USIOGOPE // AGAPE INTERNATIONAL CHOIR (Official video)
Вставка
- Опубліковано 3 гру 2024
- Katika shinda nyingi tunazopitia na changamoto nyingi za Dunia, Kuna wakati hufikia kuchoka na kutamani kukata tamaa, lakini neno la Mungu linatutia nguvu, na kutuelekeza TUSIOGOPE
Isaya 41:10
usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, Naam, nitakushika Kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
Nyie wapendwa Mungu awabariki sana.
Mbarikiwe kwa wimbo unaotia nguvu na matumaini kwa waliochoka na kukata tamaa
Barikiwa kwa wimbo mziri
Barikiweni na Bwana
This is my favourite song. Tunangoja ile ya makambi sasa
Mungu awabariki sana🙌 maisha marefu kwa hao wakaka wanatubariki san na sauti zao🙌
Barikiwa pia
Nabarakiwa sitaogopa milele mpaka Yesu aje
Mmmh!! Sijui niseme nini!!!
Hivi kumbe ladha tamu za nyimbo bado zinatungwa🙌🙌🌹
Zidi kua karibu na Agape Kwa ladha tofauti tofauti za muziki wa kumtukuza Mungu
Maduhu rafiki yangu nimekuona Agape wimbo mzuri sana, nimepamisi kewanja, tangu makambi ya mwaka jana tukiwa Shamaliwa, karibu Kenya ndugu zangu
Mbarikiwe kwa wimbo wa matumaini, pia hongereni kwa kuongeza idadi ya waimbaji.
Asante sana Barikiwa pia
Maduhu barikiwa❤❤❤ be blessed all
Mbarikiwe sana
Barikiwa sana Agape
Samwel Maitarya watching from Dar es Salaam
Mbarikiwe sana kipaji ni kipaji tu barikiwa maduhu
Usiogope hata majaribu yanapokuwa mengi 🙏 ujumbe mzuri wapendwa. Hongereni. Bro Amos ameutendea haki wimbo huu 🙏
Mungu awabariki sana. Mungu awainue pia🙏🏼❤️.
Nawapenda🌹🌹.
Tunakupenda pia zidi kubarikiwa na nyimbo nzuri zinazo kuja hapo baadae kidogo
nimebarikiwa sana na huu wimbo
umenitia moyo sana
Barikiwa pia
Napenda nyimbo zenu nikiwa hapa Makongo juu Dar es Salaam 🇹🇿
Barikiwa sana
Huyo kaka anadamu yauimbaji musiishie hp mungu awe nanyi ameimba kwaya nyigi san anaimba vizuli
Ni mwalimu pia alikuwa mwlm wa njiro mambo ya kishindo cha wakoma, mwlm wa beroya mission pia
mbarkiwe sana agape mungu awepamoja nanyi
Mungu awapiganie Mfike mbali
Jamn nyimbo nzuri saaana
❤amina nabarikiwa songwe na wimbo mzuri wenye kutia nguvu
❤❤Amen.
Amen Mungu ni mwema tusiogope
Barikiwa sana
AMENI ... MUBARIKIWE KWA UJUMBE MZURII... SITAOGOPA
Amen. The song is so powerful
Wow my lovely friend Amos.keep it up dear
AMEN HALLELUJAH 🙏 ❤❤
Wa kwanza hapa ❤
Amina agape sito ogopa milele mpaka yesu aludipo
Mbarikiwe 🙏
Mungu yuko nanyi songa mbere
Mbarikiwe sana wimbo mzur kweli kweli dahh wish mamdogo angekuwepo nawapenda mno
Tunakupenda sana na zidi kubarikiwa na nyimbo nzuri zinazo kuja hapo baadae
Ameni,nyimbo nzur sana.❤
Amen nawapenda sana❤
Agape Bwana awabariki saaaana
Aminaaa, mbarikiwe Sana!
Barikiwa
🙌🙌🙌❤ Mavado Jr❤
Mbarikiwe saan
Mbarikiwe🎉❤
Agape mbarikiwe
Bwana awalinde 1:39
Piiga vita kwa uaminifu amosi na sultan msiogope
Wimbo mtamu sana ,mfanye mpango na ule wa makambi
Hivi karibuni utapandishwa zidi kua karibu nasi Kwa utukufu wa Mungu
Mbarikiwe sanaa
Amen Mungu awabariki❤
Barikiwa pia
❤
Amazing song fear not
Waoooo
Ameeen Mungu awabariki sana tunawaombea
Amina tunakuombea pia uzidi kubarikiwa
Bwana awabariki sana Agape choir
Amen
Good performance may the Lord bless you.
Barikiwa kwa nyimbo nzuri
Ameen wimbo mzriiii❤
Amna!
Barikiwen sana agape
Barikiwa pia
Nice song, good performance by mavado💯
Baraka Tele 🙏
Amina
Solo kaka solo nimeelewaa
Mungi ni mwema
Mbarikiwe ❤
AMENI MBARIKIWE SANA
Nice song may God bless you
Hatar sana bwana amos
Amazing 🙏
🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Wimbo mtamu
Mbarikiwe sana.
All sorts of stuffs in music involved tumewaalewa sisi wasafiri wa Mbinguni wanaopitia Cuba kidogo😅 be blessed.
Hee jamani mi mnisaidie kidogo kuhusu soro wetu ni mwalim maana kunasehem tofauti tofauti namwona beroya mission huku agape international au ni mapacha wanafanana Kule aliibisha wimbo unasema Jerusalem mji wa MUNGU 😍😍😍😍
Ni yule yule sema kazi ya Mungu haina mipaka unapo itwa unaenda tumika
@@nuruamry kumbe sawa
Ndie yeye
Ndiye Huyo Huyo mpendwa
Ameni
🎉🎉
Mtaacha lini aina hiyo ya muziki ndugu zangu
Pole sana mpendwa katika Bwana Bado tunakusanya maoni mbali mbali ya wadau kuhusu muziki tunaomba aina yako unayoipenda
Waooo
Mbna sauti hmn
1:46 wimbo mzuri ila upload vizuri sauti haiko clear
amen
Kwani hii agape ipo wap?
Agape int sda choir inapatikana Nyamongo, Tarime, Mara, nchini Tanzania
Karibu sana kanisa linaitwa Nyamongo central
Good song but poor video.
Audio haisikiki vyema
Amina . masubo
Amina . masubo