A-Z SAKATA LA MO DEWJI / KUWATAJA WANAOMKWAMISHA / ALIPOISHIA KUWEKEZA / MCHAKATO UNAPOBANWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2023
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 7

  • @KALUGULULUGATA-vs2jp

    Mwachen mo asajili wachezaji wazur

  • @johnnyangige5160
    @johnnyangige5160 Рік тому

    Mo anaposema mazuri yanakuja anaongelea uimalishaji wa timu kimapato, usajili na uendeshaji timu haongelei mchakato wa mabadiliko. Pia namuona ni muelewa sana maana hajawahi simamisha utoaji pesa na anaendelea kuimalisha timu na simba kwa jumla kwa vyanzo vya Mapato na usimamizi wa timu.

  • @johnnyangige5160
    @johnnyangige5160 Рік тому

    Simba ilipo kimapato siko ilikokuwa wakati anaichukua tuwe wakweli na pia taratibu za uwekezaji hazirushu muwekezaji atoe pesa ya uwekezaji kabla ya mchakato kukamilika navyojua mini mo ametoa hiyo pesa ikawekwa kwenye fixed akaunti na kinachotumika ni ile faida inayopatikana tu si hiyo 20 B tena aliitoa kupunguza kelele jappi muda wa kutoa ulikuwa haijafika. Pesa itakuwa halali kwa Simba baada ya mchakato kuisha tuwe wa kweli na wa wazi.

  • @johnnyangige5160
    @johnnyangige5160 Рік тому

    Kauli ya Job ni sahihi sana ila nanyi nyie waandishi inabidi mfanye uchunguzi wenu binafsi mjue tatizo ni nini na liko kwa nani.

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in Рік тому

    Boss anataka kususa

  • @kushfiedgang
    @kushfiedgang Рік тому

    Watu wanamtkana Moo ila waweke kwenye viatu vya Moo uone kama hawandamn kulaumu klabu inawafilisi