@@muunganochoiraictigomamwan2094 ahsante sana ingawa kiswahili inichanganya lakini unaona najikaza sana ....naipenda sana nyimbo zenu....kwanza huyo solo anapoimba( Nikulipie Nini bwana nikulipie Nini bwana pokea utukufu)aisee I'm blessed and may the lord almighty bless you
Amen EverlyneMagut..Mungu ni mwema sana katika maisha yetu. karibu sana huyo anae imbisha akufundishe kiswahili vizuri hata kupitia whatsap ili uwe unaelewa vizuri kabisa .
Kama Mussa alimuinua Nyoka wa Shaba kule Jangwani ndivyo hivyo Yesu ameinuliwa tumtazame. Kuna Nyoka mwenye sumuuu sumu ya ukali imetujeruhi tunataka kufa kwa maumivu Yesu uko wapi Utookoe..
Jamani siku hizi ni michezo tueee? Imagine mtu anakuletea ujumbe harafu anachezacheza wawezamfikiriaje? Jamani jaribuni kujifunza hata kwa kambarage choir mtapata kitu, jaribuni kuufanya wimbo uendane na style za kucheza.
Wow! Much love from A.I.C kayole north ♥️♥️👏👏
Nimeweka tick
Amen..
Ni Kueli Kabisa Tu na Umua na Sumu y’a NYOKA ma gonjua za kila Yina mahangaiko mengi Duniani mateso Kali mubarikiwe Batoto y’a Mungu Amen And Shalom
Nawapenda sana mmenifariji kiyasi, mubalikiwe
you nailed it💋💋🙏🙏
Aiseee mungu awazidishie utukufu
Bwana asifiwe...mara nyinine ni mimi hapa naitwa shimron kutoka kenya....
Nyimbo zenu zinanipendeza sana nahisi kubarikiwa sana
Amen,Barikiwa sana EverlyneMagut,karibu AICT muungano choir Igoma-Mwanza.
@@muunganochoiraictigomamwan2094 ahsante sana ingawa kiswahili inichanganya lakini unaona najikaza sana ....naipenda sana nyimbo zenu....kwanza huyo solo anapoimba(
Nikulipie Nini bwana nikulipie Nini bwana pokea utukufu)aisee I'm blessed and may the lord almighty bless you
Amen EverlyneMagut..Mungu ni mwema sana katika maisha yetu. karibu sana huyo anae imbisha akufundishe kiswahili vizuri hata kupitia whatsap ili uwe unaelewa vizuri kabisa .
@@muunganochoiraictigomamwan2094 basi nomber ya Whatsapp wapi Iko? Niazime
The only thing to improve is camera good song god bless 🙌
Hey the camera 📷 is perfectly clear...and smart bro🤔🤔
Wow wow wow,, my favorite above all. May GOD bless you.
Amen Dorcas. Well come.
Hi nyi.mbo naupenda sana
Nyoka wa zamani à na rudie tena hapa Duniani Yesu Ututawale Buana Amen Accenti wa pendwa Amen
Amen..........🎉🎉
Huyo baba amenifurahisha Sana Mungu ni mwema baba
Asante sana Muntu awabariki kbs.
Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi
Lovely song❤❤
Kama Mussa alimuinua Nyoka wa Shaba kule Jangwani ndivyo hivyo Yesu ameinuliwa tumtazame.
Kuna Nyoka mwenye sumuuu sumu ya ukali imetujeruhi tunataka kufa kwa maumivu Yesu uko wapi Utookoe..
Safiii Sana pande za watu wa igoma mnatubariki San ad singida uku mje tuwaone live yesu ainuliwe na uku
You've shown me new skills of dancing as I wait upon the lord!
Mungu awabarki
Amen EddyBenjamin karibu sana
Aminaaaaaaaa
Mungu awape nguvu mzidi kumtumikia
Amen.Ubarikiwe pia kwa kusikiliza nyimbo zetu waweza share na watu wengine pia wakasikiliza 🙏
Nzur
Safi sana
Amina
Good song glor to God
Amen.
GOD S children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏
Daa wimbo mzuri.Bwana asituache
GOD bless my brothers always
Mbarikiwe sana
This song has a great message for everyone on earth
Amen.
Magen kaimb vzr
Good song
Nawapenda sana!!! ! N
Amen nice song
Mungu awainue zaidi
Amen.
Muungamo mwanza
Nice song,am blessed.May God bless you and uplift you more..
Amen.
Safi mna ni bariki kwli
Nyoka wa shaba
I love such songs,u are really a blessing to me.
Spiritual song
Safi imetulia
Mmepona l love you very much
Safi sn
Huu wimbo naupendaa sanaaa
Am blessed
Amen 🙏 Madam Judith, welcome@Muungano choir.
Munaimba vizur san 2:56
Newlife Tv kenya
Mwalm tomas hongra san
Amen.karibu sana Enjo Flans,tumutumikie Mungu.
Stay blessed
Amen.
Hongereni kwa ujumbe mzr
Hata mm.nakupata.vizur
Niko.ishokera..misungwi
Video
Amina tunabarikiwa sana
Kwa jina la yesu
B blsd
Geiata
Sorry Mungu awabariki
Blessed
It uplifts me spiritually
God bless my christ
Mbarikiwe
Amen.
Spiritual song , empower & strength us.
Nakutakia.usiku.mwena
Nakupata.vizuri.ema
Roz
Sda
Jamani natafuta mwalimu was kwaya was huko maana mko vizuri namba yangu hiyo 0712921238
❤✝️😇😇😇😇😇😇🇮🇱✝️🇮🇱✝️🇮🇱❤️🥰💕
naihtaji kuipata ilbam yenu nipo morogoro 0784862382
Jamani siku hizi ni michezo tueee? Imagine mtu anakuletea ujumbe harafu anachezacheza wawezamfikiriaje? Jamani jaribuni kujifunza hata kwa kambarage choir mtapata kitu, jaribuni kuufanya wimbo uendane na style za kucheza.
Mungu awainue zaidi
Amen.Barikiwa sana.
Amina