua tunawazoea ni kipigo tu😅
R😂efaLii akakatixhe tiketi magomeni kweny daradara
Uyu zaid ya mchambuzi ❤
Fundiii
Hata kule mkwakwani Tanga msimu uliopita Yanga pia alizulumiwa ngao ya jimii dhidi ya madunduka fuudenge mikia😂😂😂
Mimi naona yanga wanaonewa sana na marefa
Mtaongea sana makolo😢
Eti yanga wazee dharau zenu zimewaponza mammaee😂😂😂
Waambie ukwel hana leo haukuwa kwenye ubora mzur,baada ya free kick hana on target
Makolo msipoacha hizo habari zenu mara dawa,mtayaoga sana maana timu zote zinajipanga na kufanya marekebisho nyie kelele nyng hamtaki kukubal ukweli,hayaaa kizuri mko na semaji lenu wa kuwafariji
Azam wajanja
Lazimatuseme kwa kuokoa mpira wa tanzania
Kabananishwa😂😂😂😂 ishu ya refa
Utoporo mnalalamika wkt kuna mechi nyingi mmebebwa kuwa wastaarabu,punguzen upuuz
Bado misimu mitano yamajonz😂
Ujinga tu kuma wew hujui mpira kolozidad wew
Walisema Yanga wazee, kumbe wao wana vijeba kibao.
Yang'a bila dawa hawezi kupata ushindi mbele ya mnyama
Dunduka 😂😂 eti daw
Bahat nzur wew unajua yanga wanapochukua dawa wapeleke na simba washinde
Refa aliyechezesha Machi hii inapaswa afungiwe kwa maamuzi mabovu kabisa
Alitumwa
Hamna waacheni tu tutawanda hivyohivyo huyo refa tunamjua hajawahi kuitendea haki Yanga, na alipangwa makusudi.
Acha uongo bhna.
Dube alivutwa ndani ya penalty box
Hasa tena kwa kutunyima goal yanga
Muwamuzi hatakiwi kufungiwa,
We bado unaamin daw
UTEPE UMESEMA UKWELI,AZIZ KUPOTEZA MPIRA NI KAWAIDA SANA
Yule refa baba yake mzazi ni shabiki wa simba
Upete anaogopa kuwaambia ukweliii ndugu zangu wana yanga kwamba yeye ni mwanahabari tena mwajiriwa so ana mipaka yakuongelea kitu fulani si hawezi ongea mnachokitaka