JEMEDARI: HERSI HANA UZOEFU | WAMEMSALITI MSOLA! | MTU MWENYE NGUVU NYUMA YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 чер 2022

КОМЕНТАРІ • 253

  • @barikimaluli6107
    @barikimaluli6107 2 роки тому +1

    Jemedari kuna wachambaji na wakosoaji ila wewe ni muelimishaji keep moving

  • @tiagomilanzi3290
    @tiagomilanzi3290 2 роки тому +2

    Efm munajijengea ukuta mpana sna na wapenzi wanachama na mashabiki wa Yanga,,kwa Sasa hamuwezi kuona athari yoyote kwakuwa watangazaji munalipwa mishahara yenu kwa wakati na munalipwa vzuri lkn hicho munacho kitengeneza munaenda kuiathiri radio kiuchumi,,coz munaruhusu chuki bnafsi za mtu kuchukua nafasi kwenye taasisi yenu

  • @mallembekamoshi1670
    @mallembekamoshi1670 2 роки тому +1

    Efm...kila siku mada ni hiyohiyo tu mbwa nyieeee mnaharibu radio hiyooo..

  • @faustinlufungulo1976
    @faustinlufungulo1976 2 роки тому +2

    Huyo jemidari tatizo njaa

  • @olivermhando952
    @olivermhando952 2 роки тому +1

    Inasikitisha Sana efm radio,kuendelea kutunza nyavu ilio tobo store,, wakati haina faida yoyote, kuliko kutunza nyavu nzima, ambaye yinafaida. Jemedari,na Oscar Oscar,bola Oscar Oscar kuliko jemedari amejaa chuki na dharau , hajuwi nini kilicho mleta apo.alafu eti boss anamuaga Oscar Oscar mwenye matunda mazuri.

  • @franciskavyega280
    @franciskavyega280 2 роки тому +1

    Jemedari anatia mpaka huruma😂😂

  • @johnkayamba7410
    @johnkayamba7410 2 роки тому +3

    Kaeni vizuri sindano isije kuwakatikia,,na dawa ikamwagika pembeni

  • @frankmihayo3323
    @frankmihayo3323 2 роки тому +1

    Mkimsikiliza kama ni professional kweli kumbe njaa tu zinamsumbua😀😀😀

  • @raymondkanyama6387
    @raymondkanyama6387 2 роки тому +1

    Vocal la jemedari ni Noma hhhh

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 2 роки тому +1

    Harsi yuko vizuri Sana, Sasa tunawashangaa kwahiyo mlihitaji msorwa akae mpk lini, mpeni nguvu ya kuiongoza yanga ili afanye mambo mazuri zaidi.

  • @mallembekamoshi1670
    @mallembekamoshi1670 2 роки тому +1

    Jemedarsaidi ni mbumbumbu mnoooo

  • @omaryally5555
    @omaryally5555 2 роки тому +3

    Niseme ukweli efm mtapunguza wasikilizaji kwasababu mmeajiri watangazaji wenye ushabiki wa kipumbavu. Siku zote vilabu vilikua vinahaha kupata wadhamini kuhusu mpira wetu leo watu wachahe wanataka kuurudisha nyuma mpira wetu Yani hawa watangazaji naweza sema ni wasaliti wa maendeleo ya mpira hapa Tanzania

  • @alvintumaini681
    @alvintumaini681 2 роки тому +1

    Nyie mafala efm mtaendelea kukimbizwa na wababe clouds na miamba wasafi kwa watangazaji mlionao kama huyo chiz Jemedali sijui jeneza fala sana huyo akiondoka maulidi kitenge kipindi Ndio kwishaaa

  • @benardbwanali611
    @benardbwanali611 2 роки тому +1

    Chokochoko Sana anaongelea Mambo ya yanga wwe nini Herse tajili anao uzowefu ndomana anmiliki pesa.

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +3

    Yaan Jemedali nilikuwa nakuheshim sana ila leo ndo umejishushia CV zakooo hovyo kbs kwani MOURINHO aliwika adi leo anachukuwa mataji amecheza mpila?umesema uzoefu kwani Maji alipata wapi Uzoefu Msolwa alizaliwa na uongozi?haitoshi unasema Injinia ana mtu nyuma Msolwa ananani nyuma?acha roho mbaya ndugu haijengi maisha mtu anatoka sehem yoyote ile usijione wewe ndo unajua kila kitu acha iyo tabia

  • @alfredbomani8047
    @alfredbomani8047 2 роки тому +1

    Deal la umeneja wa wachezaji limebuma hasira za mkizi.

  • @nasskidy5471
    @nasskidy5471 2 роки тому +3

    Ndo kaishaa pitaaaa mzeee

  • @bisekolugola2082
    @bisekolugola2082 2 роки тому +1

    Jemadar,Mambo ya Yanga,waachie Yanga.Jitahidi saana uanzishe timu yako ili uwe na uhuru wa kuwapangia.

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 2 місяці тому +1

    Leo muulizeni Huyo Jemedari Punga, alisema Hersi hana uzoefu?Tukisema akili ndama vipi?

  • @mkombozivuli8552
    @mkombozivuli8552 2 роки тому +2

    Uzoefu bila hela utasajili kwa uzoefu utalipa mishahara kwa uzoefu acheni uzuzu huyo jemedari anauzoefu gani wakati anaonekana hajui lolote hata katiba ya timu haijui

  • @luganomwaisumo1938
    @luganomwaisumo1938 2 роки тому +4

    Wewe ina kuhusu nini?hawa efm wamepoteza dira, mbona mnamuogopa sana eng hersi?waacheni wana yanga wataamua

  • @benardbwanali611
    @benardbwanali611 2 роки тому +1

    Huyu jamaa mshenzi mgombanishi hivi anamwanamke kwerii ambaye Kama mkee mgombanishi sana

  • @1000Brain
    @1000Brain 2 роки тому +2

    Jemedari mbona hasemi kuwa Yanga ya Manji ndo ilikua na mafanikio?

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому +1

      Namanji Alipata Uzoefu Tokawapi. Huyu Chuki Mbaya Kabisa.

  • @felixmwayeya6716
    @felixmwayeya6716 2 роки тому +1

    Masikini redio yangu pendwa inapotea vibaya sana kupitia mchanbuzi mpuuzi huyu tuache na yanga yetu haikuhusu hujui lolote tuachie yanga yetu jemedari haikuhusu

  • @dugaman9872
    @dugaman9872 2 роки тому +1

    tatizo lajeme dali anaona wache zaji anae wasima mia yanga hawa wataki kwaiyo hana paku wa peleka nawa asa viogozi wa nyanga musi wanunuwe wachazaji wanao sima miwa nahuyu jeme dali

  • @alfredbomani8047
    @alfredbomani8047 2 роки тому +1

    Jemedari una hasira nyingi mno. Zitakuua. Nyong'o ikikuzidi mwilini ni sumu. Lkn pia kwa kusema sema unapata ahueni.

  • @alexandersakalani1080
    @alexandersakalani1080 2 роки тому +1

    Ss tunataka huyo huyo wew jemedar kamtafte mzoef aongoze familia yako

  • @mazokijineri9853
    @mazokijineri9853 2 роки тому +3

    Tatzo njaa kaka tunaitaj vijana kila kitu kina wakat wake huna oja

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 2 роки тому +1

    Jemedari umechanganyikiwa nenda milembe unashindwa kujua asilimi mia mja wachezaji wa yanga wameletwa na hersi

  • @mabulawiston1525
    @mabulawiston1525 2 роки тому +1

    Jemedari ni mnafiki tu, uzoefu unahusiana na nn, yy huo uchambuzi uzoefu aliupatia wapi? Aibu kwake

  • @deuskisonga5819
    @deuskisonga5819 2 роки тому +1

    EFM MNACHEMSHA JEMEDARI ANA CHUKI DHIDI YA CLABU YA YANGA

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +1

    Jemedarii kaamiaa kwa hersi kamshindwa manara ! Barba si nguv ya mo ..mbona usemi

  • @noelymwakasege2428
    @noelymwakasege2428 2 роки тому +1

    wachambuz wengi cjui mpoje hakuna uzoefu kwenye sekta kama iyo hap n uelewa tu

  • @ramsonmpulule6264
    @ramsonmpulule6264 2 роки тому +1

    Jamaaa hamna k2

  • @rashidichidi4225
    @rashidichidi4225 2 роки тому +1

    Nyie ina kuhusuni Nini kwa Nini hamtaki yanga ipate viongozi kwa nn mnamchukia injinia

  • @masseaali3564
    @masseaali3564 2 роки тому +1

    Jamaa anateseka na yanga sana dah pole yake

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 2 роки тому +1

    Ndomana Oscar na Diña wamewakimbia

  • @kitovasaidi6753
    @kitovasaidi6753 2 роки тому +1

    Kwa hiyo uzoefu unakaa unasubiri mpk ufe acha hizo.

  • @suleymanmuunguja2750
    @suleymanmuunguja2750 2 роки тому +1

    Wew unataka uzoefu gani miaka 4 unataka uzoefu gani ubu fanya yako na familiya yako yanga inakuhusu nini tunakujua wew simba

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 2 роки тому +1

    Huyu jamaa kiukweli anatumika na Simba kiukweli ayupo sahihi

  • @hansmaston5136
    @hansmaston5136 2 роки тому +1

    Yani hii redio ndo mana siisikilizagi kabisa

  • @mudymudy3263
    @mudymudy3263 2 роки тому +1

    Huyu jamaa ni mchawi

  • @deuskisonga5819
    @deuskisonga5819 2 роки тому +1

    ACHA hizo jemedari nani raisi aliyeingia kuiongoza nchi Kwa uzoefu

  • @allinoti
    @allinoti 2 роки тому +1

    huyu jemedari wala simkubali hata mara moja

  • @mshigenilussingu6
    @mshigenilussingu6 2 роки тому +1

    Hovyo kabisa

  • @meshackuguzi1836
    @meshackuguzi1836 2 роки тому +1

    Uyo jemedali ni mchongo tyu endeleeni nae mtamjua tyu

  • @patrickchiwalo4284
    @patrickchiwalo4284 2 роки тому +1

    Shida inaanzia nyinyi mlianza kumfatilia Lin kimsingi Aya ashapita ko mnatakaje vipara vinavukaa Moshi tuu

  • @michaelngairo1221
    @michaelngairo1221 2 роки тому +3

    Hatutaki uzoefu tunataka timu iende mbele Hao wazoefu wamefanya nini toka 1935 mpaka Leo?acha kupotosha watu

  • @kayandaabwe2976
    @kayandaabwe2976 2 роки тому +1

    Huyo jemedari mripokaji tu

  • @alexkapange663
    @alexkapange663 2 роки тому

    hii redio yenye uchambuzi wa kipumbavu sirudii kusikiriza

  • @michaelamos3164
    @michaelamos3164 2 роки тому

    Jemedali we ni jembe Tena jembe zaidi ya majembe hapa Tanzania

  • @edgeredson9691
    @edgeredson9691 2 роки тому +1

    Hii radio inakoenda acha nicheke

  • @mwandisimfukwe326
    @mwandisimfukwe326 2 роки тому +1

    ila kuna nguvu kubwa sana inatumika na hawa kuitoa yanga kwenye reli

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 2 роки тому +1

    Huyu jamaa chizi. Kweli hana uzoefu. Mkuregenzi wa gsm .amesajili yanga misimu miwili huyu jamaa Mbumbu

  • @suzyjoseph2367
    @suzyjoseph2367 2 роки тому +4

    Jemedari nibonge la mchambuzi, mapungufu anayo Kama binadamu' Ila huyu mwamba nishule tosha kwa soka la nchi hii

  • @hassansawasawa6753
    @hassansawasawa6753 2 роки тому +1

    Ww unamsifia Msola kwan mishahara nakusajil anasajili Msola?? Jemedari maku huy

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 2 роки тому +1

    We fala umetumwa, achana na yanga

  • @kizakagoma5121
    @kizakagoma5121 2 роки тому +2

    Mbna yanga mdaa wote nyinyi Kwan mnamatatizogani na yanga

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 роки тому +3

    Yaan ww fala huwezi kumtenganisha injinia na Yanga, huyo ndo raisi wetu

  • @ericsallu3237
    @ericsallu3237 2 роки тому

    Manara Chawa Sana, Kitenge maoni yako.

  • @deusmorris1030
    @deusmorris1030 2 роки тому +1

    yanga wanamatusi khaaa

  • @salehewaziri8231
    @salehewaziri8231 2 роки тому +1

    Pambana nahaliyako mpuuziweee

  • @jogomtata6081
    @jogomtata6081 2 роки тому

    Upo sahii ndugu

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 роки тому

    Upo,,,saw jemedal

  • @eddyrich.3312
    @eddyrich.3312 2 роки тому

    Radio hii inakwenda wapi? Tuachieni Yanga yetu.

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 роки тому +1

    Akili yako haina utakuwaje na uzoefu bila kufanya kazi

  • @felisteranthony8688
    @felisteranthony8688 2 роки тому +1

    Huyu Jemedari mbona anaingilia yasiyomhusu?

  • @captainmohamedy6260
    @captainmohamedy6260 2 роки тому +1

    Mmmh

  • @josephmfuko771
    @josephmfuko771 2 роки тому +1

    Wewe unapenda kupeleka chokochoko Yanga tukuulize Babra ana uzoefu gani ktk soka? unamjua vizuri miaka 6 alikua anashughulika na nn?

  • @amnondickson4737
    @amnondickson4737 2 роки тому +1

    Uzoefu unasomewa wapi?

  • @godwinjohn2488
    @godwinjohn2488 2 роки тому +1

    Acha upuuz kaa manara myamalize just yanga ndio mabingwa

  • @benardbwanali611
    @benardbwanali611 2 роки тому +1

    Wwe unataka uzowefu gani pesa anayo wwe unayo pesa achana na enginia

  • @hassankumba6938
    @hassankumba6938 2 роки тому +1

    Kwani uzoefu unauzwa duka gani?

  • @josephpeter4398
    @josephpeter4398 2 роки тому +1

    Wewe ulikuwa na uzoefu

  • @gtvonlinemdee7001
    @gtvonlinemdee7001 2 роки тому

    Kuna watu huwa wana tatizo la Afya ya akili ila hawajijui

  • @williammihayo7755
    @williammihayo7755 2 роки тому +1

    Uzoefu gani unaongelae??

  • @sonsonson8513
    @sonsonson8513 2 роки тому

    JEMEDARI WEWE NI KUMA TU

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 2 роки тому +2

    Hawa wachambuzi mbona wanaongea vitu hata visivyoeleweka, hivi nani amelalamika, tumewachoka bwana

  • @amourally5366
    @amourally5366 2 роки тому +1

    Huna jipya kalale unachuki ya dhahir Yanga

  • @faustinlufungulo1976
    @faustinlufungulo1976 2 роки тому +1

    Kwani Simba yenyewe Haina nguvu nyuma eti we jemenedari mbona unakuwa ufikilie Kama unatukosa sisi wananchi nakushauli jitafakali Kama utapo sema kitu usiegemee upande mmjo tu Kama naona Kama unachuki na sisi wananchi

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 роки тому

    Very sad situation for Msola

  • @sadickkuliganya9356
    @sadickkuliganya9356 2 роки тому

    Uzoefu gani zaidi ya pesa acheni ujinga

  • @kazembeally1619
    @kazembeally1619 2 роки тому +1

    Leo nimegundua kitu kwako.wakati msola anakuwa kiongoz alikuawa na ela ya kuendesha club na alikuwa nyuma ya nani.na team iliendeshwa na bakuli za mashabiki na wanachama.kwan kazi ya mwenyekit nikusanili tu mbona kama unatulisha matango pori jemedar jitadhimin kumbuka unafanya kaz kwenye redio ya mtu punguza ushabiki kwenye kaz

    • @solomonlucas4112
      @solomonlucas4112 2 роки тому

      Kaze achana na mtu mwenye tabia yakimalaya malaya

  • @markikivea7101
    @markikivea7101 2 роки тому +2

    TUNAOMJUA JEMEDARI ALIKUWA MCHEZAJI WA SIMBA AMEUMIA SANAAAA,KITENDO CHA HERS KUWA RAISI KWAO NI MSUMARI WA MOTOOOOOO

    • @alvintumaini681
      @alvintumaini681 2 роки тому

      Fala huyu jemedali na kazi itamshinda hapo efm

    • @jogomtata6081
      @jogomtata6081 2 роки тому

      Chizi ww jifunze sheriya

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Місяць тому

      ​@@jogomtata6081😂😂 chiz unae mshabikia

  • @kulwaathuman565
    @kulwaathuman565 2 роки тому +2

    Hili poyoyo kweli

  • @markikivea7101
    @markikivea7101 2 роки тому +1

    USIKARIRI

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 2 роки тому +1

    Wewe ni mjinga

  • @markikivea7101
    @markikivea7101 2 роки тому +1

    Wewe ulikuwa mzoefu????

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 роки тому

    Mimi ni Simba Ila hao wazoefu miaka yote wameipeleka wapi Yanga Kama siyo shimoni?, Namuunga mkono Engineer damu changa ambayo inaweza leta maendeleo..na kuwa na hamu ya mafanikio .., maveteran waacheni wapumzike.. wauze magenge yao ..,

  • @ramadhanjuma7843
    @ramadhanjuma7843 2 роки тому

    Jemedali Yanga wamekutema ndio maana

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 2 роки тому +1

    Jemedaly wewe unajulikana

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 роки тому +1

    Hersi apewe tu

  • @calvinshirima2654
    @calvinshirima2654 2 роки тому +1

    huyu bwege kweli

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 роки тому

    Haji nimemsikia akilalamika kuhusu kuisema vibaya yanga kila mara kumbe ndivyo mlivyo

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому

    Yangafc aka GSM family

  • @boniphaceantony4807
    @boniphaceantony4807 2 роки тому +1

    Mchafuuu kuogaa huyooo

  • @michaelkapufi8697
    @michaelkapufi8697 2 роки тому

    Kwani nyie mnasemaje bakuli iludi au vipi wee jemedari huo udhoefu upo tu ila timu ipumue kwanza bhn hao wengine hawana msuli GSM akijitoa tu tunarudi Kwa kina yikpe

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 2 роки тому

    Hii itakumiza sana wewe mbwa kazumari kisa farid musa kakukimbia

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 2 роки тому

    Huyu jimama kazi kuchomekewa kishambashamba na hersi atakukomesha udhoefu wa nini kwan ulipoletwa hapo ulikua na udhoefu?samia kawa rais ana udhoefu?mpumbavu wewe huyo msola si kocha kwan uongozi alikua na udhoefu wa kiuongozi?toa kizungu chako kibovu hapa!Barbra alikua na udhoefu?hão wengine ni roho mbaya na njaa!!

  • @emmydaizo90
    @emmydaizo90 2 роки тому

    Anauzoefu huyo Gani wakati miaka minne nyuma hakuna ubingwa