Peter Gona | Uhiko Bewe (Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 17

  • @Kadzo_JMaitha
    @Kadzo_JMaitha 8 місяців тому

    Yaani vile nimetafuta huu wimbo. It reminds me back in the days. I think 98....99 nimefurahi sana.Mtumishi fanya kitu usinyamaze sana.

  • @BeatriceMaitha
    @BeatriceMaitha 9 місяців тому

    Wewe Ni wa baraka kwa wengine kupitia hizi nyimbo zako,,,Baraka za Bwana ziwe juu yako, Amina 🙏

    • @petergonamusic
      @petergonamusic  9 місяців тому

      Amen 🙏

    • @BeatriceMaitha
      @BeatriceMaitha 9 місяців тому

      Ops bado unatwanga Ile band band yako.Nakumbuka nkiwa mdogo natoroka na sstr zng wakubwa kuja kuenjoy band yko kukiwa na wedding.Aky nlipenda ur musical band kitambo,,naona nkikutafuta unipigishie kwa wedo yng,,,God willing

    • @BeatriceMaitha
      @BeatriceMaitha 9 місяців тому

      Bytha nmekua nkitafuta izi nymbo zako you tube like 4yrs back nazikosa,,,,bigup man of God kwa kufukumbukiza kare ya uhoho wehu,,haswa ajabu

  • @Fatma-it2ue
    @Fatma-it2ue 8 місяців тому

    Asante kwa tuletea hzi nyimbo zako haswa dede❤❤🎉🎉

  • @Fatma-it2ue
    @Fatma-it2ue 8 місяців тому

    Nabariikiwa nikiwa hapa Oman ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @frankthoya8291
    @frankthoya8291 2 місяці тому

    Napenda sana hii song ..

  • @kelvinfondo-up5tl
    @kelvinfondo-up5tl 10 місяців тому

    Asante sana mtumishi wa bwana kwa kutuletea hiyo nyimbo. Kwa hakika umenikumbusha mbali. Ubarikiwe sana.

  • @leonardmapenzi4234
    @leonardmapenzi4234 10 місяців тому

    'Niokolaaa,aaaa niokola 'fav part

  • @miriammmbaga9335
    @miriammmbaga9335 10 місяців тому

    Hallelujah...nice song brethren 🙏🏽🙏🏽

  • @thewitnesshubpodcast
    @thewitnesshubpodcast 10 місяців тому

    🔥🔥🔥🔥🔥Gold!!!

  • @dorismbeyu8775
    @dorismbeyu8775 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @becsingers_official
    @becsingers_official 10 місяців тому +1

    Good work. Nikipata fedha tutafanya collabo ndugu

  • @samsonngala1760
    @samsonngala1760 2 місяці тому

    Amen

  • @GraceneemaWanje
    @GraceneemaWanje 9 місяців тому +1

    Plz kavuryee sikituu mbona haiko