Maalim Hassan. Inawezekana kusamehe kabla hujaombwa Radhi, kwasababu ukisema usisamehe huna uhakika kwa kuombwa msamaha, na ukiombwa msamaha leo kesho mtu anarudia tena, ndio maana m2 unahisi bora kusamehe kabla hajatenda kujitoa kwenye msongo wa mawazo
Naona mabadiliko MashaAllah
Mungu awafanyie wepes kwenye kaz zenu
Mashaallah kipindi kizuri sana jmn hd natamani ndoa Allah afanye wepesi
MashaAllah Allah awabariki kila la kheri
Sijachoka kuwasikiliza❤❤
Ma shaa Allah Allah awabarik ka Toto kanguu ❤❤ ufike mbal nakuona Kwa jicho la mbali sn
Asant mamy nakupenda mnoo
😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤. Safii Sana. Bibi aeleza
Mashaa Allah,Allah awazidishie kutupa mafunzo mazri inshaa Allah
Masha allah tabarak allah sheikh hiyoo niuqeli allahu akbar
Mwl Hassan amungu akuweke sana
Maalim Hassan. Inawezekana kusamehe kabla hujaombwa Radhi, kwasababu ukisema usisamehe huna uhakika kwa kuombwa msamaha, na ukiombwa msamaha leo kesho mtu anarudia tena, ndio maana m2 unahisi bora kusamehe kabla hajatenda kujitoa kwenye msongo wa mawazo
Mambo moto kwa bibi et mmm,iiiiiiii😂😂😂mwali hassan hongera tunajifunza sana kwako ila wanaume hichi kipindi hawakipendi maan mengi yanawagusa