HATA UKIRINGA WEWE NI WA KAWAIDA SANA TUSITISHANE KWASABABU YA NJIA ZETU ZILIZOTOFAUTI "PASTOR MGOGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2022
  • Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
    Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
    UA-cam : Pastor Daniel Mgogo ua-cam.com/channels/eNr.html...
    #PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

КОМЕНТАРІ • 43

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 2 роки тому +7

    🤣🤣🤣Hallelujah 🙌🙌Amen Amen 🙏🙏barikiwa sana pastor, mumgu azidi kukufunulia zaidi,.

  • @irenekhisa3716
    @irenekhisa3716 2 роки тому +1

    Amen

  • @deborahmgedzi7383
    @deborahmgedzi7383 2 роки тому +3

    Mungu Mwenyezi Akubariki Sana

  • @mmbondolukanda8298
    @mmbondolukanda8298 2 роки тому +3

    Amen 🙏 Amen 🙏 🙌 👏 jirani yangu unanitishia nini kwani unanilisha jameni jameni

  • @mmbondolukanda8298
    @mmbondolukanda8298 2 роки тому +2

    Jamani Jamani ubarikiwe sana mtumishi Mungu akuzidishie

  • @zakayoraphael8834
    @zakayoraphael8834 2 роки тому +2

    Apo tuu mchungaji nakupenda sana MUNGU akupe maisha marefu na akupe nafunuo zaidi ibada hii nimefurahi saaana.

  • @dieudonnengendakumana7917
    @dieudonnengendakumana7917 2 роки тому +1

    Amina Amina na tena unatujenga kimwiri na roho ubarikiwe

  • @thierryirakinga1463
    @thierryirakinga1463 2 роки тому +2

    Tibu myoyo #Paster_Mgogo tunakuskia

  • @mtumishipetermbega2695
    @mtumishipetermbega2695 2 роки тому +1

    Aminaa aminaa barikiwaa Sana Baba mchungaji

  • @phileskeya9586
    @phileskeya9586 2 роки тому +1

    Amina

  • @cheriealimasi2853
    @cheriealimasi2853 2 роки тому +2

    Amen 🙏🏽

  • @pamanyango8917
    @pamanyango8917 2 роки тому

    Kweli kabisa mtumishi wa mungu

  • @ernestmakundi6508
    @ernestmakundi6508 2 роки тому +2

    Ongeza volume pastor😀😀

  • @epimackmakundi9082
    @epimackmakundi9082 2 роки тому +1

    Hapo unafeli sna mzee wangu

    • @ambakisyemwakinunu2002
      @ambakisyemwakinunu2002 2 роки тому

      Kwa hiyo unataka awaambie watu wenye unafuu wa maisha wawadharau wasionacho? Tena wengine wanadharau wengine hawana hata kitu ekisa anafahamiana na fulani au jirani wa fulani,acha mtumishi wa Mungu aendelee kutuponya mioyo yetu

  • @lugendodaniel5266
    @lugendodaniel5266 2 роки тому

    Mungu akutie nguvu utumike zaidi

  • @boscownyamukina4259
    @boscownyamukina4259 2 роки тому

    Unafanya vizuri. Binafsi nakukubali mno hasa kabisa yaaani!!!!!!

  • @pascariadavison3461
    @pascariadavison3461 2 роки тому

    Nakuelewa baba nondo😂😂😂sisi ni wa kawaida sanaaa💃🏽💃🏽🥰

  • @aderinacharles9415
    @aderinacharles9415 2 роки тому

    Amen barikiwa nakupenda

  • @nancyjonas3484
    @nancyjonas3484 2 роки тому

    nakukubali sana pasita

  • @eveliusrespicius6859
    @eveliusrespicius6859 2 роки тому

    Aise me imenigusa sana ubalikiwe mchungaji

  • @ceokinglaiza
    @ceokinglaiza 2 роки тому +1

    ✌🏾

  • @aminakarisa4215
    @aminakarisa4215 2 роки тому

    𝑨𝒎𝒆𝒏🤣🤣🤣🤣🤣 𝒎𝒄𝒉𝒖𝒏𝒈𝒂𝒋𝒊

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 2 роки тому

    🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🇫🇮🇫🇮🇫🇮

  • @justinog3105
    @justinog3105 2 роки тому

    😂😂🤣🤣🤣 mchungaji wew nihatari unajua point ya maisha ongela sana

  • @zaytoona1804
    @zaytoona1804 2 роки тому

    mungu akubaliki

  • @sarajames768
    @sarajames768 2 роки тому

    Asante mtumishi nimefarijika kwa neno lako naomba utuwekee namba yako hpo ili mwenye sadaka yake akutumie kiukweli nimefarijika

  • @maryanyango233
    @maryanyango233 2 роки тому

    Amen 🙏 haha

  • @linetaidi4723
    @linetaidi4723 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🙏💯

  • @nicodemuschipata980
    @nicodemuschipata980 2 роки тому

    V to

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 роки тому

    Hahahaha amen 🤣🤣

  • @neemaakarolema5989
    @neemaakarolema5989 2 роки тому

    Hahaha😆😆😆😆😆

  • @japhetkassim5910
    @japhetkassim5910 2 роки тому

    Haka kajamaa kanakula watoto wakali wakali aisee

  • @foifoi1
    @foifoi1 2 роки тому

    Kawaida 😂🤣🤣

  • @epimackmakundi9082
    @epimackmakundi9082 2 роки тому

    Umaskini ndo unakufanya useme hivi ,,hii ni kwa sababu binadamu hapendi kuona mwingine amemzidi ,,hahahhaa mungu ni fundi bwana alie barikiwa kabarikiwa tu hata utumie maneno ya kujifariji hutapata nafac ya kua alipo,,hivy ni vyema ukaomba neema kuliko kuponda mtu haisaidii kitu,,,hii amani ya moyo jamani itawamalizaaa watu

  • @epimackmakundi9082
    @epimackmakundi9082 2 роки тому

    Hahahaha hapo sijakuelewa baba angu,,hizo itikadi hazipo tena hasa kwenye karne hii,, hapo ww mwenyew ukiwa na hela ndo unapata amani,,bac ungekosa alafu tuone ujasiri wa kuongea hivy unautoa wap,,wewe

  • @anamarykasimbazisa5998
    @anamarykasimbazisa5998 2 роки тому

    Amina

  • @mercynambuyemakokha8608
    @mercynambuyemakokha8608 2 роки тому

    Amen

  • @ratifaabdu587
    @ratifaabdu587 2 роки тому

    Amen

  • @nadinensengiyumva2009
    @nadinensengiyumva2009 2 роки тому

    Amen