pindua meza ya uovu by vijana choir Aic t masumbwe geita

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 37

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 роки тому

    Wimbo ina nips wazimu y’a Kiroho Congratulations nyie wote ba Binti ba Kona wa Mama na Bijana wanaume Butamu Sana I ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ 💗 Kisses God Job guys may Almighty God Blessed you for is work

  • @stevenmwongela3353
    @stevenmwongela3353 2 роки тому +1

    Nice song indeed.... May our good Lord bless and uplift you more and more... Nimependa sana iyo sauti ya uyo Ndugu na uyo dada pale katikati ya wimbo... Zimeingiana vizuri kabisaa... Baraka tele kwao

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 роки тому

    Bwana Yesu Uko wapi Bwana wangu ? Hosanna Hallelujah

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +1

    Munafanya kazi nzuri sana,huduma kupitia uimbaji,endeleeni kuwa Nuru muwaangazie wengi 🙏#Kenya

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 роки тому

    Hallelujah hallelujah glory be to God Almighty Amen Shalom Shalom Shalom thanks very much this is Amazing Song. acsenti Sana Mubarikiwe DAIMA

  • @williekaranimipasho9093
    @williekaranimipasho9093 2 роки тому

    Hallelujah, Mungu azidi kuubariki uimbaji wenyu. Nawaombea kibali katika mataifa yote

  • @akamulambert4193
    @akamulambert4193 Рік тому

    This is a great song, indeed let the temple be a place of worship and not of business, keep the Holy Spirit fire burning in the group

  • @pastoryylugange4345
    @pastoryylugange4345 2 роки тому

    Nzuri sana mungu awainuejuu zaid

  • @benmuema8919
    @benmuema8919 3 роки тому

    Wow this choir niseme nn. pindua pindua mnafurahisha kweli tangazeni injili kabiza

  • @protasbutemi6256
    @protasbutemi6256 3 роки тому +1

    Mungu awabariki sana, mnafanya vizuri sana, ni mara yangu ya kwanza kuwasikia lakini nimewapenda

  • @keflennzella9313
    @keflennzella9313 2 роки тому

    Nabarikiwa Sana na wimbo huu nimewaelewa Sana mungu azid kuwainuwa watmishi

  • @joeljackson6666
    @joeljackson6666 2 роки тому

    Mungu awabaliki sana mkombalisana kwasasa niliwahi kuwaona pastolet yanyamikoma ezi ya mwalimu zachakaria malehem kwasasa mungu awatie nguvu amen

  • @henrucheyo7613
    @henrucheyo7613 3 роки тому

    God bress forever wana kwaya wangu

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 роки тому

    Shalom Shalom Shalom ❤ Thanks

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 Рік тому

    Shalom Shalom Shalom SHALOM

  • @boazmashinjison4251
    @boazmashinjison4251 3 роки тому

    Mungu azidi kuwa nanyi ktk kaz yake kaz nzur ujumbe toshelevu

  • @vickitoriamaziku5754
    @vickitoriamaziku5754 3 роки тому

    Jmn huu wimbo naupenda mubarikiwe sana watumishi WA bwana

  • @tonymakori5536
    @tonymakori5536 3 роки тому +1

    Wow, congratulations aic masumbwe choir aky Mungu awabariki

  • @enockbujiku1245
    @enockbujiku1245 3 роки тому

    Soul Brothers ya ukweli Mbarikiwe sana wapendwa

  • @EmmanuelNdilanha
    @EmmanuelNdilanha Рік тому

    Utukufu kwa bwana

  • @patrickmusembi212
    @patrickmusembi212 Рік тому

    Amen good song

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 3 роки тому

    Ninyi watu mnanibariki sana Mungu awalinde sana

  • @henrucheyo7613
    @henrucheyo7613 3 роки тому

    Mungu awabariki Sana tumeni alubam nzima

  • @nkwabimazemle7996
    @nkwabimazemle7996 3 роки тому

    Mungu apokee sifa na utukufu

  • @christinamahahira5554
    @christinamahahira5554 2 роки тому

    Like san mungu awasaidie sana

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 2 роки тому

    Tanzania Gospel Tanzanien Gospel Tanzanians Gospel Upendo

  • @aictmasumbwechoironlinetv5332
    @aictmasumbwechoironlinetv5332 3 роки тому

    Hongereni sana

    • @mussalazaro3517
      @mussalazaro3517  3 роки тому

      Asanteni Sana askari wenzetu katika jeshi la MUNGU ,,pamoja sana

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 Рік тому

    🌹🌹🌹❤️🌹🌹🌹❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🌹❤️❤️❤️❤️❤️

  • @pendokishina1458
    @pendokishina1458 3 роки тому

    Mko sawa watumshi nime penda