EXCLUSIVE; MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAMKE MWENZIE BAADA YA KUMFUMANIA HUYU HAPA AELEZA MAZITO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 7 тис.

  • @shahamemalenga4838
    @shahamemalenga4838 4 роки тому +143

    Ogopa Mwanamke anaependa kutamka Yesu kila mda mana imeandikwa Usimtaje Bwana mungu wako bila sababu za msingi

    • @slayingtee6044
      @slayingtee6044 4 роки тому +5

      Sio mwanamke tu hata wanaume

    • @rebeccamaduka6118
      @rebeccamaduka6118 4 роки тому +4

      Pumbavu sana wewe mama, ndiyo maana mnafugwa wote wewe na mumeo na watoto, matapeli wakubwa. Sura zimewashuka kama ushuzi wa ngomani. Mrudishieni mama wa watu pesa zake. Tapeli wakubwa nyie😡😡

    • @shahamemalenga4838
      @shahamemalenga4838 4 роки тому

      Slaying Tee Ni kweli ila wanawake wengi wanaficha kwenye Yesu

    • @mamuomary7189
      @mamuomary7189 4 роки тому

      Acheni uogo nyie

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 4 роки тому +7

      Anadai mlango ulivunjwa mbona siku ya kwanza yule dada aliyepigwa mlango ulikuwa mzima kabisa hata ukingalia kwenye video ya kwanza mlango uko sawa na wao walikimbia mbona mlango mzima ule

  • @lovenessmfinanga5623
    @lovenessmfinanga5623 4 роки тому +30

    Sura mbayaaaaa.kama umeona mama anasema ongo gonga like

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 25 днів тому

      jamani dada wa watu mzuri hadi basi,smart energetic and healthy

  • @peterjaphet882
    @peterjaphet882 4 роки тому +106

    Nan ameyaona haya n matapeli kama mimi nipeni like zangu

    • @shamijuma7259
      @shamijuma7259 4 роки тому

      Umesikia alivyosema fumanizi limetokea saa saba usiku,yani hawa watu waongo sana

  • @vicentgibore8679
    @vicentgibore8679 4 роки тому +26

    Kama umeskia mlango kuvunjwa mara mwanaume kafungua mlango akapushiwa gonga like twende pamoja. Wezihawa mzee namkewe

    • @zamdamtasha8199
      @zamdamtasha8199 4 роки тому

      Kumbe kweli walipanga kumwibia mara kamtuma mtoto afate funguo kwa shangazi yake mara akaomba namba ya wifi yake alikuwa hana hata mawasiliano ya wifi mbwa hawa wamekubaliana na mumewe eti dada alikuwa anamchanganya mbele ya mkewe sijui niwarukie humu kwenye cm

    • @miriamkhaji4363
      @miriamkhaji4363 4 роки тому +1

      @@zamdamtasha8199 yani hawa, ni wakurukia kabisa

    • @zamdamtasha8199
      @zamdamtasha8199 4 роки тому

      @@miriamkhaji4363 Hivi mi Mme wangu anaanzaje kusema eti yule ni dem wangu ananichanganya mbona waandishi wa habari wangezima camera

    • @miriamkhaji4363
      @miriamkhaji4363 4 роки тому

      Yani hawa walipanga, na ingekua ni mimi, nawafungulia kesi ya utapeli kabisa, maana wanaonekana ni matapeli wazoefu.

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 роки тому

      @@zamdamtasha8199 ndakusaidiya

  • @rehemakitara9978
    @rehemakitara9978 4 роки тому +27

    Mke wa ndoa hongera sna ila wanaume mkome na hii tabia ya uhuni ona unavyodhalilika ss!! Watoto wanakuonaje, nimempenda mke wa ndoa Ubarikiwe sna

    • @zainabumpeje6954
      @zainabumpeje6954 2 роки тому

      Naungana na ww vimada wakome na iyo ndio dawa yao pumbavu awa

  • @magrethdaniel8111
    @magrethdaniel8111 4 роки тому +29

    Diwani ana akili nyingi Kama Mimi big up diwani🇹🇿🇹🇿🙏

  • @abbykina3039
    @abbykina3039 4 роки тому +14

    Kilicho kuwa na mwazo .... Kina mwisho GOD is good all the time 🤗

  • @alphonsinaraphael4316
    @alphonsinaraphael4316 4 роки тому +5

    Aliesikia boda boda 5 kwa sitaa gongaa likeee😂😂😂😂

  • @mariabenedict328
    @mariabenedict328 4 роки тому +15

    Dada joyce💪💪umefatilia mpk tumewaona matapeli hahah mwaka huu tutaona mengi wallah....

    • @godwindiana6288
      @godwindiana6288 4 роки тому +2

      Maria Benedict ka ya utapeli,hao wamejipanga na kukubaliana kipi waongee,hata siku moja mwanaume aliyepewa limbwata hawezi kujitambua kiivi amepangwa aseme hvyo kuokoa jahazi

    • @aishapapp2384
      @aishapapp2384 4 роки тому

      waongo wote

  • @bahajajuma5947
    @bahajajuma5947 4 роки тому +20

    Akili za wanaume wa moshi wanazijua wenyewe🙌bb ni kauzu♨️....hongera kwako mama mpambanaji💪...hakunaga mwanamke wa moshi kishoia🤣🤣💃

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 4 роки тому +30

    Kama ulikuwa na shauku kubwa ya kuwaona Vincent na Agnes kama Mimi, weka like yako hapa

    • @dotojapheti5788
      @dotojapheti5788 4 роки тому

      Acha usenge ww mama, lipa pesa ya watu acha kuleta injili mbwaa mkubwa, uongo mtupu hamna hata cha maana nilichokielewa hapo

    • @dotojapheti5788
      @dotojapheti5788 4 роки тому

      Mwanaume mwenyew si wakopa wala shupaza ovyoooo tu, kamtie mumeo kwenye dasbini unaemuona wa maana sana 😱😱

    • @dotojapheti5788
      @dotojapheti5788 4 роки тому

      Mwanaume mwenyew si wakopa wala shupaza ovyoooo tu, kamtie mumeo kwenye dasbini unaemuona wa maana sana 😱😱

  • @gabrielgodwin7465
    @gabrielgodwin7465 4 роки тому +13

    Kama umegundua Hapa kwenye Comments Makahaba wanatetea kahaba mwenzie, na wale wenye ndoa Wana tetea mama mwenyewe ndoa yake .......Gonga like😎😎🤣🤣🤣🤣

    • @rosekhamis3511
      @rosekhamis3511 4 роки тому +1

      Hujielewi ww

    • @tida3727
      @tida3727 4 роки тому

      Usiseme hivo sisi wengine tumeolewa na ni Bibi wa Kwanza labda wengine Waja sijui, Lakini kukomaa mwili na akili muhimu...huu ni upubavu , very immature woman

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 4 роки тому

      😅😅😅😅😅

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 роки тому +1

      @@tida3727 kabisa

  • @isaac0g5
    @isaac0g5 4 роки тому +70

    Kama kuna mtu ameona hayo masikio ya mwanaume gonga like😅😅😂😂

  • @samiahsaidy822
    @samiahsaidy822 4 роки тому +18

    Mmh waongo jamn mmh dunia hii boraa tuchomwe moto au vp jmn kama mtu hanakubaliana na mm gonga like

  • @officialamris7954
    @officialamris7954 4 роки тому +19

    Hapa kuna Vitu zaidi ya kimoja
    1:cm inavabrate.
    Cm inatoaje sauti ukituma sms
    2: milango mbona Huja onekana kama umevunjwa siku ile ambayo alihojiwa pale nyumbani walipofumwa
    3: maelezo ya mwanaume mbona mixing kama ya kupanga.
    😂😂😂😂😂😂😂😂Wanawake huwa ampendani hata kama mnasaidiana

    • @reymaabintabdillah3727
      @reymaabintabdillah3727 4 роки тому

      official Amris SMS inasaut kupiga inavaibrate wakome malaya

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 4 роки тому

      Official Amris upo sahih kabisa..maelezo yahuyu bwana yanaogongana..napia ni ushamba kumfumania mumeo halafu ukampiga mwanamke mwenzako..kwa sabbu kitendo cha mwanamke kumkuta ndani namumeo tena ndani kwako bc faham kuwa kuna baraka za mumeo hapo...kwaio mkosaji mkuu ni mumeo hapo

    • @tryphinarichard7336
      @tryphinarichard7336 4 роки тому

      mme pia anatakiwa kushitakiwa.
      kosa la kwanza kwann aende na mtu na kwa maelezo yule mwanamke kule ni mgeni alfu amtelekeze huko baada ya kumuona mke wake? kwann hakukaa akaongea na mke wake labda haya yasinge tokea.
      wote wawili sheria ifanye kazi yake.
      wana sheria wawe makini kwa ili

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 4 роки тому +5

    Kama unakubali huyu jamaa na mkewake niwasenge gonga like

  • @ruthkinyanjui9015
    @ruthkinyanjui9015 4 роки тому +9

    Very wise advice, husbands needs to Man up🙏🏽

    • @mariamkulwa9826
      @mariamkulwa9826 3 роки тому

      Pole sana dada lkn wewe sema ukweli kuwa mulijipanga jinsi yakuongea hapo hakuna ukweli wowote

  • @maryglady2901
    @maryglady2901 4 роки тому +175

    Nmemuelewa Diwani tu😂😂😂,,Waliomuelewa Diwan peke yake mko wap like zenu

    • @olivervalentino728
      @olivervalentino728 4 роки тому

      Tupo😂😂

    • @janekikoti2179
      @janekikoti2179 4 роки тому +5

      Wamepanga hao na mme wake matapeli wakubwa hawa.

    • @slayingtee6044
      @slayingtee6044 4 роки тому +3

      Sasa wewe hapo hujaelewa nini???,,,,Wote Mume na mke wote wameongea vzr

    • @maimunahamisi6081
      @maimunahamisi6081 4 роки тому +2

      Wewe slaying tee ndo haujaelewa tafuta video waliyomrekodi wakati wanampiga utagundua ni waongo

    • @tintz3157
      @tintz3157 4 роки тому +7

      Mke anasema mume alinipushi
      Na mume anasema mke alinipushi,hiv mmeelewa hapo wadau?

  • @momo4de144
    @momo4de144 4 роки тому +56

    Yaaani anayoongea unaelewa Kabisa ni hadithi imepangwa mpka anasahau vitu vya muhimu mbuzi hiii

    • @AaAa-kr9nb
      @AaAa-kr9nb 4 роки тому +3

      tena sana walienda kupanga tu.na iki kizee sura mbovu kwa nini mlikimbia nyote mbuzi nyinyi.wallah wakiachwa hawa tz aina sheria na ingekua mm billah ata ningewatafutia majambazi wakatolewa izo roho zao ngombe awa

    • @elizabethchawinga9674
      @elizabethchawinga9674 4 роки тому +1

      Acha kumtaja Mungu kwenye Ujinga wako

    • @veronicakidolezi6822
      @veronicakidolezi6822 4 роки тому +1

      Acha ujinga wewe.

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 4 роки тому +2

      Tapeli we mwanamke. ,huoni haya

    • @fatumaally3266
      @fatumaally3266 4 роки тому +3

      Umepangwa kabisa huu sababu mbona kwenye ile clip alivyo kuwa akimpiga yule dada mbona alikuwa ana muuliza wewe ndo mwenye namba 36 huu niuongo mshenz kabisa huyu baba wamepangana niushenzi mumlipe huyo dada pesa yake wangese nyinyi uwongo huujuwi

  • @aminamsuya3641
    @aminamsuya3641 4 роки тому +4

    uwiiii.. hahahahaaa uwiiii jamani hongera kwa hyo dada veroo, yaaaani mtu mmoja amefilisi eskudo, pikipiki 6, nyumba ya kulala aseeee jamani jamani.... mimi mwongo lakin hapa nimenyanyua mikono, sasa mbn kweny kipigo alikuwa anamuuliza kuw ni mar yangapi? mbn hatukuskia neno "NILIKUKANYA MARA NGAPI..."

  • @suzanamlelwa6352
    @suzanamlelwa6352 4 роки тому +46

    Aligundua hapa ile laki tisa na elfu tana inakwepa kulipwa gonga like hapa

  • @handbagsquality9835
    @handbagsquality9835 4 роки тому +27

    Nimesikiliza hii interview vizuri sana kuna kitu kikubwa nimekigundua hapo, mke na mume wote ni waongo baada ya kuona serikali imeingilia kati. Sawa alituma sms kwa mumewe tunataka ushahidi wa kisheria wa sms zote hapo , sheria uchukuwe mkondo wake. Huyo mwanamke anajichanganya na uongo.kama kweli anamjua huyo Vero mbona alikuwa anamuuliza ulianza lini na mume wangu? Na kutaka kujua No zake za simu? Kama ni kweli hayo anayoyasema huyo mwanamke mbona hakumshambulia na kumwambia nilikuonya zaidi ya mara mbili uachane na mume wangu ila hukusikia? Lakini huyo mama alikuwa anamshambulia kwa kumuuliza maswali umeanza lini mahusiano na mume wangu? Hapa mimi nina mashaka..haki itendeke

    • @zaitunizainabu9517
      @zaitunizainabu9517 4 роки тому

      Tapeli mkubwa were na mine wako rudisheni pesa zs watu unajifanya baunsa iko Sikh utapatikana

    • @queenmwasanguti2370
      @queenmwasanguti2370 4 роки тому

      Mimi nashagaa mnao kataa, hugo dada amevuna alichopanda.

    • @mayatione6
      @mayatione6 4 роки тому

      Kabisa kabisa dada

  • @bakarirutengwe3036
    @bakarirutengwe3036 4 роки тому +15

    SUBHANALLAH POLE SANA
    DADANGU ,NA HONGERA
    KWA KUMSHIRIKISHA
    MUNGU ALLAH AZIDI KUKUPIGANIA.

    • @anicianjoki3353
      @anicianjoki3353 4 роки тому +1

      Hilo mmetunga kabisa hata kuongea kwenu inaonyesha kabisa ni uongo,unamrusha mwanamke mwezako kwenye fb hata haya huna nyoooooo,nimekudharau sana we Agnes

    • @mussajoseph2042
      @mussajoseph2042 4 роки тому

      hivi kama CM ulikuwa Kwenye vyablesheni itasikikaje mlio

    • @mussajoseph2042
      @mussajoseph2042 4 роки тому

      Uongo huo muchoro WA mke na mme

    • @joycetesha6964
      @joycetesha6964 4 роки тому

      @@anicianjoki3353 hahaaaaa

  • @estherdavic8521
    @estherdavic8521 4 роки тому

    Hongera mama iwe fundisho kwa makahaba wavunja ndoa za watu mi mbona nilikupongeza toka siku ile nilivyoiona ile video Mungu akuongezee Ubaunsa uendelee kuwafundisha hawa wanyama

  • @ramadhanishehoza5729
    @ramadhanishehoza5729 4 роки тому +29

    Hapa kuna mchezo haiwezekani mwanaume unakubali kilahisi hivi nakataaaaaaaa tena kwa sauti kubwa kuna mchezo hapa

    • @princeemmamunda4286
      @princeemmamunda4286 4 роки тому +2

      Kuna mchezo wa wazi kabisa hata maongezi yao wanajichanganya wenyewe msikilize mwanaume anasema walikuwa na boda boda 5 mwanamke anasema walikuwa na boda boda ngoja nitajaribu kumtafuta joyce nimsikie mawazo yake

    • @wardajoseph6909
      @wardajoseph6909 4 роки тому

      Umeonaeee Naaam mchezo upo sio kweli maneno yao hawa nyuso zao zaonyesha ingekuwa hivyo kwa nini walikimbia

    • @lukassebastian335
      @lukassebastian335 4 роки тому

      Hapa kunakitu kimepangwa. Kunakitu hapa

    • @bnkazoza9972
      @bnkazoza9972 4 роки тому

      Mchezo kabisa

    • @gediusgervase2731
      @gediusgervase2731 4 роки тому

      Dah,ni kweli kabisa kuna uongo hapa wamepanga kukwepa kesi

  • @wenderoserie1538
    @wenderoserie1538 4 роки тому +19

    There is always two sides of a story. Logic dictates never to pass judgement after hearing one side of the story. The beaten lady made me cry. But she wasn't an innocent victim, nevertheless, I don't condone violence. God will surely judge her. Marriage is God's institution. God will heal the wife and the family unit in Jesus Christ of Nazareth Name. Amen

    • @sharonke7442
      @sharonke7442 4 роки тому +1

      yes and these side chicks they're worse

    • @josephinekariuki567
      @josephinekariuki567 4 роки тому +1

      You just dont see this pple are liers...they have sit down and plan what to say...listen very well...the hubby fears the wife...and acording to the 1st video it doesnt seem she knows her or even warned her

    • @fahadfaraj1822
      @fahadfaraj1822 4 роки тому

      But whatever may seem to be, she was assaulted and before the eyes of law all that they stated will never stand as a defence.

    • @slayingtee6044
      @slayingtee6044 4 роки тому

      The other side of the side chick it's on another video on this channel wanawake live tz , she has spoken as well

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому +33

    Duh mme mwenyewe ndoo huyo.jmn kituko 🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @ramahawai7056
    @ramahawai7056 4 роки тому +10

    Tusilaumu wanamke tu. Mwanaume naye alaumiwe; yeye ndio alitakiwa apate kipigo.

  • @amanimanase5794
    @amanimanase5794 4 роки тому +12

    Hahahaaaa muongo huyu daaah!!! Hebu jaribu kumpa mumeo chakula ashibe ana njaa kwanza

  • @veronickabruno8726
    @veronickabruno8726 4 роки тому +10

    Mungu ndiye ajuae ukwl wote sisi tutakuwa tu tunahisi kwa kuangalia maelezo yao ila nani mkwl ni hatutajua ila ipo siku ukweli Mungu atauziilisha

    • @dayanashoo5233
      @dayanashoo5233 4 роки тому +1

      Hata muongo unaweza kudhani ndiye mkweli na wengi mkamuamini.

  • @frbm1729
    @frbm1729 4 роки тому +14

    Mama wewe ni shujaa uko sawa tu ila wazinifu wote lazima wakushambulie Sana. Hongera umetoa fundisho.

    • @geofreyrweyemamu9733
      @geofreyrweyemamu9733 4 роки тому +2

      Hawa wadangaji wanakera wanasumbua ndoa na matusi na uchawi ulioshindikana Mimi ni mhanga na mi juzi Niko na Malaya Kama vero mahakamani nikomeshe matusi

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 4 роки тому

      Wanaume hawatosheki mama,utapiga wangapi??? Kwa maumbile ya wanaume walivyoumbwa utauwa bureee!!!

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 4 роки тому

      Wapenzi wa zamani hawaachanagi.weee mme Muongo.hukujipanga vizuri,vero ni mpenzi wako kwakua umefumaniwa usimkashifu.

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 4 роки тому

      Asante baba kwa kukiri,nasisi wanawake tutenge muda wa kubembeleza waume zetu na kuwapa mahitaji yao ya unyumba kikamilifu nasio kuwaza kusakapesa tyuu kwatabia zakichaga mapenzi hakuna nibifu naubize tyuu.mapenzi mbelee wachanga.

    • @luhekelondelwa9714
      @luhekelondelwa9714 4 роки тому

      Kweli kabisa mama yupo sahh

  • @edomkali3378
    @edomkali3378 4 роки тому

    Dah Joyce umenenepa kwel maisha ni hatar hongera kwa kaz nzur

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 4 роки тому +25

    Kwa mtizamo wangu wote ni wa kweli. Huyu Baba ni mkweli na huyu mama kweli yamemtokea. Hasira za huyo mama mwanamke yoyote aliyewahi kupitia haya akimsikiliza atajua ni ukweli. Mungu awasaidie.

  • @lailamohammed320
    @lailamohammed320 4 роки тому +36

    Huyo baba nae chiz ona sikio lilivyomsimama kwa uongo wee na mke wako mmepanga mumtapeli dada wa watu kilichokukimbiza

  • @davidshahrukh6
    @davidshahrukh6 4 роки тому +34

    Mke mzuri kuliko Hawara!!!!

  • @michaelmdoe9368
    @michaelmdoe9368 4 роки тому +1

    Kunakipindi Moshi mlilalamika wamama hampati vizuri huduma za kitandani. mpaka ikasemekana mnawakodi wakenya mshua kaonyedha uwezo. Kama umeelewa like japo 💯 tu

    • @janethevance2606
      @janethevance2606 4 роки тому

      Safi sana dadangu iwe fundisho kwa wengine na huyo Vero ajifunze mume kaungana na mkeo

  • @ednasichalwe2465
    @ednasichalwe2465 4 роки тому +39

    Kama anamfahamu siku nyingi na aliwahi kumuonya mbona kwenye ile video alikuwa anamuuliza alianza lini na mume wake?

    • @saidmiteya7945
      @saidmiteya7945 4 роки тому +3

      Liongo sana ilo limama pamoja na lidiwani pumbavu kabisa

    • @danieljackson6655
      @danieljackson6655 4 роки тому +3

      Wamefundishwa kusema

    • @faridahamis3354
      @faridahamis3354 4 роки тому

      Umeonaeeé.uongo mtupu wanaongea Hawa watu.Nababa anavosema ajanyangwanywa ata Mia alijuaje naaliondoka akaacha msala

    • @takdirkhan9408
      @takdirkhan9408 4 роки тому

      Hapo sasa waongo wamekariri ili kujiepusha na msala

    • @aishahela1735
      @aishahela1735 4 роки тому

      Umeona uwongo mtupu

  • @asmahanyally3225
    @asmahanyally3225 4 роки тому +39

    Hiyo sio kweli kama unamjua na ulishamuonya mbona ulimuuliza namba zake zinaishia na 26 na akakujibu inaishia 13 jmn ww muongo sana kumbuka mumeo hana m2 mmja pambana na yy sio yule dada

    • @fatmakigula8634
      @fatmakigula8634 4 роки тому

      Kweli

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 роки тому +1

      Inaeza kuta kabadili namba

    • @mariammwachibako3096
      @mariammwachibako3096 4 роки тому +2

      Ajielewi uyu mwanamke kwa mume gani basi shombooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumuumiza mwezio bure

    • @NyotaBalolane.
      @NyotaBalolane. 4 роки тому

      Wewe toka Apo na message zako za ujinga uyo mwana mke hawezi sema uongo

    • @fanilaakimana6653
      @fanilaakimana6653 4 роки тому

      @@mariammwachibako3096 😆😆😆😆😆mbavu zang

  • @janethdavidsanga5999
    @janethdavidsanga5999 4 роки тому +21

    Mm nimemwamin yule dada aliyepigwa waongo hawa Joyce
    Walipanga
    Hawawez hata kujieleza
    Na pia mwanaume hawez kukubal kirahis hvy
    Pia nakumbka huyu mama alimuuliza yule dada namb yako inashia 13 yule dada alikataa
    Hawa watu wafatiliwe hii kitu walipanga
    Warudishe hela ya dada wa watu waache uhuni

  • @lazarombembela6964
    @lazarombembela6964 4 роки тому

    Hongera yako wemubaba kwakua umekua upande wa mkeo huyo hawala niwamda tuu akome na kujishebedua hata kama watabembelezena badaye chake amepa na adabu atakua nayo sawa wanaume huwa hawaliziki lakini kueni na hakili kwanin msiende gesti au kama anakupenda siangekupangia hata nyumba, ulijiona umepata kumbe umepata sasa kakurka kahamia upande wamkewe huna jipya

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 роки тому +33

    Baba mwenyewe sura imemshuka kama matako ya mbwa mzee.

  • @jamesimanuel8998
    @jamesimanuel8998 4 роки тому +54

    Braza ulikosea kuoa mwanamke anaeongea kupitiliza!!! Mwanamke kama mhubiri bhana, anaongea kama kameza betri aisee

  • @halimamwajuma9208
    @halimamwajuma9208 4 роки тому +20

    Huyo mama almpiga mwenzake akamwambia iwefundisho kwa wengine ila nae amekuwafundisho kwa wengine 🏃‍♀️

  • @silviafabian7758
    @silviafabian7758 4 роки тому

    pole sana dada yangu anayejua ukweli ni Mungu tuu nimejaribu kukuelewa kama mwanamke mwenzio ila naona wengi wanakuhukumu na unaonekana unajielewa ila Mungu na awe muamuzi kati yenu

  • @najma3268
    @najma3268 4 роки тому +46

    Baba huyu kachoka anaonekana kashachezea vitasa vya kutosha hapo kwenyewe anaongopa kapangwa na mkewake ole wake avurunde yaan mwili wake to unaonekana hawezi kuzipanga Na mkewake, khaaa wallah 🤣🤣🤣

    • @chikuabdallah9950
      @chikuabdallah9950 4 роки тому +2

      Lipipen hela za huyoo Dada kuma nyie

    • @prittypritty5561
      @prittypritty5561 4 роки тому

      Haha haha haha haha haha

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 4 роки тому +1

      @@chikuabdallah9950 🤣🤣🤣inauma mumewamtu sumu

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 4 роки тому +1

      Hahaha umenichekesha, eti hawezi kuzipanga na mkewe akileta za kuleta anatwangwa tu hhhh Najma 3

    • @nusaebahkeis6774
      @nusaebahkeis6774 4 роки тому

      Vitasa

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 роки тому +35

    Hii sio interview bali ni maongeži yaliyopangwa kunusuru jahazi.
    Interview ya uchunguzi haifanywi na watuhumiwa wakiwa sehemu moja bali inafanywa kwa kumtafuta mtu mmoja mmoja ili uone maelezo yao yanavyopishana au yanavyofanana.
    Unamhojije mtuhumiwa wa 1 na wakati mtuhumiwa wa 2 yupo hapa hapa?hii ni interview ya kipumbavu sana @wanawakelive

    • @mrsrachelkisaka2988
      @mrsrachelkisaka2988 4 роки тому

      uyu so mtuhumiwa

    • @samwelmhehe617
      @samwelmhehe617 4 роки тому

      Kweli kabisa kiongozi

    • @lilyg2134
      @lilyg2134 4 роки тому

      Alivyo hojiwa yule kahaba mwanzoni huyu mama alikuwepo? Hii ndo mara ya kwanza huyu mama anahojiwa baada ya mengi kuongelewa huu ndo upande wa pili unaskilizwa

    • @estherkisegenya5561
      @estherkisegenya5561 4 роки тому +2

      Huyo mwanamke kama alishamkamata Mara tatu mbona alikuwa hajui anapokaa akamuuliza unaishi wapi akajibiwa Mwanza,halafu huyo babu no Zombie au?

    • @amishgal4103
      @amishgal4103 4 роки тому

      That's true wameungana kumkomoa Yule mama but wako na hatia wote

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 4 роки тому +15

    Mwandishi unaangaika kuhuliza maswali mengi.si simu zipo.?omba message wakuonyeshe kwa ushaidi zaidi

  • @wilbrodyteophano1408
    @wilbrodyteophano1408 4 роки тому +1

    Safi Mama. Ningekwepo na mm ningekusaidia kupiga aiseeeee .

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 4 роки тому +16

    Muongo Huyu eti aliwakuta ndani kwa bed hmm Ili lishasukwaa .Rudisheni pesa ya watu

    • @zawadinchimbi3569
      @zawadinchimbi3569 4 роки тому

      Ivi wewe uoni Kama niuongo, wewe unaweza ukatembea naela zote izo kwani cmu auna, tg pesa, eater maney, Kama alipoteza lakini sio laki tisa

  • @rithamuhongerwa865
    @rithamuhongerwa865 4 роки тому +21

    Huyo baba anasema hana pesa sasa ela kunywa pombe na kula vuruga na kulipa boda alitoa wapi,.?

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 4 роки тому +39

    Mke wangu alinishinda nguvu nkakimbia👋🤣🤣🤣

  • @neemashauri5320
    @neemashauri5320 4 роки тому

    Mama hongera kazi nzuri hiyo

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 4 роки тому +31

    Bonge la mama!
    Mama hakukosea kupambana, kutetea haki yake! Jamaa alitekwa!

    • @elizaeliza2435
      @elizaeliza2435 4 роки тому +1

      Unavyompiga ulisema umjui na ulisema namba yako inaishia 26

    • @MrPongwe
      @MrPongwe 4 роки тому

      Katekwa na nani yeye mwenyewe mbona ajampiga mume wake

    • @rayasaid4099
      @rayasaid4099 4 роки тому

      Huyu mama muongo sheria hasa nawewe lazima aje akuoige na akuvue chupi nyooo huna haya mwanamke mwenzio unazalilisha mbona hujampiga mumeo Malaya wa kiume huyo

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 4 роки тому

      Athuman Pongwe si ndo hapo🙄

    • @linkreuben5804
      @linkreuben5804 4 роки тому

      Mume anasema ,alitekwa na kimada ,
      Mke anasema alipambana kutetea ndoa yake! Sasa wameyamaliza na maisha yanaendelea! Ubawa upo wapi hapo?!

  • @winiemajengo1679
    @winiemajengo1679 4 роки тому +12

    Mimi nimemuelewa Sana uyo mama,Yani shida nikwamba uyo baba simuelewi kabisa
    Ila uyo mama nimemuelewa Sana Sana.
    Na mama anaonekana hataki ujinga

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 4 роки тому +35

    ANi huyu ndio mume alofanya mpigane🙄🙄🙄🙄mungu nisamehe jmn wanawake sometimes tujiongeze kha

    • @maimunamsungi8678
      @maimunamsungi8678 4 роки тому

      Hahahahahaha

    • @anitamwehonge8287
      @anitamwehonge8287 4 роки тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂haki ni vituko

    • @violettemitchel6772
      @violettemitchel6772 4 роки тому +2

      Sisi wajinga sana. Unampiga mwenzio si upige mumeo au umuache....

    • @zainabsaid8983
      @zainabsaid8983 4 роки тому +4

      Hahaha daa wanawake noma kijanamme kenyewe misikio walu uuwii kweli utamu kolea

    • @clarawella2636
      @clarawella2636 4 роки тому

      Violette Mitchel i agree he will cheat again with another chic , problem not solved wanasemaga it takes two to break the two

  • @rehemamagere8602
    @rehemamagere8602 4 роки тому +22

    Aiseeee kidume chenyewe ndo icho kumbe haahaahaha ndo uyu anafanya hivo kumuoji mwenzake eti baba nani nani ndo wakutembea na mwanamke kama huyu khaaa nikadhani ni bonge la kidume kumbe ni kababu kabisaaa hahaha muacheni mdada wa watu mmeo ndo ajatulia huyo mmama wa imani unatetelekea na mapenzi kweli mhmmmm aiseeeee

    • @shancyskitchen3044
      @shancyskitchen3044 4 роки тому

      😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🤸kababu kama kababu🏃

    • @miriumthomas1682
      @miriumthomas1682 4 роки тому +1

      Umeona ee

    • @alfredinafelix836
      @alfredinafelix836 4 роки тому

      🤣🤣🤣mwenyewe nilipokumbuka Vincent ndio wakutembea na mtu kama huyu nikapata shauku yakumuona huyo asoweza kutoka na yule dada...🤣🤣🤣🤣 vice mwenyewe kama mbu🤣kawaida sana tu mbona....hii kesi inashida...wamejipanga...ukisikiliza kunaurongo...na dada kule anaurongo...police najua haiwashindi hii labda waipuuze tu.

    • @kishkwambi255
      @kishkwambi255 4 роки тому

      Mirium Thomas 😂😂😂 vice kafanya mambo makubwa mpaka nimepamisi hometown fundi wangu wa kidaz kama ni kiki hii ni ya xr😂😂😂

    • @getrudabenjamin714
      @getrudabenjamin714 4 роки тому

      Hata sigusiiiiiiiiiiiii mbayaaaaaaaaaaa

  • @sulujuma8108
    @sulujuma8108 4 роки тому +57

    Mke anasema alivunja mlango ..mme anasema alifungua mlango ..mme anasema bodaboda 5 mke anasema bodaboda 6 ..yaan huu Ni uongo wa kiwango cha lami

    • @oloojohn5309
      @oloojohn5309 4 роки тому +2

      Hawakupanga hapo mume anajitetea tu

    • @richardntigwa8517
      @richardntigwa8517 4 роки тому +1

      Wamepanga huyu mazaa hana lolote

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 роки тому +3

      Mzeee mwenyewe kachoka na maisha hana cha bdbd wala nini uzushi tu..... Ukimhendo mume wako na kumyenyekea wala asingetoka nje.

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 4 роки тому +3

      Nami nimejiuliza huyu kasema bodaboda 5 mwingine 6.Mke anasema alivunja mlango mume anàsema alifungua.

    • @liliandioniz7291
      @liliandioniz7291 4 роки тому

      🤣🤣🤣

  • @mariajuma7457
    @mariajuma7457 4 роки тому +14

    Da Joyce iyo intev imekosewa kwanini waojiwe wakiwa wote ilitakiwa ahojiwe mmoja mmoja ndo wangejing'ata vizuri matapeli hao

    • @njuka3515
      @njuka3515 4 роки тому

      Hàjakosea wanatakiwa wawepo wote Kama walivyokuwepo

    • @nirimndeme5932
      @nirimndeme5932 4 роки тому

      Ilitakiwa wahojiwe mbalimbali then baadae wasikilize clip ndo ingenoga.
      Hata polisini hawatahojiwa pamoja,kila mtu ataandika statement yake

    • @floramolel4283
      @floramolel4283 4 роки тому

      Huyo ni tapeli hakuna mwanaume anaye ongea upuuzi eti ananichanganya chamsingi mrudishieni huyo dada hela zake

    • @pilimaji7651
      @pilimaji7651 4 роки тому

      Hakuna uhakika matapeli hao.

  • @amonamos8278
    @amonamos8278 4 роки тому +13

    Hawa watu walimuundia mbinu( mme na mke ) wote wanajua walichokifanya juu ya huyo dada Vero.
    Sheria ichukue mkondo wake maana hasira ya huyo mama haiondoi wala kulegeza sheria

    • @gladyscharles4086
      @gladyscharles4086 4 роки тому

      Kabisa

    • @Isayashick
      @Isayashick 4 роки тому

      Daaah hali sio hali

    • @gosplevibetvtz
      @gosplevibetvtz 4 роки тому

      HI VIDEO LAZMA IKUTOE JASHO BILA KUJALI UMRI NAMNA MWANAMKE ANAVYOTAKIWA KULIA WAKATI WA TENDO LA NDOA bonyezaa link hii kutazama video ua-cam.com/video/vmte2p7YWdw/v-deo.html

  • @ليلىفاكي
    @ليلىفاكي 4 роки тому +1

    Hongera mama wanaumme wanatumiza sana

  • @leyreenhard3233
    @leyreenhard3233 4 роки тому +8

    Waongo Mke amedai mume amempushii na mume anadai alikuwa anamzuwia mke asimpige yule dada mbwa Hawa

  • @aishayasin5400
    @aishayasin5400 4 роки тому +27

    Kwa huyo mama jinsi alivyo hata Kama mm ndo ningekuwa mume ningetimua mimbioo co ya nchi hii haki vile

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 роки тому +1

      Umeona eee ww husikii anasema alimzuia mke wake akamwambia kimbia na yy akala kikumbo alafu kuna Bibi mmoja alihojiwa akasema alipigwa ngwara akaanguka .

    • @aishayasin5400
      @aishayasin5400 4 роки тому +2

      Gwala Kama gwala Sasa ebu vuta PC huyo mama akulishe mtama inakuwaje mi na msifu brother alijiongeza akaona nikikaa hapa ntakufa bure akala chochoroo ndefuu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 роки тому

      @@aishayasin5400 anajua timbwili la mkewe si ndio maana akatoka nduki

    • @godwindiana6288
      @godwindiana6288 4 роки тому +1

      Frida kisiri kama bondia yuko serious kama hakimu mkazi😬

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 роки тому

      Nimecheka

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 роки тому +116

    Wewe dada Ni muongooo,Nakumbuka kwenye ile Video ulimuuliza yule dada,umeanza Lini kutembea na Mume wangu wakati ulimjua Na tayari ulimuonya si zaidi Ya Mara moja,Kuna uongo Hapo umetengenezwa

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 роки тому

    Pole sana dada weee MUNGU. ATAKULIPIA

  • @adreamamba7675
    @adreamamba7675 4 роки тому +22

    Hoja yangu kwa Nini WAMEKIMBIA Kama hayo anayo yasema ya kweli? Mbona wametelekeza familia yao?

  • @babyangel7519
    @babyangel7519 4 роки тому +30

    Duuh jaman me ata sielewi ... Huyo baba anasema alifungua mlango na huyo mama anasema alivunja mlango .. Sijui nan muongo???

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 роки тому +8

    Kama umeskia chachandu gonga like 😁

  • @esterkiyabo1329
    @esterkiyabo1329 4 роки тому

    Pole sana dada inaonekana kabisa kweli ww ni mpambanaji sana ila mume huna🙆‍♂️🙆‍♂️! Baada ya kumalizika kwa mkasa huu,nakushauri uachane na huyo bwana. Kwani mume huna ila umejioa wewe mwenyewe. Pole sana mwanamke mwenzangu. Hata mimi nachukia sana mtu mzinzi

  • @emmymaleshi2
    @emmymaleshi2 4 роки тому +10

    Tumuachie Mungu ndio anajua ukwely wa haya mambo ,me nimeshindwa kuelewa

  • @jamalkimbililo9127
    @jamalkimbililo9127 4 роки тому +29

    Ukamuombe msamaha na yule Dada kwa sbb ww ndo ulimtongoza kuma weeee

  • @hawgeja3851
    @hawgeja3851 4 роки тому +60

    Mipango imesha pangwa mtu na mkewe wezi mludishe pesa za watu na mlipe shanga za watu ulizo kata kenge nyie

    • @richardntigwa8517
      @richardntigwa8517 4 роки тому

      @@gracemsalila2761 😁😁😁

    • @evarestatarimo2953
      @evarestatarimo2953 4 роки тому +1

      Ni wezi hao tena wakubwa sana

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 4 роки тому +7

      Huyo changu bana akitaka kubomoa nyumba ya mwenzi ni Malaya huyo km alishakatanzwa aachane na huyo mume ndani ya maana mitano hakusikia mwache akungutwe amemkamata Sana huyo baba wamama wengi wasio na wanaume wako hivyo hasa km ni wauza baa kweli wana dharau hana laki tisa huyo ni kiki alitengenenza I'll alipwe hela tena kamdanganya mkuu wa mkoa achukuliwe hatua sasa unaona baba karudi kwa mama watoto wake pia nashauri wawekwe kiti moto wote watatu wajielenze tujue ila huyo kahaba itakula kwake

    • @lucyshula5669
      @lucyshula5669 4 роки тому

      Wezi nyie

    • @lucyshula5669
      @lucyshula5669 4 роки тому +5

      Aaa sasa ulimpigia nini ungemuonya mume wako sio kumpiga mke wenzio wanaume wenyewe wachache kwanza wanaume wanapenda vipande2

  • @husnasalim5569
    @husnasalim5569 4 роки тому +1

    We Dada nimuongo km kweli we ulikuwa na sheria kwann mukimbie na muzime sm na kwann umvue mwenzio nguo na umzalilish mwenzio we ni shetwani na ACH kumzalilisha Allah we unauwakika gani mungu kavaa bukt ACH kumkufulu km huo ujing muliufany nyny ACH kumkuful mung wakuchukulie htua 2 we

  • @Amidangirente
    @Amidangirente 4 роки тому +11

    Mimi naona awa watu ni waongo tupu. Mbona sehemu ya tukio hatukuona mlango umevunjwa? Huyu baba ni mdanganyifu saana kwa kujitetea mbona umeshindwa kutalifu na wakati unajua mkeo atawumiza mwenzake.

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 4 роки тому +1

      Mlango haukuvunjika kabisa waongo hawa woote wawili matapeli

    • @noepatrick3247
      @noepatrick3247 4 роки тому +1

      Ni kweli mlango hata hauja vunjwa. Coz mbon walienda kufanya interview pale hapakuonyeshwa

    • @sufianimwezundu4787
      @sufianimwezundu4787 4 роки тому +2

      Muongo wew kama umemuonya mbona ulikua humjui unamuuliza number yako inaishia 26

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 4 роки тому +11

    Kama umemwelewa diwan Kama anakwepa lawama ginga like

    • @candimroso5962
      @candimroso5962 4 роки тому +1

      Aisee mm binafs nilikuwa nimeckiliza upande mmoja nikadhan ni kweli na alivyonyoosha uwongo mtakatifu uliolingana na ukweli,mama malya nawe nimeckia maongez yako maana niliona ww ndio mbaya kumbe hako kaizi ndio kabaya yaan kanadhubutu kwenda nyumban? Hi ni hatar ,nilimuonea Sana huruma kile kipigo kumbe ilikuwa staik yake.hatakaa arudie Tena kudanga kwenye nyumba za watu.

  • @bahatihaerter5651
    @bahatihaerter5651 4 роки тому +13

    Usilitaje jina la Bwana Mungu wako bure,kama Mungu alikujibu ungeshukuru kwa kumwitia police sio kujichukulia hatua mikononi. Hapo Mungu amekukimbia dada

    • @edwardouma1630
      @edwardouma1630 2 роки тому

      Ungekuwa ni wewe bwana ungekualiii tuache masihara kwenye ndoa za atu

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 5 місяців тому

    Dada pole lakini hongera. Nimekufuatilia tokea mwaka juzi na Yule dada aliefumaniwa aliomba msamaha na alipigwa saana halafu linaongopalinsema linamdai anaonekana Kabisa dada anajiuza

  • @amossbuyamba3269
    @amossbuyamba3269 4 роки тому +38

    We Mama mjinga kwel eti namjua😂mbona ulikuw unamhoji kuhusu no. Mbona ulikuwa unamuuliza unakaa wpi? We mama tako kweli🙈.half ww mzee mwenye maskio kama panzi anataka kwenda angani kama ulikuwa na vitu vyote hivyo kwhyo vero alikuwa anavimeza vizima🙉halfu we mzee mwehu kweli eti huwez kuibiwa sa7 alafu ushtaki kesho kwhyo angewezaje kushtaki wakti tayri mkeo mnene utafikli chatu kameza tembo alikuwa amemvuruga hakili.mama na Baba wote mambwa kweli.eti ww ni mtu wa mungu kwahyo mungu alikuwapa kazi ya kupiga watu

    • @neemawilliam5422
      @neemawilliam5422 4 роки тому +3

      Haaahaaaaa haahaHsaaaaaaaa,comment yako kobokoa

    • @allysanga1435
      @allysanga1435 4 роки тому +1

      hahahhaha kama panz anataka kwenda angan

    • @sofinajuma9284
      @sofinajuma9284 4 роки тому +1

      hawa wamepanga ili waonekan wana haki lao moja yeye kama anamjuwa mbona aliumuuliza namba yake inashia hiv

    • @victorpeter7990
      @victorpeter7990 4 роки тому

      jinga Sana

    • @farahanafarer7588
      @farahanafarer7588 4 роки тому

      Amoss Buyamba na nadhani hamjui kabisa alikuwa anamujoji kabisa. Nashangaa anamuita mume wake eti huyu dhu huyu nani

  • @godfreymlimbila2770
    @godfreymlimbila2770 4 роки тому +29

    Hawa waongo kabisa, hivi mwanaume na akili zako kweli upangiwe sehemu ya kulala na mwanamke kweli 😂😂

    • @shangazpetty7657
      @shangazpetty7657 4 роки тому +3

      Yaaani mke kamsomesha mumewe aseme hivyo kuogopa sheria kuchukua mkondo wake

    • @aminasalum1954
      @aminasalum1954 4 роки тому +1

      Matapeli wa kichaga hawa

    • @mozamrope8770
      @mozamrope8770 4 роки тому +1

      hahahaaaaaaaaa!!! labda alizidiwa nguvu..

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 роки тому +29

    Huyu mwanaume amefunzwa kusema kwa AJILI yeye mwenyewe ameolewa na mwanamke,atakaliwa sana na atapigwa zaidi na huyo bounser wake

    • @e.j.starelia5672
      @e.j.starelia5672 4 роки тому

      Ni kweli kbs

    • @e.j.starelia5672
      @e.j.starelia5672 4 роки тому +1

      But wote hawa ni wezi haya maneno wameyatunga tuu

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 4 роки тому

      🤣🤣🤣✔️🤣🤣🤣

    • @annembenda3750
      @annembenda3750 4 роки тому

      Kabisa

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 4 роки тому

      @@estermatindo8730 Atapata kipigo cha mbwa mwizi si ajabu huyo mume anatafuta pa kukimbilia masikini lakini hajafanikiwa bibie kamzidi nguvu. Atakoma.

  • @estermwala5738
    @estermwala5738 4 роки тому +1

    Salamu ziwafikie wachepukaji wote. Mke wa mtu ni sumu hivyo hvyo Mume wa mtu sumu.

  • @veronicamollel7002
    @veronicamollel7002 4 роки тому +9

    Et mungu kavaa bukta hajavaa suruali wew umemchungulia mungu lini acha uongo wew

  • @dorrywillium5984
    @dorrywillium5984 4 роки тому +21

    Michepuko kuna cha kujifunza Hapa! Leo Hii wanandoa wamekuwa kitu kimoja 😀 Wameungana kumuangamiza

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 4 роки тому +10

    Waongo sana hawa mke story tofauti mme story tofauti wamepanga kuongea uongo

    • @sophialaurent2876
      @sophialaurent2876 4 роки тому

      Kumbe umeona hawa watu wamepanga cha kuongea

    • @IreneMacha-g8o
      @IreneMacha-g8o 6 місяців тому

      Sasa mnavyosema make na mume story tofaut kwan kila mtu si alikuwa kivyake jamniii...lazima story ziwe tofaut tu

  • @kastokyando5347
    @kastokyando5347 4 роки тому

    Pole sana Mungu ndiye shahidi wa kweli

  • @teonilamwalongo7156
    @teonilamwalongo7156 4 роки тому +23

    Mungu w2 kavaaa bukta duuuh jmn siku zote muongo huzungumzia San kuhus mungu ili aonekane mwema

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 роки тому +34

    Sasa usiishie hapo’ Cha kufanya hapo wakutanishe wote WATATU tuwasikie ‘ .....Tutajua tu nani MUONGO....!

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 4 роки тому

      We ni mwalimu lakini kichwani una akili.uwezi kumzalilisha mmeo kiasi icho.acha kumtaja mungu bure ukishindana na mwanaume unaumia

    • @aishasaid5702
      @aishasaid5702 4 роки тому

      Naam waitwe wote tujue ukweli haki itendeke

    • @esthermoraa6648
      @esthermoraa6648 4 роки тому

      Kwel

    • @tinnahshayo3700
      @tinnahshayo3700 4 роки тому

      Kabisaaaa tujue ukwel

    • @bibiemohamed6044
      @bibiemohamed6044 4 роки тому

      Sawasawa wakutane tuone ukweli uko wp na huwezi kuskiliza upande mmoja lazima usikie kote ndo upate uhakika wa jambo wanasema msema pwekee

  • @humaidalnaamani4183
    @humaidalnaamani4183 4 роки тому +11

    Dd joice rudia video ya kwanza huyo mama alie mpiga mwenzake kasema mume wake kapewa pesa mahakamani ss mwanaume asema alikuwa mahakamani kwa ajili ya ugomvi wa familia

    • @bettyalex7850
      @bettyalex7850 4 роки тому

      Yaan kwa jins nilivyosikia hayo maelezo hawa inaonekana walikaa wajapanga waseme iv,, maana huyo mama anasema alipanda sehem akawachungulia akawaona wamelala, akapga ukunga mara tena nikaona nibomoe mlango, haijakaa sawa mara nikaona tena niwafungie ndo nikapga tena ukunga ili watu wajae, mm hapo nachojiuliza n vp mlango uubomoe ubomoke uingie ndan tena et uufunge na ufungike mmmmh tapeli wakubwa, wala huyo mama hamjui huyo dada maana angekuwa anamjua lazma kwenye ile vdeo angekuwa tu anamtaja taja na kumwambia we s nilikuonya lkn haikuwa hvyo,, pumba tu hao, walipe pesa ya watu

    • @maligeltabatholomeo8128
      @maligeltabatholomeo8128 4 роки тому

      Kwakweri arudi nyuma kwenye video ndo amuulize maswali kulingana na ile video yaani mmmm

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 4 роки тому

      Kabisa hawa waongo kumbe alimuonya mbona alimuuliza mala ya ngapi umetembea na mume wangu hawa waongo joic hiyo isikufanye uwaamini

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 4 роки тому +4

    Vero ni Daktari wa mapenzi .😂😂😂😂

  • @seciliarabson2247
    @seciliarabson2247 4 роки тому +29

    Mlio wa SMS unausikia ila muito ni vibration kama sijaelewa hivi

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 4 роки тому +14

    Awe na hizo pesa amesha zi claim huwezi kuepa maana ulimvamia mlipe yaishe

  • @ungwakalenga1556
    @ungwakalenga1556 4 роки тому +33

    Aliyesikiya chupi imetoboka katikati gonga like twendesawa

    • @akwiliniqawoga.w3690
      @akwiliniqawoga.w3690 4 роки тому +1

      Hakika HUYU mama jizi.simwelewi.anamasikio ya ajabu mpaka vibrations anasikia kupitia ukuta wa matofali ya blocks.

    • @akwiliniqawoga.w3690
      @akwiliniqawoga.w3690 4 роки тому

      Diwani nakuelewa sana.una busara sana na unastahili kuwa mbunge wetu.🔎🔍

    • @hulkamgenihulka2645
      @hulkamgenihulka2645 4 роки тому

      Alimuomba mumewe ampe namba ya wifi ili amletee ufunguo..siku zote umeolewa namba ya wifi yako una?....Uongo huu

    • @zainabuhatibu4373
      @zainabuhatibu4373 4 роки тому

      😆😆😆😆

  • @charzwilson9494
    @charzwilson9494 4 роки тому

    Mama me nimekwelewa ukovizuri nimekwelewa we uko sawa we baba hovyo sana

  • @dutchkijiko1635
    @dutchkijiko1635 4 роки тому +13

    Acheni huu upuuuz msione watu mapoyoyo eti dume zima limekaa mbele ya camera na maneno ya kumezeshwa. Halafu hata waandishi wa habari huwa hamna habar za kufata zenye logic kuliko hyo michezo ya kuigiza

    • @rusakanyohenry6932
      @rusakanyohenry6932 4 роки тому

      Yaan mtu ana gari na pikipiki 6 na duka halafu hana nyumba anakaa kwa shemeji yake,kweli

  • @welcome-qk6ps
    @welcome-qk6ps 4 роки тому +15

    Mwenye makosa mumeo mshenzi usibweke bure hapa mkontrol mumeo bwege

  • @glorysimon775
    @glorysimon775 4 роки тому +32

    Wewe ni muongo ulikuwa humjui huyu Dada mpaka namba yake huna ulikuwa unamuhoji kama humjui kabisa Leo unajifanya unamjua

    • @thomasponera6018
      @thomasponera6018 4 роки тому +3

      Kabisa ni muongo, ngoja atakutana na wazee wa kazi watampiga maswali mpaka ataongea Ukweli. Anadhani Mambo ni rahisi hivyo, s
      Siku ya tukio dhairi alikuwa anaonesha hamjui kabisa Leo hii anatuaminisha kwamba walikuwa wanajuana

    • @pamelarombo7940
      @pamelarombo7940 4 роки тому +2

      Vile alikua anamchapa, akisema yote iko mtandaoni hawa waongo watakutwa washikwe wawekwe ndani

    • @annembenda3750
      @annembenda3750 4 роки тому +1

      Wamepangaaa sana hawa

    • @kipolaina
      @kipolaina 4 роки тому +6

      @Flora Paul with draw your statement wadangaji kwio kwani mumeo sikumuuba kaja mwenyewe na ni wako akiwa kwako. Akitoka nje so wako tutabanana tu na ndoa ishamshinda huyo.

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 4 роки тому

      Glory mchongo huo ndugu yangu

  • @mwahijandege6209
    @mwahijandege6209 4 роки тому

    Hongera sana mama na msamehe mume kwakuwa amekiri kosa

  • @juliusfelister894
    @juliusfelister894 4 роки тому +16

    msg zinatoa sauti ila ulivyopiga imetoa vabration🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽

    • @januarykapinga8014
      @januarykapinga8014 4 роки тому +1

      Ndiyo unaweza ukaruhusu mlio kwenye msg au call ikawa vibration

    • @transiamuro16
      @transiamuro16 4 роки тому

      😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @faridahamis3354
      @faridahamis3354 4 роки тому

      Umeonaeeee uongo mtupuu

    • @rosechuwa5084
      @rosechuwa5084 4 роки тому

      Hhhhhhhhhhh jmn we umetisha

    • @aminamusa6531
      @aminamusa6531 4 роки тому

      Hawa n waongo na wanajichanganya sanaa ila wataumbuka 2

  • @jacklinemdachi5567
    @jacklinemdachi5567 4 роки тому +22

    wenye ndoa peke ake ndo wanaweza kumuelewa huyu mama, maana wao ndo wanaexpirience ya hizi changamoto

  • @sospeterkamala5481
    @sospeterkamala5481 4 роки тому +12

    Baba jela inakuhusu,ili ujifunze,na huyo Mungu unaemtaja mkutane vizuri

  • @veronicamandepo245
    @veronicamandepo245 4 роки тому

    Kweli unauma. Pole sana na safii sana